- Видео 44
- Просмотров 90 205
Ushahidi Films
Танзания
Добавлен 8 апр 2020
Sisi tunaamini kwamba ukweli ni kitu muhimu sana kwa watu wote kujua.
Watu wote wanadhani njia wanayoishika na kuifuata ni sahihi. Ndio maana
USHAHIDI ni kitu muhimu sana kubainisha baina ya ukweli na uongo. Hapa
kwenye chanel yetu ya USHAHIDI FILMS tunajitahidi kuleta video
zitakazochanganua na kuweka wazi ukweli, hasa kuhusu Uislamu na Ukristo.
Watu wote wanadhani njia wanayoishika na kuifuata ni sahihi. Ndio maana
USHAHIDI ni kitu muhimu sana kubainisha baina ya ukweli na uongo. Hapa
kwenye chanel yetu ya USHAHIDI FILMS tunajitahidi kuleta video
zitakazochanganua na kuweka wazi ukweli, hasa kuhusu Uislamu na Ukristo.
Mafundisho 7 ya Quran Ambayo Waislamu Hawataki? Qurani inafundisha nini kuhusu Biblia na Muhammad ?
Katika video hii tunaangalia mafundisho 7 ya Qur'an ambayo Waislamu hawapendi.
1. Mungu wa Wakristo na Mayahudi ni Mungu wa Waislamu. Quran 29:46
2. Quran inafundisha kwamba Waislamu wanapaswa kuamini maandiko ya Wakristo na Mayahudi. Kuran 29:46, 10:94
3. Muhammad ni mtu wa kawaida tu. Qurani 7:188, 46:9
4. Moh'd hana miujiza 29:51, 6:37
5. Hatuna habari kuhusu familia ya Mtume katika Qurani. 33:40
6. Makka ni tofauti sana na alipoishi Mohammed. Quraan 13:4, 16:10-11
7. Mungu hutunza wahyi (ufunuo) wake. Na Torati, Zaburi na Injili zimo katika vitabu alivyoteremsha Mwenyezi Mungu. 46:12, 3:3-4
Utafiti wa @DanGibsonFilms
ruclips.net/video/1p5TxOvtDbE/видео.htmlsi=9qowcex_ZimdQpKS
1. Mungu wa Wakristo na Mayahudi ni Mungu wa Waislamu. Quran 29:46
2. Quran inafundisha kwamba Waislamu wanapaswa kuamini maandiko ya Wakristo na Mayahudi. Kuran 29:46, 10:94
3. Muhammad ni mtu wa kawaida tu. Qurani 7:188, 46:9
4. Moh'd hana miujiza 29:51, 6:37
5. Hatuna habari kuhusu familia ya Mtume katika Qurani. 33:40
6. Makka ni tofauti sana na alipoishi Mohammed. Quraan 13:4, 16:10-11
7. Mungu hutunza wahyi (ufunuo) wake. Na Torati, Zaburi na Injili zimo katika vitabu alivyoteremsha Mwenyezi Mungu. 46:12, 3:3-4
Utafiti wa @DanGibsonFilms
ruclips.net/video/1p5TxOvtDbE/видео.htmlsi=9qowcex_ZimdQpKS
Просмотров: 403
Видео
Tunaweza kuoa wake wangapi? Wanawake ni wengi kuliko Wanaume? Sensa ya mwaka 2022
Просмотров 654Год назад
Katika sensa ya mwaka wa 2022 takwimu zinatuonyesha kwamba wanawake ni wengi kuliko wanaume. Waislamu wanatumia kipengele hichi mara nyingi kwa kusema kwamba inafaa Mume kuwa na wake wengi. Katika Sura An-Nisa aya ya 3 (4:3) inazungumza suala la kuoa wanawake wengi. Na ikiwa mnaogopa kuwa hamtowafanyia mayatima uadalifu, basi oeni mnao wapenda katika wanawake, wawili au watatu au wanne. Na mkio...
