Nduguu yanguu nakupenda Kwa ajili ya Allah na nafuatilia saana mawaidha yakoo tafadhali nipe elimu yenye manufaa sitaki kidhulumu Wala kudhulumiwa inshallah kheir
MASHA ALLAH TABARAKALLAH jazakumllahu khayra 🙏 mola atuongoze swiratwal mustaqiyma Yaa الله tunakuomba tusamehe dhambi zetu na tujaalie mwisho mwema wa mauti yetu amiin...mola akuhifadhi huko ulipo
Allah akubashirie Janat Ferdaus .Allah akupe umri mrefu ili tupate kujifunza kutoka kwako tunakupenda kwa ajili ya Allah Sheikh Othman Allah akuhifadhi yarab
Lailaha ilalah sheikh othman, may Allah guide us to the right path and make kalimatul Laailaha ilalahu be my last breath ya Allah!!! Ya Allah give sh othman and all Muslims janatul Firdows by your mercy Allah.
Masha Allah! May Allah bless you and give you long life in the service of Islam. If you can also give talks in English for the youth . Especially for those in the west. ❤
Alhamdulillah yeye ni WA kwanza Kwa mke mkubwaa Kwa Allah yaa rahma baba yetu na marehemu mama yake akafariki na baba yangu akamuoa marehemu mama yanguu Allah yaa rahma alufiwa na kaka yake mdogoo ndio akamridhii alee watoto mayatims ambao ndio nduguu zangu watatuu vijana Kwa neema yake Allah tulijasluwa kuzaliwa wanne dada yanguu na kaka yangu Allah yaa rahma wanetangulia tumebakis wawili Mimi na kaka yanguu mdogoo wanguu tufanyeje Kwa mgao WA miradhii hio 24:07
Yeye mkubwa Wetu ndio alikua msimamizii WA miradhii hajawahi kutushirikisha Kwa chicken chochote barabara imepita akaliowa fidia akampa rafiki yake roboi ya ardhii bila kutuuliza jee sahihi kuwaridhisha nduguu zakee upande waa mama yake ambae aliachika akaolewa na mume mwingine na kuzaa watoto wengine inawahusu miradhii ya marehemu baba yanguu/
Mashallah. In shaa Allah Allah ajaalie ukumbusho ukufae ww mm na wengineo na ajaalie ime kwenye mizani yako ya hasanat kesho siku ya malipo na hesabu. Amin Ila nna ombi Moja ya sheikh ikiwa haitokua taqlifu darsa zifanyie caption na subtitles japo za kizungu na kiarabu ili ziweze kunufaisha wengi wengineo ambao hawaelewi sana kiswahili.
Angalau yy ans visa vya uongo toa chako visa vya ukweli ss binaadamu hatuna heri hatuwachi kupinga ujinga tuachane kupinga kisichopingika kitu kisichopingikauuuu❤❤
Allah atufanyie sahali shekh lkn mtihani mkubwa tunao kwa nchi hizi nikiwemo katika hizo nchi za nje watt hawajui chochote kuhusu uislam na tunajitahid kuwafundisha lkn Allah Knows better.
Nakupend sana shekhe othman maalim kwa alijili ya Allah
Mungu akupe maisha marefu.Napenda Mawaidha yako.Unatuwetheya kwa Busara,Hikma na kwa Nidhamu.Mungu akubariki.
M.mungu azidi akubariki mawaidha mazuri sana Alhamdulilah
Nduguu yanguu nakupenda Kwa ajili ya Allah na nafuatilia saana mawaidha yakoo tafadhali nipe elimu yenye manufaa sitaki kidhulumu Wala kudhulumiwa inshallah kheir
Subhana Allah! Lahaula walaa quwwata ila billah. Allah atujaalie khusnul khatima...amiin
Nashukuru kwa kutufikishia ujumbe nzuri, Allah akuhifadhi shekhe wetu
❤ mashallah Allah akupe yakiini na elimu na afya Inshaallah naulizia tuko na miradhii ya marehemu baba Allah yaa rahma ameichunga
Mashaallh Allah akupe kila la kheri maalim
Mashaallah Allah akubariki.
