PAMELA AELY OPENS UP ON CRUSHING FOR OGA OBINNA

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 7 янв 2025

Комментарии •

  • @lilianjalemba8954
    @lilianjalemba8954 Месяц назад +15

    Iyo ndio ,inaitwa kujituma , go girl . Try your best pamela.

    • @euniceandibo4686
      @euniceandibo4686 Месяц назад +1

      She's the best at her level we cannot rate her She's in her own room

  • @lucymakandi
    @lucymakandi Месяц назад +6

    Hii ingekuja kaa umbea aki inge kua noma saaana!!!am missing bebii big time 😂😂😂

  • @Mama_edu
    @Mama_edu Месяц назад +14

    Mumeanza kuchezea Obinna sana

  • @KahwaMarryAisha
    @KahwaMarryAisha Месяц назад +8

    this would have made weekly gossip hilarious😂😂😂

  • @winniembula392
    @winniembula392 Месяц назад +9

    Jackie nataka nionekane KWA hii TV 🤪🎄🎄🎄 merry Christmas everyone 🧑‍🎄🧑‍🎄

  • @MercyMuthama-l1g
    @MercyMuthama-l1g Месяц назад +1

    Watu tukimaliza shule Na Pamela mko wapi 👏👏👏👏👏👏👏👏👏

  • @LilianGathuri
    @LilianGathuri Месяц назад +5

    Jacky good job lazima kazi ipigwe❤❤❤

  • @ChristineWanyama-v7y
    @ChristineWanyama-v7y Месяц назад +6

    Uyu Pamela hajielewi 😅😅😅ATI anataka obina kujiaibiwha tuu 😢😢

  • @PhyliceOnsareqqqqqq
    @PhyliceOnsareqqqqqq Месяц назад +4

    Oga ako na bebi wacha hizi 😮😮

  • @JudyNjoki-u6c
    @JudyNjoki-u6c Месяц назад +6

    Woooi obinna sasa akatakatwe kila mtu abembe kipande chake juu weeeh 😂😂😂😂😂😂😂

  • @AnneChesaina-dj5qs
    @AnneChesaina-dj5qs Месяц назад +14

    Sasa heri bebii na obina warudi kufanya kazi pamoja ndio bloggers wapate content 😂😂😂, hizi ni mawat kweli 😂😂😂halafu RUclips imetulia siku hizi,lol kumbe dwf na obina ndio wanaendesha hii mtandao

    • @MariamHussein-cp5tk
      @MariamHussein-cp5tk Месяц назад +1

      Walai kweli imetulia siku hizi nimerudi Nigeria kuona movie

  • @alfieamara8917
    @alfieamara8917 Месяц назад +5

    Jacky keeping a straight face 😂😂Leo ni past tense kila kitu 😂😂 kuna toktok 😂😂😂enyewe we listen bt we don’t judge.

  • @Dancercailegh
    @Dancercailegh Месяц назад +4

    Hii nayo mnalets tumatharau kwa bebii wa bebii wetu iiish,,!!!

  • @MamaVivian-yk5rz
    @MamaVivian-yk5rz Месяц назад +6

    Wah 😊mm na hiyo grade ametumia nguvu sana kuisema anyway twende nalo kamamaa

  • @lenaatieno508
    @lenaatieno508 Месяц назад +3

    😂😂😂😂😂 weekly show I tell you umbea this time ni 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥aki

  • @bettynjiruunner
    @bettynjiruunner 3 часа назад

    Opening my own soap😂😂😂😂

  • @CarolKimeuOfficial.
    @CarolKimeuOfficial. Месяц назад +1

    Lemmi laf ina wei that plises God.😂😂😂 Kasongo yeyeee, mobali nangai.....

  • @janet6736
    @janet6736 Месяц назад +3

    😂😂😂😂😂😂 weeuh obinna has suffered in this streets of online l want to imagine how he reacted when he saw this video 😂😂😂😂

  • @Ronaldo-u9o1g
    @Ronaldo-u9o1g Месяц назад +11

    Huyu ndio nani sasa😂😂... anyway, ni kujituma...fake it until it make sense one day...hivi ndio dem Wa Facebook alianza, ona mambo ya GOD sasa.. wishing you all the best young girl, the future is bright.

