Nyarugusu Ay sda Choir, Ufunuo wa Matumaini Mwanza 2018

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 6 янв 2025

Комментарии • 313

  • @sadicmwaibambe5971
    @sadicmwaibambe5971 4 года назад +41

    Cna cha kuandika hapa ila daaaah kama wew n muadventista like hapa

  • @manofgodbabazero9237
    @manofgodbabazero9237 5 лет назад +18

    Nani Amewakubali nyarugusu Kama mm? Usipite bila like yako

  • @judithmtaliki2860
    @judithmtaliki2860 4 года назад +11

    napenda sana nyimbo za sabato ila wimbo huu nimeusikia leo umenibariki sanaaa. ni mwimbo mzuri sanaa mbarikiweee.

  • @benden5095
    @benden5095 3 года назад +9

    I'm a Jamaican SDA living in New York city. I can't wait for all of us to meet up in heaven, what choir that going to be. I'm simply just loving this song even though I don't understand the words

  • @deomchoraji5209
    @deomchoraji5209 5 лет назад +17

    Leo Tarehe 1/1/2020 namshukuru Mungu kwakunifikisha salama mwaka huu...
    Like kama na wewe umefika mwaka huu salama

  • @joycesamwel7889
    @joycesamwel7889 4 года назад +2

    Nani mwingine anasikiliza wimbo huu mwaka huu 2021

  • @Fabulousmom509
    @Fabulousmom509 4 года назад +6

    Wanakwaya Wasabato wanasauti tamu sana na wanaimba kwa utulivu just listen to those voices. I'm blessed to be one of Wasabato.

  • @gracelynfortlightamooti6763
    @gracelynfortlightamooti6763 Год назад +4

    I can't get tired of this song

  • @buyambakassaja5596
    @buyambakassaja5596 5 лет назад +69

    nani mwingine anayeendelea kuisikiliza wimbo huu mwaka huu 2019

  • @rezegerezege691
    @rezegerezege691 4 года назад +2

    Beatha una sauti nzuri Mungu awabariki sana .
    Na wote mnaimba vizuri mnaoimbisha mnasauti mnanitamanisha nihamie nyarungusu.

  • @joycekarimi6070
    @joycekarimi6070 Год назад +1

    Nimeregelea mara tano.❤

  • @manofgodbabazero9237
    @manofgodbabazero9237 5 лет назад +4

    Tujuane tunaosikiliza wimbo uhuu 2020

  • @sethaggrey1341
    @sethaggrey1341 6 лет назад +26

    Though l don't understand the language but this is so good, I'm an Adventist from Ghana. Thanks so much

  • @richardmagayo7725
    @richardmagayo7725 5 лет назад +2

    Hiiii nyimbo naipenda Sana mungu awabaliki nyarugusu mnatugusa kweli

  • @eliyaezekiel9717
    @eliyaezekiel9717 6 лет назад +16

    DAHHHH..... BWANA NAOMBA NA MIMI NIWEPO KWENYE KUNDI LA WATAKAOUIMBA WIMBO WA NNE... 💪💪💪💪💪💪💪💪💪💪💪💪💪💪💪
    NYARUGUSU YOUR THE CHAMPION, NOT ONLY IN AFRICAN CONTINENT, EVEN WORLD WIDE YOUR THE CHAMPION...
    STILL BEING CHAMPION

  • @zaitunmeshak4147
    @zaitunmeshak4147 6 лет назад +1

    nabarkiwa sna na wimbo huu Mungu awabarki sn watumishi tuwe wote SK ya wimbo WA 4

  • @obiyajoseph4517
    @obiyajoseph4517 5 лет назад +9

    Nipo nausikiliza wimbo huu mwaka 2019 safiii sana!

