This dude makes it clear to our generation that music is not fireworks but the path that connects us with our inner self Aslay is not just a bongo fleva artist but a guy who tells the testimony on our behalf Live long and give us more
ASLAY MIMI NI SHABIKI YAKO NAMBA MOJA NAPENDA SANA MUZIKI WAKO NATAMANI SIKU NIKUTANE NA WEWE NYIMBO ZAKO ZINANIGUSA SANA... ASLAY NAKUKUBALI SANA MFALME WA BONGOFLAVOUR
Aslay ndio bingwa wa afrika mashariki. Huu nyimbo unanifanya nihisi kama nimekosewa ilhali mke wangu mpole hana mambo mingi. Huwa si zungumzi na mke wangu hadi aniambie pole kwa mambo haelewi. Serious talk. ❤ from 🇸🇴
* LYRICS * Ilikuwa inakuumaga ukiniona naye ilikuwa inakuchomaga mwanaume wewe ulitamani wewe ndio uwage mie ndio maana nilipomuacha ukaamua umuoe we hauna ,we hauna hauna moyo kabisa hauna ,we hauna ,we hauna ulumagiki ata kulika hauna wewe alipopika chakula ulikuwa jikoni sikujua ni kwa nini, nilijua ushemeji tu, kumbe kule mlikuwa mnayapanga ya kwenu nyinyi mpaka umemteka umekuwa gaidi juu nimekubali ,nimekubali ,nimekubali nitamwita shemeji oh nimekubali ,nimekubali ,nimekubali nitamwita shemeji ah shemeji,eeh shemeji ,eh shemeji eeh kila upande shemeji eeh shemeji shemeji eeh kishingo upande mara oh tunaendana unaomba tusije kuachana eti, unatupendaga sana kumbe we nichora kumbe we nyuki, mwenye laana kaniacha manundu ya mchana nilivyobeep kapiga tu mapema ukasepa na sinyora oh mama sira umemvisha na shela we mbona ni mbaya oh ni mbaya sjui ulimpa dawa au ndio hela ila yote sawa mi nasema inshallah mungu atalipa ah alipopika chakula ulikuwa jikoni sikujua ni kwa nini, nilijua ushemeji tu, kumbe kule mlikuwa mnayapanga ya kwenu nyinyi mpaka umemteka umekuwa gaidi juu nimekubali ,nimekubali ,nimekubali nitamwita shemeji oh nimekubali ,nimekubali ,nimekubali nitamwita shemeji ah shemeji,eeh shemeji ,eh shemeji eeh kila upande shemeji eeh shemeji shemeji eeh kishingo upande
This guy is a story teller. His songs have helped me improve my Swahili a great deal. His art is an amalgamation of music and drama which aids non native speakers to decipher his music. Love from Kampala!
