MBOGGO MC FT SUDA - HATUNA MAJIRANI (Official Video)

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 21 дек 2024

Комментарии • 168

  • @Said13Mashakaog
    @Said13Mashakaog 8 месяцев назад +66

    Wananchi wanaomkubali suda yanga naombeni like nyingi tujuane 💛💛💛💛💚💚💚💚💚💚💚

    • @Said13Mashakaog
      @Said13Mashakaog 8 месяцев назад +3

      Nimewaona wananchi hamnaga jambo dogo asanteni kwa like za kutosha

    • @Kimware-kb1yb
      @Kimware-kb1yb 4 месяца назад

      Mungu azidi kukuongoza mwanangu hatimaye ufanikixhe ndoto zako

  • @NyaissamagoogeMatera
    @NyaissamagoogeMatera 8 месяцев назад +52

    kama umeamgalia mara tatu tatu kama mm weka like hapa

  • @Mary-fs4mc
    @Mary-fs4mc 8 месяцев назад +28

    Weee Suda Yanga umepigaje hapooo❤❤

    • @roi2554
      @roi2554 8 месяцев назад +1

      Aisee uyu dogo Hana baya

  • @MTASIKAPUTA
    @MTASIKAPUTA 8 месяцев назад +28

    Yanga hatunaga jambo dogo hata cku1 like ziwe 10 tyu 20 tareh ya tukio mangungu anafkuzwa kazi

  • @JastinKalikawe
    @JastinKalikawe 8 месяцев назад +30

    Wakwanza Ku Comment naomba likes zangu

  • @saumumaulidi8768
    @saumumaulidi8768 8 месяцев назад +15

    Wa kwanza nipen leo like zangu

  • @roi2554
    @roi2554 8 месяцев назад +13

    Walorudia kuangalia mara nyingi kama mm embu tujuane kwa like apa wananchiiiii 💚

  • @TabiaMwaisumo-ss7pz
    @TabiaMwaisumo-ss7pz 8 месяцев назад +6

    Ila suda Nyota yako ing'ae maisha yako yote❤

  • @gweahshoo5120
    @gweahshoo5120 8 месяцев назад +4

    Jamaa anajitolea sana kwa timu ila wana yanga wanamuangusha...24hrs viewers hata lak 3 hamna

  • @Stella-oh3my
    @Stella-oh3my 8 месяцев назад +4

    Naipenda yanga bure we suda umenikosha uko vzr

  • @naliakafatuma9870
    @naliakafatuma9870 8 месяцев назад +6

    Kila la kheri kwenu nyote kazi njema barikiwa Sana Yanga

  • @SmilingBirdwingButterfly-yq3he
    @SmilingBirdwingButterfly-yq3he 8 месяцев назад +11

    Jamani viongozi wetu tunaomba msimuuze mzize ni mshambuliaji hatari sana

    • @LuckyAden-cd7wo
      @LuckyAden-cd7wo 8 месяцев назад

      Hendi Azam hata mshahara watuambie tutachanga ila kwa hao mahasid NEVER hatuna majirani jamani eee

  • @MichaelKalinga-er6ju
    @MichaelKalinga-er6ju 8 месяцев назад +3

    I like the song keep it up bro your so talented love from Kenya 🇰🇪 Tanzanian your football league is has grown I wish my country can be like that much love ❤ ❤❤❤