  • @reticiaernest7458
    @reticiaernest7458 5 лет назад +1

    Huwa Nabarikiwa sana nikiusikiliza huu wimbo

  • @annamganga5955
    @annamganga5955 6 лет назад +13

    Nyarugusu mnanibariki kwa wimbo wa ufunuo. Mbarikiwe sana

  • @genimaige6023
    @genimaige6023 5 лет назад +1

    duuu hatareee mnooo, mbarikiweeee, nami nitauimba wimbo wa Musa na Mwanakondooo

    • @bitricemasawe6146
      @bitricemasawe6146 5 лет назад

      Mungu awabarki sana, napenda sana nyimbo za wasabato

  • @huldahmasese6379
    @huldahmasese6379 3 года назад +5

    Can't get enough of this song,it's so uplifting

  • @nikitumarthinne8909
    @nikitumarthinne8909 6 лет назад +3

    MUNGU anawapenda sana Nyarugusu Choire amewapendelea sana hii siyo kawaida

  • @lenjer2232
    @lenjer2232 5 лет назад +1

    Mbarikiwe kwa uimbaji wenu.hakika unanibariki sana

  • @ruthabigaild.nehemie6748
    @ruthabigaild.nehemie6748 5 лет назад +2

    I DON'T SPEAK THE LANGUAGE, NOR UNDERSTAND....BUT: .....BEAUTIFUL! WOW! SUCH TALENT! PRAISE THE LORD! THE UNIFORM, THE ......Hallelujah!

  • @sammykamau8062
    @sammykamau8062 6 лет назад +2

    Amen 🙏🏼..... hata mimi natakani kuimba wimbo huo wa nne....... mbarikiwe kwa wimbo mzuri hivi... sifa kwa mungu

  • @maureenayoma1773
    @maureenayoma1773 5 лет назад +2

    mimi nitausikiza hadi Yesu arudi ni wimbo mzuri tena tamu

  • @barakalabani9346
    @barakalabani9346 6 лет назад +1

    Napenda sana nyimbo zenu....LAKINI HUU WIMBO NAUPENDA ZAIDI BWANA AWABARIKI

  • @EmmahChepsikirio
    @EmmahChepsikirio 5 лет назад +2

    Waaaaw amazing
    Wimbo wa nne ni nafasi yangu mimi kuomba
    Hehehehe a nice voices and message to us all as we prepare for His second coming
    Barikiweni jameni

  • @mohabeshide684
    @mohabeshide684 6 лет назад +28

    Afrika mnaongoza kwa kuimba wapendwa
    Aminaaaaa

  • @godebetavenas
    @godebetavenas 7 месяцев назад

    Mungu awatie nguv mwendlee kutangaz injil ya yesu kwa njia ya nyimbo

  • @willykikwete5969
    @willykikwete5969 6 лет назад +2

    hongereni sana watumishi wa Mungu. Kazi yenu inabariki,inaponya na imeniweka kariiiiiiiibu na Mungu wangu!

  • @maureenotieno6506
    @maureenotieno6506 4 года назад +2

    Nani anasikiliza wimbo huu mwaka huu 2020

  • @leahjohnsimba1628
    @leahjohnsimba1628 3 года назад

    Nimefurahia Sana Nyarugusu nitakuja aGeita kwa ajili ya huu wimbo

  • @marymashango8674
    @marymashango8674 6 лет назад +4

    Kwa kweli mmemruhusu Mungu awatumie, na Sasa mwaimba, nyimbo na sauti zenye mguso ajabu,Mola awakumbatie ili mwovu asipate nafasi, nawaombea baraka ktk utumishi wenu,wimbo huu unanibarki,unanitia moyo safarin,Mungu atukuzwe.

    • @jeniferjohn6083
      @jeniferjohn6083 6 лет назад

      Uhakika ,tuombeane ,tuwaombee sana maana najua ibirisi he still alive!

  • @lucyadhiambo2632
    @lucyadhiambo2632 Год назад

    Very powerful song..May the name of Jesus be uplifted up higher and higher. God bless you.

  • @emmamoraa90
    @emmamoraa90 Год назад +1

    Wow the message and the voice is amazing

  • @emmaculatemeso4092
    @emmaculatemeso4092 4 года назад +3

    Wimbo wa nne, naomba niwe kati ya wale watakaoimba wimbo wa musa na mwana kondoo...