My love for this man started way back. Nakumbuka mara moja nilitwa na mwalimu mmoja aty aslay n nani kwa sababu majina zake niliandika kwenye vitabu zangu zote... nampenda Walai ❤😅
Ivi aslay anahibaaa views aujee mbona asubuhi 500 k mchana 620 k nahona ndani ya week moja 1M ina demaa hapa,,, team *aslay* gonga like hapa au vipi tuhache kukahaa jikonii na wake was watuu etii ushemejii😂🎙*aslay* *nguvu ya humaaaa*
Aslay ninjeshi la MTU mmoja ndo maaana kaumiza na Goma letyu ili LA hauna aslay ni kidole kimoja kinacho vunja chawaaaa niambie unampa max ngapi maan katika nyimbo zoteeee mpya wiki hii iliyo isha m nampa 100% naww unampa max ngap kama unamkubali gonga like kwa hii comment 🦄🦄 SHEMEJI OR HAUNA 🦄🦄
Aslay mimi ni shabiki yako saaana nakupenda ila nina ushauri wangu tu kidogo ningeomba uwe unazipa muda ngoma zako kama wakina kiba na mondi ili tupate nafasi ya kuzisikiliza ngoma zako 😊😊😊mimi hadi zingne nazisahau sasa sawa best Inshallah Mungu akupe maisha mazuri akubaliki kwenye kazi zako Team Aslay kama nimeeleweka like zihusikahapa✔✔👍🏻👍🏻
From 254 upo juu dogo salute.Diamond hakufiki .DIAMOND HAMFIKI UYU DOGO. yah I said it n tell dem I said it,ngoma gani ya diamond ambayo si collabo imeshinda izi tatu my favorites za aslay Pusha,hauna,natamba
Yani leo naamua nimpe aslay bonge la like manake wimboo huu intoka 11 month ago bt hivyo hivyo namkubali aslay. Oee aslay man una talent i like this song imenifunza mengi👍👍👍
angalia actions za bestfriend b4 kumlet inn wengine ni snakes you can end up with tears pole aslay ndio ya walimwengu upande mtu upande nyoka upo juu 2 sana bro
nyie mnaosema aslay anatoa nyimbo za aina moja mlitaka siku achane ndo muone tofauti yake? acheni mambo ya kisenge, jamaa kama anajua anastaili pongezi, izo stail mpya mkafanye na wapenzi wenu.... BIG UP ASLAY
Anaizungumzia swala muhimu sana hapa Aslay. Koma sana kumfanya bebi wako azoeane na marafiki zako. Hivyo ndo mtu hujipata amebwagwa bebi akageuka shemeji.
Msanii Bora wa 2017 Ngoma zaidi ya 10 hafu zote HITS Mtaan.. PUSHA ANGEKUONA BABY DANGA LIKIZO NYAKUNYAKU RUDI TETE MARIOO MHUDUMU NATAMBA KOKO HAUTEGEKI Ongeza zingne ambazo unazijua.. 🙌🙌👏👑✊
Ambaye yuko mupaka 2024❤❤❤
Nyimbo imeuwa hii nakupat mkono from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Sisi wana+254 tumekubali tutakuita shemeji, Aslay tunakupenda tena sana.
Mambo
Team 254 Kenya nipeni likes kama unamkubali huyu kaka,,,,,👌👌👌
U are talented aslay God to be with you always
Namkubali
Noma broo
This dude makes it clear to our generation that music is not fireworks but the path that connects us with our inner self
Aslay is not just a bongo fleva artist but a guy who tells the testimony on our behalf
Live long and give us more
daaaaaaaa
Hapo nimekusupport bro
Huyu ndie.mwenyew.hamuna.ca.daimond.wala.nani.huyu.namba.on
Panaemi Lili true
Yeah you are right
Kama masihara umemvisha na shera🥺 the songggg damn ❤
ASLAY MIMI NI SHABIKI YAKO NAMBA MOJA NAPENDA SANA MUZIKI WAKO NATAMANI SIKU NIKUTANE NA WEWE NYIMBO ZAKO ZINANIGUSA SANA... ASLAY NAKUKUBALI SANA MFALME WA BONGOFLAVOUR
Ni kweli Hassan yani nyimbo zake karibia zote huwa za hisia Sana hatamm ❤️Sana Aslay.
l
Mimi ni shabiki yake namba mbili 😂
@@aishaamwalimu2887 subira
Aslay ndio bingwa wa afrika mashariki. Huu nyimbo unanifanya nihisi kama nimekosewa ilhali mke wangu mpole hana mambo mingi. Huwa si zungumzi na mke wangu hadi aniambie pole kwa mambo haelewi. Serious talk. ❤ from 🇸🇴
asly nyimbo hujaitendea haki HAUNA imekosea ungeiita SHEMEJI ingekaa Pouwa kabisa
Huyu jamaa ana talent hata kushinda diamond na kiba....nice melody.nice story...MOMBASAA JUUU...
Please leave Diamond name's clear off your optimistic comment.