Allah atustiri sie na vizazi vyetu hakina Adhabu ya Allah ni kubwa
Nakupenda sana shekhe Othman Maalim, Allah akuhifadhi, subhannallah Allah tupe mwisho mwema Yarabb 🙏
Inna Lillah wa Inna ilayhi Raji'uun kisa cha kuhuzunisha sana😢 JazakALLAH khairan Sheikh kwa Ukumbusho mzuri sana
ALLAH will give u and u will be satisfied In Shaa Allah
Allah akupe siha na umri mref wenye kheyr inshallah. Shukran kwa ujumbe mzur. Allah atuongoze
Allah akupe umri mrifu shekhe nakupenda kwa ajiri ya allah
Allahumma aamin
Amiin🤲
Alhamdulilah Allahkuli hali
Jazzakumllah Khery
Mashallah Mashallah mafunzo mabwa uliyotupa shekhe wetu shukran
MASHA ALLAH TABARAKALLAH jazakumllahu khayra 🙏 mola atuongoze swiratwal mustaqiyma Yaa الله tunakuomba tusamehe dhambi zetu na tujaalie mwisho mwema wa mauti yetu amiin...mola akuhifadhi huko ulipo
Shukran jazillah kwa ukumbusho mufti Allah akuzidishie elimu , afya njema na umri tuzidi kufahamu yanayo mridhisha Allah
Allah akuzidishie khery
Allah akubashirie Janat Ferdaus .Allah akupe umri mrefu ili tupate kujifunza kutoka kwako tunakupenda kwa ajili ya Allah Sheikh Othman Allah akuhifadhi yarab
Mashaallah tabarakallah sheikh ngu shukran kw ukumbusho Allah akupe afya njema nakupenda kw ajili ya Allah
Allah atupe mwisho mwema ameen
SUBHANA ALLAH
ALLAH atustiri ss na vizazi vetu atupe mwisho mwema
Rabbi zidna ilman walrzuqna fahma, amiyn
Mashallah tabaraka Allah mwenzi mungu akulinde wewe na Muslims ummah amin Allahu maamin
Alhamdulilai mashallah sheikh shukran jazzaka Allah khery
Alhamdhulillah yarabi 🤲
Mashaallah tabarakallah.mawaidha mazuri.Jazakallah kheir sheikh.
Napenda mawaizayako shehe swadakta
MASHA ALLAH
😢😢😢😢Allah atujaalie mwisho mwema anichukue nikiwa muislam na kaul yangu ya mwisho iwe kilma Laillaha ila Allah
Aamina yaarabbilaamin
AMEEN SOTE ISLAMU YAARABBI
Lailaha ilalah sheikh othman, may Allah guide us to the right path and make kalimatul Laailaha ilalahu be my last breath ya Allah!!! Ya Allah give sh othman and all Muslims janatul Firdows by your mercy Allah.
Shukran sheikh kwa kisa kizuri cha kutufunguwa akili
Neema za Allah hazihesabiki Alhamdulilah kwa kila nilopewa na kila nilo nyimwa na kwa kila hali
Allah akuzidishie khery maalim wetu
Shukran sheikh wetu
Mwenyenzi mungu akulinde na mabaya akupe mwisho mwema
Shukran yaa sheikh Allah utup mwisho mwema
Baraka LLahu fik u jazaka Lahu lkhair
Allahu akbar, nijalie mwisho mwema mollah wangu
Masha Allah!
May Allah bless you and give you long life in the service of Islam.
If you can also give talks in English for the youth . Especially for those in the west.