Je! Muhammad Alifanya Miujiza? Hajafanya Hata Moja! - Sifa Saba za Yesu kutoka Qur'an. - 6
Просмотров 8852 года назад
Qur’ani inaeleza kwa uwazi kwamba Mwenyezi Mungu alimuumba Yesu kwa muujiza, na ni Mwenyezi Mungu na Yesu pekee ndio wanaohusika na neno “umba” ndani ya Qur’an. Muhammad hakupewa uwezo huu, wala hajafanya muujiza hata mmoja. Tazama Al Fadi na Ndugu Sam wakitoa mifano mingi kutoka kwenye Quran.
10 Tumekuwa nayo Quran kwa miaka mingapi? Historia ya Qurani kuandikwa na kuonekana kama ilivyo leo.
Просмотров 7532 года назад
Tunavutika tukiwasikiliza wasomi wa Kiislamu wakidai kwamba Qur'an ndiyo andiko pekee ambalo lina maandishi yake ya asili, tofauti, wanavyosema, na Biblia; na kwamba kuna idadi ya hati hizi asilia ambazo zinaweza kuthibitishwa kuwa zilikwepo tangu 652 BK, wakati wa Uthman, ambaye kwanza alikusanya na kuandika Qur'ani kwa wino na karatasi. Dk Jay Smith haraka tu anazima wazo hilo katika video hi...
Qur'an Inamtangaza Muhammad Kama Mtenda Dhambi! - Sifa Saba za Yesu katika Qur'an - 5
Просмотров 1,1 тыс.2 года назад
Katika Qur'an yote, Muhammad anaonyeshwa mara kwa mara kuwa mzinzi, mdanganyifu, asiye na akili, na anayehitaji msamaha wa Mwenyezi Mungu. Udhaifu wake na maadili yake yameelezwa waziwazi. Si hivyo tu, Quran inasema kwamba Muhammad mwenyewe alikiri kwamba hakujua mapenzi ya Mwenyezi Mungu. Je, hii inasikika kama binadamu na Mtume mkamilifu ambaye Uislamu unadai kuwa Muhammad ndiye? Tazama Al Fa...
Uongo Umeruhusiwa katika Uislamu? Umefunga? Sheikh Othman Maalim / Aina Tatu za Uongo Nurdin Kishki
Просмотров 2,5 тыс.2 года назад
Katika video hii tunasikiliza mafundisho ya baadhi ya masheikh kama: Sheikh Othman Maalim, Sheikh Nurdin Kishki, na Sheikh Muharram Mziwanda. Tunataka kujua kama Kusema Uongo Unaruhusiwa katika Uislamu. Jibu ni kwamba hata Qurani inaruhusu kusema Uongo kuhusu dini yako katika sura Al Nahl aya 106 (16:106) Kama unaweza kumkana Mungu wako basi uongo gani utakuwa hauruhusiwi? Mungu wa Biblia anaka...
Quran inasema Yesu ni Mungu - Sifa Saba za Yesu kutoka Quran. - 4
Просмотров 3,8 тыс.2 года назад
Katika Kurani, Muhammad anathibitisha kwamba Yesu ni neno la Mwenyezi Mungu akinakili maneno ya utangulizi wa injili ya Yohana. Yesu pia ndiye mtu pekee katika Kurani aliyepewa cheo cha Masihi. Asili yake ya kiroho na ya milele inasisitizwa na maneno yanayoelezea harakati zake ndani ya tumbo la mamake Mariamu. Hizi ni baadhi ya sehemu za kuvutia na kukiri kwa Qur'an kwamba Yesu ni Mungu. Tazama...
Mama wa Yesu Mwanamke aliye Mkuu kuliko Wanawake Wote! - Sifa saba za Yesu katika Qur'an - 3
Просмотров 3342 года назад
Tazama Al Fadi na Ndugu Sam wakifichua kwamba Kurani yenyewe inamhusu Yesu na familia yake, haswa mama yake Mariamu, katika hali ya juu zaidi kuliko Muhammad. Mariamu ana sura nzima katika Qur'an iliyowekwa kwa ajili yake, ametajwa kwa jina mara nyingi, na Qur'ani inaeleza hasa kwamba Mariamu ndiye mwanamke mkuu zaidi aliyewahi kuumbwa. Hii ni tofauti kabisa na mama yake Muhammad ambaye jina la...
