MFAHAMU ASKOFU MKUU MSTAAFU JOSAPHAT LEBULU,KUZALIWA,WITO NA UTUME WAKE MAJIMBO YA SAME NA ARUSHA

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 6 сен 2024
  • Karibuni sana katika Channeli hii inayomilikiwa na Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania {TEC}ikiwa ni moja ya chombo cha Uinjilishaji kwa njia ya Sauti na Video.Pia unaweza kutufuatilia kupitia mitandao yetu ya kijamii kama ifuatavyo.
    INSTAGRAM: / kanisa_katolikitz
    FACEBOOK: / barazamaaskofukatolikitz
    Whatsup: 0738 916 628...KANISA KATOLIKI TANZANIA
    Usisahau Kusubscribe,like na kushare maudhui yetu...

Комментарии • 6

  • @lucyfrancis1614
    @lucyfrancis1614 Год назад +5

    mwenyezi mungu akutunze baba Askofu Lebulu mafundisho yako ni dira ya wakristu

  • @edamvungi6882
    @edamvungi6882 Год назад +2

    Mwenyezi mungu azidi kukubarik askofu wangu

  • @ponsianaprotas8990
    @ponsianaprotas8990 Год назад +1

    Asante Baba Askofu J. Lebulu. Hazina ya Kanisa. Nakumbuka alitusaidia sana kwenye msiba wa sista wetu alifia Arusha, akasafirishwa kwenda kuzikwa Kondoa. Asante Baba kwa ukarimu na upendo wako. Mungu akupe neema unazohitaji.

  • @rutarutahindurwa2080
    @rutarutahindurwa2080 Год назад +1

    Mwenyezi Mungu akubariki Askofu Mkuu Josephat. Nashukuru kwa kuwakumbuka Cardinal Rugambwa na Askofu Mario Mgulunde....

  • @gaudencehyera1475
    @gaudencehyera1475 Год назад +1

    Mungu amtunze Ask. Mkuu Lebulu; nakumbuka hasa wakati akiwa Rais wa TEC miongoni mwa matukio ambayo yatabaki kwenye historia ya nchi na Kanisa letu ni maandalizi na Ujio wa Mtakatifu Yohane Paulo II Sept. 01 hadi 05 ; 1990 akitembelea Metropolitani za DSM; SONGEA, MWANZA, TABORA na ARUSHA{MOSHI} iliyozaliwa kutoka DSM iliyozaa pia Metropilitan nyingine ya DODOMA na Kitinda MImba MBEYA iliyozaliwa kutoka Songea.