MASAUNI KATIKA WAKATI MGUMU| "MNAOFANYA HAYO, MJUE YUPO MUNGU" TANGA WATATUTHIBITISHIA HILO

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 3 ноя 2024
  • 𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2024 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
    #wasafi #wasafitv #wasafifm
  • РазвлеченияРазвлечения

Комментарии • 73

  • @TumahSaid
    @TumahSaid Месяц назад +4

    Jmn mungu awasaidie palestrina kwanza sisi tufanyeni kweli tu

  • @MsNajma-j7e
    @MsNajma-j7e Месяц назад +2

    Tusubri jua rizame tumshitakie Allah

  • @kheriakida3309
    @kheriakida3309 Месяц назад +16

    Damu ya Ali mohamed Ali kibao haitokwenda bure, Nawaambia wameteka wameua ila damu ya Ali itahitimisha haya

  • @jasmintanga2474
    @jasmintanga2474 Месяц назад

    Inshaa Allah ilie alie itakua mfano kwa uwezo wake Allah

  • @PeterMshali
    @PeterMshali Месяц назад +1

    Zembwela nimekukubali Mzee mwenzangu.... Tutalia na Mungu

  • @BeatriceMrema-r8t
    @BeatriceMrema-r8t Месяц назад +4

    Kama nawaona. Mungu hadhihakiwi. Machoz yaliyomwagika, hayatawaacha salama. Ole!!! Aliyehusika!! Mungu wetu ni Kijana hakawii, mizani yake haidanganyi. Ole!!!

  • @FatumaSaid-t4r
    @FatumaSaid-t4r Месяц назад +5

    SubhanaAllah.Allah atuwepushe na majib ya Al badir.Mwingi wa kusemehe tusamehe dunian na kesho akhera.

    • @musa-v3f
      @musa-v3f Месяц назад

      Rais Samia lazima awajibike sio tu hapa duniani hata kesho akhera juu ya vifo vya kishenzi vya hawa watu wasio na hatia. Samia government has become tyrannic and it should be voted out.

  • @dicksonmollel-d1o
    @dicksonmollel-d1o Месяц назад +1

    zembwela uwa nakuhelewa sana, Big brain, whotever you say is pure point!

  • @RodenMgata
    @RodenMgata Месяц назад +2

    Alieuwa kwa upanga atakufa kwa upanga😭😭

  • @JPO2R69
    @JPO2R69 Месяц назад +1

    Alie Alie Alie

  • @hamidudigogo5863
    @hamidudigogo5863 Месяц назад

    Yani ina uma sana Yani NINGEKUA Mimi nikweli Kila alie ningefanya unyama unyama tu

  • @ibrahimkasim922
    @ibrahimkasim922 Месяц назад

    Mungu awahukumu

  • @mwanaikaomar8628
    @mwanaikaomar8628 Месяц назад +6

    Sawasawa.bora wasome halbadiri.uonevu umezidi kwa kweli.wapukutike Kila aliehusika na unyama huu.mithili ya matunda yaliopata kimbunga kwenye mti wake.eee Mungu tusaidie wanyonge wako

  • @rogersiddy
    @rogersiddy Месяц назад +4

    Kama ukitaka kucheza na moto Tanga kaa mbali nao kbsaa wanakumaliza mapema sanaaaaaa

  • @CulbertFaustin
    @CulbertFaustin Месяц назад

    Hakuna atakae ishi milele... tutaongea nini tukikutana nae

  • @ChundwaTobias-b5l
    @ChundwaTobias-b5l Месяц назад +2

    Hizi kampeni za mwaka huu mtu akifa kwa namna yeyote zawadi ni shilingi 5,000,000

  • @FilbertMgaza
    @FilbertMgaza Месяц назад

    WAPI MAHAKAMA YA MNYONGE WAZEE KULA SIKU 7

  • @kilamegroup2968
    @kilamegroup2968 Месяц назад +1

    Kurjuan😂😂😂

  • @HamisiSalimu-d1n
    @HamisiSalimu-d1n Месяц назад +2

    Zembwela usipepese maneno hao wataka kurjuani Babu kubwa ramda familia isitake ukizingatia watu wa pangani naitamani sana iyo kurjuani itokee

  • @AbelJohn-tx4in
    @AbelJohn-tx4in Месяц назад

    Tena kwa nyongeza wale wote wanaokejeli na kucoment ujinga, kusema mnaichafua serikali na kudhihaki haya yanayotokea hapa nchini ninaomba hicho kisomo kitakachosomwa kipite nao, muwachanganye kwenye hilo janga

