Mnajitahidi kutupoteza lakini kuna watu tumeshasimama katika msingi wa ❤️lailaha illallah muhammadur rasool allah❤️ه kipindi nipo mdogo baba angu alinifunza kitu kimoja kizuri Sana kuwa soma elimu zote na piah usiache elimu ya Mungu na kuwa na khofu ya Mungu. Kwasababu naona Wengi wanajalibu kuukashimu uislamu lakini kwa uwezo wa Mwenyezi Mungu unazidi kuimalika kuliko Dini zenu za kigiliki uliochanganywa na upagani
Hey it good video jay is good professor

Barikiwa mtafsiri tuleteeeeeee silizi ya korani ,31za ulimwengguni na tofauti zake hongera jay
Asante sana, Qurani 31 za kiarabu inapatikana sasa ruclips.net/video/l-zvWu47mTg/видео.html
Endelea kutupa elimu na kutupaa mwendelezowa
Zipo nyingine zitakuja tukimaliza kazi ya kuzitafsiri.
Mti wenye matunda hauachwi kupigwa mawe