RAMMY GALIS AMJIBU DUMA - "ANAJIDHALILISHA, AMEKOSA CHA KUFANYA"

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 13 янв 2025

Комментарии • 41

  • @ImanuelMwaipaja-wf7xq
    @ImanuelMwaipaja-wf7xq 11 месяцев назад +1

    Uyu kidogo anaweza mfikia kanumba akaze

  • @jacquelinekennedy5740
    @jacquelinekennedy5740 2 года назад +6

    He so smart on the way he approache the questions

  • @Mina.15
    @Mina.15 4 месяца назад

    Duh wasomali tupo kula pahali 😂😂😂❤

  • @cathreenmbawala7528
    @cathreenmbawala7528 2 года назад +2

    Huba iko moto sana

  • @philthegreat-oi7ny
    @philthegreat-oi7ny 7 месяцев назад

    kanumba was unique i miss him i thought huyu anamfanana kumba midevu ndo sana

  • @erickthegreat213
    @erickthegreat213 2 года назад +1

    Jua kali is the best

  • @alicenice1711
    @alicenice1711 2 года назад +1

    Jua kali njo iko fire,usituongopey rammy

    • @raquiztv4948
      @raquiztv4948 2 года назад

      We fatilia vzr m kwang huba ilikuwa fire sana sema nw wanaongeza mno watu ila kapun kwang ilikuwa nzur zaid

    • @terashangwe255
      @terashangwe255 2 года назад

      Elewa ukiambiwa kuhusu Views HUBA ina Views wengi

    • @tatianamtala9691
      @tatianamtala9691 2 года назад +2

      Watu gani kila mtu anapenda anachopenda sio unachopend wewe au matukio ya kusikitisha kila mda anayoyafanya lamata ndo mniona jua kali nzur sijaona maajabu pale

    • @raquiztv4948
      @raquiztv4948 2 года назад

      @@tatianamtala9691 kwel kila mda matukio ya kusikitisha tu

    • @hassanirajabu5453
      @hassanirajabu5453 2 года назад +1

      @@tatianamtala9691 tatizo mtu kupata cm tu kaanzia kufatilia jua Kali hawezi kujua hii ilipoanzia ndugu so muache aamini anachokiamini

  • @jacqueli18
    @jacqueli18 2 года назад +1

    Rammy aliyeitwa selesine na ramy wa Sasa hivi mmmmmh sijui ni uzee? Yaani selestin was fire....Ila now day minywele imekaaje sijui mindevu woiiiii

  • @marykasanga4012
    @marykasanga4012 2 года назад +1

    Kweli huba ikovizuri sana wasiwkatishe tamaa

  • @jacklinechuga2569
    @jacklinechuga2569 2 года назад

    Rammy loves you❤

  • @dottohami
    @dottohami 2 года назад

    Masha Allha 😘🔥

  • @starlonejadamskp8224
    @starlonejadamskp8224 2 года назад

    Hyaaa

  • @gonnetheboss1708
    @gonnetheboss1708 2 года назад +6

    Uyo duma ana akili alitaka ligi na gabo kachemka sasa kaamia uku kwa ramy du afanye kazi nzuri tu itamuweka jùuu ache tabia za kike

    • @terashangwe255
      @terashangwe255 2 года назад +2

      Kaenda kuandaa tamthilia Mbovu Ya FUNDI haina hata mashiko

    • @stellah3844
      @stellah3844 2 года назад

      @@terashangwe255 🤣🤣🤣🤣🤭🤭

    • @sixmundleonard2135
      @sixmundleonard2135 2 года назад

      Duma bado mshamba alfu ana akili za kike anapenda ligi 🐕 huyu

  • @ashahassan2120
    @ashahassan2120 2 года назад

    Nizuri sana

  • @lul5292
    @lul5292 2 года назад

    Somali

  • @mariamusaulo4429
    @mariamusaulo4429 2 года назад

    Rammy tunakupenda watazamaji wa Huba

  • @asmaali2911
    @asmaali2911 2 года назад +1

    Mwanaume kuvaa dhahabu ni mtihani 😪

    • @silverdavid6200
      @silverdavid6200 2 года назад

      Kwenye kitabu chenu....vitabu vingine vimeruhusu...mihimu kuendelea kujifunza.

    • @khadijamahmoud4365
      @khadijamahmoud4365 2 года назад

      @@silverdavid6200 na huyu ni wa kitabu kinachokataza mwanaume kuvaa dhahabu

    • @sitiabubakar2892
      @sitiabubakar2892 2 года назад

      @@khadijamahmoud4365 hawajui inalegeza viungo ndio ikakatazwa Kwa mwanaume ikaruhusiwa Kwa mwanamke sababu mwanamke ndio anatakiwa alegee sio dume

  • @hijamwinyi3233
    @hijamwinyi3233 Год назад

    Duma kila ana bifu nae

  • @johnphilipo6760
    @johnphilipo6760 2 года назад

    Kuti kavu ndo tamthilia gani??? Hatuijui mbona🤔

  • @faidhafaidha4587
    @faidhafaidha4587 2 года назад +1

    Rip Agnes masogange

  • @marijanmo4736
    @marijanmo4736 2 года назад +1

    Ok

  • @Mzena4343
    @Mzena4343 2 года назад +5

    huyu jamaa hapendi kujisifia

  • @King_Of_Everything
    @King_Of_Everything 2 года назад

    🇹🇿🇹🇿🇹🇿🙏👍

  • @jemusshukuru37
    @jemusshukuru37 2 года назад +1

    Hapo hapo Mimi hiyo tamdhiria imeniingizia pesa nyingi Sana mpaka sasaivi coz mimi ni fundi dishi likiyumba tuuu razima upige sm

  • @jumasalehe435
    @jumasalehe435 2 года назад

    Wapenz wa Huba tupo Yani hakuna tamthilia Kali km Huba ikifatiliwa na jua kali

  • @alinependo
    @alinependo 2 года назад

    Watu wasiejuwa duma na rammy walikuwa nautofauti tangu zamani