  • @MaurineAgullo
    @MaurineAgullo Месяц назад

    Jacky unajuwa mpaka riat❤❤❤

  • @hemedihawa2748
    @hemedihawa2748 Месяц назад +8

    😂😂😂😂😂😂weweee kumekucha sasa obinna afichwe tufyakwa

  • @suzzieDavis
    @suzzieDavis Месяц назад +3

    If she speaks nice English we close all social media😂😂😂
    She is so real
    Much love ❤🎉

    • @Judy-l5j7v
      @Judy-l5j7v Месяц назад

      And she speaks good English behind the scenes

  • @mercygloh1936
    @mercygloh1936 Месяц назад +8

    😂😂😂😂this is too funny nah😂😂😂

  • @carebiandiva5733
    @carebiandiva5733 Месяц назад +1

    😂😂😂kwenye imefika obizee afungiwe jamani eeeih hapana banah🎉🎉🎉

  • @Rockliza-c1r
    @Rockliza-c1r Месяц назад +29

    😂😂😂😂😂😂kizungu yawa ama ni kujifanya.. Obinna you can stop all this mehemehe that is going online😂😂 hata kama unatafuta replacement wa show, insults on you and bebi especially is too much.. she has always stood her grounds that people sholud not insult you but now it’s her on the receiving end..how about you come out and say something coz fans don’t want to reach the level ya going for each other: Team bebi can hear and see this mess but they are quiet out of the respect that bebi has for you na tena DWF is quiet but you know they can speak the loudest and so will your fans: things don’t need to get nasty

  • @winnierapha3470
    @winnierapha3470 Месяц назад +4

    Huyu dem anajua ingoso😊a times anasahau anaongea English poa......vocabulary anatumia will prove that

    • @IreneJerop-vt2il
      @IreneJerop-vt2il День назад

      Yea ,,,it's just a content, she speaks nice English

  • @EstherNjoki-eb6ii
    @EstherNjoki-eb6ii Месяц назад +1

    Let bebi come back 😂😂😂😂hii nayo 😂😂😂😂weeuh

  • @faithchebet-uo4fi
    @faithchebet-uo4fi Месяц назад +1

    Pamela was waited you to be there😂🎉

  • @dinahjahenda-ho1cn
    @dinahjahenda-ho1cn Месяц назад +5

    😂😂😂eeeei ladies Desperation is a worst disease that has no cure.Yaani wengine uku we are really on our knees crying to God Bebi na Obinna to be back together on the show na wengine mko uku mnamcrushia like seriously 😢😢😢bana wanawake tujiheshimu sasa..Now this is clear episode 2 of the weekly show Bebi said siku atabuyia gari ndio utaona wanawake wakijitokeza wanataka Obinna and here we are..Mbona hapo nyuma hakuwa crushy wenu or what changed???Eeeei I just wonder Dear God do something,We are loosing it😭😭💔
    Ladies mkae mkijua Bebi is irreplaceable and she is impeachable mwache kujiaibisha🤦‍♀️🤦‍♀️🤦‍♀️
    Obinna and Bebi mkipatana na hii comment just be back on the show hizi drama ziishe bana 😌😌🥺

    • @ChristineWambua-vm6mb
      @ChristineWambua-vm6mb Месяц назад +1

      Weeeee aky drama nzimekua mingi 🤔🤔🤔

    • @nancyliuva1986
      @nancyliuva1986 Месяц назад +1

      Imagine then watu hawajui DWF had build a huge following and she was aggressive they cannot experience the same Obinna as bebii

  • @tabbyadhis9921
    @tabbyadhis9921 Месяц назад

    😂😂😂😂😂😂I don't know why I'm laughing 😂

  • @Mourine-c2g
    @Mourine-c2g Месяц назад +3

    Wish aletwe obinna show live

  • @BeatriceOiruria
    @BeatriceOiruria Месяц назад +3

    We miss bebii hajana na hizi

  • @MariamSafari-j9g
    @MariamSafari-j9g Месяц назад +2

    Mi acha nicheke tu juu we hii iko mbio sana😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅

