"DAIMOND ALITAKA KUNIOA KABISA, NILIISHI NAE NYUMBANI KWA MAMA DANGOTE" SARAH EX WA TAIFA

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 29 апр 2024
  • 𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2024 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
    #wasafi #wasafitv #wasafifm
  • РазвлеченияРазвлечения

Комментарии • 40

  • @EsterShirima-vr7cv
    @EsterShirima-vr7cv Месяц назад +6

    Nimempena Sara sana

  • @patriciacarlo7236
    @patriciacarlo7236 Месяц назад +5

    Mi nampenda Sara jamani

  • @aminaomary5567
    @aminaomary5567 24 дня назад

    ❤❤❤🙏🙏👍Mama Nassibu nakupenda sana yaan wewe sio mchoyo.Tabia ambayo mwanao anayo. Sarah ukawa unampa na chakula chako. Sarah ulimpata mama mwema.Sarah:mama Nassib nawapenda sana:kwanza mumefanana sana❤❤❤

  • @KumbukaniSilwimba
    @KumbukaniSilwimba 29 дней назад

    Namutaman sana uyo kaka kukutana nayo shida nipesa jaman npo Malawi wengi wao wananiita diamond

  • @muhsiniamiri9310
    @muhsiniamiri9310 Месяц назад +1

    radio ya Familia leo zamu ya ex wak kuhojiwa dah Kuna wat weng wanatesek Shda nyingi..... lkn kutwa mnafocus personal issue Sasa kil mtangazaj apo inamaan han ex so I that a big deal to talk abt we Don need to knw that guy radio ni nzur

  • @user-xj3ss3rq9n
    @user-xj3ss3rq9n 9 дней назад

    Sasa sara mngeoanaje mko wadgo hivyo ulikuwa mchezo jamani kijana 21yrs bint 18 mge weza famlia kweli????

  • @wilonderby
    @wilonderby Месяц назад

    Kubabakeee waliachana 2009 , MWAMBA 2010 akajipata 🙌🏾maisha haya

  • @khamso-254
    @khamso-254 Месяц назад +1

    😂diva ngozi imekunjana sana....uzee huo😂

  • @lizykinabo1751
    @lizykinabo1751 26 дней назад

    Ila diamon fanya ufanyalo,sara ndio mkeo huyu

  • @ukhutfatumah1154
    @ukhutfatumah1154 Месяц назад

    Mashallah

  • @aidankakulu398
    @aidankakulu398 Месяц назад

    TV ya kipuuzi sanaaaa na content zake zote za kipuuziiiiii mfyuuu

  • @carolsayo6409
    @carolsayo6409 Месяц назад

    Sarah is a vibe

  • @sophsoph4740
    @sophsoph4740 Месяц назад +6

    Hongea yake sara naipenda

    • @liberatusjackson5045
      @liberatusjackson5045 Месяц назад +1

      Ongea yake.sio hongea yake

    • @user-go7vz4ue8u
      @user-go7vz4ue8u Месяц назад

      @@liberatusjackson5045🤣🤣🤣🤣🤣🤣mwalimu wake wa kiswahil alikuwa na shida

    • @user-go7vz4ue8u
      @user-go7vz4ue8u Месяц назад

      ⁠@@liberatusjackson5045mwalim wake alikuw na shida sana 😅😅

  • @mwendemwende5789
    @mwendemwende5789 Месяц назад +2

    Juma shangilia tu zuu anakusikia

  • @AgueroBoaz-ei5qt
    @AgueroBoaz-ei5qt Месяц назад

    Jini limetoka wap iloo jaman mbona limebukaa sanaa daaah kwer tutfte pesa kwer mondi ulikua unapumzikia hapo 😂😂😂😂😂😂

  • @Mumewangu
    @Mumewangu Месяц назад

    Hutu ndie anaestahiki kuolewa na diamond MTU maana kabisa

  • @braggadachu1723
    @braggadachu1723 Месяц назад

    Hili jina la sara silipend nilkua na demu aliitwa sara alinitesa sana alipojua nampenda

  • @fatumazakalia-yx4kg
    @fatumazakalia-yx4kg 28 дней назад

    Anahadisia vizuri kama yule dada wa cmulizi

  • @user-pk1yl7zt8p
    @user-pk1yl7zt8p Месяц назад

    Kazur asilia

  • @officialEmmah
    @officialEmmah Месяц назад

    Aki hawa watu wanapenda umbea😂😂

  • @DismasOguda
    @DismasOguda 28 дней назад

    Sara ananidhamu sana ndio mana myama alimuelewa interv mbona fupi

  • @stn4873
    @stn4873 Месяц назад

    NASIBU KICHWA.

  • @abdulmohd6880
    @abdulmohd6880 Месяц назад +3

    Yani Mama Dangote n mtu wa maana kabisa kw kubariki ZINAA😢 ila hawa watu wa bara n mtihani sn yani Allah atusaidie tu🤲

    • @muksinimbaruku1233
      @muksinimbaruku1233 Месяц назад

      Kabisa

    • @zazalareinebosslady
      @zazalareinebosslady Месяц назад

      😂😂 kwani shida ipo wapii hasa😂😂

    • @abdulmohd6880
      @abdulmohd6880 Месяц назад +1

      @@zazalareinebosslady hakuna shida mbn mwanao kumleta mwanamke au mwananmme ndani ambae hawajaoana na ww unabariki husemi kitu n jmb zuri tu kubariki ZINAA, ck ya kiama mzazi atamkimbia mwanawe kw mmb km haya Allah atusameh na atuongoze

    • @petermanala6138
      @petermanala6138 Месяц назад

      😂😂😂😂nan kasema kiama utakuwa na familia yako na mambo mabaya ni tabia ya mtu sio ya kabila fulan au familia ya mtu huyo ni tabia yake wazazi hawahusiki Kisha kubuu huyo kama anaona sifa na wao wanamuacha aendelee na alichochagua

  • @mohammadoman8963
    @mohammadoman8963 Месяц назад

    Audhubillah

  • @MdNasr-jm8pj
    @MdNasr-jm8pj Месяц назад +1

    Ungelikua na Maisha ya SS 🎉🎉🎉ungekubali kuolewa na kuzaa

  • @thehustlerafrica4368
    @thehustlerafrica4368 Месяц назад

    Tuleteeni Mark

  • @saudatoto3010
    @saudatoto3010 Месяц назад

    Wanaume wambea awa

    • @kamanapomo7029
      @kamanapomo7029 Месяц назад

      Hao wote mashoga ndio maana wanatabia za wanawake

  • @shazimna
    @shazimna Месяц назад

    nakupenda sala

  • @muksinimbaruku1233
    @muksinimbaruku1233 Месяц назад

    Yani wasafi wajinga kweli kila tukio linalomhusu Diamond ni content na kipndi kabisa, basi mbna mnapotezea tukio la P Did muiteni Diamond ahojiwe vzr kama yamo

  • @Zainab-qg6xv
    @Zainab-qg6xv Месяц назад

    Uongo mtupu Kiki

    • @user-td8bp9kz8d
      @user-td8bp9kz8d Месяц назад

      Ukute mdada katoa mpunga ili aende mjini