Simba walikuwa wanatengeneza team kumzunguka Chama. Hili ndo lilikuwa tatizo kubwa na lilikuwa linaathiri sana saikolojia ya wachezaji wengine. Team kama Yanga zimefanikiwa zaidi kwa sababu wanacheza ki team zaidi. Kumruhusu Chama kuondoka ni moja ya Gharama tulizoingia kwa manufaa mazuri zaidi ya Simba siku za usoni
Kaka kuanzaa leo mm ni jean charse bonge la fund hh-h- ushasikia wap mtu anaitwa jean alaf anakuwa mbovuu we tafuta mtu yoyote anae itwaa jean anakuwa mbovu
Hiyo map word mdeizingushia Tanzania rangi yake pekee then mgeweka logo ya CROWN FM nashauri ingekaa unyama ila mpaka hapo kiba ushauaaaa👍💪💪💪💪💪
au sio
🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉@@zombiiUpdates
Nmepata sehem sahihi ya michezo Congole crown mmewezaaaa
Congo mon bon pay🔥🔥
Simba walikuwa wanatengeneza team kumzunguka Chama. Hili ndo lilikuwa tatizo kubwa na lilikuwa linaathiri sana saikolojia ya wachezaji wengine. Team kama Yanga zimefanikiwa zaidi kwa sababu wanacheza ki team zaidi. Kumruhusu Chama kuondoka ni moja ya Gharama tulizoingia kwa manufaa mazuri zaidi ya Simba siku za usoni
Simba msimu ujao itakua yamoto sn mana sio kwa usajil huu tulioufanya ❤❤kata funua iyoooooh 🔥🔥🔥 Crown juuuuuuh
Mambo mazuri sana kila tukiamka tunaamka na crown hahah crown nipatam sana kwa vipengele vyote 🇧🇮
Tupo pamoja sana crown fm❤
Wooow crowmis my choice so msisahau kua mtaani Kuna mashabiki wenu wengi San hvyo tunaomba mtuandalie matamasha yatakayo watangaza zaidi.
Hongeren sana wachambuzi wetu kwauchambuzi wenu 🎉
Crowi nawakubali sana
nawapenda sana
Simba nguvu moja❤❤
Crown ndio habari yamjin 🎉🎉🎉
Msimu ujao simba sc inatakiwa ifanye kweli kikubwa apo ni kocha kuwa na mfumo ambao wachezaji wataweza kutumia vzr
Jeff now anachambua mpira
Kazi nzuri sana
Geff mwanetu delight anatua united au co
Juma bonye kutoka VIKINDU Nawapata apo StudiO
Hiii nistudio au chumba cha mseleee
Moja na mbili ndani ya crown fm
Jemedari na oruma nusra wamuharibu geof lea😂😂😂
Simba bora wamsajilin mandonga mtu kazi
Juma bonye kutoka VIKINDU Kaka jean chars Simba WamelambA dume
Mpe salam Diara😂😂😂😂😂
❤❤❤nice uchambuzi
Mko vizuri sana
Juma bonye kutoka VIKINDU Simba wanamtambulisha fei TotO kaka HANS
Jefu asaiv kabadilika sana yuko vzr
Walete na mwalimu ambaye ataendana na hao wachezaji
Vp kuusu mpanzu hansi
Kaka kuanzaa leo mm ni jean charse bonge la fund hh-h- ushasikia wap mtu anaitwa jean alaf anakuwa mbovuu we tafuta mtu yoyote anae itwaa jean anakuwa mbovu
Tumehaza pamoja
Hamna camera
Kazi nzuri
🎉🎉🎉🎉🎉
Hapa ni home
Hansi lafaeli noma unawajua wachezeji wote wa Simba walio sajili a upewa maua yako umepoa kaka😂😂😂😂😂
Hapa ni nyumbani pamenoga sana
Kwel mposawa ila maik mziweke lebo maana mpogood
Jof lea unachambu vili sana
Kiukweli crown mnatisha
Jitahidini kuitumia KISWAHILI bora msichanganye changanye
Jitahidi kuelewa kingereza, kuna vitu ni rahisi na inakuwa vizuri zaidi vikitajwa kwa majina ya Kingereza.
Nice
Jengen hao player wakikomaa tunatua tunabeba 😂😂😂
💪💪
Kwa sasa Azizi atabaki kuwa Azizi huyo mwingine tumsubili uwanjani ligi yetu tunaijua wenyewe kaka
Nawapata kutoka mazinde mkowa watanga
Usifurahishwe na usajili tusubili ligi ianze tutajua mbivu na mbichi
Vipi mbona hii mumeiweka Lisa limoja wakati tushaona nimasa mawili
Tupo pamoja
❤
Awadhihno here
Noma
Wadau wanasema Jeff wa clouds amerudi
Kamela ipo mbali
Naam
Tafadhali usiwape siri hiyo ya huyo forward nataka waumie
❤❤