09: Qurani 31 za Kiarabu. Tofauti zinazopatikana katika Korani za Kiarabu. Quran ya Hafs, Warsh nk.
Просмотров 5822 года назад
Katika video hii tunaweza kuona baadhi ya sehemu zilizotofautiana katika Qurani za Kiarabu. Waislamu kawaida wanadai kwamba kuna Qira'at saba tofauti ila kwa kweli kuna Qurani 31 zilizopatikana. Pia tunaona kwamba katika Qurani za mapema hapakuwa na nakshi, kama fatha, damma, kasra, nk. Je! Qurani zote za mapema zinasomeka sawa sawa? Qurani ya Hafs ambayo wengi wanatumia leo inaendana na Qurani...
Familia ya Yesu inapendelewa zaidi ya Familia ya Muhammad! - Sifa saba za Yesu katika Qur'an - 2
Просмотров 2992 года назад
Katika Qur’an, kuna sura 3 kuhusu Yesu na familia yake. Katika sura ya 3, inadhihirisha kwamba ukoo wa ‘Imran umependelewa sana na Mwenyezi Mungu kuliko wengine wote na baraka na ulinzi maalum unaombwa ziwe juu ya Mariamu, mama yake Isa, na kizazi chake. Hii ni tofauti kabisa na ukoo wa Muhammad. Wazazi wake walikufa kama waabudu masanamu na wapagani, na kwa mujibu wa maneno ya Muhammad mwenyew...
Yesu ni MKUU kuliko Muhammad - Sifa saba za Yesu katika Qur'an - Kipindi cha 1
Просмотров 8592 года назад
Qur’an ina maelezo mengi ya Yesu ambayo kwa hakika yanamdhihirisha kuwa ni mkuu kuliko Muhammad. Yesu alionyeshwa kuwa na ukoo uliopendelewa. Yeye mwenyewe amependelewa na Mwenyezi Mungu pamoja na mama yake Maryamu. Anakubaliwa kuwa mtu asiye na dhambi na kuwa na asili ya kiungu. Yesu aliambiwa azaliwe na bikira na akakiri kuwa aliumba uhai na kuwa na uwezo juu ya maisha. Hatimaye, Yesu hafi ba...
06: Uislamu Ulianza Wapi na Ulianzishwa na Nani? Ulianza Petra na Ulianzishwa hasa na Abd Al-Malik.
Просмотров 1,7 тыс.2 года назад
Sasa tunakuja kwenye sehemu ya 6 na ya mwisho ya mfululizo huu unaohusu Jinsi Uislamu Ulivyoanza. Kwa sababu kila kitu tunachokijua kuhusu Uislamu kutoka katika vyanzo vya Kiislamu kiliandikwa miaka 200 - 300 baada ya tukio, Wanahistoria wa Magharibi wanarudi kwenye karne ya 7 yenyewe, yaani muda ambao yote yalitokea. Wanachopata sio tu kwamba kinashangaza, bali kinakabiliana na maelezo ya Kiis...
08 Qurani ina Miaka Mingapi? Qurani inatokana na maandishi ya mapema zaidi? Utafiti wa Rediokaboni
Просмотров 4682 года назад
Waislamu mwaka wa 2015 walidai kwamba Quran nakala ya Birmingham iliyoandikwa kati ya 568-745 AD, hivi ikiwa ni mfano wa zamani zaidi wa Qurani, walidai kuwa ilikuwepo wakati wa Muhammad mwenyewe. Walakini, Waislamu wanapaswa kuwa waangalifu juu ya tarehe hizi, kama Jay na Al Fadi wanaonyesha kwamba nakala nyingine zilipopimwa kupitia njia ya rediokaboni kama vile (Quran nakala ya Sana'a) matok...