  • @sizbentahatieno9635
    @sizbentahatieno9635 Месяц назад +2

    Good job 👍

  • @stellahmuhonja2023
    @stellahmuhonja2023 Месяц назад +2

    Mimi humpenda pamela sana

  • @VerahNyanchama-n6h
    @VerahNyanchama-n6h Месяц назад +3

    Obinna obinna obinna, nimekuita mara ngapi? Yaani madem wameanza kujihaibisha aty wanafallia obina wa Facebook.. anyway obby i know you have a good heart, please patana na huyu wa ruzungu roho yake itulie😅😅😅😅. Tutaambia bebii asikanyage shingo ahutumie tu.

  • @Judy-l5j7v
    @Judy-l5j7v Месяц назад +1

    Huyu dame amenifanya nicheke leo she's so funny

  • @Beth-c6o
    @Beth-c6o Месяц назад +2

    Huyu ndiye anareplace bebii wait and see..but now they will be hosting na tumbili( clout or not) ndio maana bebii wetu alitemwa na madharau ivo obinna is done with her 😢... Walianza kumumentor one month ago

    • @janet6736
      @janet6736 Месяц назад +1

      I have heard this somewhere else to but they haven't let go of Dem wa Facebook she is irreplaceable l guss

  • @liliankaburu3478
    @liliankaburu3478 Месяц назад +4

    This so funny 😂😂😂

  • @africandeliciousfoods28
    @africandeliciousfoods28 Месяц назад +2

    Wueh
    Mtaua bebi wa bebii yawa😂😂

  • @kentsfinestlady47
    @kentsfinestlady47 Месяц назад +2

    If dwfb ame out grow weekly show she can try and see where it goes na pia yeye aki grow afly mwingine akuje a pick it from there msifunge show juu ya mtu any one can do it

  • @Vymo-lv9cu
    @Vymo-lv9cu Месяц назад +6

    Hii you tube ilinabamba wakati tulikua tunaingia tunakutana na videos za DWF na Obina, sikuizi kinaboo 😢

  • @paulinanduku2748
    @paulinanduku2748 Месяц назад +2

    Pamela likes using past tense😂😂😂

  • @MaurineAgullo
    @MaurineAgullo Месяц назад

    Pamela kumbe wewe ni wa home jamani

  • @tabithakimeu
    @tabithakimeu Месяц назад

    Waaah!. Interesting 😊

  • @linetcheptoo2808
    @linetcheptoo2808 Месяц назад +1

    Kizungu yaaawaa😂😂😂😂

  • @jacki-q8s
    @jacki-q8s Месяц назад +2

    Kwani bebí ni mawe,alikuambia waliacha ama,wacha na obinna plz plz

  • @Kynjoh1
    @Kynjoh1 Месяц назад +2

    Bebii is impeachable ata kuende aje

    • @janet6736
      @janet6736 Месяц назад +1

      Walai 😂😂😂😂 Even in obinnas life .

  • @Lucyndungu-d1m
    @Lucyndungu-d1m Месяц назад +1

    Content iliisha n ma which this, weekly show irudi sasa

  • @sizbentahatieno9635
    @sizbentahatieno9635 Месяц назад +5

    Kwangu naona mumeanza kuchezea Obinna jameni🤔

  • @Dora1533
    @Dora1533 Месяц назад +4

    The friends you ranned away God is watching you😢😢

  • @MercyJemeli-wv1ye
    @MercyJemeli-wv1ye Месяц назад +1

    Obinna is suffering🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @GraceJeptanui-hi1vy
    @GraceJeptanui-hi1vy Месяц назад +3

    😂😂😂😂😂😂 Jesus Christ huyu naye alitoka wapi, mungu Rudisha obina na dem wa face book

