Mungu aliye umba mbingu na nchi mponye mwanao Carolin Hawa utende miujiza kupitia Dawa anazo tumia km kuna mkono wa mtu ukashindwe kwa jina la Yesu apate uponyaji asimulie ukuu wa Mungu
Hakuna cha uarabu wala nini amejibusti mwangaliage Vizuri hata maziwa yanaonyesha hizi sindano wanachomwa kwa siri ona kitovu kanatoa usaha wapi na wapi mshono na kitovu
@@cheiknamouna2058 Ndugu yangu usimuhukumu mtu kama hujui undani wake. Mimi mwenyewe nilishawahi fanyiwa operation na nilikua natoa usaha kwenye kitovu mpaka nilifumuliwa nyuzi kuanzia kwenye kitovu kushuka chini ili nipate kusafishwa vizuri na nilivyorudiwa kushonwa kwa Mara ya pili nilirudi nyumbani baada ya siku chache mshono ukaachia basi mpaka apo tumbo likabaki wazi mpaka sasa kidonda kimepona lakini ndo kuna mgawanyo Wa tumbo
Mr president .muheshimiwa .John pombe magufuli .please do something to this Lady.. Msaidie tafadhali nakuomba Magufuli..anahitaji kwenda nchi za inje kwa Matibabu zaidi makosa ilifanyika kwa Operations ya kwanza Kabisa..please en please Uncle magufuli
Sisi wote ni wa mwenyezi mungu Na mungu hakosei jesca Hiyo ni mitihani na inamfika kila mwanadam na mungu ana maana kubwa kwa hawa ..tumuombe mungu ampunguzie maumivu
YAANI MIMI NILICHOONA HAPO NI KUMUOMBA MSAMAHA ALIE MKOSEA, NA BAADA YA HAPO ARUDI MAGOTINI AFUNGE NA KUSALI, HAPO JIBU NI YESU...JIBU NI MUNGU...JIBU NI ALLAH TUU......AKUNA MWINGINE
Karoline ninasema neno la unabii kwako, kwanzia saahii napoandika ujumbe huu uwe mzika katika jina la Yesu Kama Ni nguvu zagiza Kama Ni magonjwa ya kawaida yaondoke mwilini mwako Sasa. Mungu wa Mbinguni akuponye maana hakuna Jambo analoshindwa
Wallahi anavyo elezea maumivu yake naumia kama ni mm 🤲ya Rabi mraisishie mja wako muondoshee maumivu mponye ya Rabi 😔😔😔 na mtafute mtu wakumsomea biidhnillah atapona
Wampeleke kwenye maombi akuna kinacho shindikana kwa yesu kwa Yesu uponyaji nibure tu uho ugonjwa auitaji tena dawa yeyote ile ilamaombi atapona kupitia jina la Yesu kristo tuna omba na kuami Amen
Nimelia 😭😭😭😭😭Ee Mungu mponye huyu dada ,pia msamehe pale alipokukosea mjalie afya njema ashuhudie ukuu wako ,nimemkumbuka dada aliteseka pia kama hawa na oparesheni atapona Tu mama Mungu awatie nguvu jamani ,😭😭😭ataponya mama.
Inasikitisha kweli huyu dada anapitia machungu,I wish you quickly recover and God protection God intervation my dear. Jipeni nguvu mama zangu mungu ndiye muwesa vyiote.
Listening very closely....As an Intern Doctor...I truly understand the pathophysiology behind all this ... It's a sad experience for her...And hope All will be well .
Uvimbe kwenye kizazi kwa akina mama au Dada hutokea, I was one of them, kabla ya OP nilifanyiwa Cancelation "nilielezwa nini tatizo yaani niliandaliwa kimawazo kabla ya OP. Baada ya hapo nilipewa muda wa kufikiria na kuchukua maamuzi ya ndio au hapana. So mgonjwa huyu hakuwa ameandaliwa kiali. Na hata kabla ya OP one day before I was told and what they gonna do! Hii ni shida kwamba Hospital zetu zinafanya biashara na sio kutoa huduma. Kitu ambacho ningeshauri watanzania tulipe Bima ya Afya kuepuka hizi ghrama. OP yangu was more that what she paid, ila kwa sababu ya Bima a paid hata laki moja haikufika. In short nililipia kitanda na chakula basi. So BIMA YA AFYA NI MUHIMU SANA
Kama ulipona ni Mungu alikuponya kwa nafasi yako na hawa ana nafasi yake ucone kama madactal wako walikuwa sahihi sana kuliko hao hapana kupona ni jambo LA Mungu acha kutupiya mizigo watu
Wagonjwa wengi tz wanapata matatzo mengi zaidi ya awali wakishaonana na ma-dr wakitanzania tatzo ni incompetence ya madr wetu na kichukulia urahisi na mazoea katika mambo yasiohtaji mazoea. Jamani madaktari kama hujajiridhisha na tatzo toa referral mgonjwa aende kwa wataalam zaidi mnaumiza sana watu na hamjali.!!
Hapo ndo tujue Allah yupo na anamitihami na majaribio makubwa na hakuna wa kumzui, Ushauri wng kwa mgonjwa akipona inshaallah arudi kwa Allah asirudi ktk hii dunia yenye upuuzi mwingi.