❤
😅o😅😅😊
P
Acha xhobo
Allah akupe uhai mlefu wenye afya shekhee maan ipite siku bila kuskia mawaidha Yako naona km nime kosa kitu au fulaha
Amiin
Allah akuhifadhi sheikh
Love 💕 you Othman maalim for allah
Allah akupe afya njema maalim wangu
Subhanallah 😢 Allah atujalie mwisho mwema
Allah azidi kukupa elimu na uendelee kutupa darsa
Hii ni mtihani yarabi mungu atufanyie wepesi atuondoleye maradhi tuliyonayo kwa kikumbwa ni kuwacha mambo yasiyokuwa na maana😢
Subuhnallah shukran sheh kwamawaiza mazuri
SUBHANA ALLAH! ALHAMDULILLAH ❤
Alhamdulillah yeye ni WA kwanza Kwa mke mkubwaa Kwa Allah yaa rahma baba yetu na marehemu mama yake akafariki na baba yangu akamuoa marehemu mama yanguu Allah yaa rahma alufiwa na kaka yake mdogoo ndio akamridhii alee watoto mayatims ambao ndio nduguu zangu watatuu vijana Kwa neema yake Allah tulijasluwa kuzaliwa wanne dada yanguu na kaka yangu Allah yaa rahma wanetangulia tumebakis wawili Mimi na kaka yanguu mdogoo wanguu tufanyeje Kwa mgao WA miradhii hio 24:07
Kiongozi wangu wa Hajj Allah akuhifadhi
❤naenda kuamua hakii marehemu alipofariki nilikua na miaka miwili unusual mdogoo wanguu alikua na miaka Moja na nusuu
Rabi zidina ghilima waruzukuna fahama nabi walimurusalina
Masha allah , Tabarakllah
Allah Akbar
Alhamdulilah ❤
❤MASALA❤ 3
Wasalm
❤❤🎉🎉🎉🎉
Yeye mkubwa Wetu ndio alikua msimamizii WA miradhii hajawahi kutushirikisha Kwa chicken chochote barabara imepita akaliowa fidia akampa rafiki yake roboi ya ardhii bila kutuuliza jee sahihi kuwaridhisha nduguu zakee upande waa mama yake ambae aliachika akaolewa na mume mwingine na kuzaa watoto wengine inawahusu miradhii ya marehemu baba yanguu/
Sheikh uko sawa kwa mawaidha yako lakinii shida umalizi kiswa kama hii ya mgonjwa wewe unatoka kwa mada mara mingi ustadh
Allah atupe nusra
Maa shaa Allah
Acha kuwaongelea mabaya mashekh wetu
Mashaallah ❤
Subhannah llah....
🥰🥰🥰🥰🥰🥰
Inna lilahi waina ilahi rajiun
Shukra ya sheikh Doctor wa
Wa roho zetu
Mashallah
Wekeni videos ziko kamili na story ziko sawa da'wah ziendelee
Mashallah. In shaa Allah Allah ajaalie ukumbusho ukufae ww mm na wengineo na ajaalie ime kwenye mizani yako ya hasanat kesho siku ya malipo na hesabu. Amin
Ila nna ombi Moja ya sheikh ikiwa haitokua taqlifu darsa zifanyie caption na subtitles japo za kizungu na kiarabu ili ziweze kunufaisha wengi wengineo ambao hawaelewi sana kiswahili.
Angalau yy ans visa vya uongo toa chako visa vya ukweli ss binaadamu hatuna heri hatuwachi kupinga ujinga tuachane kupinga kisichopingika kitu kisichopingikauuuu❤❤
Nusral khatima yarrab
Allah atuongoze yarrabh hatary sana
Sheh tuongeze ya wazazi
Yes😊
❤
Allah atufanyie sahali shekh lkn mtihani mkubwa tunao kwa nchi hizi nikiwemo katika hizo nchi za nje watt hawajui chochote kuhusu uislam na tunajitahid kuwafundisha lkn Allah Knows better.
Mashalwa
Jazaka llahu kheyri shekhe wetu mola akuhifadhi
😅😅😅😅😅😅
Sheh Nina ndot nimeot ikiwa pamoja na ww ninahtj unifafanulie
Mche allah othman maalim kazi kutunga visa tu vya uongo fundisha vitabu watu wapate elimu acha kutunga visa vya uongo
Fundishe wew vitabu
Sisi tunafaidika na visa anavotoa
@@khaijakadija2082 tatizo ni vya uongo sasa
@@khaijakadija2082 tatizo visa vyenyewe vya uongo sasa faida gani inapatikana kwwnye uongo
Kwan kwel kusoma hatujuw kwel una uhakika visa anavyotunga vya uongo jiheshimu m2 haitwi muongo
Au Tunga ww vilivyokuwa vya kwel usomeshe na vitabu utaielimisha jamii
ALLAHU MISTAAN
Nchi za Makafiri Ni nchi gani hizo?
England
NI nchi hazitawali uislam.
Neno kafiri maana yake ninii
Neno kafiri maana yake ninii
Anaeabudu asiekua allah
Kwanza huyu so salaf lbda ww
Keep education us and knowledge
Mashallah
Mashallah