Freestyle Rap Battle | Cado Kitengo vs Mteganda | Season 3 Ep.4 | City Rap Battles (CRB)

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 23 дек 2024

Комментарии •

  • @amaniterry816
    @amaniterry816 4 года назад +4

    Best battle ever ndani ya CRB
    Beat ya round ya kwanza wimbo wake unaitwaje?

  • @hood254-c5l
    @hood254-c5l Год назад +1

    More love from Kenya …your freestyle beats …huku tumesema Cado Kitengo sawa🔥🔥

  • @kullianemlutheri7501
    @kullianemlutheri7501 5 лет назад +2

    Mmemuhukumu Kado vibaya.... Huyo jamaa anaweza ACHENI FIGISU WABONGO... KADO YUPO VIZURI NA BEAT NA KILA KITU HUYO MWINGINE BADO SANAAA

  • @mckobatz5861
    @mckobatz5861 5 лет назад +8

    Yoh! Tuwe makini kidogo round ya kwanza mlimpa Mteganda round ya pili nyote inaonesha mlimpa Kado cause kwa kusema moja moja inaonesha Kado amesawazisha goli alilofungwa round one "doctor kashauri mgonjwa kabisha" besides round three Kado kanyoosha sana unless kuwe na kigezo cha message

    • @mrfinestcode
      @mrfinestcode 4 года назад +1

      nikweli ndugu yangu ulichokiongea kipo sawa

  • @mrcoco9915
    @mrcoco9915 5 лет назад +3

    Hawa majaji nmewachunguza sana kwa kila battle cado hawampeagi wkt anadunda na beat fresh

  • @mvungigaming
    @mvungigaming 5 лет назад +7

    Cadoooo till noooondoooo.....🔥🔥🔥🔥👌👌👌

  • @salymkitumbika8644
    @salymkitumbika8644 5 лет назад +3

    Sometimes huwa najiuliza why hip hop kibongobongo yaonekana kavu kumbe hata wana hip hop wenyewe wakipewa wazifa wanazinguaa #Songa_Mansulee_PtheMc mmezingua kwa consistency ya mdundo hadi lyrics Kado katisha unampaje ushindi mteganda?

  • @poulsaid3915
    @poulsaid3915 5 лет назад +4

    Huyu kado kiboko anajua sana
    Alafu anajua kunata na beat

  • @rashidyusuph9117
    @rashidyusuph9117 5 лет назад +9

    Round ya pili wamezingua majaji sio wakweli..

  • @innocentsilivester9783
    @innocentsilivester9783 5 лет назад +2

    Noma Sana hip hop

  • @mohamedjuma3212
    @mohamedjuma3212 3 года назад +1

    Ayeeh Ayeeeh😂...wozaaah

  • @frankanold9803
    @frankanold9803 5 лет назад +2

    Cado kitengo kaonewa, mmemuonea Sana,

  • @ezrajay9517
    @ezrajay9517 5 лет назад +1

    Nimeikubali hiii battle hatar san

  • @hood254-c5l
    @hood254-c5l Год назад +1

    Cado Kitengo zee 😂😂😂🔥🔥🔥

  • @ibrahimsangondo7914
    @ibrahimsangondo7914 5 лет назад +3

    Ayyeehh

  • @reganurio6236
    @reganurio6236 5 лет назад +4

    ayeeeeeee wozaaa

  • @shadrackmasokola3810
    @shadrackmasokola3810 4 года назад

    Aisee wametisha sana aisee

  • @jeffeivra8204
    @jeffeivra8204 5 лет назад +6

    Kibabu akai kwenye na mdundo afu wakawaida tu Moto kadgo ayeeeeeeeeeeee

    • @mvungigaming
      @mvungigaming 5 лет назад +1

      Afu kado anaflow nying tofauti tofauti....

    • @mvungigaming
      @mvungigaming 5 лет назад +1

      Afu kado anaflow nying tofauti tofauti....

    • @jeffeivra8204
      @jeffeivra8204 5 лет назад +1

      Anachange kila battle yuko gud flow zake azichoshi

  • @mackpinno10
    @mackpinno10 3 года назад +1

    Majaji wako makini sana nawapongezi Sana,mmeambiwa usitukane lugha isiwe ya matusi uckii xaxa unataka nini!?