Eeeeeeeeeeee mungu nusuru kizazi changu mm uwiiiiiiiiiiiiiiiiii kwanini wanamkata kakata sana kwanini wamshone tyuuuuuuuuu kwani yy maumivu hasikiiiiiiiiiiii 😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭 i can't take this ooooooooo lord msaidie dada yetu carolin hawa
@@ibrahimmwaikuka4531 Kama mm sijui kitu, kasome yafuatayo: Tito 2:13) Aliyemuita Yesu ni Mungu, ndiye katoa amri kwa jina la Yesu mtapona na mlitegemee. Alianza yeye kulitumikia ndipo akawafundisha na nyinyi pia. Wacorinto wa 1(4:17) Wacolosai 3:17) Matendo 16:18) ukibisha na hapa, nitanawa mikono.
@@ibrahimmwaikuka4531 Yohana 5:43) Yesu kaja na jina la Mungu, Matayo 9:35) akaenda kufundisha na kuabudu Msikitini(Sinagogi) Yohana 10:25) akayatenda yote! Kwa jina la Mungu Yahweh. Matayo 12:28) Roho wa Mungu, ikamuongoza for white heart. Ki ufupi, Bwana Yesu Muislamu mwenzetu
Mungu ampe wepesi atapona tu mana Mathayo 19:26"kwa wanadamu hilo haliwezekani bali kwa Mungu yote yanawezekana "zidisha iman kwa Mungu na utapona tu 🙏🙏🙏
Huyu dada kwa Sasa anaumwa wasanii wako kimya tu hatuombi afe Ila akifa watu watatoa mchango utazani hawana akili nzury. Jamani wasanii kaka @diamond na wengine wasanii ambao mnauwezo msaidieni huyu tusubilie mpaka kifo kimfike ndipo tumsaidie. Mungu anisaidie huyu dada
@@faridaessa7844 diamond ni mega star.. Lazima afanyacho.. Kiwe gumzo mtaa.. Sio mambo na kujionyesha.. Wacha chuki zako.. Diamond ni nyota na pia yuapenda kusaidia sana .hakuna star bongo aliesaidia kuliko Diamond.. Harmonize ni wa pili..hao wengine ni wagumu sana au hawana hela
Wewe tu ndie tunaekuabudu na ww tu ndie tunaekuomba msaada, Allah ampe shifaa mja huyu Ya Allah mponeshe maradhi yake Allah amfanyie tahfif Ya Rabbi. Tunamuombea apone haraka inshaa Allah. Allahuma Amiina
Aisha Awadhi huyo mwamposa ni mungu ? wangapi kawa ombeya na kashwinda. kuwa ponya, na ndomana ss wa Afrika tuna kufa mapema kwa ajili y’a mambo y’a kishirikina. sana ! 😒😒
Uwimana@haimaanishi mwamposa ni mungu Ila kikubwa ni imani tu akiwa na imani atapona tu wengi wamepona kwa mwamposa Kama wewe huamini basi baki na kutoamini kwako hivo tu inatosha
Lots of operation in a short span, medical incompetency indeed, she has an infection and it's causing faceal loading as she is immobile. Please take her to a better hospital
@@agwalubifaridah7079 not really for her case if you listen to the narrative her problem related to fertility was resolved however the effects of too many operation have caused more havoc. Ako na infection and if not resolved it will result into sepsis which is life threatening.
@@villageprincessful they shud have used the gynae from the beginning kizazi is a sensitive place kushikwa shikwa ovyo ovyo is a risk especially 4 us ladies
Mungu nyoosha mkono wako ktk hili simama kikamilifu katika hilo fanya kazi yko vile utakavyo wewe na sivyo vile atakavyo mwanadamu ukavunje vunje maagano yote ya roho chafu na kma kuna mkono wa mtu basi kwa damu ya YESU KRISTU aliye hai akapaponye mahali palipo na jeraha Mungu amfanyie wepesi Hawa apate kupona Kwa Jina la YESU kristu Amen🙏.
@@jamilapeter3210 ukutoka kupasuliha tumbo baada ya Massa 8 unatakiwa uanze kugeuka geuka ili hewa iliojaa tumboni wakati wanakupasua itoke na hiyo ndio kujamba bila ya hivyo ni mtihani
Pole sana dada. Ila Waislamu turudi kwenye duwa, Mtume wetu alirogwa na Allah alimteremshia wahyi wa dawa na akapona. Na ikiwa ni wakristo naamini munamfumo wenu wa maombi pia tuwe tunamuomba Allah ili atufanyie wepesi. Hasadi ipooooo...
