'KUNA WATU WANATAKA KUWASHA MOTO SAMIA ATOKE MADARAKANI, WASITUELEKEZE CHA KUFANYA' RAIS SAMIA

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 8 ноя 2024

Комментарии • 42

  • @HajiKlein-so1rk
    @HajiKlein-so1rk Месяц назад +1

    Safi sana bi mkubwa 🇹🇿🇹🇿👏👏

  • @dicksonmatulile1523
    @dicksonmatulile1523 Месяц назад +3

    Leo umeongea inavyopaswa and message delivery

  • @gracemairusya2950
    @gracemairusya2950 Месяц назад +1

    Yeeeeeeees mama be strong stronger strongest. Love u do like magufuli.
    Hawana shukrani hawa umeruhusu mukutano maandamano umeruhusu lakini wanawayawaya

  • @ShadiaAlrawhy
    @ShadiaAlrawhy Месяц назад +1

    Mama kipenz mungu yuko na wewe na sisi tuko na wewe mungu atwafiza na shar zao

  • @NDEWARA
    @NDEWARA Месяц назад +1

    Hongera sana sana Raisi wetu kipenzi. Hatuko tayari kuingiliwa na hawa mabwana zao

  • @DaurdCharles
    @DaurdCharles Месяц назад +1

    Hii mpaka mungu singilie kati kuwatetea watu wake lasivyo nishida sana viongozi namaono yakesho msione leo2 niaibu kubwa sana watu wanapouwauwa kinyama hii inanikumbusha ishu mfalme nebukadreza wababeli

  • @hawaelymaricca7602
    @hawaelymaricca7602 Месяц назад +1

    SAFI SANA MAMA ONGEA WA KUSIKIE MAANA WAMEOTA MIKIA NA KUKUZARAU WAAAMBIE UPO IMARA MAMA YANGU MH RAIS WANGU LOVE SANA MAMA

  • @hawaelymaricca7602
    @hawaelymaricca7602 Месяц назад +1

    Mama umeongea vizuri sana sana maana wapo watu hawataki Amani Usikubali mama yetu tukose Amani, Tunakupenda mama na tupo tunakuombea na Mungu akutie nguvu na akulinde akupe na Afya

  • @nunumrisho6548
    @nunumrisho6548 Месяц назад

    Wanahangaika alieuweka ndie ajuwae ataondoka lini na vipi

  • @maalimwenga452
    @maalimwenga452 Месяц назад +1

    Hii intelligence mbona haiwabaini hao wauwaji?

  • @elvisoscar9912
    @elvisoscar9912 Месяц назад +1

    23 in the roads

  • @ImaculathaMasuka
    @ImaculathaMasuka Месяц назад

    Mama yetu uko vizur. Kipenz cha watanzania. hao ni wachache sana wanaotaka kuchafua nchi.

  • @FestoMunishi
    @FestoMunishi Месяц назад

    Kwani huoni yanayotokea mauaji kila siku afu waacieni akinaaa soka

  • @JokhaJokhaabla
    @JokhaJokhaabla Месяц назад

    Kiukweli roho zinahofu zinaumia zimeshafifia kwa iyo ata muongee nini naona kama mnapiga kelele tu chakuomba Allah atufanyie wepesi kwa kila jambo kwani yy ndio tegemeo leo kufa kupo ila tufe kupitia Allah tusife kwa kuchinjwa vifo vyakudhalilishana na vyenye machungu inauma sana

  • @subralugege7019
    @subralugege7019 Месяц назад

    Wakuache mama kizimkazi inawaima Sana ww mwanamke. Kuwa kiongozi wa juu hivyo

  • @MokeLushuli-t5u
    @MokeLushuli-t5u Месяц назад

    Tanzania tayari emeshapigwa mnada

  • @ShadiaAlrawhy
    @ShadiaAlrawhy Месяц назад +1

    Wakuwacheee hawaonii. Miradii yoteee tumefanya wa nacho taka nini

  • @hawaelymaricca7602
    @hawaelymaricca7602 Месяц назад

    Bora uwaambie mama utaimarisha ulinzi wetu.

  • @abbaviermhangos2616
    @abbaviermhangos2616 Месяц назад

    SIO,hukweli Mama wacha hao. Watu hunao sio wakweli ni lala la tu .

