UTAPENDA TUNDA NA WHOZU WAKIFURAHIA KIJACHO KWENYE BABY SHOWER YAO

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 26 дек 2024

Комментарии • 63

  • @tibaijukaolevarez6257
    @tibaijukaolevarez6257 3 года назад +10

    Whozu sasa ndo a wache umama wakuongelea Mambo ya watu. Hongera tunda mwaya!

  • @muanashaswaleh5110
    @muanashaswaleh5110 3 года назад +10

    Wanalea mimba yao vizuri wote wamenenepa masha allah mungu awajalie kheri insha allah ujifungue salama insha allah 🤲🤲🤲🤲

  • @saumusalimuhassan2499
    @saumusalimuhassan2499 3 года назад +10

    Kiukweli hata mimi naunga mkono, mimba imependa sana kope, Allah amjalie ajifungue salama 🙏

  • @zakyahya4645
    @zakyahya4645 3 года назад +1

    Wozz na tunda wamenenepa wanalea vizur jamani mimba yao mashallah

  • @zakizzyjrajuu1706
    @zakizzyjrajuu1706 3 года назад +1

    Mungu akusimamie tunda,katoto kenu katakuwa kazuri make baba na mama ote upo👌😍

  • @reginaedward4883
    @reginaedward4883 3 года назад +1

    What a wonderful couple.

  • @rachaeljoseph1685
    @rachaeljoseph1685 3 года назад

    Jamn mashaAllah mmeendana mungu awe nanyi

  • @bettyobedy8938
    @bettyobedy8938 3 года назад +4

    Naipenda xana hii couple 😍😍😍

    • @Richesfam
      @Richesfam 3 года назад +1

      Acha kuaribu kiswahili naio "Xana" "Sana"

  • @khadijahali4837
    @khadijahali4837 3 года назад +5

    Soon atashusha 😊😊

  • @nuuurinkluge33
    @nuuurinkluge33 3 года назад +2

    Beutiful ♥️🙏

  • @fatmamohd2444
    @fatmamohd2444 3 года назад +2

    wabongo bwana mnafurahish kweli

  • @vanessanuru9916
    @vanessanuru9916 3 года назад +3

    Hongeraa sana mamy

  • @jamilasalimvilog6752
    @jamilasalimvilog6752 3 года назад +1

    Hongereni

  • @bethherman9779
    @bethherman9779 3 года назад +14

    Nimecheka eti sio mwanaume mrefu Kama ukuta wa shule ya msingi

  • @teychriss3248
    @teychriss3248 3 года назад +5

    Tumbo limeshashuka! Muda wowote mambo yatakuwa!!!

  • @amanikanaelmollel8097
    @amanikanaelmollel8097 3 года назад +1

    Ila kazi ya ubaunsa banaa ngumu sana...mtu na mpnziwe wanakula goodtyme ...baunsa macho kodoo,mguu sawa muda wote...HONGERENI TUNDAA MMPEPENDEZA SANA JMN...MUNGU AWAPE MTOTO WENU NA AFYA TELEEEEE

  • @kshdbzjnxksksw6567
    @kshdbzjnxksksw6567 3 года назад +1

    Wabongo mmenishinda tabia kwakweli

  • @patriciacarlo7236
    @patriciacarlo7236 3 года назад +13

    Mimba inapenda kope😂

  • @xkingx8041
    @xkingx8041 3 года назад +2

    Hizo cope jamani tunda!!

  • @msbotto97
    @msbotto97 3 года назад

    Mashallah

  • @charsevannu7125
    @charsevannu7125 3 года назад +1

    Hyo live vipi jamani mbona mambo meusi

  • @madamloveness7274
    @madamloveness7274 3 года назад

    Bodyguard siku hizi zimekuwa fashion au?

  • @suziehennessy9829
    @suziehennessy9829 3 года назад +1

    Makope kama mwavuli wa shetani.....ila mrembo sanaa🥺

  • @shuwenaghandi9253
    @shuwenaghandi9253 3 года назад

    Yuko wapi yule aliyechora tatoo ya tunda mkononi

  • @OfficialA83640
    @OfficialA83640 3 года назад +5

    Jaman Tunda ataenda leba na kope maana dah anazipenda sana

    • @OfficialA83640
      @OfficialA83640 3 года назад

      @@gressjoseph5615 wee watu wanaenda na shanga kiunoni jiulize uchungu hawauoni au ni kujitoa ufaham tu

    • @magynzioka1122
      @magynzioka1122 3 года назад +1

      Ilikua sio tabia yake hii.mimba imependa kope sana tena zile defu mimba 😇😇

    • @saumusalimuhassan2499
      @saumusalimuhassan2499 3 года назад +1

      😂😂😂😂😂😂 We mchokozi

    • @OfficialA83640
      @OfficialA83640 3 года назад

      @@magynzioka1122 aah mimba imempendeza tuseme ukweli kapenda sana yaani hadi raha

  • @careenmtweve998
    @careenmtweve998 3 года назад

    Woyoooooo hiyo hatal sana

  • @ramahassan9171
    @ramahassan9171 3 года назад

    Jamani

  • @mamy8220
    @mamy8220 3 года назад

    😘😘😘😘😘😘

  • @michelinemapendo6652
    @michelinemapendo6652 3 года назад +3

    Aimupendi uyu wozo alivio Muchafulisha hamisa 😏😏😏pumbavu wewe

  • @rahimaan6481
    @rahimaan6481 3 года назад

    Huyu mc au mchambaji 🤣🤣

  • @frdausmwawughanga9047
    @frdausmwawughanga9047 3 года назад +2

    Sasa Raha nikuzini ndio mfurahie kinachokuja ama kikubwa nikumuogopa m mungu mfunge ndoa ndio Raha yakufuraia kiumbe m mungu tusamehe waja wako walai HIzi ndizo dalili zakiama

    • @المهلهلالحراصي
      @المهلهلالحراصي 3 года назад

      Hauna mamlaka ya kulaumu muachie Mungu mwenyewe ndo anajua na hakuna mkamilifu chini ya jua

    • @frdausmwawughanga9047
      @frdausmwawughanga9047 3 года назад +1

      @@المهلهلالحراصي hakuna alie mlaumu nafkr nimeandika SMS sio kwake to nilimansha sote kwani Nani Hana makosa dunian but mwmngine twayajua na bado twaendelea mola atusamehe

  • @gressjoseph5615
    @gressjoseph5615 3 года назад +2

    Mimba imewakubali wamenenepa kwwli

  • @victorbichibuye2620
    @victorbichibuye2620 3 года назад

    Metisha

  • @janetahmed6948
    @janetahmed6948 3 года назад +1

    Tumbo jubwa mimba ya kwanza

  • @eulojiasamsoni6560
    @eulojiasamsoni6560 3 года назад +4

    Wapuuzi nyie ovyooooooo

  • @suzanemwangingo6932
    @suzanemwangingo6932 3 года назад +1

    Ila kope mpaka zimeficha sula

  • @sarahtaste2876
    @sarahtaste2876 3 года назад

    Hao baunsa kufatafata nyuma sasa jmn

  • @vanisavani1055
    @vanisavani1055 3 года назад

    Tuda