07 Nakala ya Mapema ya Qurani Iliyogundulika Sanaa Yemen Inaonyesha Jinsi Qurani Ilivyobadilika
Просмотров 5843 года назад
Je, mtu anaweza kujifunza nini kuhusu Quran kutokana na maandishi yake ya mwanzo; San'a Palimpsest? Ugunduzi wa muswada huu wa mwanzo kabisa ulizua matatizo makubwa yanayohusu utungaji wake, yaliyomo ndani yake. Daima tumekuwa tukijua kuwa Qur'an haikuundwa kikamilifu katika kipindi cha miaka 22 kama Waislamu walivyosema. Lakini hatukuwahi kuwa na uthibitisho wa kutosha katika nakala ya Qurani ...
Dr. Zakir Naik Muhammed Katika Biblia. Muhammad ameandikwa wapi katika Biblia?
Просмотров 7 тыс.3 года назад
Dr. Zakir Naik anasema kwamba Muhammad aliandikwa katika Biblia. Katika Kumbukumbu la Torati 18:18. Je! ni kweli? Katika Torati Kum 18:18 inasema: Mimi nitawainulia nabii miongoni mwa ndugu zao mfano wako wewe, nami nitatia maneno yangu kinywani mwake, naye atawaambia yote nitakayomwamuru. Mstari huu unamzungumzia nani? Dr. Zakir's original video ruclips.net/video/3PyAiv92XjY/видео.html
02 Je! Biblia Inaaminika au Imechafuliwa na Watu? Qurani Inasemaje?
Просмотров 6123 года назад
02 Je! Biblia Inaaminika au Imechafuliwa na Watu? Qurani Inasemaje?
01 Neno Biblia Lina Maana Gani? Asili ya Neno Biblia ni Nini?
Просмотров 3,9 тыс.3 года назад
01 Neno Biblia Lina Maana Gani? Asili ya Neno Biblia ni Nini?
06 Kwa Nini Qurani Ilifanywa Marekebisho? Utafiti Juu ya Qurani Za Mapema
Просмотров 6724 года назад
06 Kwa Nini Qurani Ilifanywa Marekebisho? Utafiti Juu ya Qurani Za Mapema
05: Uandishi wa Msahafu, Kumbe! Qurani Zote za Zamani Zilibadilishwa na Watu
Просмотров 1,4 тыс.4 года назад
05: Uandishi wa Msahafu, Kumbe! Qurani Zote za Zamani Zilibadilishwa na Watu
Muhammad au Yesu? Tofauti 5 Kati ya YESU na MUHAMMAD (Nani Aliishi Maisha ya Maadili?)
Просмотров 2,2 тыс.4 года назад
Muhammad au Yesu? Tofauti 5 Kati ya YESU na MUHAMMAD (Nani Aliishi Maisha ya Maadili?)
04: TOPKAPI INATOFAUTIANA KATIKA AYA 2,270!
Просмотров 8074 года назад
04: TOPKAPI INATOFAUTIANA KATIKA AYA 2,270!
03: KWA NINI HADITHI INARIPOTI QURAN MBILI TOFAUTI?
Просмотров 1,9 тыс.4 года назад
03: KWA NINI HADITHI INARIPOTI QURAN MBILI TOFAUTI?
09: YESU ANAWEZAJE KUZILIPIA DHAMBI ZETU?
Просмотров 5054 года назад
09: YESU ANAWEZAJE KUZILIPIA DHAMBI ZETU?
02: IKO WAPI QURAN YA KARNE YA 7 ILIYOKAMILIKA?
Просмотров 2,3 тыс.4 года назад
02: IKO WAPI QURAN YA KARNE YA 7 ILIYOKAMILIKA?
01: QURAN INA MADAI 4, LAKINI MATATIZO 6
Просмотров 2,2 тыс.4 года назад
01: QURAN INA MADAI 4, LAKINI MATATIZO 6
SHEIKH WALID AFUNDISHA IBADA YA AJABU! Allah Anafanya Ibada.
