I like the interview these are the kinds fake politicians who spoil the image of true politicians like Obama and the like!, I hate the interview for sure!
Hongera sana Mzee Kitwanga,,,,,kumbe serikali huwa inakuwa na watu wabunifu kiasi hichi cha ajabu mambo husika hayatendwi...Napata picha kikao cha baraza la mawaziri huwa ni moto xana mamlaka huwa yanatumika.....Hero Are Not Born Yet Perhaps......hongera Ayo tv imekaa poaaa
Nimekusikiliza kwa makini sana na nimegundua mzee una madini mengi sana kichwani kwako Una mtazamo chanya sana kwa maendeleo ya nchi Nakubaliana na wewe kwamba tuwekeze kwenye teknolojia ya tehama kwenye maeneo mengi ya kiudhibiti. Natamani mawazo haya yawafikie wenzio waliopo kwenye nafasi hizo na wayafanyie kazi Hongera sana Kitwanga 👏👏👏👏👏👏👍👍👍👍 bravoooo
Akili nyingi sana kaka yangu Mzee Kitwanga. Kiukweli hukutakiwa kuwa mwanasiasa kabisa. ulitakiwa ubaki kwenye utendaji zaidi, na nchi ingefaidi sana matunda yako. Nakuombea kwa Mungu upate nafasi nyingine ya kutumikia nchi hii nafasi ya kiutendaji katika taasisi zetu za nchi. Kila la kheri.
Nilimkubali sana huyu jamaa alivyokua waziri wa mambo ya ndani. Very bright and creative. Natamani sana huyu jamaa angerudi tena kwenye cabinet next time
This lad 'ayo' is so professional, very skillful, calm and collected. Would he consider to dress professional as well? I think this is part of professional code of conduct.
Mh CK kwa taaluma yako jitahidi ufike Japan, maana pale ndipo kilele cha Teknolojia. Umaarufu wa mawe Ma 3, ulimfanya JK akuteue kuwa Naibu Waziri. Hongera !
Charles kitwanga bonge la boss smile 😁 kumbe mzee JPM siku moja akiamua kukurudisha utakuwa waziri wa fedha,,, af kingine JPM baba Yetu mdogo wa Taifa ndie aliekushawishi kuingia kunako siasa si ndio dingi!
One day I wish to meet you sir Charles Kitwanga because I believe I can get a lot of ideas concerning life as whole..I don't know how I can meet you, but I believe God can make a way
Kuna kitu kinaitwa exposure na hiki ni kwa bahati mbaya viongozi wengi hawana! Alipoanza kuzungumzia mambo ya cctv cameras, ni kweli zingasaidia sana, haina haja ya kuweka trafiki mabarabarani kwani rushwa ndiopo inapozaliwa hapo na serekali inakosa mapato. weka cameras mchezo umeisha. huku ulaya hakuna neno trafiki barabarani, ni full kamera kila kona.
Na hiyo exposure inatokana na kutembea na kujifunza lkn wengi wa Viongozi wetu wakishakuwa madarakani tu hujisahau na kujiona wao ndio wao wao ni miungu watu. Na hata wengine husahau wametoka kwenye familia maskini lakini hujisahaulisha kwa vyeo
@Inthenameoflove the way he sees things differently we all have our issues but we can't deny his intelligence and I never knew the guy but you can tell when someone is intelligent and when they are fluffing.
Tatizo bado lipo Pale pale waandishi wa Tanzania kwanini hampo Professional unasema tumemtembelea Nyumbani kwake sawa Lkn wapi Hakuna Jina inaweza ikawa Mwanza, Bukoba, Zanzibar, Uganda, sijui kwanini mnakurupuka
Uko smart lakini kutembelea nchi nyingi aimainishi kujua mengi unaweza uka unatembelea nchi kwa wiki moja au siku tatu utakijua nini kuhusu utendaji wa hiyo inchi🤣
Mzee Kitwanga, hilo jambo la instant report linazoroteshwa makusudi, ili watu wapige dili, kwa sababu mawazo unayotoa yote yanafanyika ulaya na yanasaidia utendaji, sasa kwa Tanzania ukiweka muundo huo wa teknolojia, itasumbua wakubwa fulani wenye faida katika madhaifu hayo😏
Alichozungumza Mheshimiwa kuhusu namna gani waziri na Mbunge wanadai maendeleo ya majimbo yao bungeni ni elimu kubwa sana na ni muhimu sana kwa raia. Sijui kwanini hadi leo elimu hiyo ilikuwa haijatolewa. Anyway, Mheshimiwa yuko vizuri.