Nikumuomba mungu tu daktari nae ni mwanadamu yeye pia anamtegemea mungu katika kazi yake kwahiyo sio ujuzi kwani hao wenye ujuzi hawajawahi kufeli kuokoa maisha ya mgonjwa kikubwa ni kumuomba mungu tu
Sio kuchezewa, kwa wanawake kuwa na uvimbe kwenye kizazi, niko na Miaka 33 na mama wa mtoto mmoja, nilikuwa na tatizo la maumivu ya tumbo na baada ya check up siku iliofuata nilikuwa admitted na muda wa week nilifanyiwa OP na madaktari hawakukuta tu tatizo kwenye uvimbe kwenye kizazi, walikuta tatizo hadi kwenye Ini, na mpaka Sasa niko mzima kabisa Sina tatizo la maumivu Tena. Ushauri kwa akina mama na Dada. Make sure you see your doctor ( Women Doctor) each3 months
Bint Mungu atampobya..utskuwa alipata infection kali ndio inrprkekea yote hayo na hiyo kuxubaa na kutoongea ni madawa ya usingizi na za msumivu zimrmchosha mtoto hso madactsl sio jsman oparation mara 3 na dawa xa nusu kaputi pua zimepelrkea kuathiri ubongo Ila mkono wa Mungu utasimama..emen
Mimi naogopa kuendelea kuskiza😢😢😢 huumia sana ata nikiskia adui wangu anaumwa sana huumia..mola mjalie shafaa mrembo wetu wa bongo movie..she need prayer pia kwa sanaa😭😭😭😭..tunakuombea na mimi huku kenya
Mimi naona TATIZO limetengenezwa na hao madaktari wa opresheni awali baada ya kufanyiwa opresheni ,badala ya mkumshona wao walimtia gundi ,nadhan baada ya hiyo gundi waliomuwekea kufeli ngozi ndipo ilipolainika na kuanza kufelisha kila kitu 🤔ilikuwa wamshone tokea mwanzoni baada tu ya opreshen na sio hilo gundi.
Eeh mwenyezi Mungu mponye huyu dada,wewe ni mganga pekee.nashauri pia afanyiwe maombi😭😭😭 Mungu ni mwema
Maombi nilazima apo
Mbaka natamani kulia
Kweli kbx Mungu ndo kila kitu
Pole sana mungu atamsaidia atapona
Mungu amponye🙏🙏
But tunapo furahia dunia tukumbuke kuwa kifo kipo karibu yetu tujuwe kumcha Mungu ili atuepushe na mitihani🙏🙏🙏
🤗🤗
Kwahiyo unamaanisha ana dhambi, kwel bila yesu maarifa hakuna
Amiin 🤲
@@salmahmatumla1185 🤗
ni kweli kabisa
Mungu aliye umba mbingu na nchi mponye mwanao Carolin Hawa utende miujiza kupitia Dawa anazo tumia km kuna mkono wa mtu ukashindwe kwa jina la Yesu apate uponyaji asimulie ukuu wa Mungu
tuache kutumia chemical cream hiz mbaya sana ukifanyiwa paration hua kushonwa mtihan pole sana kwa mungu hakuna kubwa utapona in sha Allah
Ni kwel ila sema ndo ivyo binadamu hawaelewii
Huyu ni mwarabu dada @rehema sema ngozi nyeupe haihimili vitu vingi
Hakuna cha uarabu wala nini amejibusti mwangaliage Vizuri hata maziwa yanaonyesha hizi sindano wanachomwa kwa siri ona kitovu kanatoa usaha wapi na wapi mshono na kitovu
@@teddyelizabeth9358 tatzo c uarabu tatzo ni Cosmetics
@@cheiknamouna2058 Ndugu yangu usimuhukumu mtu kama hujui undani wake. Mimi mwenyewe nilishawahi fanyiwa operation na nilikua natoa usaha kwenye kitovu mpaka nilifumuliwa nyuzi kuanzia kwenye kitovu kushuka chini ili nipate kusafishwa vizuri na nilivyorudiwa kushonwa kwa Mara ya pili nilirudi nyumbani baada ya siku chache mshono ukaachia basi mpaka apo tumbo likabaki wazi mpaka sasa kidonda kimepona lakini ndo kuna mgawanyo Wa tumbo
Mr president .muheshimiwa .John pombe magufuli .please do something to this Lady.. Msaidie tafadhali nakuomba Magufuli..anahitaji kwenda nchi za inje kwa Matibabu zaidi makosa ilifanyika kwa Operations ya kwanza Kabisa..please en please Uncle magufuli
Sasa hapa Magufuli anaona saaa ngap?????
Eeeeeeeeeeee mungu huyu binti mdogo sana hastaiili haya yote anayopitia msamehe alipokosea mungu mpe uponyaji naskia maumivu mm 😭😭😭😭😭😭😭😭
Sisi wote ni wa mwenyezi mungu
Na mungu hakosei jesca
Hiyo ni mitihani na inamfika kila mwanadam na mungu ana maana kubwa kwa hawa ..tumuombe mungu ampunguzie maumivu
YAANI MIMI NILICHOONA HAPO NI KUMUOMBA MSAMAHA ALIE MKOSEA, NA BAADA YA HAPO ARUDI MAGOTINI AFUNGE NA KUSALI, HAPO JIBU NI YESU...JIBU NI MUNGU...JIBU NI ALLAH TUU......AKUNA MWINGINE
Kwakweli maake jinsi mama anavosimulia Yan inashangazaa
Anafungaje mtu anaumwa?
Umeongea vema
hata,mtu anikosee vp siwez kumtesa hvyo.nn faida,yake?