Kumbe umeonaee huyu kiboko ni promoters tuu ndo hna
Mohammed Idd nakuunga mkono asilimia mia,nimekua nikifuatilia kazi zake & huyu ni moto sana.......
irungu evans nampend SNA asly
@@irunguevans7812 vizr
* LYRICS *
Ilikuwa inakuumaga ukiniona naye
ilikuwa inakuchomaga mwanaume wewe
ulitamani wewe ndio uwage mie
ndio maana nilipomuacha ukaamua umuoe
we hauna ,we hauna
hauna moyo kabisa
hauna ,we hauna ,we hauna
ulumagiki ata kulika
hauna wewe
alipopika chakula ulikuwa jikoni
sikujua ni kwa nini,
nilijua ushemeji tu,
kumbe kule mlikuwa mnayapanga ya kwenu
nyinyi mpaka umemteka
umekuwa gaidi juu
nimekubali ,nimekubali ,nimekubali
nitamwita shemeji oh
nimekubali ,nimekubali ,nimekubali
nitamwita shemeji
ah shemeji,eeh shemeji ,eh shemeji eeh
kila upande shemeji eeh
shemeji shemeji eeh
kishingo upande
mara oh tunaendana unaomba tusije kuachana eti,
unatupendaga sana kumbe we nichora
kumbe we nyuki,
mwenye laana kaniacha
manundu ya mchana nilivyobeep
kapiga tu mapema ukasepa na sinyora
oh mama sira umemvisha na shela
we mbona ni mbaya oh
ni mbaya sjui ulimpa dawa
au ndio hela ila yote sawa mi
nasema inshallah mungu atalipa ah
alipopika chakula ulikuwa jikoni
sikujua ni kwa nini,
nilijua ushemeji tu,
kumbe kule mlikuwa mnayapanga ya kwenu
nyinyi mpaka umemteka
umekuwa gaidi juu
nimekubali ,nimekubali ,nimekubali
nitamwita shemeji oh
nimekubali ,nimekubali ,nimekubali
nitamwita shemeji
ah shemeji,eeh shemeji ,eh shemeji eeh
kila upande shemeji eeh
shemeji shemeji eeh
kishingo upande
Wangaa mashemej
Etu
🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🙌🙌🙌
Jesus Christ, sasa sitapata Amani juu mke wangu kaanza kusikiza Aslay! Aisee kijana uko moto!!!!!! Kutoka Poland, salut!
The Louis Okari Show pingakazi vitu vyako vinakubarika ire baya
Lobinowski cool bro you great I love you
Y'ali bro
Napenda sana mziki wako aslay
Uko juu Mungu akulinde na Husda za walimwengu pia akupe Afya njema na uhai Mrefu uzidi kulete kazi
Nakubali. Huyu kijana ni noma na namuombea kwa Mwenyezi Mungu azzidi kumuongoza.
Hata mimi nimekubali jamani #shemeji mbaya!! Topten TV wote tunacheza huu wimbo
hahahahaaaaaa ndo io ss
aslay unajua big up broo
Topten Tv
mdg wangu hatar but uwendeleeeeee na kipaji aslayyy boy
Topten Tv vavava
Huyu ndo msee wakwanza kunifanya nipende mziki especially his songs till today men,,, nice guy hu sings real things
Always Aslay uko juu,hata yamoto ilikuwa mabegani mwako. Kwa sasa imetulia only u &beka ndo nawasikia.But Enock Bella na maromboso wamepotelea wapi ?
Aslay ulienda wapi jmn namis mziki wako rudi kwenye game ❤️ ❤️
Walizani tena watapata views kumbe Kiki mtupu daaah aslay haya mashairi yako vizuri endelea
Piga kazi mwanangu
This guy is a story teller. His songs have helped me improve my Swahili a great deal.
His art is an amalgamation of music and drama which aids non native speakers to decipher his music.
Love from Kampala!
team +256 uganda here we go with Aslay.....this kid has talent much love from kampala...
