JE NI LISSU AU MBOWE? VIGOGO HAWA WAWAPASUA VICHWA MAKADA CHADEMA"TUNAHITAJI KIONGOZI MWENYE BUSARA"

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 17 янв 2025

Комментарии • 38

  • @ramdanmbara8500
    @ramdanmbara8500 17 дней назад +1

    Umeongea kwa hekima ya hali ya juu sana...

  • @hamadhamud-n4j
    @hamadhamud-n4j 17 дней назад +6

    Na bado.mnajitekenya tu.mbowe mwamba tuvushe

  • @TM-zs3rm
    @TM-zs3rm 17 дней назад

    Uko sahihi kabisa.
    Ahsante am we,
    Karibu Lisu.
    Chadema mbele, mbele, mbele kabisa.

  • @Mdee-Tv
    @Mdee-Tv 17 дней назад +4

    Nimesikiliza kusaga tv na jambo Tv kwa wanachama wanaohojiwa lkn Tone inamkataa mbowe huo ndio ukweli

  • @RastaMany-p8x
    @RastaMany-p8x 17 дней назад +2

    Lisu anaongea anajua mbowe kapozwa na ela uyo ni mchaga busala bila mabadiliko ni ujinga apa ni tundu lisu2 mbowe mwigizaji mwenye macho.....

  • @kingj9606
    @kingj9606 17 дней назад +2

    Heshima ya mbowe kustaafu, kwani kawaambia kama kashindwa au? Au hana uwezo tena? Si muache kura ziamue?. Ndo maana tunasema Lissu hana busara maana anachochea watu kumsema vibaya mwengine.

  • @SamuPetro
    @SamuPetro 17 дней назад +2

    Hapa lisu tu

  • @danielmollel8225
    @danielmollel8225 17 дней назад +1

    Mzee una busara sana!!

  • @NgendandumweAlouise
    @NgendandumweAlouise 17 дней назад +5

    Mbowe ataongoza mpaka lini kwanini asiachie ngazi

    • @Jumamaduka240
      @Jumamaduka240 17 дней назад

      Kwani kuna tatizo gani?

    • @hamzakhamis1575
      @hamzakhamis1575 17 дней назад +1

      Kwa mujibu wa katiba ya chadema hakuna ukomo wa kugombea uenyekiti sasa kama unataka mbowe asiongoze au asigombe uenyekiti badilisha katiba kwanza.

    • @boniphacesululu5428
      @boniphacesululu5428 16 дней назад

      HIVi ccm na Samia akiendelea kuongoza nchi Kuna ubaya ? Nakama hakuna ubaya wa kuachia madaraka kwa chadema msimsumbue Samia na ccm yake

  • @emmanuelkajiba8035
    @emmanuelkajiba8035 17 дней назад +1

    Hapo hakuna njia panda site tunamuhitaji lissu

  • @simbarajabu4157
    @simbarajabu4157 17 дней назад +1

    Mpeni lissu😊

  • @habibunguvumali3331
    @habibunguvumali3331 17 дней назад +1

    Mbowe anafaa sana

  • @Peterchipemba
    @Peterchipemba 17 дней назад +1

    Jamani ni lissu hiyo hakuna mjadala,,kumbe unajua moto wa lissu,,lissu ni moto wa radi,,ni moto ulao kwa maana nimoto unao onekana,,japo wote ni wazur

  • @yaronaWilliam
    @yaronaWilliam 17 дней назад +1

    Hakuna haja ya kuwa njia panda, Chadema waache ushabik, wakitaka Chadema mpya yenye mvuto wampishe Lissu, Mbowe abaki heshima yake tu, amefanya mazuri Sasa inatosha apumzike na kuwa mshauri wa chama.

  • @gabrielmahala9848
    @gabrielmahala9848 17 дней назад +2

    Mzee unaakili sana

  • @JuliasMsongole-c5k
    @JuliasMsongole-c5k 17 дней назад +1

    Tunakuta tundu una experience ya kutosha

  • @simbarajabu4157
    @simbarajabu4157 17 дней назад +1

    Mpeni lissu

  • @annethrweramira5733
    @annethrweramira5733 17 дней назад +1

    Lissu anafaa sana

  • @faizaannassir2568
    @faizaannassir2568 17 дней назад

    Mda umefika hakutupa lisu mkija kuomba kura mmekwisha kaha hamuamini mtaona . Watanzania wapenda democracy tunslipa kodi na tunalipa ruzuku yane hivyo hata nyerere alifanya mengi kaondoka mboe hatumtakiiiiii

  • @oscarmahenge999
    @oscarmahenge999 17 дней назад +1

    Twende na moto wa lissu

  • @MosesShuma-k3t
    @MosesShuma-k3t 17 дней назад +1

    Rushwa ni adui wa haki.

  • @dillonfoya
    @dillonfoya 17 дней назад +3

    Kufikia hapa tulipo haswa kwa UCHAGUZI uliopita tunahitaji mabadiliko Mbowe kwa hekima zake ametufikisha tulipo LISSU ni sahihi kwa wakati huu

  • @gidongailo7174
    @gidongailo7174 16 дней назад

    Njiapanda iko wapi.

  • @JuliasMsongole-c5k
    @JuliasMsongole-c5k 17 дней назад

    Nimwamba ndio pambana na mlima ulionea mitelemko agree only don't be adamant

  • @halimamasai2234
    @halimamasai2234 17 дней назад

    Mbona sijawahi sikia CCM ikisema chadema wanatuchonganisha lakini huku kwa chadema kila siku utasikia mbowe yupo na CCM mara Lisu yupo na CCM hebu jamani kaaeni chini mjitafakari wenyewe na acheni huu upuzi

  • @halikumbeyemsiwayinga9482
    @halikumbeyemsiwayinga9482 17 дней назад +1

    😂😂😂Ma CCM wapo hapohapo 😂😂😂wewe mzee😂😂😂

  • @HijaSaid-t6c
    @HijaSaid-t6c 17 дней назад

    Hao wanapasuka vichwa ni wapumbavu chagua haki, batili tupa huko pembeni

  • @CliffMogaka-d8c
    @CliffMogaka-d8c 17 дней назад +1

    Mbowe

  • @thomskawinner4692
    @thomskawinner4692 17 дней назад

    KUONGEYA SANA NI KOSA

  • @hawaelymaricca7602
    @hawaelymaricca7602 18 дней назад +1

    Hapo ni mbowe tuu acheni ujinga huyo mwingine mara ngap kawakimbia lakin mbowe hajakimbia sii jua sii mvua yupo nanyi

  • @simbarajabu4157
    @simbarajabu4157 17 дней назад +2

    Mpeni lissu😊😊

  • @simbarajabu4157
    @simbarajabu4157 17 дней назад +3

    Mpeni lissu😊