BALAA! MZEE LWAITAMA AMVAA KAMANDA MULIRO BILA WOGA SAKATA LA KUTEKWA SOKA, "TUELEZENI WALIPO"

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 15 янв 2025

Комментарии • 93

  • @anoldkivuyohiphopmc1957
    @anoldkivuyohiphopmc1957 3 месяца назад +17

    Ahsante sana mzee ukweli mchungu ila umewaingia wa husika ✌️

  • @MichaelJudo
    @MichaelJudo 3 месяца назад +3

    Hapo mzee tunakupa maua yako angalia wasije kukuteka sas maana hawaeleweki ukisema ukweli wanakusakama❤❤

  • @LamsonMalenga
    @LamsonMalenga 3 месяца назад +4

    Unyama mzee

  • @JohnsonBagambi
    @JohnsonBagambi 3 месяца назад +13

    Asante mzee wangu swala la kutekana sio sahihi

  • @AmelitaKadudu
    @AmelitaKadudu 3 месяца назад +7

    Hahah huyu mzee safi sanaaa😂😂

  • @hadijafundi383
    @hadijafundi383 3 месяца назад +2

    Mzee wetu🎉 hongera hujamumunya maneno.Allah akuhifadhi

  • @sammymtove2626
    @sammymtove2626 3 месяца назад +1

    Huyu mzee comedy sana lkn anaongea point

  • @ClarenceHilaly
    @ClarenceHilaly 3 месяца назад +11

    Aliyewatuma wawateke watu ni samia wala tusimunghunye maneno maana kinachotishiwa ni uraisi wake sio nafasi za polisi

    • @jumakapilima7295
      @jumakapilima7295 3 месяца назад

      We stand with Samia for Presidency 2025

    • @froma3732
      @froma3732 3 месяца назад

      Yaani wewe umekuja Dunia hili 2020 kama Unatatizo na Rais Samiha tumekuelewa lkn Ukumbuke huu Uhuru wa Kujieleza Mulikuwa hakuna na Koptea kwa Watu ni Shida ya Muda toka 1961

  • @mariamumechara3398
    @mariamumechara3398 3 месяца назад +5

    Uko sawa rwaitare

  • @jeanbaraka1008
    @jeanbaraka1008 3 месяца назад +5

    Nimeamini sasa kuwa wewe ni pure doctor Bingwa Africa 🌍

  • @EmmanuelMwankusye
    @EmmanuelMwankusye 3 месяца назад +2

    Asante sana baba angu umeongea ukweri

  • @FrankNzombo-k3j
    @FrankNzombo-k3j 3 месяца назад +15

    Lwaitama kumbe ndo mana unajitambua kumbe wewe ni upinzani Mimi ni ccm nashindwa kujua kwa Nini ccm hatuna wazee wanao jitambua

    • @knight6757
      @knight6757 3 месяца назад

      🤑🤑🤑senti ?

    • @jumakapilima7295
      @jumakapilima7295 3 месяца назад

      Hama chama , tuachie chama chetu

    • @emmanuelndotela9412
      @emmanuelndotela9412 3 месяца назад

      ​@@jumakapilima7295Alafu ukiachiwa chama kinakusaidia nini si ni bora mimi nisie na chama 😂😂

    • @MtanganyikaTanganyika
      @MtanganyikaTanganyika 3 месяца назад +2

      Kweli sisi ccm Tuna. Wazee wajinga sana

    • @knight6757
      @knight6757 3 месяца назад

      @@FrankNzombo-k3j 🤑🤑

  • @SAKAWA4
    @SAKAWA4 3 месяца назад +4

    Lipo ndani ya uwezo wao

  • @HamisiSamweli
    @HamisiSamweli 3 месяца назад +4

    Umesema ukwl bb

  • @kinkybanjukome217
    @kinkybanjukome217 3 месяца назад

    Hilo halishindiksni kwa sababu polisi wao ndio waliomteka hawataki tu kusema wako wapi inawezekana wamewauwa mbwa wakubwa hao ccm

  • @johnmwingira1041
    @johnmwingira1041 Месяц назад

    Mzee Rwaitama Nguo kwa hoja makini

  • @kaizamulinda633
    @kaizamulinda633 Месяц назад

    Azavel Feza Lwaitama.

