KARIBUNI MJIUNGE NA CHAMA CHA WATAFITI
HTML-код
- Опубликовано: 17 янв 2025
- Chama cha Watafiti Tanzania (ATARE) kimewataka Watafiti wote Nchini, kujiunga na chama hiko ili kuboresha utendaji wao wa kitafiti. Hayo yamemwa leo na Rais wa Chama hicho Profesa Joseph Ndunguru, katika Kilele cha Maonesho ya Nanenane 2024, Viwanja vya Nzuguni Dodoma.