Uongo Umeruhusiwa katika Uislamu? Umefunga? Sheikh Othman Maalim / Aina Tatu za Uongo Nurdin Kishki

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 25 янв 2025

Комментарии •

  • @banihashim5347
    @banihashim5347 Год назад

    Sheikh othman maalim na sheikh nurdeen kishki ni wapo sawa kabisa, tena masheikh wakubwa duniani, na wewe mwenye chanel huwezi kuwapata hata ukucha wao

  • @AnualiSamboni-p3h
    @AnualiSamboni-p3h 4 месяца назад

    Asante shekhe kwa mafundixho

  • @emmanuelahmedbyona2353
    @emmanuelahmedbyona2353 3 месяца назад

    Ule anapiga comment kaonekana mkristu na tena hataki kuelewa...sisi tunafwata Mtume wetu Muhammad S.A.W

  • @feizalmas
    @feizalmas Месяц назад

    Chaneli hii ni ya makafiri kuwagombanisha waislamu sisi waislamu ni imara na tuna mafundisho yalio sahihi sisi hamtugombanishii. Mungu atawafedhehesheni Kila kunapokucha

  • @musaramadhani2383
    @musaramadhani2383 Год назад +1

    Kweli kabisa uwongo unaluhusiwa sehemu maalum kama alivyo sema shehk

  • @SELEMANIBAKARI-h4q
    @SELEMANIBAKARI-h4q Год назад

    Inna lillah wainna ilaihi rajun

  • @FrenkfrenkFrenkfrenk-sf4hl
    @FrenkfrenkFrenkfrenk-sf4hl 6 месяцев назад

    Mungu ataki uwongo mtume wao mwenyewe wa mchongo

    • @feizalmas
      @feizalmas Месяц назад

      Mtafeli sana hamjitambui uislamu upo sahihi sana kaeni msome

  • @KukuBoga
    @KukuBoga 2 месяца назад

    Wewe huujui uislamun nyamaza

  • @ammsarissa-we4fo
    @ammsarissa-we4fo Год назад

    Uongo vitani , uongo mume na mke, uongo kuwastiri wa islamu, kishki haja tofautiana na shekhe mziwanda amesmaia kipengele kila chaku wastiri wa islamu, tatizo lako ufaham mdogo, alaf kama kama una utaka uongo hata yesu muongo angalia hili andiko lipo kwenye matayo 10:5 hawo thena shara yesu aliwatuma akiwaambia katika mataifa msiende afadhali mshikenjia kuwa endea nyumba ya izraeli uongo wa yesu huu hapa hii matayo hili andiko 10:5 mpaka 23 uongo una anzia hapa ana waambia wanafunzi hivi 10:23 matayo, lakin watakapo wafukuza katika mjihuu kimbilieni katika mjimwingine ( yesu Akiwa ana maana izraeli ina miji mingi ili wasije wakaenda mataifa ) kwamaana nikweli nawaambia hamtaimaliza miji ya izraeli nimerudi , uongo wake huu ( nimerudi ) Leo wale wanafunzi Alio watuma wamekufa wote na yeye bado hajarudi
    Sasa kama utatafuta uongo yesu mwenye we ndio muongo mkubwa, kasome vizuri ndugu ufahamu mdogo bado

    • @ushahidifilms2011
      @ushahidifilms2011  Год назад +1

      Ukisema Yesu ni mwongo unapinga quran ambayo inasema kwamba ni mtakatifu. Qurani 19:19

    • @ammsarissa-we4fo
      @ammsarissa-we4fo Год назад +2

      @@ushahidifilms2011 , naona una hangaikatu. Ndy Quran, ina sema nimtakatifu wewe unakubali Quran, ina sema hawakumuua wala hawakumsulubu,jeh una I kubali Quran,

    • @FrenkfrenkFrenkfrenk-sf4hl
      @FrenkfrenkFrenkfrenk-sf4hl 6 месяцев назад

      Ujui lolote wewe

  • @lilianmakwati5228
    @lilianmakwati5228 2 года назад

    Hujui unacho kiongea

  • @Fear_Allah394
    @Fear_Allah394 Год назад +1

    Ssa mbona Paulo muongo na mnafuata anayoyasema?

