Kwa video ya cake yetu ya pili iliyochambuka na tamu sana, pia kutambua kipimo simple cha cake..pitia link hii ruclips.net/video/OcXogFVPXD8/видео.html
Mimi nlijaribu kufanya icing sugar ya ute wa yai one time zamani kidogo nilichokitoa mungu mwenyewe ndo anajua 😂😂😂😂 tangu ile siku nikasema kupika sio fani yangu acha tu nipake make up wengine wapike👐👐👐👐.... Kwa mara ya kwanza aisee umeweza sanaa na ukizitangitia mmefanya kwa haraka haraka
Kwa video ya cake yetu ya pili iliyochambuka na tamu sana, pia kutambua kipimo simple cha cake..pitia link hii ruclips.net/video/OcXogFVPXD8/видео.html
Asanti. Sana kunifundisha nimefurahi sana irikuwa nzuri
Asante nimeelewa...je katika kuchanganya icing sugar na blue band...inawezekana
Nitaandaa video yake dear.Ni rahisi sana
@@gracebimz7935 nitafurai sanaa...napenda mapishi
Hongera sana somo zuri nimeelewa
Asante sanaa dear
Asnt dad mung akubarik
Unaelezea vizuri jamani mummy stay blessed
Karibu sana dear
Asante kwa kutufundisha imatisha zaidi menu pembe sanaa
Asanten kwa kutufunfisha mumetisha sanaa
Asante sana dear
Hongera naomba fundishi
Nakupongeza saana, furaha jiletee mwenyewe, umenikumbusha nilivyoanzia ❤
😄❤❤Asante dear taratibu tutajua
Nice kwakwel never give up mmejitahidi nimependa👌💖
Asante sanaaa ❤❤
Cake inaonekana tamu hiyo, afu iyo piping bag yako sasa my dear big up kwa creativity
Asante sana kipenzi,, hio piping bag imesumbua mno😂.
Ulijitaidi sana
Asante dear
Hongera sana mimi naweza kupika ila kupamba ndy ilikuwa jau ila ntapamba tu na itatoka#hongera kwako
Sawa dear taratibu tu tutaweza
Hongera sana kwa ujuzi wako mzuri
I like that simple method of decorating
Thanks ❤❤
Wawooooo ubarikiwe Sana leo naanza mamy nitahutaji msaada hata cm mamy
Jaribu dear ni rahisi mno
Nimekupenda bure we mdada
Nakupenda pia verena❤❤
Nakupenda pia verena❤❤
4sure mi nimeweza thanks alot guys
Thanks kipenzi
Mimi nlijaribu kufanya icing sugar ya ute wa yai one time zamani kidogo nilichokitoa mungu mwenyewe ndo anajua 😂😂😂😂 tangu ile siku nikasema kupika sio fani yangu acha tu nipake make up wengine wapike👐👐👐👐.... Kwa mara ya kwanza aisee umeweza sanaa na ukizitangitia mmefanya kwa haraka haraka
😂😂pole mamy.. Tatizo ulikata tamaa mapema, ila usijali makeup pia ni ufundi wa hali ya juu. Mimi kwenye makeup nna O kabisa. Najifunzia kwako yan
We Dada umenifurahisha
Jmn nimechek
Hiyo brenda ni ya matunda
😂😂😂😂pole
Waooow mmejitahidi sanaa
Asante sana dear
Vry gd dear njia rahis saana
Ndio mamy ni nyepesi mno
Hongereni jamani naomba muendelee kutulitea mapishi mengine mengi zaidi ya haya
Sawa dear yanakuja
Iko pw cna hyo cace
I like it bby asante kwa mafundisho
Karibu sana dear
Mashallah ume jitaid mwaya
Asanteee dearest❤❤
Zuriiii
Big up my dear be blessed
Amazing just nice it's so good
Hongera sana
Asante dear
Kwakweliiii mmejitahidi sana hongereniii
then unaiwach inakauka
Ongera kwa darass
Asante sana dear
Hongera
Asante dear💕
Ntajaribu
Sawa dear kajaribu
SAFIII
Asante sana
👏good
Dada kwan hainaga sukar mbona kwenye cake inakuaga na sukar
Umeweza sana
Asante sana dear
Good job
Thanks dear
Vipimo
Ute wa mayai mawili kwa box1 la icing sugar na vanila kifuniko kimoja
I like it and thanks alot
Welcome dear❤❤
Hongera nilijalibu nikashidwa
Jaribu tena mamy ni rahisi
Nimewapenda
Tunakupenda pia mamy
Hongereni Sana aisee
Wow Lovely
I like it
Thanks dear❤
MaashaAllah nimependa sana na umeweza kwa kweli
Hahah asante sana dear
Thankyuuu sweety
Asante nami nitajaribu
Sawa dear utanipa mrejesho
Wee! Nmeipenda
Asante dear
Maashaallah
Thanks dear
Ooh wow amazing sana
Asante sana kipenzi
Nimefuah
Ivo vi dude vya kuwekea keki baada ya kuitoa jikoni vinapatkana wapi?
Vinapatikana maduka ya keki dear.Au ata supermarket.Ila hii tulinunua foil alafu tukakata box duara alafu tukaifunikia hio foil dear
@@gracebimz7935 nyc job
Kwani ukishapamba keki icing inakaukaje kwenye keki?
Unaiweka tu pembeni ikauke au kwenye fridge
Upo vzr bibiye👌
Vopimo hujatuandikia
Sante dear
Naoomb kujua hizo rang ni kma Ile manjano ya kachor ?
Hizi ni zile za 300 sehemu nyingine wanauza 500.. hio ya kachori siijui dear
@@gracebimz7935 je ute wa yai ni yai lote au kiini cha njano.nisaidie apo
@@johalimaulidi6683 sio kiini ni yale maji maji meupe kwenye yai mamy
Me nataka bila mayai me mfanyabiashara ya cake
Sawa dear ntaileta hio video
Mashaallah Jamaan Mmejitahdiii Sanasana 💪👊💞💞💞 Nimewapenda nimewaelewaaaa #254
Asante sana dear jirani +254❤❤
@@gracebimz7935 nitumie namba zako
Aupiki kidg uo mchanganyik
Cake 😭😭😋
😂😂😂😂
Wow
Gd i lyk it
Hongera my
Santee
Karibu sana
Pambeee
Ayee💕💕
I'm
Ninzuri
Asante dear
woooooow!
Amazing just nice it's so good
Thanks so much dear💕💕
Wow