Nimefurahishwa saana na hii documentary ya kilimo kutoka kwa Mwanakagera. Zaidi ni pale ambapo msomi anatushawishi tujiunge kwenye fursa hizi zilizo wazi. Ningekuwa na uwezo ningesambaza video hii kwa wanavyuo wote Afrika Mashariki na wanaotafuta ajira serikalini wajue kuna ajira nzuuri zaidi. KILIMO BIASHARA KINALIPA!!!
Asante sans,ningependa kujua jinsi yakujenga banda hili nakujua gama yake pia
Uwii kumbe wahaya wanaukabila duh ngoja niairishe
Safi sana Brother
asanteni kwa kazi nzuri
Natafuta shade nets. Yoyote anaejua pale naeza pata awasiliane na mimi
zinapatikana sham agro co ltd 0783281962
Hii niya kikabila zaidi
Mbegu aina gani??
ukagera ume uzidisha saana
Wahaya bwaana
Hiyo green house ni bei gani?
kilimo chochote ambacho hakina uhakika Wa soko ni hasara.
duuu we kaka kwa hy ss abao sio wa mkoa huo hutupe ushaur?
Mzee Naomba tuwasiliani naihitati kulima
zinapatikana sham agro co ltd tupigie simu 0783281962
Kama sio mwanakagera hiyo haimuhusu kweli nyie wabaguzi japo ni wa tz.
Je inawezekana kukutana na huyo Mkulima aliopo kilosa? ili tuweze kujifunza kwake zaidi
Nimefurahishwa saana na hii documentary ya kilimo kutoka kwa Mwanakagera. Zaidi ni pale ambapo msomi anatushawishi tujiunge kwenye fursa hizi zilizo wazi. Ningekuwa na uwezo ningesambaza video hii kwa wanavyuo wote Afrika Mashariki na wanaotafuta ajira serikalini wajue kuna ajira nzuuri zaidi. KILIMO BIASHARA KINALIPA!!!
Asante nimependa sana
Naomba mnisaidie namba 0743972208
Darasa zuri ila umenibora na huo uhaya wako eti wanabukoka alafu unasema upo kilosa sasa kilosa wanakaa wahaya acha ukabila bro!
kweli huo ubaguzihawa ndg zetu sijui wataacha lini!
Kitu ni public ila anakomaa "wanabukoba tunangoja nn" si angewatumia inbox
@@godykilian mwambangozi Huvutiaa kwake wewe diamond alikualika kigoma Fanya yako Acha kulalamika chukua ujuzi
Wewe iga hapo chapa lapa kaanzishe kwenu
Safiii.... Nimehamasika vya kutosha
kwali mimi napenda sana kilimo ila tatizo mtaji
Green house zinauzwa zinaukubw wa mita 400 kila moja kw anaetak tuwasiliane kw no 0623198443/0753237003
Safi sana
umenitia moyo naomba mawasiliano 0753709184