    • @ushahidifilms2011
      @ushahidifilms2011  Год назад

      Paulo ni mwongo kwa maneno yako au kwa ushahidi gani?

    • @Fear_Allah394
      @Fear_Allah394 Год назад

      @@ushahidifilms2011. Kasema mwenyewe. Rum 3:7
      ‘Lkn ikiwa kweli ya Mungu imezidi kudhihirisha utukufu wake kwa uongo wangu. Mbona mm ningali nahukumiwa kuwa ni mwenye dhambi’

    • @ushahidifilms2011
      @ushahidifilms2011  Год назад

      @@Fear_Allah394 Labda hujasoma mistari yote ili upate muktadha. Paulo anaweka mfano anasema ikiwa kweli.... Si kwamba anasema kwamba amesema uongo.

    • @Fear_Allah394
      @Fear_Allah394 Год назад

      @@ushahidifilms2011, Ssa mm nimekupa quote ww unaniletea porojo lako mwenyewe, eka quote inayosema hayo.

    • @niggachad8137
      @niggachad8137 Год назад

      Mbona allah anajiita mwongo wa waongo na bado mnamwamini 😂😂
      Quran 3:54
      Arabic: ومكروا ومكر الله والله خير الماكرين
      Swahili: wakafanya udanganyifu na allah pia akawafanyia udanganyifu kwani allah ni mudanganyi wa wadangani 😂😂😂😂

  • @SHABANIABEDI-qt1vw
    @SHABANIABEDI-qt1vw Год назад

    Sikiliza mwanzo hadi mwisho elimu yako ndo go tatizo makafiri hawasomi

  • @lilianmakwati5228
    @lilianmakwati5228 2 года назад +1

    Kuna watu wakisikiliza hawa mashekhe hawawafahamu

  • @shamsuddin4582
    @shamsuddin4582 Год назад +2

    We unashangaza huujui uislam hata kidogo acha kuparamia ...hawa masheikh zetu wapo sahihi ...ni ww tu hujui na sina uhakika km we ni muislam!! Nachelea kusema we ni kaffir

  • @muhetoregis8444
    @muhetoregis8444 2 года назад

    Bro unapenda aduwi?endelea kupenda mpaka ibilisi umupende kwani naye ibilisi no aduwi

  • @banihashim5347
    @banihashim5347 Год назад

    Wewe ni chizi

  • @abubakarbakari7042
    @abubakarbakari7042 2 года назад +1

    Mashekh wote wawili wako Sawa kwahivo enda kasome wacha kukosoa mashekhe wewe

    • @ushahidifilms2011
      @ushahidifilms2011  2 года назад

      Kwa hiyo unakubali kwamba kusema uongo ni sahihi?

    • @mohamdmohamd4842
      @mohamdmohamd4842 2 года назад +1

      @@ushahidifilms2011..Hakuna Dalili kwa Vitabu Vya Waislamu kusema Uwongo .. ni katika kujitetea kwa Ubinadamu sio kujitetea kwa Dini.. na kama Wewe(Ushahidi Films) Watumia hiyo Tafsiri (yaani Uwongo kwa Waislamu) Posho nakupa kwa Bibilia.. Mungu wa Bibilia Anadanganya hilo ni Andiko halitafutika maisha. (Wanijuwa Vizuri Sana MIMI) NAKUSUBIRI

    • @Fear_Allah394
      @Fear_Allah394 Год назад

      @@ushahidifilms2011, baadhi ya uongo ndio umeruhusiwa. Mfano anakujia mtu na panga kakasirika na anamtafuta baba ako, unajua ndani yumo na anakuuliza baba ako yumo??? Itakubidi useme hayumo. Ssa hapa uongo huu utasema haukubaliki???