  • @DaudiMiraji
    @DaudiMiraji 8 месяцев назад +4

    Asant nakubali kazi mboggo namkubali pia suda

    • @pado_mc
      @pado_mc 8 месяцев назад

      Asante mnooo

  • @MohamedSuleiman-id7zl
    @MohamedSuleiman-id7zl 8 месяцев назад +1

    Kuwa shabiki wa Yanga ni Raha sana naipenda sana timu yangu ya Yanga💚💛💚💛💚💛💚💚

  • @tanzaniayetu5935
    @tanzaniayetu5935 8 месяцев назад +3

    Ngoma kaliii saana .kama umeirudia mara nne gonga like

  • @noeljacob9644
    @noeljacob9644 8 месяцев назад +3

    Ila hicho kitoto cha yanga kukiangalia hadi Raha❤❤❤

  • @Maryc2G
    @Maryc2G 8 месяцев назад +5

    Suda umeimba vizuri.💐💐

  • @Carolina-sm5zt
    @Carolina-sm5zt 8 месяцев назад +3

    Jamani Safi Sana hongera Sana Mtunzi Yanga shangwe tu🎉🎉🎉🎉🎉

    • @pado_mc
      @pado_mc 8 месяцев назад

      Asante sana

  • @NiaNayna-lp9cu
    @NiaNayna-lp9cu 8 месяцев назад +5

    Suda yanga I love my grandma ❤❤❤

  • @yacrekimaro6359
    @yacrekimaro6359 8 месяцев назад +2

    Tunakujaaa🎉🎉🎉🎉

  • @masumbukomaganga438
    @masumbukomaganga438 8 месяцев назад +2

    ngoma kali sana twendeni tukaujaze uwanja tuwapige kama ngoma makolo watukome

  • @MarthaMachaga
    @MarthaMachaga 8 месяцев назад +3

    Hii no hatari unafanya kazi kubwa sana mzeeebb

    • @pado_mc
      @pado_mc 8 месяцев назад +1

      Asante kaka

  • @Zpauljr994
    @Zpauljr994 8 месяцев назад +4

    Bonge la Ngoma yan

  • @IssaMatandi
    @IssaMatandi 8 месяцев назад +5

    Suda yanga umetisha sana.

  • @bennyteve3871
    @bennyteve3871 8 месяцев назад +3

    Noma sana hili dude

  • @LightnessCharlseKimaro
    @LightnessCharlseKimaro 8 месяцев назад +1

    Mungu ibarikie yanga ushindi

  • @JAMES_MASUMBUKO
    @JAMES_MASUMBUKO 8 месяцев назад +1

    Vibe la Suda yanga acha kabisa

  • @tanzaniayetu5935
    @tanzaniayetu5935 8 месяцев назад +2

    Et mashujaaa hawana adabu wamemshika my wetu😅😅😅😅

  • @NamakambaPatrick
    @NamakambaPatrick 8 месяцев назад +2

    Mangungu ni kweli lazima hakimbizwe

  • @CharlesNdaki-mb5kt
    @CharlesNdaki-mb5kt 8 месяцев назад +2

    Sema Baba yanga umewa Sana

  • @radhiamussa1629
    @radhiamussa1629 8 месяцев назад +3

    Jamani nawaombeni muwe makini maana wengi wanaongea kuwa mtapoteza sababu hamna pressure kama waliyonayosimba kwanza mchezo utakuwa sio mwepesi watacheza kwa Kila Hali kuhakikisha wanashinda ili kutopata maneno yasiyofaa kwa mashabiki wao na kuvunja uhaminifu ndio mechi ya simba ku turn the table kuwa upande wao naimani hamtotiangusha mashabiki wenu ata iweje inabidi tushinde kwa uhalali na tukishindwa tushindwe kihalali sio kwa ujumla jamani natumai tutapata point zilizobakia kutoka kwa makolo wanasema hatuwezi kuwafunga mara mbili naimani tunaweza

  • @MuddyMwera
    @MuddyMwera 8 месяцев назад +1

    Uyo suda anaipenda sana yanga

  • @Maryc2G
    @Maryc2G 8 месяцев назад +1

    Yanga ktk ubora wenu, furaha kuanzia jumatatu- jumatatu.

  • @castohamza8261
    @castohamza8261 8 месяцев назад +1

    Hili goma umeliotea mzeeh me mnyama mkali lakini nalielew hili goma kinyama 🔥🔥

    • @pado_mc
      @pado_mc 7 месяцев назад

      Ujaisikia PACOME na muda day wewe

  • @MarwaJohn
    @MarwaJohn 8 месяцев назад +2

    Wewe jamaa unajua kaka

  • @OctaJohn-ov9gc
    @OctaJohn-ov9gc 8 месяцев назад +1

    @sudayanga nakpenda sana💚💛🙏

  • @MasabudaJames
    @MasabudaJames 8 месяцев назад +2

    Bonge la wimbo big up bro

    • @pado_mc
      @pado_mc 8 месяцев назад +1

      Asante sana

  • @AishaNgubiagai
    @AishaNgubiagai 8 месяцев назад +2

    Hiii imetisha. San ila naomba huzitangaze na kwenye Audio mack tuweze kuzisevu hii nyimbo zako ni nzuri San