Nakukumbuka kipdi chakampen zako uliniahid utansomesha lakin niliambulia viatu shulenikwetu nilipitia mangumu sana walim kuniita yatima wawazazi wote wawili kiukweli sikpenda kuitwa hvyo nilifanya kitihada yakukpata sikfanikia hvyo nilizuiwa kfanya mtihani wa mock mkoa msadziwako hakuwa na muda namimi natembea kwa miguu had I wilayani bila kula lakin sikfanikiwa nilistop kwenda shule zaid ya miezi miwili baada ya headmaster kutamka hadharan stofanya mtihani Wang wa mwisho nilitafta shamba heka moja kwaajiri ya bustani ya nyanya nikapata fedha nikarud shuleni nashukuru hya mapito yamenijenga
@@happykimaya2762 nashukuru mungu nimeweza kusimama ila maneno ya walimu yalinikatisha tamaa unaitwa mbele ya wanafuzi 800 yatima wawazazi wote wawili cwez kuyasahau
Huyu bwana ni asset kubwa kwa serikali ya Tanzania lakini mawazo yangu ni kwamba Serikali ya Magufuli haitomtaka kabisa sababu yote anayo yaona ataonekana kama atampiku Magufuli.
Mzee wangu hiyo unayosema inaendelea samba na maswala ya public policies, ila sijuwi ikiwa vio kama university of Dar es Salama kuna major ya public policy ?
Ukiangalia usoni mwa mtu huyu, utagundua kosa la teuzi zilizopita na umuhimu wa kutumbua watu. hakuna ishara ya wema kumuwezesha kupewa dhamana ya kuwasaidia wananchi.
Nan ameona tofauti za interview za wasomi na vilaza wa bongo movie.juane kwa like
Huyu hakuweza kuwa mwanasiasa ni mtendaji per say ! Yuko smart ,focus & oriented. Ukiwa hivi siasa itakutesa sana
Funny guy
I like the interview these are the kinds fake politicians who spoil the image of true politicians like Obama and the like!, I hate the interview for sure!
@@abbasirovya6118 You're spewing utter garbage mate...
Hongera sana Mzee Kitwanga,,,,,kumbe serikali huwa inakuwa na watu wabunifu kiasi hichi cha ajabu mambo husika hayatendwi...Napata picha kikao cha baraza la mawaziri huwa ni moto xana mamlaka huwa yanatumika.....Hero Are Not Born Yet Perhaps......hongera Ayo tv imekaa poaaa
Millard Ayo nakukubali tu kwakutafuta watangazaji wanao jua kumhoji mtu bila kumugunya maneno kwenye herufi wanazitumia vizuri Sana big up kaka
Asnte sana Millard Ayo... dogo amepevuka sasa na ametulia kwa mike. Congratulations sanaaa
Yupo vizuri Sanaa
Kwa nn michango mizur kama hii hawaitow bungen tena kwa msisitizo,au tatzo mfumo?
Kweli..Dogo yuko vizuri ...He knows
Kitwanga namkubali sana hasa akiwa mjengoni
Kitwanga namkubali sana hasa akiwa mjengoni
Kitwanga uko vizuri sana huwa nakupenda.
Ayo Tv plzzzzz mtafuteni Mh.Muhongo Itapendeza sana...Lipeni uzito hilo
Hapana muhongo atatudanganya
Nimekusikiliza kwa makini sana na nimegundua mzee una madini mengi sana kichwani kwako
Una mtazamo chanya sana kwa maendeleo ya nchi
Nakubaliana na wewe kwamba tuwekeze kwenye teknolojia ya tehama kwenye maeneo mengi ya kiudhibiti.
Natamani mawazo haya yawafikie wenzio waliopo kwenye nafasi hizo na wayafanyie kazi
Hongera sana Kitwanga 👏👏👏👏👏👏👍👍👍👍 bravoooo
Huyu
Mtu ni kichwa sana na sidhani kama anatumika inavyo stahili regardless his weaknesses
Huyu mtangazaji n anajua sana hongera zake na sauti pia inavutia na amejitahid kuhimili ukubwa wa cheo cha mheshimiwa
Uko vizuri sana mh kitwanga nimependa mahojiano hayo mazuri sana ,pia huwa napenda ucheshi wako Wangu,
Akili nyingi sana kaka yangu Mzee Kitwanga. Kiukweli hukutakiwa kuwa mwanasiasa kabisa. ulitakiwa ubaki kwenye utendaji zaidi, na nchi ingefaidi sana matunda yako. Nakuombea kwa Mungu upate nafasi nyingine ya kutumikia nchi hii nafasi ya kiutendaji katika taasisi zetu za nchi. Kila la kheri.