  • @HassaniAbee
    @HassaniAbee Месяц назад

    Wanaosoma tatizo hawaisomi kweli

  • @STEPHENKingu-yz2dk
    @STEPHENKingu-yz2dk Месяц назад

    Jamani huyo Musa mtoeni hapo hafai

  • @ErickPayowela-u1x
    @ErickPayowela-u1x Месяц назад +2

    Tufunge kwa maombi majibu yatapatkana tu maustazi wto tufunge

  • @alecbayrine7161
    @alecbayrine7161 Месяц назад +1

    "Leo huku...kesho kota hizi..." 😅

  • @modyshabani
    @modyshabani Месяц назад

    😭😭😭😭😭😭

  • @othmanshahib1115
    @othmanshahib1115 Месяц назад

    Huyu mtu walio muua laanah kum kwa vizazi vyao maana mzee wa watu hatumjui ila picha tu inaonyesha kaonewa sana sana

  • @petersilas4234
    @petersilas4234 Месяц назад +1

    Yatakuwa wazi tu baada ya muda, Mungu hataacha Mhimili wa Africa utikisike. Never.

  • @saidmo8392
    @saidmo8392 Месяц назад +1

    Sadakta

  • @bradakitemwe
    @bradakitemwe Месяц назад

    Mimi kaka zambela siamini kama hawa watu wataangushwa.maana wao washajiona ndio miungu wa Tanzania.

  • @ramadhaniomarishauri9905
    @ramadhaniomarishauri9905 Месяц назад

    Sasa kama alie, inamaana hata alie tangaza litamkuta..

  • @fatmaalnabhani3609
    @fatmaalnabhani3609 Месяц назад

    Watayaokota makopo kwa watu wa Tanga kwa kila alie ataliwa na atalia sana

  • @batashqiraa9936
    @batashqiraa9936 Месяц назад

    Wauaji wasiojulikana wameyakanyaga, wameingia choo cha kike, kwa Tanga wauaji wamekumbatia mzinga wa nyuki, kwa Tanga wauaji msiojulikana mmekwishaaaaaa, eh eh eh eh eh eh eh, wauaji msiojulikana ila MNAJULIKANA, Kwa Tanga mmekumbatia mzinga wa nyuki na mtaona nyuki watakachokifanya kawaida ya nyuki wakimshambulia adui husikii kelele wala nini kimya kimyaaaa

  • @LudovickTibakyenda-gs2wh
    @LudovickTibakyenda-gs2wh Месяц назад

    Kila aliyehusika aende kwa bosi wake akiwa mtupu

  • @Ramista75
    @Ramista75 Месяц назад

    Zembwela kumbe unakigugumizi au

  • @RamadhanAthuman-d4c
    @RamadhanAthuman-d4c Месяц назад

    Ila hawa watekaji wataisha kimya kimya tuwe makini tu

  • @NassoroRupia
    @NassoroRupia Месяц назад

    Mi tachanga ubanij wasife kwanza watembee uchi mwezi mzima kwanzia alie watuma

  • @raymondsekabigwa5907
    @raymondsekabigwa5907 Месяц назад

    Kwani msiba Hyundai WA kwanza? Masauni na watu wotevwa usalama mjiudhuru. Vinginevyo si tutachukulia mnahusika?

  • @MsNajma-j7e
    @MsNajma-j7e Месяц назад

    Wamemua uyu mzee kuzima kesi ya yule binti wa yombo na wamefanikiwa sasaiv tupo kwenye mauwaji ya mzee Ally aisee hii sio sawa nataka tanga waende kwa mizimu wawashugurikie wariomua mzee wakome nawao wapakatike mbwa hao

  • @ahmedchuchu389
    @ahmedchuchu389 Месяц назад

    Hichi kipindi kidum,zembwela byeeee

  • @ricksonrickson2676
    @ricksonrickson2676 Месяц назад +1

    Kwan mbona nasikia sauti tu ,mtu simuon

  • @PeterMshali
    @PeterMshali Месяц назад

    Ubani mushtakah

  • @kamuchidyblez2136
    @kamuchidyblez2136 Месяц назад

    Zembwela naludia kusemaa kuwa ww ni brain 🧠kubwa sana

  • @NasraAlMarjabi
    @NasraAlMarjabi Месяц назад +1

    Acheni maneno Mengi Saana Chadema Wamemuuwa Ali kibao