  • @margarethpolepole7438
    @margarethpolepole7438 3 месяца назад

    Wewe na Ndimara Tegambwage Sengondo Mvungi walijulikana toka zamani hao tulikuwa nao gazeti la Uhuru

  • @Hamy1109
    @Hamy1109 3 месяца назад +4

    Ukijenga hoja halafu ukiwa unacheka cheka unapunguza ukubwa wa hoja yenyewe. Huyu mzee mtu makini unaweza kudhani anaongea kwa mzaha lakini ila ana hoja za msingi sana.

    • @SylvesterKameo
      @SylvesterKameo 3 месяца назад

      Kwa mtoto ambaye hakusikia hot ubatili kali za Hayati mwalimu Nyerere atashangaa kiongozi kutoa hotuba huku akicheka. Lakini ,ilikuwa na mvuto wa kipekee na hakuna kiongozi yeyore hapa nchini aliyeweza kumfikia!

  • @kalebiestomihi
    @kalebiestomihi 3 месяца назад

    mungu.akubariki.sana.baba.yangu.mzazi

  • @HenryCastuli-jz3cx
    @HenryCastuli-jz3cx 3 месяца назад +6

    Sinta shangaa nikiambiwa huyumzee kapote aukatekwa kwasababu tz ukiongeaukweli haiwapendezi wakubwa

  • @ElneySheddy-is1dv
    @ElneySheddy-is1dv Месяц назад

    Mriro ajihuzuru kama nyumbayake bado hajamarizia akarime miraba kwenyeshamba rakikwete au akachunge ndama zakikwete mbona pesa kikwete anaripa vizuri2

  • @isayaanthon7063
    @isayaanthon7063 3 месяца назад

    Mtu aliyenikosha zaidi ktk hili kongamano ni Mzee Lwaitama. Hakika umenisemea barabara Mzee wangu. Kina soka warejeshwe kwanza ndipo mengine yaendelee.

  • @HijaSaid-t6c
    @HijaSaid-t6c 3 месяца назад

    Huyu hatashii nchi, jee unajua nyuma yake yuko nani

  • @HijaSaid-t6c
    @HijaSaid-t6c 3 месяца назад

    Ikiwezekana tumuombe Allah awape maradhi na huyo anaewatuma

  • @DottoPaschal-x4d
    @DottoPaschal-x4d 3 месяца назад

    😂 you know 😂😂😂😂😂

  • @tumainimayala8187
    @tumainimayala8187 3 месяца назад

    Kabisa Mzee wetu..nazi iitwe nazi cyo kimiminikq cheupe..😂😂👏🏾👏🏾👏🏾👏🏾👊🏾

  • @Tdotkido
    @Tdotkido 3 месяца назад +1

    Mzee amesema kweli

  • @girwawehhary6605
    @girwawehhary6605 3 месяца назад +4

    Haki huinua taifa

  • @SalvatoryMtunga
    @SalvatoryMtunga 3 месяца назад

    Serikali itakuwa na kazi kubwa sana na gharama kubwa sana kwa kila mtaa au nyumba kumi ilindwe na polisi, serikali gani kwenye bara hilo linaweza gharama hizo?.

  • @PhilipoMwita-b2x
    @PhilipoMwita-b2x 3 месяца назад +3

    Hapa Kuna mtu atampinga huyu mzee aisee watanzania bhana

  • @DeusMbalamwezi
    @DeusMbalamwezi 3 месяца назад

    ❤🎉

  • @hechechacha4032
    @hechechacha4032 3 месяца назад

    Profesa ameongea kweli

  • @propKibali
    @propKibali 3 месяца назад

    Amesema JESHI halishughuliki na watu au makundi Bali nchi, ielewe falsafa hii, htr!