Просмотров 2,2 тыс.4 года назад
SHEIKH WALID AFUNDISHA IBADA YA AJABU! Allah Anafanya Ibada.
08: JE, KWA NINI MUNGU ALIPASWA KUFA?
Просмотров 7034 года назад
08: JE, KWA NINI MUNGU ALIPASWA KUFA?
07: YESU AKIWA MDOGO KULIKO MUNGU, ANAWEZAJE KUWA MUNGU?
Просмотров 7844 года назад
07: YESU AKIWA MDOGO KULIKO MUNGU, ANAWEZAJE KUWA MUNGU?
05: MISIKITI YA KWANZA HAIJAELEKEA MAKKA
Просмотров 1,6 тыс.4 года назад
05: MISIKITI YA KWANZA HAIJAELEKEA MAKKA
😂😂😂😂 sijaona ulicho kichakachua,
Sijui hamjui au mnapotosha maana Mtume Muhammad s.a.w amefanya miujiza mingi kuliko yesu tatizo nyny mnapenda kujivunia ukristo wenu Kwa miujiza lakini sisi waislam tunajivunia dini Kwa Ibada sisi Ibada tumeweka mbele Ibada kuliko kitu chochote na Ibada kwetu sisi ndio mafanikio yetu ili tupate Pepo au bustani ya milele
Hamna mnachokijua mnasema tu au mmekusudia kuharibu Kwa makusudi ninachokijua Mimi Kwa nlichosoma madrasa ni tofauti na mnachosema nyinyi
Shano lakale ni ufunuo wa yohana mwanzo muziri mabarikiwe kutu fundisha 🎉❤👏🙏🙏🏾🙌
Uongo mtupu.
Sio kweli mtu wa kwanza kuandika maneno ya mtume Muhammad s.a.w sisi IBADH hatuamini bukhari na Muslim kuna ukweli kdogo na uongo ni mwingi
Hakuna popote kabisa, hayo maandiko hayamuhuzu Muhammad, kwani Muhammad ni mongoni mwa wayahudi? Ujinga😂😂😂
Pumbavu zako utamdanganya nani izo pumba zako naona unatafuta kiki tafuta njia nyingine achana na uo mpango .
Chaneli hii ni ya makafiri kuwagombanisha waislamu sisi waislamu ni imara na tuna mafundisho yalio sahihi sisi hamtugombanishii. Mungu atawafedhehesheni Kila kunapokucha
The foolish nation said by God through Moses in Deuteronomy 32:20,21, the way Paul taught in Roman 10:18,19,is Islam, Moses was referring to the messiah in Deuteronomy 18:15-, in Deuteronomy 18:18, Islam the foolish nation always misinterpreting here,if are to the word"his brothers" to Arab,then , his brethren in Quran 2:129, referring to the prophet from Israel?!. Moses was referring to the Israel Zion in which messiah was born from in Bethlehem were the brethren of those who were with Moses in the desert. From 18:15-, referring to one prophet like Moses in which his qualifications is that, the one whom shall give the prophecy which MUST come true in vers 20,21,22,in which the messiah of Israel gave out short term prophesies which came true so as to approve the long term prophesies in math 12:38-40,20:17-19, John2:16- 3:14,15, and the long term prophesies are in math 24:1-, and Luke 21:5-. Muhammad gave out the prophesies which did not come true in; Sahi albukhari 2797, that he wanted to die as matyr, but died through being poisoned in ibn majah 1622, Sahi albukhari 4428, he had told his followers that the angels told that "if he was fabricating the old testament prophesies, his aorta was to be cut off in Quran 69:4-6,in which he died through the poison which cutt off his aorta, this approved that Muhammad was fabricating the doctrines of God of Abraham, Isaac and Jacob, his future prophesies are not true, but false as in proverbs 19;5,8-9,21:28, and revelation 21:8. Therefore the one who fulfilled Deuteronomy 18:18,is the messiah of Israel, not Muhammad, he became like Moses in unique ways, he did miracles, signs and wonders the way Moses did in Luke 4:16-, he was baptized through water and got holy spirit like Moses in math 3:16-, numbers 11:1-. Islam are claiming that because Moses was circumcised,so Muhammad was circumcised and through this he became like Moses in even any one who is circumcised can claim to be like Moses!!!, because Moses had wife and children he became like Muhammad because even he several women, and widows more than Moses, any one too can claim to be like Moses in this because of having wives and children!!!!. Foolish nation challenging the truth of God is really Islamic regime Moses said, because not only Deuteronomy 18:18,is where Islam are forcing Muhammad into the position of messiahsip, but the whole bible.
