Yaa Allah nakuomba nifungue vifungo vya uzazi,rizki,mwili wng ndoa yng iondoshe magomvi kama nilifungwa kupitia Dua hii nifunguke Yaa rabbi kupitia Dua hii bi Idhin llah
Eee mola wangu nakuomba unilipie ubaya wote nililotendewa n unikinge n uadui wote kwenye maisha yng n family yng utupe risiki za kazi tutimize malengo yetu Amin yarab 👐 🤲
Mungu wangu nifunguo mwili kama kuna mtu kanifanyia ubaya basi nakukabidhi mola ndio hakim wa hakiii juu yangu nifunguwe vifungo voteee ndani ya mwili wangu niwekee nuru ya mwanga kwenye mwili kila aliye nikusudia ubaya aliye nikisudia husuda basi mungu ni nyooshee 😢
Ewe mola wangu mtukufu naomba unifungulie vifungo nilivyofungwa mimi na familia yangu vifungo vya kichawi, mizimu, majini binadamu tunaowajua na tusiowajua, vifungo tunavyovijua na tusivyovijua. Ewe mwenyezi Mungu niondoshee mimi na familia yangu utasa wa kukubalika utasa wa uchumi
Amina ninadhukuru tunaponywa kwa neema ambayo mwenyezi Mungu ameweka ndani yenu mungu awabariki sana kwa kila utaji ambao mnautaji katika kuenrza habari njema kwa kila mtu wa aina yoyote mbarikiwe sana
Ya Allah kupitia DUA hii nakuomba uniondoshe kwe vifungo vya kiuchumi na unijalie afya njema kwa yeyote alienifanyia ubaya kwenye mwili wangu asiweze kufanikiwa kwa jina lako ya Allah
Maashaa Allah,Allah akufanyie wepesi mambo yako.Nimesikiliza dua hii leo hii baada ya maghrib,wallaah nilikuwa nawaki mgumu saana,mapigo ya moyo yalikuwa kasi,joto kali,mwili kutikisika,vitu kutembea mguu wa kulia,na mwili kustuka hasa mgongoni
Mola wangu nakuomba unifungue vifungo vyote katika mwili wangu nijaalie lizki mtoe malazi mama yangu wafungue watoto wangu vifungo wawe na akili shuleni wajaalie Imani ya hofu juu Yako nahekima amina
Shukran Sana utd mm nilizaleo kusiliza hii duwa baada yaswala yalifajiri kunakitu nilisi kwenye futilangu la mkono wakuchoto nilisi mtetemeko kama marambili una faya kisha una puzik kisha una tetemeka tena badae nikasi maumivu kwambali chini ya unyayo karibu na kidole ngumb mngu huohuo😢 bada yahapo yakarudi tena sem yengine mngu huohuo
Inshaallah Allah atufaye wepec naww akupe Uri mrefu weyeheri Na ww uzidi kutupa Kile alichokujalia Allah Sisi hazuna chakukulipa Ila Nina ima Allah ataenda kukulipa bidhinilai
Nakuomba ee Mora wangu nifungue vifungo vyote vinavyo nizuia kupata haki zangu baraka ridhiki mmume bora kwangu na watt wangu familia yangu ee mora wangu nifungue vifungo vyote
Ya Allah naomba unijaalie mume bora mwenye kuijua thaman ya mke na mwenye hofu ya Mungu🙏🙏 Ya Allah nakuomba umuepushe mama yangu na husda za wanaadam na pia muondoshee maradhi yanayomsumbua kila sku🙏🙏

Shukrani san sheikh alah akubark. Naomba sana allah .anifanyie wepesi niweze kupata mume mwema na anifanyie wepesi ktk maisha yang inshallah 🙏🤲
Asante sana hostadhi kwa kisomo hiki mungu azidi kukupa nguvu , ila nikikuwa natetemeka nilivyokuwa nasikiliza
Amina rabilalamin Mwenyezi Mungu nifungulie riziki nakuniondolea vifungo vyote