  • @RichardHenjewele-gs8rk
    @RichardHenjewele-gs8rk 8 месяцев назад +1

    Aaaah kazi koro anayo💛💚💛💛💚

  • @NyaissamagoogeMatera
    @NyaissamagoogeMatera 8 месяцев назад +4

    daaaaah hii kali sana aisee

  • @RabunaSelemani
    @RabunaSelemani 8 месяцев назад +2

    Mambo Ni hivi 🔥💯🔰

  • @Maryc2G
    @Maryc2G 8 месяцев назад

    Nyumbani kumenoga 💚💚🇹🇿🇹🇿

  • @RehemaMwishee
    @RehemaMwishee 8 месяцев назад +2

    Nakupenda sana suda

  • @FeristerJames
    @FeristerJames 8 месяцев назад

    Nakupenda sudaa naomba like 🎉🎉❤❤penda yang 💚💚💚💛

  • @PendoUrassa-xm7ru
    @PendoUrassa-xm7ru 8 месяцев назад +2

    Mzazi zingatia huyo mtoto anasoma

  • @DanielMnanka
    @DanielMnanka 8 месяцев назад +5

    Vibe kama lote

  • @merryfrank4684
    @merryfrank4684 4 месяца назад

    Jamani yanga kuna utamu zaidi yasukali gulu

  • @MAGEMEYOHANA
    @MAGEMEYOHANA 7 месяцев назад +1

    Pamoja sanaaaaa

  • @divaidachboy2339
    @divaidachboy2339 8 месяцев назад +1

    Hahaha nimeipenda aseee hii ngoma

  • @HadijaMkahita
    @HadijaMkahita 8 месяцев назад

    Piga kelelee kwa suda wakee💚💚💚💛💛💛

  • @frankchibago3206
    @frankchibago3206 8 месяцев назад +3

    Hii ya moto sana 🔥🔥🔥🔥🔥

  • @Wallacenyusi3326
    @Wallacenyusi3326 8 месяцев назад +2

    Very nice song brother

  • @selemanifanikiwa
    @selemanifanikiwa 8 месяцев назад +3

    Home boy from Germany 🇩🇪

  • @ZainabuSelemani-ir1tm
    @ZainabuSelemani-ir1tm 8 месяцев назад +1

    mambo ni🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @vailethmsigwa1987
    @vailethmsigwa1987 8 месяцев назад +2

    Wana yanga tujiane na yanga yetu

  • @BoyMbeya
    @BoyMbeya 8 месяцев назад +1

    Ila huyu mboggo yupo vzur

    • @pado_mc
      @pado_mc 8 месяцев назад

      ASante sana

  • @fatmasuleiman3885
    @fatmasuleiman3885 8 месяцев назад +2

    Tunakuja!!!!🎉🎉🎉🎉

  • @Maryc2G
    @Maryc2G 8 месяцев назад +1

    Mimi na yanga damu damu 💐💐🇹🇿🇹🇿💚🙏🏻🌻🌻💛💛

  • @OmarySamata
    @OmarySamata 8 месяцев назад +1

    Wanchiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii

  • @pascalGeorge-u6b
    @pascalGeorge-u6b 8 месяцев назад +3

    Ngoma kali

  • @PendoUrassa-xm7ru
    @PendoUrassa-xm7ru 8 месяцев назад +1

    Du mtoto anamzuka huyo hatariii

  • @abdulmelele7322
    @abdulmelele7322 8 месяцев назад +2

    Kitu ya moto xna hii daah😂😂😂

  • @SmilingBirdwingButterfly-yq3he
    @SmilingBirdwingButterfly-yq3he 8 месяцев назад +1

    Kelele kubwa kwa yanga yakeeeee WOOOOOOOOOYOOOOOOOO

  • @IvanSedekia-bv8ep
    @IvanSedekia-bv8ep 8 месяцев назад

    MASHUJAA HANA ADABU KAMSHIKA MM ....... MY WETU😂😂😂😂

  • @IssaMatandi
    @IssaMatandi 8 месяцев назад +1

    Suda wewe unakera.Hilo kono la nyani tunawapiga wenyewe.