# however its so touching
Who is here in 2024
Meee🎉
Nice@@mwemezikennylyse-vs9uq
Aslay was lit. I still listen to him.
I am here. When songs had messages
ASLAY ni mambo mbaya sana, unatisha bro. Nimekubali nkuite baba wao nkiwa Kenya. Njooooo Nairobi ASLAY ili uturoge kiasi bro
Uyu kijana mungu akuogoze katika wimbo zko akycme uwa natolenga apa stress zngu am vivian from saudi arebia ❤❤❤❤❤
Wayooooo aminia mtu wangu tym zote nakuaminia hujaniangusha ata siku moja babae team aslay hoyooooo mamaaeee
hongeraaa
bby gal kwaya
una jitahid beka amekaza kamba
My love for this man started way back. Nakumbuka mara moja nilitwa na mwalimu mmoja aty aslay n nani kwa sababu majina zake niliandika kwenye vitabu zangu zote... nampenda Walai ❤😅
nime like kabla ni watch najua huwezi niangusha..
kazi mzuri sana
😅😅😅
kumbe nyuki mwenye laana kaniachia manundu ya mchana....safi sana bro aslay..love your songs
Nyuki mwenye laana mungu anakuona na hayo manundu uliomwachia asly...bro unakubalika saaana
I have to watch this every minute I open my computer.. Akii weeee haunaa Haunaaa.. Najaribu kukumbali pia.. Ali nichora ..kumbe nyuki wa laana..
Wallahi Aslay huku 254 nyimbo za zako nikama nyimbo ya taifa hututoshi.... 👌
I don't understand Swahili but this is my favourite song....Zimbabwe we approve
Who are these dislikers.... god damn them. Aslay tunakupenda upo juu jameni mob love wewe ni ndume... Wengine no manyoya tuu apa 254 twakupenda
Aà
Ivi aslay anahibaaa views aujee mbona asubuhi 500 k mchana 620 k nahona ndani ya week moja 1M ina demaa hapa,,, team *aslay* gonga like hapa au vipi tuhache kukahaa jikonii na wake was watuu etii ushemejii😂🎙*aslay* *nguvu ya humaaaa*
Beautiful music by a gifted artist in Africa’s sexiest language, Kiswahili.🇹🇿 🇰🇪 🇺🇬 🇷🇼 🇧🇮 🇲🇿 🙏🏿
🇨🇩
kila libalotokea maishan kuna sababu #aslay kuvunjika kwa kund leo ndo naona mafanikuo yako imependeza #xanaaaa🌍🌍🌍🌍
Whoever was on that piano is a real comrade true one
Haka kanyimbo kazuri kumbee, nmekasikia clouds baadaya Tessy kusema anaipend, NAMI nimekapenda
Dingi Mtoto
Wow! Nandy!? Take this one from me, Aslay is your Perfect match. Just marry him.😂
@@muttviews9140 Serious
@@muttviews9140 Maybe if bilnas couldn't be there 😂😂
😮
Shemeji Shemeji eeeh nimekubali nitikeni.. Kama mkubali 🇰🇪🇰🇪🇰🇪 nite I Shemeji... 👍👍👍 True story brother
huu wimbo ilitakiwa uitwe shemeji kwa maoni yangu Mimi
Kabisaaaa
Ni nyimbo uliyoimbia maisha yangu hadi leo nmeoa lakni bado nampenda x wangu aliyeolewa na rafk angu wakat nikiwa mosomoni.
Team Aslay tunasema HAUNA itapendeza zaidi!!!
This is massive talent whoever writes for him must be very talented coz the delivery is so gooood.
Kuna sehemu inasikika HAUNA na sehemu nyingine inasikika AUNA lkn poa nyimbo nzuri bigup.
namkubali Sana Huyu dogo Aslay namtakia akaze buti afike mbali zaidi nyimbo zake burudani Sana kwangu kama hii Hauna naikubali vibaya Sana big up.