Mwenyezi mungu naomba vifungo vyote vilivyopo kwenye mwili wangu riziki yangu maisha yangu vyote vikafunguke ehee mwenyezi mungu nisaidie
Mungu wangu nifunguo mwili kama kuna mtu kanifanyia ubaya basi nakukabidhi mola ndio hakim wa hakiii juu yangu nifunguwe vifungo voteee ndani ya mwili wangu niwekee nuru ya mwanga kwenye mwili kila aliye nikusudia ubaya aliye nikisudia husuda basi mungu ni nyooshee 😢
Amiin kwa wote mloomba dua na mm namuomba allah anilipie kwakila alienifanyia ubaya mm na watt wangu na atufungue kila tulipofungwa kwa ubaya
Wallaah toka nianze fuatilia hizi dua mwili wangu umekiwa mwepesi allaah awalipe mashehe wetu
Ee mola wng nakuomba unilipie ubaya wote niliotendewa na unikinge na uadui wote kwenye maisha yng na familia yng,kazini kwangu.aamin
Mungu baba naomba vifungo vyote vya nguvu ya Giza iniondoke Kwa jina la yesu
Mwenyezi Mungu anifungulie milango ilio fungwa na kuchukiwa😭😭😭🙏🙏🤲🤲🤲
Yaa rabi naomba uwafanyie wepesi watoto wangu katikaa kazi zao na masomo yao na uwaepushe na maadui
Ya Rabi mola wangu nifungulie milango wa kuolewa ishaallh ni mm fatuma bakari
Yaarabi nifungulie vifungo vyote vilivyonifunga katika maisha yangu inshallah
Mwenyez mungu nifungulie kizaz changu Amen
Ewe mola wangu mtukufu naomba unifungulie vifungo nilivyofungwa mimi na familia yangu vifungo vya kichawi, mizimu, majini binadamu tunaowajua na tusiowajua, vifungo tunavyovijua na tusivyovijua. Ewe mwenyezi Mungu niondoshee mimi na familia yangu utasa wa kukubalika utasa wa uchumi
Yaaah Allah nakuomba unifungulie vifungo katika mwili wangu niondolee maradhi yanayomisumbua mwilini mwangu
Yaarabi nifungulie vifungo vyote vilivyofunga katika maisha yangu inshaallh
Ewe mwenzi Mungu kupitia Dua hii mlango wa kumi na moja matarajio ufunguliwe Amiina
Yeah rabi nakuomba unifanyie wepesi nipate mume mcha mungu na hofu ya m mungu pia unifanyie wapesi wa kuuza nyumba yangu
Yeah rabi nakuomba nakuomba unifungulie milango ya rizki na unijaalie mume mwenye hofu ya m mungu na upendo
Amina ninadhukuru tunaponywa kwa neema ambayo mwenyezi Mungu ameweka ndani yenu mungu awabariki sana kwa kila utaji ambao mnautaji katika kuenrza habari njema kwa kila mtu wa aina yoyote mbarikiwe sana
Ameeen inshaa allah
Ya Allah naomba unifungulie milango ya riziki,nifungulie nipate mume wa ataenipenda na ataempenda mola wangu
Ya Tabi mola wangu nifungulie milango ya riziki pia nifungulie milango ya kuolewa yarabi Amiin🙏🙏
MUNGU wangu naomba mume wangu abadilike awe imara katka Ibada na ajae katik Iman ya kweli
Ya Allah kupitia DUA hii nakuomba uniondoshe kwe vifungo vya kiuchumi na unijalie afya njema kwa yeyote alienifanyia ubaya kwenye mwili wangu asiweze kufanikiwa kwa jina lako ya Allah
Amiin
mashallah sheikh Mhmd uncle J Allah akupe kheri nyingi tunakufata sana from Canada 🇨🇦 ❤❤❤❤❤
Maa shaa Allah shukran sana naomba tuendelee kua pamoja inshaa allah
asalam alykum
Eeh yarabi mkarimu, ni wewe pekee na kuabudu na kukuamini, kupitia dua hii, nakuomba ukanipe kila hitaji la moyo wangu,Ameen🙏