Yesu alikuwa islamiki walishindana nae wakamkataa Yesu akasema kila atakae.niamini kuwa mm ni mwana wa Mungu atakuwa mtoto wa.Mungu na akasema nimepewa mamlaka duniani na binguni islamiki bado mnashindana na Yesu mtakuja mje na dini zenu Yesu ndie bwana dini.akiondolewa haipo dini yoyote mwamini huyo bwana wa sabato bwana dini ni.Yesu Issa bin maliamu hata.baraki na baalamu walimuona.akitokea.katikati.ya.israel machawi yalimuona hata.alipo.zaliwa wasoma.nyota wenye elimu ya falaki walimuona muhamadi ndie mtume kama watume wengine alihubiri islamiki tumshukuru Mungu ambar alimuumbia utume ila.Yesu ni tofauti na mitume wote na manabii wote waliopo duniani na waliokwisha kupiga.duniani Mungu awafungue akili mpate kujua hili islamiki
Ukute ni Kati ya mitume hawahawa kwasababu.wanaabudu kialabu.kujua imakuwa kazi ma'ana hata Yesu.wanamwita.Issa.wakristo na waislamik tuombeane mwisho mwema kwA kuwa wote tunamwamini Muumba mbingu na.nchi.tuendelee kuwafundisha wasioamini tusipigane wao kwA wao mm nasema maandiko inauma sana biblia ukisoma bila unafiki inaonyesha kuwa Yesu alikuwa islamiki ila walimkataa na ndo ma'ana unaweza usiwaelewe na hawataeleweka mpaka Yesu aje.awarehemu akirudi.biblia.inaonyesha.kabisa ukisoma pasipo.unafiki Yesu aliingia kwenye masinagogi na hekaluni.na hata ukifuatilia ibaba utavikuta.vitu vingi vya kale vipi islamiki na sabato hizi kanisa zingine baada ya kufufuka.alizilusu zitokee na akasema hata milango ya kuzini haitaliweza na tunaona jinsi kanisa lilivo na mamlaka juu.ya.pepo lakini tusigombane
Jazakumullah kheyr
Wewe huujui uislamun nyamaza
Naona makafiri wanakuja na mbinu mpya kuupinga uislam watambue uislam si dini mtu bali ni dini ya Allah aloumba mbingu na ardhi na vilivyomo ndani hamtaweza kumshinda Allah na chochote mtahangaika kupoiteza muda na mali mwisho mtakufa hamufanikiwi uislam unazidi kungara mpaka maaskof wasema tabia za waislam na za mungu
Ule anapiga comment kaonekana mkristu na tena hataki kuelewa...sisi tunafwata Mtume wetu Muhammad S.A.W
Ameni
Hutaki kuifungua
Wewe hizo ni hoja ndio utamtoa mtu kumtoa ktk uislam tukitoa uozo ulomo ktk biblia ungekumbiaa mbio ndani biblia kuna sehem ndogo tu ya Allah mengi nimaneno ya uongo qurani nimiujiza mikubwa itokayo kwa Allah aloumba mbingu na ardhi na vilimo ninamifano mingi qurani miujiza
Kuruani ni kitabu cha majini
Hawa wa saudia wanatoka kwenye misingi ya uislam sasa
Yes
Mmmm kaziii!
