Ninyi nyukaneni san muwezanavyo,ila hakikisheni CHADEMA inabaki salama coz CHADEMA ni kubwa na muhimu kwa vizazi vilivyopo na vijavyo kuliko Mbowe na Lisu,tafadhalini sana.
Sasa Mh, Mbowe umekosea Sana kuendelea kumgusia Marehemu Mh. Magufuli kwani Jambo lenu Ni dogo Sana na ni la ndani ya chama chenu haikuwa na ma'am mpaka umsemee Marehemu Inakusaidia Nini sasa baada ya kumtaja Marehemu? mbona KIPINDI hicho akiwa hai hukusema Hilo na yeye akasikia na kukujibu? acha hayo Mhe,

Kweli
Kweli siasa ngumu
😂