Kam na wew umenitam hii video huk unalia sema Asant mungu mim mzim mpk sas
😭😭😭😭😭Hadii Nimelia jamani😭😭😭😭Munguu Akuponye Hawa Sinaa Uwezoo Ila Nakuombea
Dah,maombi mpeekeni
Uwezo unao hata mia 5 ni msaada
Inauma sana pole dada
Tahfeef inshallh.,,kila penye uzito mola akakufanyie wepesi inshallah
Mungu mteteteee
Mungu ni mwaminifu daima hakika atatenda miujiza na hawa atapona kwa nguvu zake Mungu.
Amen
Ameen hakika
Karoline ninasema neno la unabii kwako, kwanzia saahii napoandika ujumbe huu uwe mzika katika jina la Yesu Kama Ni nguvu zagiza Kama Ni magonjwa ya kawaida yaondoke mwilini mwako Sasa. Mungu wa Mbinguni akuponye maana hakuna Jambo analoshindwa
Wallahi anavyo elezea maumivu yake naumia kama ni mm 🤲ya Rabi mraisishie mja wako muondoshee maumivu mponye ya Rabi 😔😔😔 na mtafute mtu wakumsomea biidhnillah atapona
Amiin
Mungu baba nimeshindwa kumalizia kusikiliza
Amiin
Mungu wewe ndiye mponyaje, watanzania tunakuomba mponye mwanao ktk jina la Yesu Amen
Mungu hana mwana muwaje ujnga
Amina
Amen Mungu wetu ni wahaki na amponye sasa, katika jina la YESU CHRISTO AMEN.
Wampeleke kwenye maombi akuna kinacho shindikana kwa yesu kwa Yesu uponyaji nibure tu uho ugonjwa auitaji tena dawa yeyote ile ilamaombi atapona kupitia jina la Yesu kristo tuna omba na kuami Amen
Pole dada😭😭
Dah, Jaman pole Sana Dada yangu Mungu akusimamie Upone kwa kweli Hapa najikaza tu kusikiliza Mana Machozi yananilenga.
Ameen
Inshaallah Mungu atamfanyia wepesi atarudia kwenye hali yake amin 🙏🙏🙏
Allahumma ameen
Alah atamfanyia wepesi atapona inshaalah
Mungu ni mwingi wa mitiani ila Allah yupo pamoja na waja wake utapona dada tunakuombea pole sana
Inshaallah🙏mungu atamfanyia wepesi 🙏
Jamani matatizo haya Ooh ALLAH tunusuru tafadhalii tumbo lng lotee linaniumaaa jamanii😭😭😭😭😭
Jamani.mung.ampony.Adi.naogopa
Mungu mrehemu mwanamke huyu kwa damu yako ya calivari mponye kabisaa
Tunapokua na neema ya afya tusijisahau kumkumbuka Allah waislam wenzangu hii ni dunia tu
Kweli kabisaa bradha
Ila jamani dahaw anamjuwa mungu mashallah
Nimelia 😭😭😭😭😭Ee Mungu mponye huyu dada ,pia msamehe pale alipokukosea mjalie afya njema ashuhudie ukuu wako ,nimemkumbuka dada aliteseka pia kama hawa na oparesheni atapona Tu mama Mungu awatie nguvu jamani ,😭😭😭ataponya mama.
Inasikitisha kweli huyu dada anapitia machungu,I wish you quickly recover and God protection God intervation my dear. Jipeni nguvu mama zangu mungu ndiye muwesa vyiote.
Daaaaah, kwa kweli inaumiza😥😥. Allah atampa shiffah🤲🤲. InshaaAllah
Mungu ndie kila kitu akuponye mwanangu
Listening very closely....As an Intern Doctor...I truly understand the pathophysiology behind all this ... It's a sad experience for her...And hope All will be well .