Basi Sawa ngoja tunsubiri mwisho
Asante shekhe kwa mafundixho
Mambo ya Sasa watu.wanaangalia vitu.vinavyoonekana kwa macho au hmvioni?
Mpumbavu wewe mwenye kutafsiri, elim yahoo fuji, humility Dr naik japo ukucha ,mwana mbwa malaya wewe
Kwa hiyo Mohamed ni Myahudi?
I want to challenge you who was controlling the world before your GOD JESUS has not been borned .
Jinga mkubwa wewe .muhammad S.A.W. na issa A.S they are all prophet of Allah .
We kichaa
Mbina hujasema pale issa alipozaliwa akasema yeye si mwana wa mungu bali ni mja wa allan s.a.w
😂😂😂 uongo auwezi kuficha neema ya mwenyezi mungu siku si nyingi uongo utaishaa Allah hataukumu kwa HAKI
Kwanza tunasema utabiri aukutaja jina sasa mkikataa ni utabiri wa Muhammad basi ata Yesu ausiki lkn kasome wafeso 1-14 au 13 ndio utaona Yesu alivyosema utabiri wake
Kwa iyo Mungu wenu ni mfano wa Musa
Kwanza iyi hbar ukisema Yesu ni mfano wa Musa tazama piga X 😂😂😂😂😂 msifosi vitu kwanza Yesu mnasema Mungu mnasema mwana wa mungu piga X mfanano Yesu na Musa akuna mfanano kabisa 😂😂😂😂
😂😂😂😂😂 kweli kwa akili unasema Yesu kafanana na Musa hii kali tatizo mnachuki na Muhammad alafu unasema Daud na seleman ndio mfano wa Musa 😂😂😂😂 nakupa mfano mmoja tu Musa alikimbia mji wake na Muhammad alikimbia mji wake Musa akarudi kwa watu wake na Muhammad akarudi kwao
Huyu mtu ana Uongo mweusiiiiiiiiiii, Tena ni mpumbavu mwenye PHD ya kuzimu kabisa.
Hebu naomba umsikilize vizuri huyu Dr Naik kwenye hii clip yake ndio utafahamu anacho kiongea juu ya hili suala la Mtume Muhammad ndani ya Biblia.
Hakuna kitu ,andiko hilo na halitakuwepo na alijawai kuwepo. Kaka ata akifoji document hakuna. Mohamad katumwa na khaadija na waraka bin anafa.
Wallaahi nyie nyie ni warongo nyie ndio huwa ita wenye kuuliza wana mapepo
Musa alikufa akafufuliwa na yesu alikufa akafufuliwa.
Yesu ama Mungu sijakuelewa
Upuuzi mtupu
Upuuzi mtupu
Upuuzi mtupu
Yesu ndiye njia ya kweli
Uongo huo
Hilo neno halinamahusiano yeyote na Muhamed
Hata hivyo quran siyo kitabu cha Mungu,ni cha mashetani hata kikisema sijui yesu ni Mungu au la,kinabaki walikop biblia wakaamishia quran,quran ukisoma unakuwa kichaa,yesu alinitoa uislamu nikamfuata yesu nina aman sasa make uislamu pomoja na Mohammedi ni ushetan mtupu Ukiona yaliyoandikwa kule unazimia quran
Mpuuzi mkubwa ww
Ebu kuweni makini..mnamaanisha Mungu anazaliwa..msipotoshe watu kwa ajili ya kuridhisha watu flani ili mjaze tumbo lenu..mtaadhibiwa na Allah na huyo yesu atawaruka kwa kuwa hakuna mahali kwa bibilia yeye alisema ni Mungu
Hakuna jambo hilo Mohammed kwenye biblia
Ksome
@@JumaMwanga-xd9gy Biblia ya Qurani au
Muhamadi ni mtu wa kawaida kama mimi hauwezi kumlinganisha na YESU.hata kwenye biblia hajatajwa