    • @janet6736
      @janet6736 Месяц назад

      Kabla tuone mengi jameni 😂😂😂😂😂

  • @Everlyne-r3b
    @Everlyne-r3b Месяц назад

    😂😂😂😂Our Oga for all

  • @Iereen
    @Iereen Месяц назад +4

    Huyu ni mjinga sna mbna amekuja hapa na venye alikuwa anaongea vibaya kwa Obinna na DMF

  • @LucyNzuki-i3p
    @LucyNzuki-i3p Месяц назад +2

    Kizungu😢😢😢

  • @Dora1533
    @Dora1533 Месяц назад +11

    The oga of the baby😂😂😂

  • @judithakoth4166
    @judithakoth4166 Месяц назад +1

    😂😂😂😂😂I luv my sister from HB. That’s how I speak French

  • @Favourit
    @Favourit Месяц назад

    I drop the crush😂😂😂

  • @Mukami_Camy
    @Mukami_Camy Месяц назад +2

    Team grow together niptie nikupitie❤❤❤

  • @Valentine-hn3pq
    @Valentine-hn3pq Месяц назад

    Comedy si mchezo walai 😅😅😅

  • @Winns-lw5ff
    @Winns-lw5ff Месяц назад +1

    Aende weekly show imiwa anamtaka

  • @blessedblessed8582
    @blessedblessed8582 Месяц назад +2

    PAHALI IMEFIKA NAONA TUKIFUNGUA PAYBILL TUTOE SACRIFICE TWENDE KWA MADHABAU TURUDISHE NYOTA YA WEEKLY SHOW 😂😂

  • @CHRISTINEAwino-o8o
    @CHRISTINEAwino-o8o Месяц назад +2

    We listen but we don't judge

  • @Hylinekemunto-j1m
    @Hylinekemunto-j1m Месяц назад

    Wajaluo na kishuku ni yao ❤❤❤❤

  • @WeinslauswereWere
    @WeinslauswereWere Месяц назад +1

    Hii ni Noma Waseem😂😂😂🤗

  • @LoseLose-re4rt
    @LoseLose-re4rt Месяц назад +1

    Aja nicheke hizi gani😂😂😂😂

  • @edithnekesa4051
    @edithnekesa4051 Месяц назад

    Wish you all the best

  • @faithkanini4508
    @faithkanini4508 Месяц назад +1

    You pretend to be innocent na mukipata pesa munaanza kuongea vibaya, we umetumwa na Nani, she is only one and we can't replace her

  • @Sisline
    @Sisline Месяц назад +2

    Mtu anaamka2 na moods poa alafu akiingia online anapata masiriko😂😂😂😂yaani waschana hii town wanafanya naskia aibu

  • @donaldsshow5534
    @donaldsshow5534 Месяц назад +1

    Hapa watu ni kutumia obina vile wanataka alafu wakilipuka ni madharau that's why I will always leave to feed only my kids

  • @nellysimiyu
    @nellysimiyu Месяц назад

    Pamela go girl lol 😂

  • @IrineKathue
    @IrineKathue Месяц назад +2

    Uko sure hajui hizi wended na joineeed are real😂😂kujifanya tu

  • @christinemahenzoruwaruwa3154
    @christinemahenzoruwaruwa3154 Месяц назад

    Si I runned home 😅😅😅 baaasii kisungu ilikuja n maji

    • @MercyJemeli-wv1ye
      @MercyJemeli-wv1ye Месяц назад

      Mniuwe 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣apo kwa toktok

  • @carostearnold8555
    @carostearnold8555 Месяц назад

    🤣😂🤣🤣🤣🤣God help me not to laugh.

