Ising ya Ute wa Yai

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 11 дек 2024

Комментарии • 56

  • @aromaofzanzibar
    @aromaofzanzibar 7 лет назад +26

    Darasa zuri sana, hongera

  • @khadijakhamis7711
    @khadijakhamis7711 5 лет назад +5

    mashallah wallah nataman uone kazi zangu umenifanya nijifunze mingi saa

  • @hunkilucas6760
    @hunkilucas6760 6 лет назад +9

    Naomba ujibu maswal ya watu kama Aroma of Zanzibar

  • @reycakesjikoni9085
    @reycakesjikoni9085 6 лет назад

    ww n mwalim mzur hongera , kaz nzur sna

  • @azzahsultan6810
    @azzahsultan6810 6 лет назад +2

    Asante sana nimejifunza mengi endelea kutupa maelekezo mengine ubarikiwe

  • @janegeogre3234
    @janegeogre3234 5 лет назад +2

    Asante sana Laura!

  • @hildachipalo208
    @hildachipalo208 5 лет назад

    We dada asante Mungu akubariki

  • @malikiakimwera9524
    @malikiakimwera9524 5 лет назад +14

    Hivi unapofundisha kitu nawale unaowafundisha wanauliza maswali halafu hujibu unatalajia nn? Nakama hutaki kujibu maswali bac usiweke darasa

  • @nuruissa6579
    @nuruissa6579 6 лет назад

    Shukran sana. Barikiwa. Ntakutafuta

  • @r7moh.d705
    @r7moh.d705 4 года назад

    Hongera

  • @scolasticaemmanuel4010
    @scolasticaemmanuel4010 6 лет назад +5

    Kama hauna mashine,unatumia nini?

  • @marymathew6529
    @marymathew6529 6 лет назад +1

    hiko kibakuli cha udongo hakiwez pasuka kwa hizo purukushani za kimix

  • @latifabakari9080
    @latifabakari9080 5 лет назад

    m nataka nijifnze cake nakuptaje

  • @ebitokeofficial3664
    @ebitokeofficial3664 7 лет назад +1

    asante sana...je mixer inauzwaje hiyo...inabei gani

  • @mariammuhammed8401
    @mariammuhammed8401 5 лет назад +1

    Asant sana nimejifunz mengi kupitia ww

    • @hatamimnimempendabulejaman1596
      @hatamimnimempendabulejaman1596 5 лет назад

      Ya ni kweli marimu ni vizur Wanavyoelekeza mana wengine utakuta wanajuwa kupika keki Lakin hawajuwi kutengeneza hiyo ipo ya blue band ipo pia ya ute wa yai ndio hiyo hiyo nilifundishwagwa kwenye ujasili a Mali nilishukur kujuwa. To tubu naipenda sana Ina vitu vingi muhimu hata mie nilijifunza vingi kupitia humu

    • @hatamimnimempendabulejaman1596
      @hatamimnimempendabulejaman1596 5 лет назад

      Mwanzo kabisa nilishangaaga ute ulivyogeuka kipindi nafundishwagwa kama huna mashine unapiga piga tu hata na ule mchapio

    • @hatamimnimempendabulejaman1596
      @hatamimnimempendabulejaman1596 5 лет назад

      Wengine ndio wanatumia whipping na ice sugar

    • @hatamimnimempendabulejaman1596
      @hatamimnimempendabulejaman1596 5 лет назад

      Basi mie Zamani nilikuwa najuwaga wanatumia ice sugar peke yake

    • @hatamimnimempendabulejaman1596
      @hatamimnimempendabulejaman1596 5 лет назад

      Haha hata mie saa nyingine utakuta nataka Sema kitu nasahau tena kama nilikuwa naongea Kwa mfano mama ananitania umbea mwingi ndio mana