Uvimbe kwenye kizazi kwa akina mama au Dada hutokea, I was one of them, kabla ya OP nilifanyiwa Cancelation "nilielezwa nini tatizo yaani niliandaliwa kimawazo kabla ya OP. Baada ya hapo nilipewa muda wa kufikiria na kuchukua maamuzi ya ndio au hapana. So mgonjwa huyu hakuwa ameandaliwa kiali. Na hata kabla ya OP one day before I was told and what they gonna do! Hii ni shida kwamba Hospital zetu zinafanya biashara na sio kutoa huduma. Kitu ambacho ningeshauri watanzania tulipe Bima ya Afya kuepuka hizi ghrama. OP yangu was more that what she paid, ila kwa sababu ya Bima a paid hata laki moja haikufika. In short nililipia kitanda na chakula basi. So BIMA YA AFYA NI MUHIMU SANA
Unaweza kuwa na bima na usitibiwe
Kama ulipona ni Mungu alikuponya kwa nafasi yako na hawa ana nafasi yake ucone kama madactal wako walikuwa sahihi sana kuliko hao hapana kupona ni jambo LA Mungu acha kutupiya mizigo watu
@@paulsimon8585 Umeongea vyema kupona ni majaaliwa ya Mungu
Madocta wa bongo elimu ndogo wamefoji vyeti hao kueni makini sana wasiwe wamesau mikasi tumboni
Mwenyezimungu atamsaidia amuombe allah kwasana ajitahidi.kufanya.istighfari mwenyezimungu yupopamojanae atapona
In the name of Jesus atapona...lov from Burundi
Ameeen
Pole sana Caroline 😭😭 🥺 واذامرضت وهو يشفين yaarabbal mponye mjawako hakika wewe ndie jabbar uliokua hushindwi na kitu chochote Allah swamad Allah Ahad lamyalid walamiyulad walamyakullahu kufuwan Ahad ..kul Audhubirabbil falak miinsharri makhalak waminsharri ghasikin idhawakab waminsharri nnafathati fil_ukad waminsharri hasidin iza hasada yaarabbal ijalie kama nihasad basi ipeperushe irud kwailipotoka Yarabbil mponye aweze kurud ktk hali yake nakama nimaradh Yarabbil wewe ndie mponyaji yaarabbal alameen Ameen 🤲الله اعلم
Wagonjwa wengi tz wanapata matatzo mengi zaidi ya awali wakishaonana na ma-dr wakitanzania tatzo ni incompetence ya madr wetu na kichukulia urahisi na mazoea katika mambo yasiohtaji mazoea. Jamani madaktari kama hujajiridhisha na tatzo toa referral mgonjwa aende kwa wataalam zaidi mnaumiza sana watu na hamjali.!!
Kilichoshindikana kwa madaktari. Mungu kupitia jina la Yesu anaweza yote, mplekeni kwenye maombi
Inauzunisha Sana,poleni wanafamilia,Mungu wetu wa mbinguni hajawai kushindwa,mkono wake si mfupi usiweze kumponya,Yesu kristo mponye dada yetu.
Hapo ndo tujue Allah yupo na anamitihami na majaribio makubwa na hakuna wa kumzui, Ushauri wng kwa mgonjwa akipona inshaallah arudi kwa Allah asirudi ktk hii dunia yenye upuuzi mwingi.
Huo ndo mchango wangu nadhani nimkubwa kuliko hela kwa wale wenye kujuwa hilo.
Amen insha'Allah
Amiin yaa Rabbi
poleni san mungu atakupony dad yetu😢😢
Mashaallah Alhamdulillah hapo upo sahihi kabsa maneno yako sahihi inshaallah kher 🔥🤝
Subhannallah, pole sana Dada, Allah atakuponya
Eeeeeeeeeeee mungu nusuru kizazi changu mm uwiiiiiiiiiiiiiiiiii kwanini wanamkata kakata sana kwanini wamshone tyuuuuuuuuu kwani yy maumivu hasikiiiiiiiiiiii 😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭 i can't take this ooooooooo lord msaidie dada yetu carolin hawa
Jamani huyo dockta si mbadilishe.poleni sana.
Walimpima sukari?
😭😭jmn mpk mwili umesisimka
Mungu wa mbinguni na amponye kwa jina la Yesu 🙏
Yohana 5:43) Hilo jina siyo Yesu, kapandikiza Paulo. Wacolosai 3:17) Lakini Yesu Yohana 10:25) Kayafanya yote! Kwa jina la Yaweh.
@@khalfaniyesu8912 We hujuw...acha upumbavu wako .Nakuonya kwa jina la Yesu.
@@ibrahimmwaikuka4531 Kama mm sijui kitu, kasome yafuatayo: Tito 2:13) Aliyemuita Yesu ni Mungu, ndiye katoa amri kwa jina la Yesu mtapona na mlitegemee. Alianza yeye kulitumikia ndipo akawafundisha na nyinyi pia. Wacorinto wa 1(4:17) Wacolosai 3:17) Matendo 16:18) ukibisha na hapa, nitanawa mikono.
@@ibrahimmwaikuka4531 Yohana 5:43) Yesu kaja na jina la Mungu, Matayo 9:35) akaenda kufundisha na kuabudu Msikitini(Sinagogi) Yohana 10:25) akayatenda yote! Kwa jina la Mungu Yahweh. Matayo 12:28) Roho wa Mungu, ikamuongoza for white heart. Ki ufupi, Bwana Yesu Muislamu mwenzetu
@@ibrahimmwaikuka4531 🤣
Mungu ampe wepesi atapona tu mana Mathayo 19:26"kwa wanadamu hilo haliwezekani bali kwa Mungu yote yanawezekana "zidisha iman kwa Mungu na utapona tu 🙏🙏🙏
Huyu dada kwa Sasa anaumwa wasanii wako kimya tu hatuombi afe Ila akifa watu watatoa mchango utazani hawana akili nzury. Jamani wasanii kaka @diamond na wengine wasanii ambao mnauwezo msaidieni huyu tusubilie mpaka kifo kimfike ndipo tumsaidie. Mungu anisaidie huyu dada
Kweri wanasubiri
Wasanii wa Tanzania hawapendi kusaidiana kazi yao sifa tuu
Wanasubiri diamond asaidie. .kila siku
@@kimshadyg4563 kaongelea hivyo sababu yy anajionyesha
@@faridaessa7844 diamond ni mega star.. Lazima afanyacho.. Kiwe gumzo mtaa.. Sio mambo na kujionyesha.. Wacha chuki zako.. Diamond ni nyota na pia yuapenda kusaidia sana
.hakuna star bongo aliesaidia kuliko Diamond.. Harmonize ni wa pili..hao wengine ni wagumu sana au hawana hela
Nendeni kwa watumishi wa mungu. Msichelewe.
