Nyota njema Choir, mimi naitwa Peter B. Malonja,katibu wa Huduma ya Ng'weshemi Evangelism and Missions (NTEMI). Hii ni huduna ya kidamilia, tunafanya mikutano ya Injili sehemu mbali mbali. Tuluanzia nyumbani huko Kahunda Sengerema baada ya miaka 4 hivi tukaanza kwenda nje. Tumepeleka mikutanobya Injili ya nje huko Sengerema,

Mungu awabariki sana I love you nyota njema
YANI NYOTA NJEMA HUWA MNANIKOSHA SANA MNO,MUNGU AENDELEE KUWATUMIA
Ninabarikiwa sana na ujumbe wa wimbo huu Mungu awawezeshe zaid katika huduma
Mungu azidi kuwatumia kama chombo chake
Mmefanya vzr
Wimbo mmoja mzuri sanaa
Nyota njema nyalugusu
Mungu awabariki
🔥🔥🔥