Brigedia Jenerali mwingine wa JWTZ alivyoagwa leo

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 11 июл 2017
  • Brigedia Jenerali Dominic Mrope leo July 12, 2017 alipewa heshima zake za mwisho na JWTZ ikiwa ni ishara ya kumaliza muda wake kulitumikia Jeshi hilo na sasa anastaafu kwa mujibu wa sheria.

Комментарии • 31

  • @helpers10
    @helpers10 7 лет назад +2

    Congratulations Sir General. You have made us all Proud and Thank you for your Service.

  • @oberdntalisha9041
    @oberdntalisha9041 4 года назад +7

    Kama umeona askari wakushoto arivyo taka kuanguka gonga likee

  • @raphaelmhina3669
    @raphaelmhina3669 6 лет назад +1

    Hongera afande Mrope. Mwenyezi Mungu akuzidishie afya na maisha mema.

  • @talantap4966
    @talantap4966 7 лет назад +2

    nzuri Mungu ibarik Tz

  • @laurentiprochesi1197
    @laurentiprochesi1197 4 года назад +2

    Hakika nimoja kati ya ndoto yangu niliyoipenda na mpaka sasa ipenda na nitaendelea kuipenda kwani ndoto yangu nikulilindaamani ya nchi yangu ya Tanzania japo sijafanikiwa kujiunga na jeshi lakini nitafanikiwa tu nitaendelea kupambana mpka hatua ya mwisho ili niweze kufanisha ndoto yangu

  • @husseinkonz5192
    @husseinkonz5192 5 лет назад

    Hongera kamanda kwa kustaafu kwa heshima zote

  • @frankngilangwa4518
    @frankngilangwa4518 5 лет назад +2

    STRONG ARMY JWTZ

  • @hajikadiri8523
    @hajikadiri8523 4 года назад

    Hongera sana afande acha sisi tupambane

  • @stevenantony3433
    @stevenantony3433 7 лет назад +2

    nc

  • @dismaschindongo4442
    @dismaschindongo4442 7 лет назад

    Ongera zake kwa utumishi ktk jeshi la Nchi yetu. Kila la kheri mr mrope dominic,

  • @ramadhanmbalami7593
    @ramadhanmbalami7593 Год назад

    P1sana waziii

  • @elizabethmziray3868
    @elizabethmziray3868 5 лет назад

    Good gwaride

  • @deusmauka9626
    @deusmauka9626 5 лет назад

    Kijana mwenye elimu ya kutosha, mzalendo, jasiri kazi ya kufanya ni hii. Usipoteze muda,nenda JWTZ.

  • @lucasmakaka426
    @lucasmakaka426 5 лет назад +1

    Duuuh mkuu huyo upande wa kushoto mbona kama hayupo sawa naona kataka kudondoka,,kapepesuka wakati wakitembea mwendo wa pole

  • @jalaljoans6813
    @jalaljoans6813 7 лет назад +1

    MUNGU ibariki Tanzania

  • @jumaedward7110
    @jumaedward7110 7 лет назад +1

    wenye nchi ndo hao

  • @laurentjozee8777
    @laurentjozee8777 4 года назад +1

    Daa R. I. P wadepo luten matitu aman

    • @ashamkaula2632
      @ashamkaula2632 2 года назад

      Pole Sana ila hongera afande bcz wengine bado tunapambana kikosini huku.

  • @DismasJoseph-zi4ed
    @DismasJoseph-zi4ed Год назад

    Namuona nkambi

  • @williamngazija7284
    @williamngazija7284 5 лет назад

    Saf cn makamanda wetu.

  • @e.e5698
    @e.e5698 5 лет назад +7

    2:22 huyo sio brigedia jenerali ni meja janerali... Ana mkasi.. Nembo na nyota mbili...

    • @johnjohn2080
      @johnjohn2080 5 лет назад

      Ezekiel Basaya unajifanya unajua sanaaa,,,,,

    • @christophersamwel8236
      @christophersamwel8236 5 лет назад +1

      Waandishi wa Habari wawe wanauliza cheo hiki ni gani sii kujiandikia kwa taaluma zao za TSj si unaona anaaye hoji kasema Meja Gen

    • @ramsokhamis9262
      @ramsokhamis9262 5 лет назад

      Yaaa uko sahihiii kabisaa mkubwaa,,, Kama hawaelewii vyeo vya jeshi waulizee kwanzaa

    • @emmanueljoshua9423
      @emmanueljoshua9423 5 лет назад

      Aliyestafu ni brigedia hivyo ni vyeo vipya acha kukariri bro

    • @Ambagaye
      @Ambagaye 5 лет назад

      Jenerali ana mkasi, ngao na nyota. Nyota moja ni Brigedia Jenerali, Nyota mbili ni Meja jenerali, nyota tatu ni Luteni Jenerali, na Mwisho nyota nne ni Jenerali Kamili.

  • @damianmakala2913
    @damianmakala2913 5 лет назад

    Huyo mkuu wa kushoto wa mbele

  • @hijazhija316
    @hijazhija316 5 лет назад

    Mara pap mkuu wa mkoa somewhere

  • @semanasitv8303
    @semanasitv8303 7 лет назад

    nawashauri watengeneze bunduki wao so zakununua