Mzee Kitwanga uko vizuri, bado wanasiasa wenzako wanamawazo yaliyobanwa na kutokujua. Wasaidie nao wasione haya kupata mawazo yako.
This dude is incredibly genius :)
Nilimkubali sana huyu jamaa alivyokua waziri wa mambo ya ndani. Very bright and creative. Natamani sana huyu jamaa angerudi tena kwenye cabinet next time
This lad 'ayo' is so professional, very skillful, calm and collected. Would he consider to dress professional as well? I think this is part of professional code of conduct.
Asante mzee kwa mawazo mazuri na ayo tv Asante kwa habari nzur na kutujuza
Mh CK kwa taaluma yako jitahidi ufike Japan, maana pale ndipo kilele cha Teknolojia. Umaarufu wa mawe Ma 3, ulimfanya JK akuteue kuwa Naibu Waziri. Hongera !
Mtangazaji unastamina 👌👌👌!Unaweza mnooo mdogo wangu Barikiwa
Niko hapa 05/05/2020 nzur Sana kitwanga sikuwah kukujua kabla ya kutumbuliwa Mzee. Watu mna madin Ila shida ni kivur Cha Ccm kumbe.
Ayo Tv nimependa mtangazaji anavyotangaza, sauti inavutia na mengine yote yako 🔥🔥
Ayo anaajiri wasomi na anawalipa kisomi sio wale wanawahoji kina ambaruty
Mtangazaji uko poaa...babu anaakili mnoo...BIG UP MILLARD
Asante Sana kwa kutumikia nchi.
Safi sana mzee kitwanga namekukubari sanaaa
Duu hongera Sana mzee nchi zote hizo.wangp tupo humu hata Kenya hatujafika tujuane jaman
Jacklin amani karibu Mombasa kenya
@@abusaeed9037 Asante
Jackyline , kumbe ujafkka Kenya,😀😀pole mm nimebahatika kwenda na kusoma uko
@@filbertnashon7160 Hongera
......mimi pia, mmmmh! 😤😱
Mzee, Kitwanga,kama hicho kichwa umerithisha watoto wako watakuwa vichwa sana. Napenda unavyojieleza.
SAfi Sana kitwanga huyo ulioshindwa kumtaja ni 🔐
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Tumekusoma baharia 😁
Watu bna hahaha sasa kufuli na funguo .......!?
We pimbi kweli nlitumia dak nyingi kutokueelewa
Dah😂😂😂😂😂😂
Ohoo nice place,,,you make it better 🙏💗
mzee wa KONYAGI yuko vizuri sana , nyumba nzuri anajua kujieleza sema maji yakizidi inakuwa taabu.
Akigongea nyagi ndio shida inapoanzia... otherwise yupo poa kiutendaji anafaa zaidi
What a beautiful!!! Smile and speaking... Niceee Mr kitwanga
Walevi wengi huwa na vitu potential sana...hasa akiwa amesoma.
Charles kitwanga bonge la boss smile 😁 kumbe mzee JPM siku moja akiamua kukurudisha utakuwa waziri wa fedha,,, af kingine JPM baba Yetu mdogo wa Taifa ndie aliekushawishi kuingia kunako siasa si ndio dingi!
Ndio maana yake we ujamuelewa alivyokataa kumtaja
Surat Frank mawazo yako ndio yanayotumika saiz kwenye fendha na ukusanyaji
Nakukubali saana Mzee Kitwanga haunaga mambo mengi.
One day I wish to meet you sir Charles Kitwanga because I believe I can get a lot of ideas concerning life as whole..I don't know how I can meet you, but I believe God can make a way
cdhan km mzee kakuelewa
Jamaa anaakili nyingi sana
Nimeenjoy kukusikiliza boss!!
Hongera sana kitwanga
Nakupenda sana mhe kitwanga
Mbona km nakufananisha
@@tomjohn9587 na nni au na nini
this is the kind of content i want to see here
Erick Kinubi
exactly, siyo tu habari za nani katoka na nani au Diamond anamchukia Harmonize
Nimekuelewa sana
Kuna kitu kinaitwa exposure na hiki ni kwa bahati mbaya viongozi wengi hawana! Alipoanza kuzungumzia mambo ya cctv cameras, ni kweli zingasaidia sana, haina haja ya kuweka trafiki mabarabarani kwani rushwa ndiopo inapozaliwa hapo na serekali inakosa mapato. weka cameras mchezo umeisha. huku ulaya hakuna neno trafiki barabarani, ni full kamera kila kona.