Mungu akuponye dada uendelee na kazi zako mpenzi tunakupenda
ewe allah tunakuomba mjaalie kiumbe wako huyu awe salama na amani apone kabisa kwa uwezo wako yarab inshaa llah
Ameen yarabill alamin insha'Allah Khair
Ameen yarab 🤲
Ameen
Amina
Aamiin
Mwenyez Mungu amponye mwanae careen utapona kipenz Mungu anakupenda Careen utapona kipenz
Mungu amsaidie jamn apone wampelek njee ya nchi
Wewe tu ndie tunaekuabudu na ww tu ndie tunaekuomba msaada, Allah ampe shifaa mja huyu Ya Allah mponeshe maradhi yake Allah amfanyie tahfif Ya Rabbi. Tunamuombea apone haraka inshaa Allah. Allahuma Amiina
Dah!! Operation muickie tu jmn. Pole hawa
Pole San kwa uwozo Wa mungu atapona
Yote ni mitihan ya Allah mungu akufanyiye wepes utapona ishaaAllah kwa uwezo wa mungu
Wasanii wenzie walimposti tu Lakini mawazo yao yako Dodoma kwenye kampen za ccm labda huko wakipata chochote watamsaidia poleni familia
Yani daaaah ni.mtihani sna
Poleni sana
Mungu amfanyie wepesi
Daah mungu akusaidie inshaa Allah polen sana
Daaah namkumbuka uyu dada kwenye ngoma ya bob Junior oyoyo na kwenye movie ya gabo safari ya gwalu daaah niyeyee
Mpelekeni kwenye maombi huyo. Hilo Ni jambo dogo kabisaa mbele za Mungu
kweli kabisa apelekwe kwa mwamposa
Aisha Awadhi huyo mwamposa ni mungu ? wangapi kawa ombeya na kashwinda. kuwa ponya, na ndomana ss wa Afrika tuna kufa mapema kwa ajili y’a mambo y’a kishirikina. sana ! 😒😒
Uwimana@haimaanishi mwamposa ni mungu Ila kikubwa ni imani tu akiwa na imani atapona tu wengi wamepona kwa mwamposa Kama wewe huamini basi baki na kutoamini kwako hivo tu inatosha
@@aishaawadhi4583 kabisa mungu nimwema atapona
Kweli kabisa
Si mpelekeni kwenye hospital kubwa kama mwimbili jamani kwanini mnang’ang’ania sehemu mmoja.
Kabisa jaman hiyo hospital sio zuri
Jaribuni kubadirisha hosp kwa uchunguzi zaidi
Tatizo hela
Hata hyo hospital n nzur zaid mnavofikilia
Sasa sipesa inahitajika hapo ili aperekwe hospital kubwa
Dahh pole Sana Dada Hawa. Maana nikiangalia watu WAnavyo zungumzia maumivu ya opareshion pole Sana
Inshaallah atapona mwenyezimungu awape subira familiya kwa ujumla
Dah Hakik shukuru ukiwa na afya njema tyu hivo vingne 🙏 pole sn DADA UTAPONA
Amina atapona Mungu ni mwema
Nkweli ukiwa mzima mpe shukrani Allah!!kikubwa dua,atapona kwa uwezo wake M/mungu insha Allah
Lots of operation in a short span, medical incompetency indeed, she has an infection and it's causing faceal loading as she is immobile. Please take her to a better hospital
Kiswahili ni kizur zaid na ungesaidia wasio jua kingereza
@@salehameir642 woiye pole sijui kujieleza vizuri swahili but unaweza tumia google translation.
And only Gynaecologists can solve the problem sio kila doc.
@@agwalubifaridah7079 not really for her case if you listen to the narrative her problem related to fertility was resolved however the effects of too many operation have caused more havoc. Ako na infection and if not resolved it will result into sepsis which is life threatening.
@@villageprincessful they shud have used the gynae from the beginning kizazi is a sensitive place kushikwa shikwa ovyo ovyo is a risk especially 4 us ladies
Mungu nyoosha mkono wako ktk hili simama kikamilifu katika hilo fanya kazi yko vile utakavyo wewe na sivyo vile atakavyo mwanadamu ukavunje vunje maagano yote ya roho chafu na kma kuna mkono wa mtu basi kwa damu ya YESU KRISTU aliye hai akapaponye mahali palipo na jeraha Mungu amfanyie wepesi Hawa apate kupona Kwa Jina la YESU kristu Amen🙏.