  • @docusizankuriza4514
    @docusizankuriza4514 4 года назад +2

    I don’t know how many times I’ve listened to this song
    I don’t understand the language but I’m in love with the song
    Welldone guys
    Bless you

    • @yusuph5250
      @yusuph5250 4 года назад

      English lyrics
      I have four songs i want to tell you about that the bible has written of,
      These four songs make me happy
      They are not just four but these are so great
      (1st lady)
      The 1st song was sang after the accomplishment of the creation of heavens and Earth,
      The heaven congregation rejoiced ,
      But i wasn't there when this song was sang
      (2nd lady)
      The 2nd song was sang that night when Jesus was born on a manger
      The shepherds in the field were amazed ( what is this music that we hear today)
      In Bethlehem today is born the hope of this world who will carry the sin of the world
      But i wasn't there when this song was sang.
      (The man)
      The 3rd song was when the devil was guarding the grave that Jesus may not resurrect, a terrible earthquake occurred satan was scared, the song was sang Jesus is no longer in the tomb
      And when he stepped in to (the gates of heaven) gates of heaven (Jesus the saviour) voices of joy took over heaven (he has won,he has won) death is defeated ,it no longer has power
      But i wasn't there when this song was sang.
      (Last lady)
      (Now listen) The 4th song, beautiful and sweet, the human ear has not heard yet, Hossana Hossana,(Hossana) his name is great (great) glory is with the lamb Jesus our Lord . I have good new that this 4th song will be my chance to sing too, it's the song of Moses and the lamb ,i will sing on the streets of gold, I have news (good news) I will sing the song (song, song) that even the angels will be amazed , it's the song of moses and the lamb, i will sing on the street sof gold (gold) i will sing on the Streets of gold (gold) i will sing on the streets of gold

    • @docusizankuriza4514
      @docusizankuriza4514 4 года назад +1

      @@yusuph5250 thank you so much
      Bless you

  • @mcharomcharo8203
    @mcharomcharo8203 6 лет назад +1

    hatare saaana Adventist songs kwa hakika zina ujumbe na utukufu mkubwaaa Mungu awabariki saaana

  • @esthernyabuto3845
    @esthernyabuto3845 6 лет назад +1

    Wow nimeguswa sana nahuu wimbo mwenye mssikiyo achaasikie bsrikiweni

  • @lifeinuk_cookingvideos
    @lifeinuk_cookingvideos 3 года назад +1

    I don't know why as I listened to this song I was happy in my heart , I think it doesn't matter if you don't know the words. Keep it up x

  • @tafadzwachakawa5897
    @tafadzwachakawa5897 5 лет назад +2

    That which is good comes from God. So good so good God is wonderful. The adventist from Zimbabwe. Amen

  • @EmmanuelKhaday-ut3uw
    @EmmanuelKhaday-ut3uw 11 месяцев назад

    Mmhhh!! Sasa niandike nn basi mungu aendelee kututia moyo

  • @leahnyange9593
    @leahnyange9593 5 лет назад +2

    Hongereni sana wimbo huu ni shidaa

  • @gatimarwa7525
    @gatimarwa7525 Год назад

    Nami nataka kuuimba huo wimbo wa nne.....Mungu nisaidie

  • @amanibwire4423
    @amanibwire4423 5 лет назад +4

    wimbo wa Mussa na Mwanakondoi sijui itakuwaje,hivi leo duniani je mbinguni? sauti nzuri sana za kumtukuza Mungu

  • @eusebychalle9500
    @eusebychalle9500 6 лет назад +5

    Tangu nimesikia wimbo huu sijawahi kuchoka kusikiliza, Nyarugusu choir Mbarikiwe sana.

  • @miltonmuyonjo2448
    @miltonmuyonjo2448 6 лет назад +3

    Am greatly rejoicing in my heart over singing ministry on this flat form may God continue to bless you who're making it possible to us.

  • @georgemanjale2768
    @georgemanjale2768 6 лет назад +1

    nimebarikiwa hakika.,mbarikiwe pia kwa mbaraka huu

  • @elizaberthuusiku483
    @elizaberthuusiku483 5 лет назад +1

    I don't understand the language but I am very blessed. Many blessing from Namibia

  • @fosterhaule2063
    @fosterhaule2063 6 лет назад +1

    Nimebarikiwa sana kwa wimbo huu mzuri na kweli mtamu sana siishi hamu kuusikiliza,mbarikiwe sana watumishi wa Mungu

  • @jamesodhiambo7076
    @jamesodhiambo7076 4 года назад +1

    Ilove this choir and i feel addicted to your songs,they speak of the true messsage of the word of God.I would like to see live performance here at Kzingo SDA CHURCH.God bless Nyarugusu.