Aslay utaniuwa na hizi ngoma unavyozidondosha.
asley unanigusa sana kila unacho fany
BEFORE I'M 25 good
BEFORE I'M 25 nko vzr bro
BEFORE I'M 25 chemeji gani asley saute
Ah akuuwe tu mana huyu jamaa Masha Allah....Allah amuongezee na ten
Marafiki wanaah niwengi San hii Dunia aisee wanatutesa san
love this song, inafeel kama part 2 ya "Nairobi ya Bensoul na Sauti Sol"
Aslay ninjeshi la MTU mmoja ndo maaana kaumiza na Goma letyu ili LA hauna aslay ni kidole kimoja kinacho vunja chawaaaa niambie unampa max ngapi maan katika nyimbo zoteeee mpya wiki hii iliyo isha m nampa 100% naww unampa max ngap kama unamkubali gonga like kwa hii comment
🦄🦄 SHEMEJI OR HAUNA 🦄🦄
Dah! noma sana hata mm NIMEKUBALI wewe ndo ulikua unabeba ya moto mehn! this jam is lit!
aslay uko juu kama ndege
Ferooz wa kwanza kwA nyimbo kama izi... Aslay wapili..
Diamond anapita juu sababu Freemason Ina run dunia
Mziki ni message na hisia.....bigup bro.
Aslay mimi ni shabiki yako saaana nakupenda ila nina ushauri wangu tu kidogo ningeomba uwe unazipa muda ngoma zako kama wakina kiba na mondi ili tupate nafasi ya kuzisikiliza ngoma zako 😊😊😊mimi hadi zingne nazisahau sasa sawa best Inshallah Mungu akupe maisha mazuri akubaliki kwenye kazi zako Team Aslay kama nimeeleweka like zihusikahapa✔✔👍🏻👍🏻
Much LOVE from Banana State Kenya, Lakeside City Kisumu!
Chalii badilika . nyimbo zako zote zinafanana melody. Ladha ya muziki inapotea taratibu kwa mashabiki zako
Haujawahi kukosea since DAY ONE much respect kwako.
Aslay uko juu tu saana usife moyo hata maadui waseme nini sisi twakupenda saaaaana.
Nyimbo zote staili ileile, ujumbe karibu ni uleule. Nadhani nakaribia kuchoka aise.
Kennedy Mmari
From 254 upo juu dogo salute.Diamond hakufiki .DIAMOND HAMFIKI UYU DOGO. yah I said it n tell dem I said it,ngoma gani ya diamond ambayo si collabo imeshinda izi tatu my favorites za aslay
Pusha,hauna,natamba
Waumize mdogo wangu
Hata mm NIMEKUBALI kua Aslay ndo alikua song writer wa YA Moto Band alafu akaenda na kitabu cha nyimbo. All his songs are lit🔥🔥🔥 since the band broke.
Unachokiona kibaya mwenzio kinamnyima usingizi funzo kwawatu hongera dogo unaweza
Yani leo naamua nimpe aslay bonge la like manake wimboo huu intoka 11 month ago bt hivyo hivyo namkubali aslay. Oee aslay man una talent i like this song imenifunza mengi👍👍👍
angalia actions za bestfriend b4 kumlet inn wengine ni snakes you can end up with tears pole aslay ndio ya walimwengu upande mtu upande nyoka upo juu 2 sana bro
nyimbo kalii sanaaaa,,,, ukivuta hisia unagusaa sanaaaa,,, duuuuh ila usiombe yakakukuta,,, big up as lay tisha sanaaaa
Lol Aslay nimekupigia salute wallah nyimbo iko on fire👌👌👌👌👌
Nakukubali sana aslay wewe ninoma kwa tanzania nawaesabu wasani wa wili tu. Wewe pomoja na kiba tu
Nani bado anakubali na asley..2019
Ooooooh Jesus Aslay yaani unatuuua aiseee ngomaa tamuuuu sanaaaa
Team Asley tuko ndani Kabsa😍😍😍Kama imekubali npe like👏👏
ndaaani ndaaani
😜
We Jamaa Unajua aisee...