  • @conjesteremanuel574
    @conjesteremanuel574 7 лет назад

    darasa la kupamba keki ni sh ngap

  • @rehemasalehe8613
    @rehemasalehe8613 4 года назад +1

    Mnapatikana wapi

  • @vicentjoseph7510
    @vicentjoseph7510 7 лет назад

    Asante dada.Nitatengeneza

  • @noeliasenga8152
    @noeliasenga8152 6 лет назад

    waooooh, very nyc, somo zuri

  • @batengaalinda77
    @batengaalinda77 5 лет назад +1

    Waooo

  • @gracecharles1244
    @gracecharles1244 6 лет назад

    Naomba no zake Dada nijifunz zaid

  • @saumukitchensoyummmy5709
    @saumukitchensoyummmy5709 7 лет назад +6

    naomba kujua kama ndo nshatengeneza ivyo nimepaka kwenye cake..nifanyaje ili iwe ngumu juu ya cake yaan icwe ujiuji

  • @victoriakahemela5408
    @victoriakahemela5408 5 лет назад

    Iko kifaa cha kuchanganyia kinaitwaje na kinauzwa bei gani?

  • @suzzyjoseph6544
    @suzzyjoseph6544 6 лет назад +1

    iyo mashine ya kusangia shingapi

  • @sharifamtonya2192
    @sharifamtonya2192 7 лет назад +2

    Somo zur weka na somo LA foundant

  • @kalejiseiph7540
    @kalejiseiph7540 5 лет назад

    Asante kwa darasa zuri. naomba mawasiliano yako email au namba ya simu

  • @mohmedalabre8104
    @mohmedalabre8104 7 лет назад +1

    Sukari ya kawaida haifai yani ukaisaga ukapata unga .wake naona kwengine mahali niadimu

  • @fraviabakari8720
    @fraviabakari8720 6 лет назад

    asante sana

  • @rahmaa.naim.9391
    @rahmaa.naim.9391 6 лет назад +4

    Icing sugar unawez kuitumia kama fleva kutia kwenye keki yoyote

  • @zalfenassor6748
    @zalfenassor6748 6 лет назад +3

    Me naomba jinc y kutengeneza fondant pls

  • @mohdsalum4782
    @mohdsalum4782 6 лет назад

    za mchana hizo ndude za kupakia iceng mnauza shling ngapi? na hivyo vitamba vyake vya kupakia

  • @juliusmatiku9872
    @juliusmatiku9872 6 лет назад

    Asant but bado hatujajuaa kukausha iyo iskn

  • @aidansingano6313
    @aidansingano6313 6 лет назад

    hyo mixer inauzwa bei Gan?

  • @rahmambaraka8621
    @rahmambaraka8621 6 лет назад

    nataja kujua njisi ya kupamba na unachanganyia nini mbaka ikawa rangi nyingi

  • @daviddeo9866
    @daviddeo9866 6 лет назад

    Keki ya robo inatumia box ngap

  • @rosemrosso8601
    @rosemrosso8601 6 лет назад +3

    Hicho kikombe kina ujazo gani?

  • @upendoasherychota4231
    @upendoasherychota4231 7 лет назад +3

    naomba kuja kujifunza mapishi ya keki pamoja na kupamba vizuri Najua kupika kupamba ndo sijui

  • @jamilafaraj9511
    @jamilafaraj9511 7 лет назад

    Nice

  • @sultanmm7722
    @sultanmm7722 7 лет назад

    asante dd ila naomba unisaidie hiyo mashine ya kusagia bei gani

  • @caritasmushi4092
    @caritasmushi4092 6 лет назад +1

    Hicho kikombe unachopimia Icing sugar ni cha robo au

  • @reycakesjikoni9085
    @reycakesjikoni9085 6 лет назад

    tufunze na kutengeneza fondant plz

  • @leatabyera2394
    @leatabyera2394 6 лет назад

    Niçe

  • @ladysweet6706
    @ladysweet6706 6 лет назад

    Senk you

  • @edwinkomba7444
    @edwinkomba7444 6 лет назад

    Je hiyo mashine yauzwaje?

  • @nadhranaissar9976
    @nadhranaissar9976 7 лет назад

    Asante

  • @faridahassan7158
    @faridahassan7158 5 лет назад

    Ute wa mayai n ya mayai mangapi