  • @NatashaJonhson-es8si
    @NatashaJonhson-es8si 3 месяца назад

    hongelasana mzeewangu

  • @TeodoriLussona
    @TeodoriLussona 2 месяца назад

    Nchi hii shida sn

  • @AlfredMatemu
    @AlfredMatemu 3 месяца назад

    Hata wawawwe sehem tujue walitekwa na wasiojulikana ila wawe hai tu inatosha

  • @fabby1181
    @fabby1181 3 месяца назад +5

    Wewe Mzee unataka kutekwa???!!!...

  • @Captain-nj1mq
    @Captain-nj1mq 3 месяца назад

    madini sana haya mzee

  • @HellenNkwera
    @HellenNkwera 3 месяца назад

    🎉😂😂

  • @HijaSaid-t6c
    @HijaSaid-t6c 2 месяца назад

    Kama ni Matakwa yake mtamng,oa,

  • @martinkisha6307
    @martinkisha6307 3 месяца назад

    Leo hatari

  • @shuzashadyproduction8438
    @shuzashadyproduction8438 3 месяца назад

    😁😁

  • @paschallLaizer
    @paschallLaizer 3 месяца назад

    MUNGU akubariki baba

  • @Mpendahaki
    @Mpendahaki 3 месяца назад

    Itakuwa hajamalizia nyumba ndiyo maana hataki kujiuzulu

  • @neemaacting995
    @neemaacting995 3 месяца назад

    Madini og

  • @robertphilip385
    @robertphilip385 3 месяца назад

    Sante Mzee

  • @francisthomas1717
    @francisthomas1717 3 месяца назад

    Mzee anacheka kbs

  • @BekaEmanuel
    @BekaEmanuel 3 месяца назад

    Mzee uko vizul lakini hao police wa kubwa sio watu wazili kua makini

  • @jumakapilima7295
    @jumakapilima7295 3 месяца назад

    Kwahiyo mchakato wa katiba usimamiwe na Mwabukusi?

  • @MOSESIMCHUNGUZI
    @MOSESIMCHUNGUZI 3 месяца назад

    MZEE AMEONGEA UKWELI

  • @jumamustapha8254
    @jumamustapha8254 3 месяца назад

    Watz lazima muelewe, wasomi wetu wengi wajinga wanao mihemko ya kisiasa ni upumbavu mtupu anaoongea na kuchekacheka tu.

  • @hassannyalile2256
    @hassannyalile2256 3 месяца назад

    Acha upuuzi TLS sio muhimili Wa serikali.

  • @DottoPeter-h2w
    @DottoPeter-h2w 3 месяца назад

    Mzee nina sodayako pale kwa mangi

  • @Manhajisalafy42
    @Manhajisalafy42 3 месяца назад

    Iwe boojo mwasibayomutai..

  • @simongwandu7392
    @simongwandu7392 3 месяца назад +1

    Hao ndiyo watekaji wanjificha kulaumu police

    • @Kwelihukuwekahuru
      @Kwelihukuwekahuru 3 месяца назад

      Ona mjinga huyu jamani sasa kama polisi wanajua hawa ndiyo watekaji si wakamatwe washtakiwe au wako juu ya sheria upumnavu wa hali ya juu

    • @StevenTambi
      @StevenTambi 3 месяца назад

      Kajambe ulale

    • @simongwandu7392
      @simongwandu7392 3 месяца назад

      @@StevenTambi uolewe na chadema

    • @gangan4618
      @gangan4618 3 месяца назад

      Akili yako ni mavi yako"Makalio" akili makalio.

    • @jedidahbintidaudi8241
      @jedidahbintidaudi8241 3 месяца назад

      @@Kwelihukuwekahuru amesema tuu ili apate comment. huyu ni jirani yangu akati anaandika niko pembeni yake

  • @hassannyalile2256
    @hassannyalile2256 3 месяца назад

    Mzee unaongea ujinga mtupu, nchi haiwezi kuchezewa kiasi hicho.

  • @jumakapilima7295
    @jumakapilima7295 3 месяца назад

    Mzee umeishiwa,,,,

  • @stapinuswilliam860
    @stapinuswilliam860 3 месяца назад

    Haki haiombwu Ila kuipata ni kipengele @nikkimbishi