    • @ushahidifilms2011
      @ushahidifilms2011  Год назад

      @@mohamdmohamd4842 Lete basi andiko lako. Mungu wa Biblia anadanganya.

    • @ushahidifilms2011
      @ushahidifilms2011  Год назад

      @@Fear_Allah394 Tangu lini mtu anakuja kumwuliza mtoto kwamba babake wapi wamuwe? Ukisema hayumo watakata na kichwa chako pia .

  • @changaratv530
    @changaratv530 Год назад

    Wewe kichwa chako halali Acha kupotosha watu unaweka clip ndogondogo ukipata asiyekuwa amesoma dini utampotosha tafta vitabu vya dini ya kiislamu usome kwa undani

    • @ushahidifilms2011
      @ushahidifilms2011  Год назад

      Mbona unatisha hivyo? Ukweli unasimama. Kama tumekosea ungetufahamisha si kutuua.

    • @niggachad8137
      @niggachad8137 Год назад

      Watu wangapi uislamu umewapotosha

    • @ushahidifilms2011
      @ushahidifilms2011  Год назад

      Kumbe! Kuua pia inaruhusiwa katika Uislamu.

    • @SHABANIABEDI-qt1vw
      @SHABANIABEDI-qt1vw Год назад

      Hivi huyu mtu anaweza kua sio muisilamu a natafuta kushusha hadhi za mashekh zetu wote wapo sahihi

  • @shamsuddin4582
    @shamsuddin4582 Год назад +2

    Kumbe kaffir ww nilikuwa sijafaham....acha ujinga nyamaza kabisa hujui lolote ktk uislam wetu bwege wewe

  • @yangaaSC
    @yangaaSC Год назад

    Aisee hii dini ya uislamu ni upigaji sana yani😂😂😂😂🤣

    • @zuberimohamed43
      @zuberimohamed43 Год назад +1

      umewah kuskia watu wanakanyaga mafuta huko au sheikh kachorwa tatoo na mke wa mtu kwenye tako kama nyie mnavyo fny? mara mfunge msile mpaka mfe mkutane na yesu mara mchungaji akujambie usoni uondoe mikosi yaan utaahira mtupu

    • @niggachad8137
      @niggachad8137 Год назад

      @@zuberimohamed43 izo ni dini potofu kama uislamu tu. Hayo mambo hayapo kwa wakristo wala wasabato

    • @zuberimohamed43
      @zuberimohamed43 Год назад

      Kwani hao wanaofany hvyo ni akina nani? Uislam pekee ndio din iliyo nyooka hkn upumbavu huo halaf hkn din inayoitwa wasabato we nawe ndo walewale wafuas wa kibwetere

    • @zuberimohamed43
      @zuberimohamed43 Год назад

      Umeon mtu anakimbizwa na watu waovu wanatak kumdhuru kajificha mahali ambapo wewe umemuona wale watu wakakuuliza km umemuon ukasema hujamuon ili kumnusuru hapo hupati dhambi huo ndio uongo ulio ruhusiwa sasa je dini yako inaruhusu wengne wapate madhara kwa kusema ukweli kweny mazingira km hayo??
      Tafuteni Elimu cyo mnakurupuka tu km huyo mpumbavu mtoa post hapo

    • @zuberimohamed43
      @zuberimohamed43 Год назад

      Umewahi skia msikiti unamilikiw na sheikh fulan?? Halafu ndo utaelewa akina nani ni wapigaji yaan maskini wanajifilisi kuwatajirisha waajir wa ibilisi ndomn kila sku kesi za kijinga mara waumin wamechomwa moto wakaone ufalme wa mbinguni mara wafunge mpk wafe ili wakutane na yesu ujinga mtupu.

  • @banihashim5347
    @banihashim5347 Год назад

    Unatafuta kiki

  • @Sebola-j4l
    @Sebola-j4l Год назад

    Wote wako Sawa isipokua wewe mtangazaji hujafamu kasome tena