  • @kaeynzy-yvy
    @kaeynzy-yvy Месяц назад

    Wewe wacha sasa😂😂😂😅😅😅

  • @JosephineMueni-v4y
    @JosephineMueni-v4y Месяц назад +1

    Aki na vile nilikua nimeamka na mood mzuri then nakutana na aboson

  • @MukamiJudy
    @MukamiJudy Месяц назад

    Hizi ni mawhich 😢😂😂😂😂😂😂

  • @exploringthescriptures-y2y
    @exploringthescriptures-y2y Месяц назад

    Hizi ni ma what,hizi ni ma which 😂😂😂😂😂😂

  • @Fatuf4951
    @Fatuf4951 Месяц назад +1

    Ndio huyu atafanya uombea na obin weekly chow majina warizowea bebi na bebi wa bebi sas itakuwaje😂😂😂😂🤣

    • @janet6736
      @janet6736 Месяц назад

      😂😂😂😂😂 nobody can fit into bebii shoe jameni 😂😂😂

  • @FridahMukami-pw7lk
    @FridahMukami-pw7lk Месяц назад +3

    Naisha 😅😅😅😅😅😅😅😅😅

  • @KENYANQUEENOFFICIAL
    @KENYANQUEENOFFICIAL Месяц назад

    😂😂😂😂😂😂😂😂😂 kizungumti wewe😂😂😂😂, nipitieni guys

  • @annshiku606
    @annshiku606 Месяц назад

    This girl is thomedrs ajifanya na black beauty

  • @Renewedkindness
    @Renewedkindness Месяц назад +1

    Oga Obinna come pick your new babe 😊

  • @LydiandukuMutio
    @LydiandukuMutio Месяц назад +2

    Kila mtu akiamuka, anamuka na obinna, what's wrong with you people,wewe pamela go and find your baby daddy and leave obinna alone

  • @leonardomungat2924
    @leonardomungat2924 Месяц назад

    hii kizungu na yangu zinaenda draw tofauti inakujia kwa mandiko

  • @euritarnyaboke8004
    @euritarnyaboke8004 Месяц назад

    I started washaring my clothes clothe wosha 😂😂

  • @boboyann
    @boboyann Месяц назад +1

    The Corona kamed😂😂😂😂

  • @KELVINBRANDK
    @KELVINBRANDK Месяц назад +2

    100peoples mnipitie niwapitie

  • @leahkikuvi9795
    @leahkikuvi9795 Месяц назад

    Siata uchukue Stivo simple boy,coz ana mtu😂😂 OBINA ni GOLD ya mtu plz

  • @SHOWBINGETV
    @SHOWBINGETV Месяц назад +1

    Endelea tu ku crushia obinna utapata hiyo accident unatafuta 😂😂😂ask DWF.

  • @ROSE-m1f4s
    @ROSE-m1f4s Месяц назад

    ❤❤❤mashemegi lv u

  • @dfremac
    @dfremac Месяц назад

    E am upsent😂😂

  • @SarahMusimbi-ng7nc
    @SarahMusimbi-ng7nc Месяц назад +2

    Ama hyu ndio ule alikuwa. Akivaa wig ya shosh 😂😂😂😂😂

    • @margaretwanjiru5285
      @margaretwanjiru5285 Месяц назад

      Yeaahhh it's her

    • @SarahMusimbi-ng7nc
      @SarahMusimbi-ng7nc Месяц назад

      @@margaretwanjiru5285 exactly na nilijua mbn madem tunajiabisha hvo...obbina alisema anamtaka alahh

  • @preccypressy2226
    @preccypressy2226 Месяц назад +1

    Hawa ndio wanatusi dem wa Facebook left right kwa acc yake

  • @williamkiritu8489
    @williamkiritu8489 Месяц назад

    Her english is kings James version 😂

  • @SurprisedBirdBath-qh2nn
    @SurprisedBirdBath-qh2nn Месяц назад

    😂😂😂😂😂😂😂😂 hii ni kizungu ya wapi xx.jacky umetuletea

  • @ELIZABETHDEDE-b2e
    @ELIZABETHDEDE-b2e Месяц назад +1

    Nooop we want bebii back

  • @kenronlemagah3863
    @kenronlemagah3863 Месяц назад

    Jackie ati mzee ametufanyia nini

  • @elizabethotieno7270
    @elizabethotieno7270 Месяц назад

    wasichana mbona tunapenda kujiaibisha jamani