  • @alfredkillo6080
    @alfredkillo6080 5 лет назад +1

    haka kababu kapo vzr nanakakubal kinyama lkn kwa mnyama kado kanapatawakat mgum sana ktk free styller wote kodo n panch enough

  • @birch_kalawa
    @birch_kalawa 4 года назад +1

    Choice of beats wallai 😭😭 , Tanzania nimekubali boom bap ni yenu

  • @patogee7227
    @patogee7227 2 года назад +1

    Cado katisha sana🔥🔥

  • @mcmifukotz7267
    @mcmifukotz7267 5 лет назад +5

    Kado kitengo

  • @presenterkabuma1646
    @presenterkabuma1646 5 лет назад +1

    Ayeeeeee ayeeeeee ayeeee cado kitengo

  • @jofreythomasmwangu1235
    @jofreythomasmwangu1235 5 лет назад +1

    Ayeeeeeh! kadoooo🙌

  • @jamesthadeo3091
    @jamesthadeo3091 5 лет назад +2

    Cado ninoma crb nzima Kwanza akati tamaa

  • @primitivetv7008
    @primitivetv7008 5 лет назад +6

    Hii mimi binafsi ndo fainali bora kuwai kutokea CRB

  • @أبوفيصل-د3ش
    @أبوفيصل-د3ش 5 лет назад +1

    Wote wanaweza Ila round ya kwanza Walizingua.

  • @joelmosha3797
    @joelmosha3797 5 лет назад +2

    Cado mtu mbaya.. Majudge mmezingua

  • @ylace4tune
    @ylace4tune 10 месяцев назад

    Mteganda yuko Vizuri sana ,,anamwelimisha Cado

  • @yefterngabo341
    @yefterngabo341 5 лет назад +2

    Kadoo kakasilika

  • @radiIbrahimnuhu
    @radiIbrahimnuhu 3 года назад

    Cado katisha zaidi

  • @shebykingamossi1699
    @shebykingamossi1699 4 года назад

    Kado nakukubali sana

  • @brightonleonard2309
    @brightonleonard2309 4 года назад +1

    Unatishia kujamba wakati unaharisha, sana wanangu 33

  • @joelmosha3797
    @joelmosha3797 5 лет назад +2

    Kado alistahili kuchukua hii, round zote zinazofuata dhahiri kbs kado kamkalisha mteganda

    • @bahatimkumbo7298
      @bahatimkumbo7298 5 лет назад

      Majaji mmezingua raundi ya Kwanza kado mshindi

  • @blackmc8806
    @blackmc8806 5 лет назад +3

    cado won this game aisee hahahahah , hata uwe benjamini huwezi kuwa mkapa

  • @movinguy8810
    @movinguy8810 5 лет назад +1

    Mbeya Boy Uje Ufanye Maajabu Apo Tukuone

  • @troubleMan234
    @troubleMan234 5 лет назад +4

    Cado nondoooo

  • @johnnycynaite8226
    @johnnycynaite8226 5 лет назад

    Caso kitengo yupo juu cio saizi yao big Cana homiez,
    Hii ni ya mdaa Cana big Saluuh
    Mi nipo mbali so nakubali harakati crb is still alive

  • @Sharifufaki
    @Sharifufaki Год назад

    Cado ni mwamba namkubali sana

  • @makassyzakir3505
    @makassyzakir3505 5 лет назад +3

    kado umetxha sana

  • @dtv6734
    @dtv6734 5 лет назад +4

    Cado katisha

  • @nakalikyumile3234
    @nakalikyumile3234 Год назад

    Weka kipaza chini cado nondo"... Iko wazi umekalishwa vibaya umekula kipondo"

  • @youngdady6149
    @youngdady6149 5 лет назад +1

    Mteganda kakosa cha kumchana kado
    basi tu ni kibabu
    ila kado ni nomaaaaa

  • @budacisse1125
    @budacisse1125 5 лет назад +2

    Midamu tuu

  • @izzomteule4623
    @izzomteule4623 5 лет назад +1

    Ayeeeeeeh!!

  • @rashidyusuph9117
    @rashidyusuph9117 5 лет назад +5

    Kado kitengo jitu primitive

  • @khloevibe7569
    @khloevibe7569 5 лет назад +1

    Cado mwenye kitengo chake

  • @gsix1280
    @gsix1280 5 лет назад

    Ayeeeeeee

  • @victorjems1865
    @victorjems1865 Год назад

    Round ya pili cado ban

  • @abrahamdaniel7564
    @abrahamdaniel7564 5 лет назад

    Oya Kado Noma

  • @mrcoco9915
    @mrcoco9915 5 лет назад

    Ati moja moja kama siwaelew hawa majaji round 2 vle cado ameua

  • @mkuryawadarmkuryawadar5223
    @mkuryawadarmkuryawadar5223 5 лет назад

    Kado nomaaa

  • @gabrieljozee9354
    @gabrieljozee9354 5 лет назад +1

    Wa mwisho kurap hua ndo mshindi

  • @petruslushetula552
    @petruslushetula552 5 лет назад

    Kado noma

  • @masatumasatu1818
    @masatumasatu1818 5 лет назад

    Majaji hawa vp?

