KOCHA IBENGE AKITAMBULISHWA kwa WANACHAMA SIMBA, SHANGWE LAIBUKA...

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 16 ноя 2024

Комментарии • 18

  • @rajabhussein7794
    @rajabhussein7794 Год назад +2

    Melesi ndeko na biso ibenge bieven Tanzania

  • @kindagang1234
    @kindagang1234 Год назад +3

    Simba raha sana jamani

  • @YohanaJumanne-v3v
    @YohanaJumanne-v3v 11 месяцев назад

    Taarifa hii ni mkanganiko Ibenge couch Simba ama vp?

  • @ShijaMalila
    @ShijaMalila 5 месяцев назад

    Simba achen siasi siasi ni nyingi Sana , mpira si siasi mpira ni sayansi

  • @antonyndinga8890
    @antonyndinga8890 Год назад +2

    muanze kumuonyesha Siri ya ofisi then miaka kadhaa ijayo mtakuja kupangwa na timu anayoifundisha.
    hapo ndipo mtamjua ibenge ni nani.
    waulizeni Yanga kilichowakuta, walijuta walivyokuwa wanamsaidia ibenge pindi timu yake ilipokuwa ikikutana na Simba

  • @zawadikigwa7344
    @zawadikigwa7344 Год назад +1

    Vey disorganized election sio mbaya mkiiga wananchi wanachofanya sasa hivi mtaweza ku improve

  • @glorykapenja9473
    @glorykapenja9473 Год назад +2

    Mwambien raisi wa utoporo asipate shida ya kumpigia tena simu kuongea kuhusu simba ibenge ndo huyo aende akaongee naye kila anachojisikia nafasi ndo hiyo

  • @habisnasalum-nz4zo
    @habisnasalum-nz4zo 11 месяцев назад

    Siasa tu kwa simba ya manzoki yamerudi tena sisi tunasema hatuwataki viongozi wa simba waondoke tu

  • @habisnasalum-nz4zo
    @habisnasalum-nz4zo 11 месяцев назад

    Timu yetu inakuaje siasa jamani wew tutakupiga mawe nakuambia usije kutuhamasisha nakuambia

  • @ishvarobert1244
    @ishvarobert1244 Год назад

    Kampeni aiwezi kwenda bila kuitaja yanga.kweli yanga kubwa

  • @richardarord8344
    @richardarord8344 Год назад +1

    Uyo mtamtimua kabra ya mwez wa tatu nipo pale nakunywa kaawa yangu makolon.🤣🤣🤣

  • @sadikiakawafuliejeziwachez6007

    Ongea mambo ya timu yako sio una na timu nyingine

  • @frankmasala8002
    @frankmasala8002 11 месяцев назад

    Yamanzoki mumeyarudia

  • @ishvarobert1244
    @ishvarobert1244 Год назад

    Awe kiongozi awe mgeni rasimi wetu awe mtu yeyote lazima tuwataje yanga

  • @mussammanga7791
    @mussammanga7791 Год назад +1

    Ovyoo! Watu wanatafuta ubingwa wewe upo kwenye majungu.
    Mnamleta Manzoki aje kuhesabu kura lakini sio Usajili.

  • @ShijaMalila
    @ShijaMalila 5 месяцев назад

    Simba achen siasi siasi ni nyingi Sana , mpira si siasi mpira ni sayansi