TENGENEZA ICING YA KUPAMBIA KEKI KWA KUTUMIA UTE WA YAI😛 RAHISI SANA

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 11 дек 2024

Комментарии • 78

  • @mariafrancis9112
    @mariafrancis9112 2 года назад +3

    Mungu akubariki kwa somo naomba vipimo vya kjtengeneza icin ya kupambia

    • @Sarah1.
      @Sarah1.  2 года назад +1

      Unacukua mayaiii mayai manne ila UTE wake unaupiga mpaka utokeee povuuu,, alafu na icing pakt moja unachanganya... then utaweka ladha vijiko viwil kama n vanila au nyingine ,, natumaini nimekujibu Maria🥰

    • @Sarah1.
      @Sarah1.  2 года назад

      Amen🙌🏻

  • @NalingigwaElibariki
    @NalingigwaElibariki Год назад +1

    Je cake y kilo moja mayai mangap

  • @ZainanthRamadhan
    @ZainanthRamadhan Год назад +1

    Je kama una mashine ya umeme uwezi kutengeneza!

  • @janethshadrack2323
    @janethshadrack2323 Год назад +1

    It's awesome madam,naomb vipimo plz

  • @moseskiarie4265
    @moseskiarie4265 Год назад +1

    Inakauka haraka😮.

  • @carrickmalima2735
    @carrickmalima2735 2 года назад +1

    Cake ya nusu unaweka Ute wa yai,mayai mangap

  • @martinjohn9495
    @martinjohn9495 2 года назад +1

    Keki ya nusuy natumia mayai mangap, pia icng s kiac gan

    • @Sarah1.
      @Sarah1.  2 года назад

      Mayaiii manne tuu na icing box moja

  • @MiriamHenry-w1f
    @MiriamHenry-w1f 2 месяца назад

    Sukali tunaweka mfuko mzma

  • @LydiaNicholus-rc6gd
    @LydiaNicholus-rc6gd Год назад

    Alafu nikitaka kutengeneza cake nzima mayai mangap dada

  • @mussasilima775
    @mussasilima775 Год назад +1

    Mie nataka nijifundishe

  • @mercyglory5673
    @mercyglory5673 2 года назад +1

    Icengsugar inachukuwa mda gan kukauka MNA mim naona inabki vilevile

    • @Sarah1.
      @Sarah1.  2 года назад

      Lisaa

    • @Sarah1.
      @Sarah1.  2 года назад

      Dk 15 inategemea umeiandaje

  • @lizyguye3614
    @lizyguye3614 2 года назад +1

    Je blenda inafaa kufanya hvy dada

  • @Amena-z5r
    @Amena-z5r Год назад

    Nice 😢😢❤

  • @JeskaMwantona
    @JeskaMwantona 8 месяцев назад

    Jekama sina mashine ya kukorogea mayayi itakuwaje kijiko kinaweza kutowa povu la mayayi au blenda lakawaida linafaa

  • @ElizabethProtaz
    @ElizabethProtaz Год назад

    Naomba unitumie vidio zakoo zaupambaji wa keki nyumban keki za biashara

  • @markojaphet1732
    @markojaphet1732 2 года назад +2

    Vifaa gan vinatumik kupambia keki (vinaitwaj?)

    • @Sarah1.
      @Sarah1.  2 года назад +1

      Nenda duka la keki au la vifaaa vya kekii unununue nozzles na plastic bags

  • @hidayasemba4632
    @hidayasemba4632 2 года назад +1

    Nataka ya kutegeneza keki nzima

  • @mwatimakhatib2395
    @mwatimakhatib2395 2 года назад +1

    Nimependa dada

    • @Sarah1.
      @Sarah1.  2 года назад

      Karibuuuu❤️

  • @FestoAtanass
    @FestoAtanass Год назад

    Vipimo vya keki nzima dada

  • @hidayasemba4632
    @hidayasemba4632 2 года назад +1

    Dada mashaallah asante

    • @Sarah1.
      @Sarah1.  2 года назад

      Asante hidaya 💕

    • @neemagwii7566
      @neemagwii7566 2 года назад +1

      Naomba unitumie video ya kutengeneza ice kwa kutumia blue band

    • @Sarah1.
      @Sarah1.  2 года назад

      Ipo kwenye hii channel idownload dear

  • @DianaJuma-sz9dq
    @DianaJuma-sz9dq 13 дней назад +1

    Ninzu ila nauliza unaweza ukachanga kwa kutumia Brenda?