  • @alfredmalebeto7
    @alfredmalebeto7 8 месяцев назад +2

    Ankoooo

  • @DaudDeu-c5z
    @DaudDeu-c5z 8 месяцев назад +4

    Naijua iyooo

  • @MaliaSimbila
    @MaliaSimbila 3 месяца назад

    Kazi nzuri kaka

  • @njelenjetv
    @njelenjetv 8 месяцев назад +2

    Wimbo mzuri lkn ushauri wangu Uimbe wimbo ambao ni wa yanga tu yaani usitaje mchezaji yoyote maana wachezaji wakiondoka tayari wimbo unakuwa umekufa

    • @azizymachadeson3577
      @azizymachadeson3577 8 месяцев назад

      😂😂 unatakiwa na wimbo upite tutatunga mwingine wakija wengine

    • @pado_mc
      @pado_mc 8 месяцев назад

      Ushauri mzuri ila usijari kilatukio na nyimbo yake ....kunanyimbo 1000 za yanga nimeziandaaa😂😂😂😂kuwa na AMANI familia

  • @yasrikomba7874
    @yasrikomba7874 8 месяцев назад +1

    ❤❤❤❤❤mashallah imeka poa sana

  • @saidsalehe6017
    @saidsalehe6017 8 месяцев назад +2

    Yanga atuna kazi ndogo

  • @dastanhaule9463
    @dastanhaule9463 8 месяцев назад +3

    We dogo wewe kwambaaa ...
    Kono..

  • @ezrajustice4352
    @ezrajustice4352 8 месяцев назад +1

    Yanga fire.

  • @Mwamalejr-wg7pt2xm8n
    @Mwamalejr-wg7pt2xm8n 8 месяцев назад +1

    Yanga💚💚💛💛💚💚💛fire

  • @TwahirMohammed-x2h
    @TwahirMohammed-x2h 8 месяцев назад +3

    Nice song

  • @OlivaMHANDO
    @OlivaMHANDO 8 месяцев назад +2

    Hii imeeeeendaaaaa

  • @aliciakente2985
    @aliciakente2985 8 месяцев назад +1

    Nzur sanaa

  • @godblessgerard6914
    @godblessgerard6914 8 месяцев назад +2

    Huyu SUDA naye anawakera balaa

  • @MpyazausajiliTanzania
    @MpyazausajiliTanzania 8 месяцев назад +1

    Hii imeendaaaaaa.

  • @Jkn851
    @Jkn851 8 месяцев назад +1

    Raha zimezidi sasa🙌😅😅

  • @PaulKidula-o9g
    @PaulKidula-o9g 8 месяцев назад +1

    Kumbe mko serious

  • @NasoroHasanMangelengele
    @NasoroHasanMangelengele 7 месяцев назад

    Mwanangu na mkubali sana

  • @JumaMeza-z6i
    @JumaMeza-z6i 8 месяцев назад +2

    Unaju kk kazabuti

  • @SadickmohamedMohamed
    @SadickmohamedMohamed 8 месяцев назад +1

    Wahoo 🎉🎉🎉🎉

  • @kalimazegeli9339
    @kalimazegeli9339 8 месяцев назад +2

    Hatari saana

  • @MasoudHamad-n8s
    @MasoudHamad-n8s 8 месяцев назад +2

    Kimewaka❤

  • @RajabuBojo-j2l
    @RajabuBojo-j2l 8 месяцев назад

    Wananchiiiiiiiiiii

  • @MohamedNdolo-d2u
    @MohamedNdolo-d2u 6 месяцев назад +1

    Cool

  • @Veni584
    @Veni584 8 месяцев назад +1

    Mwacheni mtoto asome kwanza

  • @PedadMiyombo-pc8gc
    @PedadMiyombo-pc8gc 8 месяцев назад +1

    Suda analuka Luka tu kama saidoo Kakosa goal

  • @MussaMbii-u1y
    @MussaMbii-u1y 8 месяцев назад +2

    💚💛💛💚💚💚💚

  • @RabunaSelemani
    @RabunaSelemani 8 месяцев назад +1

    Unateseka ukiwa wapi 🤣🔰

  • @athumanishabani1143
    @athumanishabani1143 8 месяцев назад +1

    Inshaallah

  • @g_eazmusic1329
    @g_eazmusic1329 8 месяцев назад +2

    Jumamosi itakuwa vilio vingi😂😂

  • @Kelsonyese
    @Kelsonyese 8 месяцев назад +2

    💚💚💚💚

  • @RobertMgore
    @RobertMgore 8 месяцев назад +1

    Tunakuja

  • @shaibusaady2420
    @shaibusaady2420 8 месяцев назад +1

    Allaah mma

  • @MwaniPh
    @MwaniPh 8 месяцев назад +2

    🔥🔥🔥🔥🔥

  • @SophiaNzunda
    @SophiaNzunda 8 месяцев назад +1

    Hiii Kali n