Daaah !!! Unajua saa zingine sio lazima mtu afe ndo tumtunuku...!!!
Kaza buti Kijana tunakusapoti💪☝👍👏
What a nice song.. Aslay kaka nakutambua sana+254
Waa umewezaaa bro hongera ak nyimbo zako ninzuri sana nazipenda sanaaaaaaaaa mia mia
nyie mnaosema aslay anatoa nyimbo za aina moja mlitaka siku achane ndo muone tofauti yake? acheni mambo ya kisenge, jamaa kama anajua anastaili pongezi, izo stail mpya mkafanye na wapenzi wenu.... BIG UP ASLAY
Emaa Severe
kwel
Emaa Severe wambieeeeee
aslay Uko fine,,,thumbs up
Nimekubali kumuwita shemela
Anaizungumzia swala muhimu sana hapa Aslay. Koma sana kumfanya bebi wako azoeane na marafiki zako. Hivyo ndo mtu hujipata amebwagwa bebi akageuka shemeji.
Rafiki yangu wa dhati kaninyanganya bwana 🥺🥺🥺
"....mara Ooohh tunaendana, unaomba tusije kuachana, ati unatupenda Sana, kumbe ulinichoraa......This is so real...
Bongo flavor crown prince..hatariii
Mungu azidi kukuongoza kwenye kazi zako Inshaallah, kama unamkubali Aslay gonga like hapo
Shemeji shemeji ehh 🙌🏾🙌🏾🙌🏾 kilaupande 🔥🔥
najikubali kwa roho mbaya ila kwa mwendo huu natoa heshimaaaa....safi sana dogo
Dude,I salute you.You are one of this guys that I know has content.I can't stop listening to your songs🤴🤴.
There's always a take your song unfolds👍👍.
heat after heat ASLAY weeeewe east africa sasa ukaibeba kakangu
2020 who is still watching this like kwa wingi💪💪
Msani nae mkubali ni huyu apa,,Aslay ❤❤❤❤
bravo .....im sure this song is based on a true story...it sounds real......Im impressed with the good works @Aslay
U r amazng....u touch de real life situations in our society....Mungu azidi kukupa kibal had internationally
Wee aslay unatshaa...Kesho dondosha nyinginee Mamaee
Hatari sana,wanyooooooshe kijana wangu
Omg you can tell he's singing from his soul!
Love the song!!
Tuko pamojana aslay kama macho na kope
baba utatuuwaa fireeeeeeeeeee
Issah Ally
ukiacha wenwzio wanapitia, ukisema wa kazigani wenzio wanaulizana nitampata lini, nice song.
My all time favorite since then💣💥
Tweny tweny need my likes ✌
Unajua sana dogo lkini chunga usimshinde simba..manake simba hali nyasi ..shkilia tu huo mtuti tulenge kwa shimo moja#Team aslay gonga like hapa👈👈👈
Wozaaa aslay unazd kuwanyoosha
Seleman Donald ,hpo hamna nyimbo
Nyimbo qali bro
OJ Winston from Kenya likes this!👍💪
Msanii Bora wa 2017 Ngoma zaidi ya 10 hafu zote HITS Mtaan..
PUSHA
ANGEKUONA
BABY
DANGA
LIKIZO
NYAKUNYAKU
RUDI
TETE
MARIOO
MHUDUMU
NATAMBA
KOKO
HAUTEGEKI
Ongeza zingne ambazo unazijua.. 🙌🙌👏👑✊
wajua
Huu wimbo sipendi Sana kuusikiliza kwakua hunitoa machozi, alichoimba nimapito niliyopitia iliniumiza Sana. Ni bonge la nyimbo, ujumbe unaeleweka.