    • @Sarah1.
      @Sarah1.  12 дней назад

      Ndiyo inawezekana

  • @marialwinga6309
    @marialwinga6309 5 месяцев назад

    Minataka kujua vipimo vinavyo tumika katika keki nzima

  • @lizyguye3614
    @lizyguye3614 2 года назад

    Naomba pia vipimo vya keki ya nusu

  • @veillalyimo2134
    @veillalyimo2134 Год назад

    Keki nusu vipimo vyake

  • @winniemwangi4933
    @winniemwangi4933 2 года назад

    Vipimo vya kilo moja pl,
    Vipimo vya kilo moja tafhali

  • @ashuramvungi5830
    @ashuramvungi5830 2 года назад +3

    Kama nikipika keki robo natumia mayai mangapi na hasi sugar kiasi ngani

  • @YulianaElipdius-wl9ys
    @YulianaElipdius-wl9ys Год назад +1

    Tupo wote mama angu 😊😊

    • @Sarah1.
      @Sarah1.  Год назад

      Thank youuu❤️

  • @husseinally9816
    @husseinally9816 2 года назад +1

    inapamb keki ya ukubwa gan

  • @wardatiddi4179
    @wardatiddi4179 Год назад

    Km hiii icing mfuko mzima huwa keki ya mayai mangap

  • @scholaskulimushi-si9ix
    @scholaskulimushi-si9ix Год назад

    Ngisi yaku pamba cake zima ma prestige

  • @happymalanga7207
    @happymalanga7207 2 года назад +1

    Nice madame

    • @Sarah1.
      @Sarah1.  2 года назад +1

      Thank youuu happy 🌹

  • @labellesalha1755
    @labellesalha1755 3 года назад +1

    Ntajaribu dear

    • @Sarah1.
      @Sarah1.  3 года назад

      Okey darling ❤️❤️❤️❤️

    • @Sarah1.
      @Sarah1.  3 года назад

      KUMBUKA kusubscribe❤️

  • @shahzadmehmet5922
    @shahzadmehmet5922 2 года назад +2

    Keki ya kilo mayai mangap na icing kias gan?

    • @Sarah1.
      @Sarah1.  2 года назад

      Mayai matano icing moja na nusu

  • @tatumkwinda2349
    @tatumkwinda2349 2 года назад +1

    Dada unapatikana wapi

    • @Sarah1.
      @Sarah1.  2 года назад

      Moshiii dear

  • @ummushay6513
    @ummushay6513 Год назад +1

    Kama unga robo utatumia kiasi Gani ya icing sugar na mayai mangapi

    • @Sarah1.
      @Sarah1.  Год назад

      Mayai matatu dear

  • @upendoramadhan9222
    @upendoramadhan9222 2 года назад +1

    Mashine bei gani jaman

    • @Sarah1.
      @Sarah1.  2 года назад +1

      Kama hiii nilinunua elfu thelathini dar mpendwa🌹

    • @upendoramadhan9222
      @upendoramadhan9222 2 года назад +1

      @@Sarah1. asante kipenz mm ni mfuasi wako makini

    • @Sarah1.
      @Sarah1.  2 года назад

      Asanteee sanaaaaaa upendooo❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️

  • @zenakidwangise2378
    @zenakidwangise2378 2 года назад +1

    Nikwakipimogani hyo?

    • @Sarah1.
      @Sarah1.  2 года назад

      Keki nusu kilo my dear❤️

    • @Sarah1.
      @Sarah1.  2 года назад

      Icing pakt moja na mayai matatu

  • @rosejoseph9644
    @rosejoseph9644 2 года назад

    Keki ya nusu kilo inaulazima kutumia mayai

  • @salmamtanga9148
    @salmamtanga9148 3 года назад +1

    Vipimo

    • @Sarah1.
      @Sarah1.  3 года назад

      Asante kwa KUANGALIA. Kumbukuka kulike na kubonyeza alama nyekundu iliyoandikwa SUBSCRIBE upate kuona video mpya kila cku. VIPIMO:inategemea na ukubwa wa keki. Lakini icing gram 500 natumia mayai matatu. Na vanilla kijiko kimoja

  • @salehmwaleni3141
    @salehmwaleni3141 2 года назад +2

    Vipimo Mimi nataka kupika lakini nata nielekezwe rangi zinazotumika kuchanganyia

    • @Sarah1.
      @Sarah1.  2 года назад

      Ohoooo unatumia rangi yetote dear ,, iwe nyekundu blue kijani ila uweke kidogo tuu🌹

  • @ailethstiven5856
    @ailethstiven5856 2 года назад +1

    Hiyo uliyotengeneza inaweza kupambia keki nzima

    • @Sarah1.
      @Sarah1.  2 года назад

      Inategemea na ukubwa dear kama ni robo inapamba vzur❤️

  • @emanuelmnyambeu1027
    @emanuelmnyambeu1027 3 года назад +1

    Asante sana kwa soma jmn...barikiwa sanaa....

  • @beatricetv5611
    @beatricetv5611 2 года назад +1

    Darasa zuri.next time uwe makini kuepusha maganda ya yai kuingia kwenye meringue yetu nzuri

    • @Sarah1.
      @Sarah1.  2 года назад

      Asante Beatrice❤️❤️ nitakua makinii