Hata ukizaa kwa opereshen ukijamba to unasema allahadullh umepona
Mhhhh mamaangu alifanyiawa oparetion na alijamba kila mda lakini tulimkosa
Nilikuwa sijui hili la kujamba kama ni shida kwa mtu mwenye operation
Nilikuwa sijui hili la kujamba kama ni shida kwa mtu mwenye operation
@@jamilapeter3210 ukutoka kupasuliha tumbo baada ya Massa 8 unatakiwa uanze kugeuka geuka ili hewa iliojaa tumboni wakati wanakupasua itoke na hiyo ndio kujamba bila ya hivyo ni mtihani
@@ukhtymwasha9484 😂😂 samahan kwa kuchekaa nimecheka iyo alijamba kila mda ila pole Sana kwa msiba
Pole san
SubhanaAllah Allah amjaalie tahfif apone...anapata maumivu sanaaaa lkn yote ni mapito...Allah atakujaalia utapona careen🙏
😢😢
Aamiin
Pole sana Carina MUNGU wa mbinguni hakuponyeee na imani utapona
Yaaani naumia saanaa jamani eeeee mwenyezi mungu nakuomba umponye mwanao hawa kwn anapata maumivu makali mnooo so sad😭😭😭😭😭
Subhannallah Pole sana kipenzi
Allah atamuafu Inshaallah kila mitihani inapangwa na Allah mama tunakuombea kwa uwezo wa aliyejuu utainuka Inshaallah😭😭
Pole sana dada. Ila Waislamu turudi kwenye duwa, Mtume wetu alirogwa na Allah alimteremshia wahyi wa dawa na akapona. Na ikiwa ni wakristo naamini munamfumo wenu wa maombi pia tuwe tunamuomba Allah ili atufanyie wepesi. Hasadi ipooooo...
Operation hiyo haikuwa successful Madaktari wengine ni wakuogopa sanaaa!!!
Yani mdaktari hawana hujuzi mm yenye hapa nimerudiwa upresheni mara mbili yani inabidi wachukuliwe hatuwa
Nikumuomba mungu tu daktari nae ni mwanadamu yeye pia anamtegemea mungu katika kazi yake kwahiyo sio ujuzi kwani hao wenye ujuzi hawajawahi kufeli kuokoa maisha ya mgonjwa kikubwa ni kumuomba mungu tu
Allah akulinde na husda za waja wake mungu akujaalie afya njema na inshaallah uakuuakw aka atikah
Hapo Kuna mtu anawachezea kabisa bora wampeleke akasomewe duàa au akaombewe kanisan naiman atapona tu🤲🤲
Wanawake kwa ushirikina mko mbele sana.
Sio kuchezewa, kwa wanawake kuwa na uvimbe kwenye kizazi, niko na Miaka 33 na mama wa mtoto mmoja, nilikuwa na tatizo la maumivu ya tumbo na baada ya check up siku iliofuata nilikuwa admitted na muda wa week nilifanyiwa OP na madaktari hawakukuta tu tatizo kwenye uvimbe kwenye kizazi, walikuta tatizo hadi kwenye Ini, na mpaka Sasa niko mzima kabisa Sina tatizo la maumivu Tena. Ushauri kwa akina mama na Dada. Make sure you see your doctor ( Women Doctor) each3 months
Nimewaza kama ww, kuna kitu hapo
Kweli uu ni michez wangeend upand wa pili kwanz pe
Kun mtu anawazeshea mchez yalabi epush ili balaa
Pole sana dada yangu munguu atakujaliya utapowa ishallaw
Mwenyezi mungu atamponya inshaalah daah , honestly it's really pain allah mponye mja wako wallay kweli duniani hujafa hujaumbika wallay🙏😰😰
Pole sana dadangu hawa, mungu akufanyie wepesi upata uponyaji wa haraka. Amen
Pole Sana
Pole sana ewe Dada yangu, msanii wetu, vipi hali yake na anaendeleaje kwa sasa? Mwenyezi Mungu atamjaalia Afya njema.
Kazi nzuri mchaga OG
Poleni sana duuh mungu ata muafu inshaallah uta poa hawa tuombe uzima kwa allaah
@@pilikhamis2924 inshaallah 🙏
Mama poleni sana sana...MUNGU awape nguvu amponye ndugu yetu hawa...inaumiza sana atapona inshaallah
Kwake hakuna linaloshindikana my sister utapoa inshaallah kwa idhin yake
Mungu mponye mtoto wako Hawa jamani ewe shetani muchilie ndugu yetu jamani inaumiza jamani😭😭😭
Pole Sana dada angu inaumiza Sana mungu atakuponya dada angu muombe mungu ndo Kila kitu kwetu Amina
Diamond Platnumz msaidie mungu atakulipa zaidi InshaAllah
Bro nawe jitolee msaada sio had mamilion ya pesa..hata maombi yako
Kila kitu daimondi bongo move kila siku tunaona wakula bata wamsaidie sio kila siku tunaona picha nzuri kwenye mitadao
Hivi nyie, kila kitu mondi. Kwani hakuna Watu wengine.