Na hiyo exposure inatokana na kutembea na kujifunza lkn wengi wa Viongozi wetu wakishakuwa madarakani tu hujisahau na kujiona wao ndio wao wao ni miungu watu. Na hata wengine husahau wametoka kwenye familia maskini lakini hujisahaulisha kwa vyeo
Hongera sana bro millard nabarikiwa sana na blog yako.
Daaa huyu jamaa ni kichwa sana,kama taifa tunamuhitaji sana,ana Idea nyingi na nzuri sana
Millad Ayo ipo on top
ayo tv nitafuteni na mm nitoe historia ya maisha yangu
*MUCH RESPECT MZEE WANGU*
Me ningeshauri Tz tuwe na chombo kinachowaza jinsi gan nnchi iende. "ThinkTank ya nnchi" Watu Kama Hawa nimuhimu sana
Uko vizuri mzee baba
Mbona humuulizi kuhusu lugumi?
same secondary moja👊
Kitwanga nakukumbuka siku ulioutwanga mtind pombe ukajibu maswali magumu kwako yakawa rahis
Hata mm nakumbuka....
hahahaaaaa,, hatari saaaanaa,,
😂 hahaa
Drones🙌🙌🙌🙌 salute
The guy is genius, I wish he get a second chance.
@Inthenameoflove the way he sees things differently we all have our issues but we can't deny his intelligence and I never knew the guy but you can tell when someone is intelligent and when they are fluffing.
Unajua jimboni kwakwe, mahali aliposomea, hakuna water supply mpaka sasa? Genius to solve bottlenecks
nimemuelewa Kitwanga tofauti leo.
Mawe matatu hongera sna tatizo Pombe! Hasa muda wa kazi
Huyu jamaa ni genius
Daa kumbe ile Magu alikuwa anasema watu walikuwa wanageuzia ndege airport au kubadilishia nguo airport ilikuwa ni kweli 😂😂😂
Tatizo bado lipo Pale pale waandishi wa Tanzania kwanini hampo Professional unasema tumemtembelea Nyumbani kwake sawa Lkn wapi Hakuna Jina inaweza ikawa Mwanza, Bukoba, Zanzibar, Uganda, sijui kwanini mnakurupuka
Yuko sahihi mtangazaji kwa kutosema mahari anapoishi,kiusalama zaidi
Kama unakubari majibu ya kitwanga ni yamiaka 59 gonga like hapa twende swa
Yani milad Yuko vzr nawatangazaji wake wote hawachoshi kusikiliza
Umezeeka kitwanga unatembeaje hivo
Boniphace Jonas ulabu noma
Kumbe huyu Mzee yuko vzr kichwani! Kitwanga anaitaji nafasi tena ila ka kinywaji ndo kaliko vuruga tu.
Uko smart lakini kutembelea nchi nyingi aimainishi kujua mengi unaweza uka unatembelea nchi kwa wiki moja au siku tatu utakijua nini kuhusu utendaji wa hiyo inchi🤣
Salut kitwanga we ni baharia
duuu mh. Kitwanga anavotembea bwana
Acha tuu nimewaza tembea yake
Dr shika
Good history
mmmmmh marvelous
Mzee Kitwanga, hilo jambo la instant report linazoroteshwa makusudi, ili watu wapige dili, kwa sababu mawazo unayotoa yote yanafanyika ulaya na yanasaidia utendaji, sasa kwa Tanzania ukiweka muundo huo wa teknolojia, itasumbua wakubwa fulani wenye faida katika madhaifu hayo😏
replacement of people for drones?...not a good idea, perhaps the use of both for improvement in safety..
Hiki ni kichwa aisee,ila wakipe nafas ya utendaji sio siasa
Dr.Charles Kitwanga! The great man I ever known to me when I was at Mwanza. (2007/2010)
Alichozungumza Mheshimiwa kuhusu namna gani waziri na Mbunge wanadai maendeleo ya majimbo yao bungeni ni elimu kubwa sana na ni muhimu sana kwa raia. Sijui kwanini hadi leo elimu hiyo ilikuwa haijatolewa. Anyway, Mheshimiwa yuko vizuri.
Ngosha anahakili sana, we usingeweza kuendana na kasi yake.