    • @doinareay5460
      @doinareay5460 4 года назад

      Have you had the chance to listen to presentations from the channel on this link below? Check it out, subscribe and be blessed! (if you press the bell you will be notified of future posts as well!)
      ruclips.net/video/E0lE4Rv1VuU/видео.html

  • @belsonrugwizangoga2173
    @belsonrugwizangoga2173 5 лет назад +3

    God bless you abundantly. You are a great blessing from God. Stay tuned to God's guidance. Soon we will surely sing together the Song of Moses and of the Lamb.
    Yesu mubane.

  • @masomoyakarne5122
    @masomoyakarne5122 6 лет назад +15

    "Nitaimba Wimbo", Nyarugusu Mbarikiwe sana sana sana, kwa kweli Nyimbo zenu ni sana nzuri ajabu. Binafsi nabarikiwa sana, naomba mziweke zote you tube maana watu wengi wanazitafuta zingine hazionekani, mfano Wimbo ule wa NJIA ILIONEKANA KUSONGA nautafuta saaana

  • @allanpeter9154
    @allanpeter9154 3 года назад

    Tunaendelea kubarikiwa..we love you

  • @lebecarambo3354
    @lebecarambo3354 6 лет назад +2

    safi Sana wapendwa munaimba vizuuuuuri Sana mbarikiwe

  • @vicentenina3269
    @vicentenina3269 5 лет назад +1

    Felicidades.sigamos alabando a nuestro creador. Vicente nina rivero, moquegua peru.

  • @simaloileah
    @simaloileah 5 лет назад +2

    I can't get enough of this song

  • @Msmwasi
    @Msmwasi 6 лет назад +7

    heavenly music, The Spirit of the LORD is really upon you! Keep to JESUS

  • @pendaelysaningo4735
    @pendaelysaningo4735 6 лет назад +5

    beatha ana saut ad uwa nahs mbingu znafunguka

  • @lennywekesa1537
    @lennywekesa1537 6 лет назад +2

    I keep on playing this song again and again it is indeed very blessing.

  • @gimongegoryo2413
    @gimongegoryo2413 4 года назад

    Mungu awe nanyi milele nyarugusu mko vzr

  • @Obkerry
    @Obkerry 6 лет назад +3

    This choir is on heavenly praise. Thank you for blessing my heart with your songs. Nawapenda mno.

  • @nikitumarthinne8909
    @nikitumarthinne8909 6 лет назад +1

    kwa kweli MUNGUawabaliki sana kwa kazi yake nzuli munayo yifanya

  • @godwinsabato6797
    @godwinsabato6797 6 лет назад +2

    lam blessed so.much, I remember nyarugusu 2010 assa graduation you make me happy get blessed nyarugusu

  • @janetnyaberiwilliam2676
    @janetnyaberiwilliam2676 3 года назад

    watching 2021 November love this song stay blessed 🙏🏿🙏🏿

  • @mosenyamohanga3216
    @mosenyamohanga3216 5 лет назад +1

    Barikiwa San watu WA Mungu

  • @echoesofmercy3821
    @echoesofmercy3821 6 лет назад +5

    I can't get enough of this, God bless

  • @salliiMg
    @salliiMg 6 лет назад +3

    Wimbo mzuri Sana, Nitaimba Wimbo.
    I like it, can't be tired to listen as oftenly as I can play, yet seems to be as new one

  • @janekamau955
    @janekamau955 3 года назад

    Watching from kenya ... voices.. set up.. choice of words... wow. This is from heaven

  • @martinsafari3111
    @martinsafari3111 6 лет назад +10

    Jamani naombeni kama kuna mtu ana no ya m/kiti wa kwaya hii ya Nyarugusu anisaidie

  • @ishimwepeacesima.1178
    @ishimwepeacesima.1178 5 лет назад +5

    Beautiful voices praising the lord, though I can't get the words. Kiswahili problem

  • @mariahchris9432
    @mariahchris9432 6 лет назад +1

    hv mtu unawezaje ku dislike wimbo kama huu hizo dislike ni za watu wasiopenda ku support kazi ya Mungu tena niwapinga Kristo

  • @CatherineJohn-co7lw
    @CatherineJohn-co7lw 8 месяцев назад

    Nimependa sana mlivyo imba mubarikiwe sana

  • @samuji10hatangimana70
    @samuji10hatangimana70 7 месяцев назад

    Mungu awatiye nguvu Zaidi mumetubarikii

  • @naomiwanjiru162
    @naomiwanjiru162 5 лет назад +3

    Wow am in love with this song, b blessed Nyarugusu

  • @ChristinaAnatory
    @ChristinaAnatory 8 месяцев назад

    Naomba mungu na mimi niimbe huo wimbo wa 4 na familia yangu

  • @sarahanyango4073
    @sarahanyango4073 6 лет назад +1

    wow!!! Amazing i won't get tired of listening to this song.....