Duh mtihani pole sana
Kwa vile diamond ndo bwana misaada na ww changa afu dai atamalizia iliyopelea
Wajamtibu ata njia za kisuna mana adi urima Yani mana kama wanakuta hali iyo kweli duh mungu amfanyie miujiza
Mwenyeezi mungu amfanyie wepesi inshaallah atapona🙏🙏
Mungu akusaidie ndugu yangu utapona🙏🙏
mungu baba umponye mja wako jaman Berinda mungu akuponye haraka nakuombea sana jaman mungu sikia maombi yetu
Wasanii hio pesa mnayopata huko kwenyr Kampeni kamlipieni huyu mwenzenu jaman apone. Msipendane wakati wa raha tu 😭😭😭
Fact maneno mitandaoni tu
Jinga wewe
Bint Mungu atampobya..utskuwa alipata infection kali ndio inrprkekea yote hayo na hiyo kuxubaa na kutoongea ni madawa ya usingizi na za msumivu zimrmchosha mtoto hso madactsl sio jsman oparation mara 3 na dawa xa nusu kaputi pua zimepelrkea kuathiri ubongo Ila mkono wa Mungu utasimama..emen
huyu mama anatumia lugha kali sana ,,,,,,, sijui wenzangu mnasemaje?......pole sana dada
Pole dada Mungu wa akukumbuke katika jina la Yesu
Mhh apewe matibabu pia akazaniwe kwenye maombi jamanii...Yesu hashindwi na chaochote atamponya maombi ni muhimu zaidi
We mpunbafu nn mtu anaumwa umuombee kwa yesu apelekwe muhimbili kwa matibabu zaidi hakuna ugonjwa usio kua na tiba
@@hemedimussa2383 si ungeongea tu kistaarabu ndugu yangu hadi uniite mpumbavu?
@@hemedimussa2383 pia sijasema asiende hospital labda hujasoma vzr nimesema apewe matibabu pia na maombi
@@dorisfabian3703 ❤
Pole sana Caroline a.k.a belinda
Wanadada muache bleaching,,stitches zinaachana after kushonwa ila mungu mjalie dada apone jmn.
Kwa hawa namtetea ni mwarabu
@@teddyelizabeth9358 ok
Subhanna ALLAH pole sana mama ALLAH atampa tahfifu Ndg yetu
MUNGU BABA amfanikishe na magonjwa siyo mpango wa MUNGU BABA bali ni spirit tu za kiovu ivyo kumbukeni na maombezi pia karibuni kanisa halisi
Allah amjalie shufaa Yarab
Mungu atamjaliya atapow kwa uwez wa mungu kwan hakun linaloweza kushindikan pasna na kuomba duw na kwa uwez wa mungu atapowa t👐👐☝
Mimi naogopa kuendelea kuskiza😢😢😢 huumia sana ata nikiskia adui wangu anaumwa sana huumia..mola mjalie shafaa mrembo wetu wa bongo movie..she need prayer pia kwa sanaa😭😭😭😭..tunakuombea na mimi huku kenya
Pole Haha Mungu atakuponya kijana mtangazaji anaongea kwa hisia ana huruma Sana huruma ni kipaji hongera kwa kazi nzuri Mungu akupe moyo huo huo
Poleni jamani hao madaktari km wameshindwa wampe rufaa apelekwe muhimbili au nchi za nje
Kwakwer..watamuua dada wa watu
Poleni sana jamani ila Mungu ni mwema Atapona
Mungu atamfanyia wepes inshallah
Pole mwenyezi mungu akufanyie wepesi
Kwenye kujamba apo mchaga ulitaka kuchek a jikaze baba ndo kazi iyo, inshaallah m mungu atamfanyia wepesi atamuhafu🙏
😂😂😂
@@assoumnassor2930 ndoi kwani ww hatujaona?
Nimeona 😂😂😂
Allah shafiq in shaa Allah
Jaman tuwe makini na vipodozi vyetu😰 ngozi ya dada etu ushakua laini haishomeki kirahisi madactar wanapata shida 😪😪😪😪
Yawezeka kumeza vidonge vya kupodoa
Inawezekana pia
Wasije anza singizia mkono wa dactar mbaya maake hawa chelewi hawa
Ndomana sitak kujichubua😁
@@fainajaffary4070 ni bora kubakia na black beauty yako.binafs sina ndoto za kuowa mwanamke alie jichubua au hata weupe wa asili
Mungu msaidie
Mimi naona TATIZO limetengenezwa na hao madaktari wa opresheni awali baada ya kufanyiwa opresheni ,badala ya mkumshona wao walimtia gundi ,nadhan baada ya hiyo gundi waliomuwekea kufeli ngozi ndipo ilipolainika na kuanza kufelisha kila kitu 🤔ilikuwa wamshone tokea mwanzoni baada tu ya opreshen na sio hilo gundi.
Kabisa yani gundi ya operation jaman no gundi ya aina gani hiyo ...madaktari jaman
Gundii ipoo baada ya oparation na watu wanapona mdogo wangu alifanyiwa na akawekewa gundii na kapona kabisaa
Si ni lazima ashonwe kwanza jaman
Pole sana allah kareem in sha allah khery atafanya majabu yake NA kurudi kama zamani NA tatizo likaongoka kabisa 🤲Amiin
Mungu amtie nguvu yallab mungu yupo jmn kapitie mtiham maradh yapo jmn mungu amuafu hawa yallab mfanyie wepes mja wako
Dahhh,Pole sana yaani inauma sana,ila amini mungu utapona hawa.