Aliemshauri kuingia kwenye siasa ni mh magufuli
Nakukumbuka kipdi chakampen zako uliniahid utansomesha lakin niliambulia viatu shulenikwetu nilipitia mangumu sana walim kuniita yatima wawazazi wote wawili kiukweli sikpenda kuitwa hvyo nilifanya kitihada yakukpata sikfanikia hvyo nilizuiwa kfanya mtihani wa mock mkoa msadziwako hakuwa na muda namimi natembea kwa miguu had I wilayani bila kula lakin sikfanikiwa nilistop kwenda shule zaid ya miezi miwili baada ya headmaster kutamka hadharan stofanya mtihani Wang wa mwisho nilitafta shamba heka moja kwaajiri ya bustani ya nyanya nikapata fedha nikarud shuleni nashukuru hya mapito yamenijenga
Ulikuwa wapi kulima mapema?? Wanasiasa tz si wakutegemea wanafiki tu!! Wanajijua!!
Hongera sana
Pole Mungu ni mwema Hata sasa ametenda
Pole Sana
@@happykimaya2762 nashukuru mungu nimeweza kusimama ila maneno ya walimu yalinikatisha tamaa unaitwa mbele ya wanafuzi 800 yatima wawazazi wote wawili cwez kuyasahau
Huyu bwana ni asset kubwa kwa serikali ya Tanzania lakini mawazo yangu ni kwamba Serikali ya Magufuli haitomtaka kabisa sababu yote anayo yaona ataonekana kama atampiku Magufuli.
Sio kweli, unajua ni Nini kinaendelea kuhusu mchango wake kwa Taifa?
Niliwahi kufika kwake .....
Nimefurahi kuona vijukuu vikikayisha na michezo yao viko bize
Big up kitwanga aka 3stones
Uko vizuli ndo maana uka gonga konyagi zakutodha sikuile
😂😂
mzee anapenda sana technology kweli kulingana na ulimwengu wa sasa muhimu sana
Yaani huyu mh ni mcheshi
Nilibahatika kukaa nae cku moja nyumbani kwa Mr and Mrs ndaki /mwanagti kiukweli nilifurahi sana
Kitwanga upo vizuri acha pombe tu ndio tatizo lako
Kweli pombe siyo nzuri
nani kakwambia iyo pombe inamsumbua
@@greatmangii 😀
Baba akiwa kiongozi bora hata watoto hufuata nyao za baba blées @Millard Ayo
Mtangazaji kijinoa kweli kwel back ground sound yenyew inasound good
😊
Munira Ahmed yes he’s growing
Wewe Bwana mdogo huyo ana umri wa Baba yako.Sema shikamoo mzee au shilamoo mheshimiwa.Sasa sunaposema ''HESHIMA YAKO'' hiyo ni ya wapi?..
Hakika
Kwani nini maana ya "shkamoo"
@@salymkitumbika8644 Niko chini ya miguu yako
Tunakupenda tunakukubali na tunakusubiri misungwi
Njoo uchukue habari kwangu
Sound effects ziko vzr
Huyu DULA TZA, vido vidox na Godfrey yule wa Arusha.
Hapa ayo umepata watangazaji aisee wakiongozwa na wewe mwenye MILLARD AYO
Safiiii Kitwanga
Mzee wangu hiyo unayosema inaendelea samba na maswala ya public policies, ila sijuwi ikiwa vio kama university of Dar es Salama kuna major ya public policy ?
Hapo kwa kamera nimependa,mzee anapenda technology
Ni Jasusi wa technoljia aliesoma Israel-
Ukitaka kitwanga aongee vizuri bila aibu awe na chupa ya dodoma wine hapo....😁😁😁😁😁
Mtangazaji amkia,eshima yako mzee ndo nn?
Yaani hii salamu ya "heshima yako" siyo sawa hata kidogo. Naomba watangazaji msalimie Shikamoo baba/mama n.k
@@adelinelyaruu3036 hata hio SHIKAMOO ni Utumwa
@@adelinelyaruu3036 nini maana ya shikamooo?
Aboud Msonde maana yake nipo chini ya miguu yako
@@blackjbeauty547 shukrani tena ili kuwa unamshika kichwa kwa hiyo mtu kimwambia Mkubwa heshima yako yuko sahihi tu
Amesoma Same Secondary
Nyumbani kwake wapi?
Ukiangalia usoni mwa mtu huyu, utagundua kosa la teuzi zilizopita na umuhimu wa kutumbua watu. hakuna ishara ya wema kumuwezesha kupewa dhamana ya kuwasaidia wananchi.
Ubarikiwe baba Kitwanga..😂😂ila nakukumbuka pale bungeni uliingia umepiga kimywaji
💪🏻💪🏻