  • @radiIbrahimnuhu
    @radiIbrahimnuhu 3 года назад

    Hahahaha CADO ANAJUAAAAAAAA MAMAE

  • @matthiassappy8763
    @matthiassappy8763 5 лет назад +1

    Cado n balaaaa

  • @frankanold9803
    @frankanold9803 5 лет назад +1

    Hapo hata mteganda anajua kuwa amependelewa

  • @tistboy4879
    @tistboy4879 5 лет назад

    Kado noma xana

  • @moudyedwinho8098
    @moudyedwinho8098 5 лет назад +4

    Kado kitengo n hatarii

  • @loveandfaithfulness4479
    @loveandfaithfulness4479 3 года назад

    Ephesians 5:15-17
    Be very careful; then, how you live - not as unwise but as wise, making the most of every opportunity, because the days are evil. Therefore do not be foolish, but understand what the Lord’s will is.

  • @didasmyfather7496
    @didasmyfather7496 5 лет назад +1

    Cado makini

  • @salmaomary2100
    @salmaomary2100 5 лет назад

    Cado noma

  • @georgemandevu2134
    @georgemandevu2134 5 лет назад +3

    Tabu ilianzia hapa 5:06

    • @mvungigaming
      @mvungigaming 5 лет назад +2

      Mpk bukta itarowa mabao🤣🤣🤣

    • @mvungigaming
      @mvungigaming 5 лет назад +2

      Mpk bukta itarowa mabao🤣🤣🤣

  • @loveandfaithfulness4479
    @loveandfaithfulness4479 2 года назад

    Proverbs 13:1-13
    A wise son heeds his father’s instruction, but a scoffer does not listen to rebuke. A man shall eat well by the fruit of his mouth, but the soul of the unfaithful feeds on violence. He who guards his mouth preserves his life, But he who opens wide his lips shall have destruction. The soul of a lazy man desires, and has nothing; but the soul of the diligent shall be made rich. A righteous man hates lying, But a wicked man is loathsome and comes to shame. Righteousness guards him whose way is blameless, But wickedness overthrows the sinner. There is one who makes himself rich, yet has nothing; And one who makes himself poor, yet has great riches. The ransom of a man’s life is his riches, But the poor does not hear rebuke. The light of the righteous rejoices, But the lamp of the wicked will be put out. By pride comes nothing but strife, But with the well-advised is wisdom. Wealth gained by dishonesty will be diminished, But he who gathers by labor will increase. Hope deferred makes the heart sick, but when the desire comes, it is a tree of life. He who despises the word will be destroyed, but he who fears the commandment will be rewarded.

  • @didasmyfather7496
    @didasmyfather7496 5 лет назад

    Cado 1

  • @lazalomlowe3243
    @lazalomlowe3243 3 года назад

    Apo ckubali kado katixha

  • @raphaelpeter7914
    @raphaelpeter7914 5 лет назад

    Uduanz kado won this game, judges mmezngua

  • @shabanbuchu2130
    @shabanbuchu2130 5 лет назад

    Nadhani walisema hakuna matusi lakini yamepita mengi tu.Ama ni madogo

  • @jumaamzee2041
    @jumaamzee2041 4 года назад

    Unatishia kujamba wakati unaharisha

  • @agustinorichard1637
    @agustinorichard1637 5 лет назад

    Round ya kwanz kado mteganda mnafki

  • @KhalidMangwea
    @KhalidMangwea Год назад

    Majaji wapo makini kado matusi mengi mteganda katema madini tu

  • @Omosh003
    @Omosh003 8 месяцев назад

    Unatishia kunyamba, umesahau unahara

  • @mrcoco9915
    @mrcoco9915 5 лет назад

    Mteganda constance ya bit hamna kabsa

  • @sunb3401
    @sunb3401 4 года назад

    Mistari ya mteganda haikua naishu

  • @mrcoco9915
    @mrcoco9915 5 лет назад

    Majaji kama nawaona vilee mnapendelea

  • @amanimwalimu1293
    @amanimwalimu1293 5 лет назад

    Kado nondo

  • @ezeckielobed4429
    @ezeckielobed4429 5 лет назад +1

    hapo adondoke toxic fuvu