Hiii story ni ya uongo huwezi fungua hardware 7 kwa mwezi mmoja ...jamani mnavyotunga stori muwe mnakubuka mlikotoka huyo kijani namfahamu kabisaaa hakuwahi kuwa na pesa. Ni mbangaizaji tuu wa mitaani.
Kumbe unaishi kwenye ukoo wa Kishenzi basi hiyo hofu ya Mungu lazima usiwe nayo. Ili usamehewe na hiyo Roho ya Kipepo ikutoke lazima uokoke urudi kwa Yesu bila hivyo utataabika sana Duniani mpaka kuzimu.
Hii ni acting ama ni kweli? Nakama ni kweli kwanini serikali ya tanzania haichukui sheria kwa watu kama hawa maana ni upotoshaji wa hali ya juu zaidi kwa vijana wanao kua wataiga mambo haya nakuipotosha kizazi kijao hata watu wa kawaida
Shetani na maagenti wake wanafanya kazi yao ya kuua na kuchinja kwamwendo kasi .sababu muda wao ni mchache. Shetani analijua hilo .kijana wa miaka 20bado unafunikiwa chakula unatafuta utajili? Siku si mbali mtu akifikia miaka 30 ni mzee kilongwe.dhambi zinazidi kutupunguzia miaka
Subhanallah. Kenge kwelii mbwa wee
Family ya Laana kweri duh Noma saana mungu atusaidie sana
Kwambio mbio huyu kapewa hela aongee uppuuzi
Hiii story ni ya uongo huwezi fungua hardware 7 kwa mwezi mmoja ...jamani mnavyotunga stori muwe mnakubuka mlikotoka huyo kijani namfahamu kabisaaa hakuwahi kuwa na pesa. Ni mbangaizaji tuu wa mitaani.
Duuh nomaaa na dunia
Weee kijana wee ni jinga sana
Kumbe unaishi kwenye ukoo wa Kishenzi basi hiyo hofu ya Mungu lazima usiwe nayo. Ili usamehewe na hiyo Roho ya Kipepo ikutoke lazima uokoke urudi kwa Yesu bila hivyo utataabika sana Duniani mpaka kuzimu.
Hii ni acting ama ni kweli? Nakama ni kweli kwanini serikali ya tanzania haichukui sheria kwa watu kama hawa maana ni upotoshaji wa hali ya juu zaidi kwa vijana wanao kua wataiga mambo haya nakuipotosha kizazi kijao hata watu wa kawaida
Huyu kijana mbwaaa sana walai mbwaaaaaaaaa
Ushindwe katika Jina la yesu
Mungu amuongoza huyu kijana
Makubwa hayo
Lakini mbona kama ni story yakujazia kipindi vile yaani yakutengeneza.
Hiyo Story Ina-Niburudisha
Watu wame fyatuka jaman
Uwaue watu wangani ? Huyu hajielewi anataka maombi kwa wingi 😔
Live from Nairobi Kenya nawashukuru sana wawandishi wa habari wa Fox Tv
Mimi sipotezi muda wangu kumuombea mtu kama huyo ambae uo utajili atautumia kwa muda mchache tu.shetani hana zawadi ya bule
Waah huyu ana akili kabisa kizazi cha laana yaani hata huruma ana kabisa yy kwa kuua ako sawa...
Mmmmmh
Mmmmmmm aya bhan
Jamani mbona shetani anachukua nafasi kubwa hivi tunamtupa muumba
Wewe ni mchawi mkubwa nyie ndo mnasababisha tunakosa mvua.Utachomwa kama Sodoma na Gomoro
Huyu hana hadithi yeyote
mbwa huyu
Kimetumwa hiki sio bure
🙆♂️🙆♂️🙆♂️🙆♂️🙆♂️🙆♂️
Dah mtume huyu dogo mtume 🥱🥱🤲
Bro acha ujinga,hakuna njia rahisi ya mafanikio,halafu acha kumuweka Mungu kwenye huo ushetani wako
Hiyo nchi ya Tz haijielewi ni ushenzi mtupu. Waganga washenzi kama hao wanauwawa hawana maadili ya uganga
Chizi hiloo
Waganga wana leseni lakini wanaipotosha jamii
Jamani hebu tuwe na hofu ya Mungu
Shetani na maagenti wake wanafanya kazi yao ya kuua na kuchinja kwamwendo kasi .sababu muda wao ni mchache. Shetani analijua hilo .kijana wa miaka 20bado unafunikiwa chakula unatafuta utajili? Siku si mbali mtu akifikia miaka 30 ni mzee kilongwe.dhambi zinazidi kutupunguzia miaka
Kwani wewe hutakufa,jitoe mwenyewe,hawa ndio wanatuponza tunashushiwa maradhi ya kila aina .pumbafu we.nyokolinyoooo
Yaan Flora huyu kijana ananipa hasira kama wewe, natamani nimuone live sijui ningemfanyaje jamani mweeee. Akapimwe akili.
Huyo katumwa aongee hivyo