  • @johnmakune7426
    @johnmakune7426 6 лет назад +14

    I loved this song the very day i heard it at the stadium, i am so grateful that you recorded and posted it here

  • @josephatmathias1256
    @josephatmathias1256 6 лет назад +1

    waoooo i hope am gonna sing the song that ll' b sung in that morning in heaven nice job Nyarugusu guys

  • @rosemuronji8651
    @rosemuronji8651 6 лет назад +1

    Amen mungu awabariki wapendwa katika kristo yesu bwana wetu Amina.

  • @franklineochieng3971
    @franklineochieng3971 5 лет назад

    Amina mbarikiwe sana kwa uimbaji wenu........nabirikiwa

  • @silencesamaria7666
    @silencesamaria7666 6 лет назад +1

    Mungu kwakweli anagawa vipaji hii ni ya kipekee mno jina Bwana tiinuliwe

  • @michaelezekielroswe9517
    @michaelezekielroswe9517 6 лет назад +3

    Idea ya wimbo nzuri sanaaaaa, bigup

  • @gordonoti
    @gordonoti 3 года назад

    Very beautiful song, can't wait to join u in that choir

  • @Mr_Canicious
    @Mr_Canicious 6 лет назад +2

    A very sweet song, a blessing
    We will praise, i hope i will be among that number.

  • @gracehezron3607
    @gracehezron3607 6 лет назад +1

    So nice, this song higher my soul to the maximum level of heaven.

  • @richarddismas7873
    @richarddismas7873 4 года назад

    Very wonderful song be blessed Richard kenya

  • @mildredoketch4199
    @mildredoketch4199 6 лет назад

    Hongera! Hongera ! Beautiful song.

  • @khamismlinga533
    @khamismlinga533 6 лет назад

    duuuu hapo shetan ameshituka amekimbia mpo na yesu tunabarikiwa sanaaaaaaaaaa

  • @nahventure1717
    @nahventure1717 4 года назад

    Daah huu wimbo haukinai barikiwa

  • @beniteprisca6686
    @beniteprisca6686 5 лет назад

    Jamaan ndn Ya yesu muna raha

  • @titokipkosgei3325
    @titokipkosgei3325 2 года назад

    And the song is yet to hit 1 M views. What do adventists listen to

  • @agnesamon6722
    @agnesamon6722 5 лет назад

    Mungu aendelee kuwatia moyo nyimbo nzuri sana

    • @stefanomganga8463
      @stefanomganga8463 4 года назад

      Namshukuru Mungu aendelee kuwapigania kwaya hi ya Nyarugusu, wahubiri na kuongezea wanakwaya ktk zoezi la wimbo wa mwisho wa Musa na mwanakondoo na Mimi nikitamani kuwemo ktk kundi hili pamoja na kwaya hi ya Vijana.........

  • @eugenengabo5680
    @eugenengabo5680 6 лет назад

    Oooooh my God. Asanteni sana. Mnajua Kweli, Mungu awabariki.

  • @lutemahindiakaje5046
    @lutemahindiakaje5046 6 лет назад +1

    Ameeen It's so amazing and powerful Song Glory to GOD

  • @naomiapoko9404
    @naomiapoko9404 2 года назад +1

    Glory to heaven dad Amen

  • @didamunis7878
    @didamunis7878 5 лет назад +1

    nyarugus hongereeeen sanaa

  • @barakadentaho1904
    @barakadentaho1904 6 лет назад

    huumfano je!mbinguni itakuwaje! 2jitahidi tusikose kwenye wimbo wa musa namwana kondoo

  • @gracerachilo5299
    @gracerachilo5299 2 года назад

    This song lifts me and calms me