Ya Allah naomba unifungue kupitia kisomo iki nifungulie mambo yangu ninyooshee ya kher mola wangu
Allah akupe nguvu nguvu kaka angu akupe maisha marefu ishaallah
Ya Allah 🙏 naomba nifunguke kupitia kusomo hiki inshallah
Maashaa Allah,Allah akufanyie wepesi mambo yako.Nimesikiliza dua hii leo hii baada ya maghrib,wallaah nilikuwa nawaki mgumu saana,mapigo ya moyo yalikuwa kasi,joto kali,mwili kutikisika,vitu kutembea mguu wa kulia,na mwili kustuka hasa mgongoni
Dooh pole Sana dada rahma ila jitahidi usiache kusikiliza hicho kisomo Kwa mda wa siku 21 asubuhi na jioni utaondokewa na matatizo inshaa allah
Mwenyezi mungu anifungulie rizki zangu inshallah
Yeah rabi nakuomba uniondoshee husband nakuomba uniondoshee uchawi mailing mwangu unijaalie rizki unipe afya njema amiin
Kwadua hii mungu atanifanyia wepesi
Ewe mwenyezi Mungu nfungulie matatizo yngu yakazin kwangu nyumbani hd familia yngu Yale yanayo nfika naomba uniepishie juma Suleiman
Ya Alla nijalie hery naridhki zahalali kusudi niwasaidie walionizunguka
Ya Allah nifungulie milanggo inshaallah
Yaallah takabbal duua nakuomb mola wangu nifungue vifung vyot viliv kwenye mwili wangu yaa rabby niepushe na husda za walimwengu eee mola wangu nijaalie mume mwenye kheir ns mim biidhn lillah inxhaallah😭😭🙏🙏🙏🙏
Mwenyezi MUNGU,anifanyie wepesi kwa yale ninayopitia🤲🏻
Pia naomba unifanyie wepesi wa kuuza biashara yangu ya nyumba Allah naomba msaada wako wateja waje
Ya rabi mola wang nifungulie milango yangu niweze kuolewa na salum masud
Ya Allah dua hii ikawe funguo Kwa mwanangu aweze kupata kazi yenye kheri nae
Mola wangu nakuomba unifungue vifungo vyote katika mwili wangu nijaalie lizki mtoe malazi mama yangu wafungue watoto wangu vifungo wawe na akili shuleni wajaalie Imani ya hofu juu Yako nahekima amina
Allah nijaalie Mme mwema mweny kuwa Na hof Na Mungu Na ajue thamani ya mke,
Ameen mungu atakupa alie mwema inshaa allah
@TURIYU Amini 🙏 thuma amini
Ya rabi mola wangu nifungulie milango wakuwa namafankio
Yarabi mwenyezi mungu. Naomba uniondolee vifungo mwilini. Mwangu na nijalie. Nipate mtoto kupitia kisomo hiki
Ya rabbi kupitia hii dua naomba uniondolee mifarakano na mpenz wangu tupatane🤲
Kwa dua hii ya allah nifungulie mazito yote na uniponye na maradhi yangu
Jazzakh Allah Kheir ustadhi kwa kisomo hiki
Inshaa allah
Mashallaaah jazakallahul kher
Wjazzakh alllah kheir allah akuweke maisha yenye barka
Masha Allah yaa Allah akuifadhi🤲🤲🤲🙏🙏🙏
Allahamdulilah jazakha allahurahim inshallah
Kwahakika kisomo kizuri sn sn ni.mekipenda allah akulipe kheri hapa dunianj na kesho akhera
MaashaAllah Ustadhi, shukran kwa kisomo hiki jazakah Allah khair
Ameen
naomba Allah anifungue kupitia Dua jili aniwekee wepes maisha yangu
Mwenyez mungu anifanyie wepesi🤲
Shukran Sana utd mm nilizaleo kusiliza hii duwa baada yaswala yalifajiri kunakitu nilisi kwenye futilangu la mkono wakuchoto nilisi mtetemeko kama marambili una faya kisha una puzik kisha una tetemeka tena badae nikasi maumivu kwambali chini ya unyayo karibu na kidole ngumb mngu huohuo😢 bada yahapo yakarudi tena sem yengine mngu huohuo
