Размер видео: 1280 X 720853 X 480640 X 360
Показать панель управления
Автовоспроизведение
Автоповтор
mungu mkubwa
Hii nchi sijui, mimi sijui nani ataiambia tuendako siko IKASIKIA... Elimu yetu n aibu tupu
Nimemsikia mhifadhi akisema samola mashel alikuwa Rais wa Mozambique na akasema Mozambique ni zimbabwe . MOZAMBIQUE Hoyee
Nani kamuweka hp huyu ...bado mtoto sn uwezo wake mdogo mno wa historia anachanganya mambo mno hii aibu...Mozambique ndio Zimbabwe wapi na wapi....bwana mdogo nenda shule tena hp hapakufai..
Ndo mjue shida ya kuwekana wajomba na wapwa kwenye nafasi nyeti kama hii ya kutoa elimu
@@bakermusa9033 yaah! nimekuelew sn ni tatizo kubwa sn dah!huruma sn ..
Mhifadhi una mbwembwe nyingi za kuongea kuliko kuongea vitu sahihi. Jipange kwanza kufahamu unachofundisha kuliko kutanguliza mbwembwe