  • @JoshuaSalimu
    @JoshuaSalimu Месяц назад

    WATANZANIA NI NYUMBU IPO SIKU WALIONA AKILI WATAZINDUKA

  • @muhubirielimboto8505
    @muhubirielimboto8505 Месяц назад

    Kumbe ukiuawa mtu makusudi huku kwetu ni issue ya kawaida 😭mnatakiwa msilaani, msijiskie vibaya mkae kimya watz ni dhahiri hatuko salama ndugu zangu vinginevyo tuwe machawa wote tupelekwe kama wanavyotaka wao.
    Tujikumbushe kidogo mrithi alishawahi kukamatwa na polisi usiku alilalamika sembuse mtu kuuwawa😭😭

  • @jonfredkewe3451
    @jonfredkewe3451 Месяц назад +1

    Tuna intelijensia zuri ya kujipendekeza na kumpa taarifa rais ila hatuna intelijensia ya kuwa baini wanaoua wapinzani hapo siyo kweli serikali ilinde watu wake kama isemavyo ibara ya nane.Kutekwa,kuuliwa hakukubaliki wanaouliwa ni watu wenye majukumu ya kulea familia na niwatoto wawatu pia.Ushauri tufute vyama vya upizani ili wote tuwe chama kimoja kuliko kuwa na vyama vingi ila wengine wanauawa

  • @gracemairusya2950
    @gracemairusya2950 Месяц назад

    Trueeee

  • @omarmohammed5157
    @omarmohammed5157 Месяц назад

    Vunjeni muungano kila mmoja kwao ndio suluhisho ilo

  • @kainimlowe9646
    @kainimlowe9646 Месяц назад

    Utatoka tu mamae mbaya zaidi huijajua wanaokuhujumu ni wenzio

  • @WadySaidi
    @WadySaidi Месяц назад

    Kweli mama usisikilize marekani wamechanyakiwa hawajui wapi watashika kote Kuna moto nawew sio wakukupangia chadema chadema ni wahuni tu

  • @maulidimpili698
    @maulidimpili698 Месяц назад +1

    Mama uko vizur ila kuna baadh ya mwanasiasa wanatengeza majambo ili wakuchafue watakuwa na nguvu za watu wa magharib kwa kuwa watu wa usalama wapo vizur na wanafanya kaz watajua na litaisha tu

    • @kwisa4899
      @kwisa4899 Месяц назад

      Kwanini wameshindwa kutambua wauwaji lakini wanatambua kauli..

  • @eagtenguserotv
    @eagtenguserotv Месяц назад

    Mama wasamehe hawajui walitendalo

  • @OnetimeShowtime-jj1ek
    @OnetimeShowtime-jj1ek Месяц назад

    Nawasio julikana lini watajulikana Kweli Kumoto

  • @Salumu-c8s
    @Salumu-c8s Месяц назад

    Lakin kama mnajua Latina ipo mbona unatumbia yanatokea kila nch je kama angekuwa mwanao ungesimama nakusema hivyo na siku zote vingozi wa CCM hamtak ushauli .Ila hakuna Jambo linalokosa mwisho .na vizazi vyenu vya badae ndo watalipia tu.

  • @Zwangendaba97
    @Zwangendaba97 Месяц назад

    Tumieni io intelijensia kujua wauaji kumbaf kabisa

  • @kwisa4899
    @kwisa4899 Месяц назад

    Nchi ngumu hii viongozi wetu wanashida kubwa sana,mbona viongozi wanazungumza kama wanahati ya Tanganyika

  • @kwisa4899
    @kwisa4899 Месяц назад

    Kwanini hawatambui wauwaji

  • @clemencemkondya8561
    @clemencemkondya8561 Месяц назад

    Viongozi wa Chadema lengo lao kubwa nikuleta vurugu nchini mwetu .Wapingwe tu bila huruma .

  • @Salumu-c8s
    @Salumu-c8s Месяц назад

    Mama jalibu na wewe kuwa kibao ni binadam sasa tundu lisu alipigwa lisasi na Nani je Leo angekuwa n kingozi wa CCM wasngejulikana Hadi Leo .na kama wanaotekwa ni wachadema tu.

  • @allynassoro8448
    @allynassoro8448 Месяц назад +1

    ND yangu wajua unachokiongea ukimaliza sikiliza Yale ulikuwa ukiongea

  • @jonfredkewe3451
    @jonfredkewe3451 Месяц назад

    Katiba inasema kila mtu ana haki ya kuishi kwanini tutekane? Tuuane? Siyo kweli Damu ya mutu sisawa na yakuku inayomwagwa kwa kuchinjwa na shehe.Kibao ametuuma siyo siri .

  • @suleimanabdalla5962
    @suleimanabdalla5962 Месяц назад

    Mh!