Oky hio ni aina ya ushaitwani wa kichawi dada Aisha hivyo kithirisha kusikiliza hio Dua ili upone kabisa tatizo ulilonalo inshaa allah
Inshaallah Allah atufaye wepec naww akupe Uri mrefu weyeheri Na ww uzidi kutupa Kile alichokujalia Allah Sisi hazuna chakukulipa Ila Nina ima Allah ataenda kukulipa bidhinilai
Ewe Allah nakuomba kupitia Dua hii niondolee mikosi mabalaa nuksi mitihani yote vifungo mungu wangu niondolee 🤲
Mashala kaka angu
Nakuomba ee Mora wangu nifungue vifungo vyote vinavyo nizuia kupata haki zangu baraka ridhiki mmume bora kwangu na watt wangu familia yangu ee mora wangu nifungue vifungo vyote
Shukran sheikh kwa kusoma ichi
Inshaa allah
Sheikh asalamkum samahan san mm namba uniombie Dua nip ate mke maan kila ninapo enda sipati naomba uniombie duwa
O yaa Allah subhana Allah wafungulie wanangu milango yao Rasheed, oketch, Zainab, na daud, yaa Allah nakuomba subhana Allah 🤲🤲🤲🙏🙏🙏
Yarabinifanyie wepesi Katika utafutaji Wangu WA riziki
Nashukuru kwa duwa na Mimi naitaji duwaa hii
Yaa Allah nakuomba kupitia Dua hi pokea maombi yangu Subhana Allah 🤲🤲🤲🙏🙏🙏🙏🙏❤
ya Rabi nakuomba unifungulie milango yaliziki nakipato inshallah
Ameeen
Jazzakalahu kheri ln shallah masha Allah
Ya Allah naomba unijaalie mume bora mwenye kuijua thaman ya mke na mwenye hofu ya Mungu🙏🙏 Ya Allah nakuomba umuepushe mama yangu na husda za wanaadam na pia muondoshee maradhi yanayomsumbua kila sku🙏🙏
MASHALLAH MASHALLAH ALLAH AKULIPE KILA LA KHER SHEIKH WETU AKUJAALIE JANNA ❤❤❤❤❤
Ameen shukran
Yeah rabi nifungulie mikosi yote niliyo nayo nahitaji mume mwenye hofu yako mwenye upendo
Ya Rabbi! kesho maenda hospitalini nifanyie wepesi na unifungulie milango yakila kitu na unipe afya hiliyo njema 🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲
Shukran maalim
Asante kaka angu kwa suwa
Jaazakhallah kheir ❤
Ameen
Ya Rabi mola wangu nifungulie milango wakuolewa mm saumu ayub nakuomba
Amiin ...
Saumu upo wapi unataka Jambo la kheri
Amiin ya raby amiin
Eeeeeh
Amin yarrab
Jaazak allhah kher
Yarabi nifungulie yaliyo magumu na ndoa yangu isimame yarabi afya Kwa ajili yangu na family yangu yote.
Ehee mola wangu nijaarie nipate ndoa na mume bora
Mashallah,kupitia dua hii namuomba Allah anifanyie wepesi kwa kila jambo InshAllah
Amin
Marshallh
Yaa Allah nifanyie wepesi kila penye uzito
Isha allah Allah akujaalie kheri 🤲🤲
Ameen shukran dadaangu
Masha Allah
Ya rabi mola mjaaliye moto huyu nadia à zae kwa hara-kiri n'a salama
yaa rabby nifungulie vifungoo vyote
MashaAllah
Amina
Amini Amini 🤲 🤲 🤲
Mi naomba mwenyez mung anisaidie niolew na baba mtot wang alphns ewee mwenyez mung niwekee weoes kuoitia dua hii
Yaarab nifunguli milango bahati zangu
Inshaallah
Yarab niindeshee vifungo vyote maradhi kila kilicho kibaya mwilini mwangu inshallah 🙏🙏🙏
Mashallah
👍
Amin 🙏🙏🙏
Shukran usitazi kwa duwa
Inshaa allah shukran