Kazi nzuri sana boresheni contents lkn pia hata hawa boda boda mnaowachukua waendane na sherehe sio Boda boda kavaa ndala za bafuni ndoo yuko mbele ya msafala wa sherehe
Muwe mnataja mahali mlipo, yaani Mkoa, Wilaya. Sasa jirani na kanisa la Sabatho wapi? Hata S'wanga opposite na Kanisa la Sabatho kuna studio za video production kama hiyo. Siku nyingine taja Mkoa au Wilaya! Usituangushe wachu! Otherwise hongera kwa kazi 👏👏
Congratulations jovi long life 🎉🎉
Hongera Sana mungu abariki ndoa yenu amen
Naombeni huo wimbo nimeupenda sana
Hongera Mmependeza mungu awajalie maisha mema
Hongereni Sana mungu awatangurie munihombee namimi
Sifa kwa wazazi hasa Mama,jamani anapitia magumu kumlea mwanae,hasa kwa maisha haya yalivyoo tuwapende na kuwathamini Sana wazazi na walezi pia ,
Amen Mungu awabariki sana
Hongera dada umependza san
Ongera sana kwa kila hatua Mungu awe mbele enu🙏🙏🙏🙏🙏
Amen💯👏🙏
Hongera dada usisahau ibada.
Nimependa nsafara style mpya woow piko hongera
Hongera sana Jovi ake odo anakusalimia
Bibi haruc kadamshi hongra mungu akubarki katk ndoa yk
@@wajinatv3033 amina
Hongera bi dada💕💕💓💓
Hongereni Sana mungu awajali maisha marefu
Hongera
Nice
Nice.hio nyimbo inayo sema niwabaraka mungu uinuliwe ni nani aliyeimba
Mwenyewe nautafuta jamani
Kwani ni harusi, 🙄🙄🙄God bless you as you start new life
N pre-wedding
Kazi nzuri sana boresheni contents lkn pia hata hawa boda boda mnaowachukua waendane na sherehe sio Boda boda kavaa ndala za bafuni ndoo yuko mbele ya msafala wa sherehe
😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Unakuta Huyo bodaboda kakodiwa na yeye anaamua kuvaa ndala utamfanyeje sasa!
Kichwa cha habari kinatisha send off ni kama amekufa mnaenda mzika. Andika Prewedding (send off) ili watu wasichanganyikiwe
duhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhh,, hiki kizthunguuu bwanaaaa
Yani hata mm kido nijue hvyo
Huo wimbo unao imbwa ni wa msanii nani wadau?
Kazi nzuri
Hyo mikand y brazia vp
Wimbo mzuri sana hapo mwanzo.. Naomba kujua umeimbwa na nani. Video poa sana. Heko.
Umeimbwa naYuster Antony kwasasa anaitw Mrs isaya
I like it kwakeli
Congratulations
Mungu awalinde
Mwajua maana ya sendoff😲😲😲
Nashangaaaa
@@mercykaingu1165 nkadhan ameaga kumbe arusi jaman
Mmmmh ao boda mje mvunje miguu Na iyo misifa chefuuu,,ila hongera mtarajiwa pendeza Ni hatua kubwa
Nice
Good job kk
eti send off kumbe ni harusi waaah!
🙏🙏🙏⚘⚘⚘
💞💞
Congratulations!! Dada
Good
Ni Hilo chogo kichwani
Nice job❤️❤️❤️
Mvua hizo nibaraka za harusi ... MUNGU awajalie Maisha ya amani.
💕
Qw
Félicitations grande dame
Hapo pikipiki dah 😆😆😆😆
Send off na mwajipaka hivo mna nguvu za kujipaka
Mishono ya magauni ya vitenge
Mb zangu zimeenda bure
Hi kali
P
Muwe mnataja mahali mlipo, yaani Mkoa, Wilaya. Sasa jirani na kanisa la Sabatho wapi? Hata S'wanga opposite na Kanisa la Sabatho kuna studio za video production kama hiyo. Siku nyingine taja Mkoa au Wilaya! Usituangushe wachu! Otherwise hongera kwa kazi 👏👏
Haahaaaaaaaa
Hogera san
Hongera sana kwa kaz yako dada 👞👟👞👟
Ogera sana dada
Kichwan sijaerewa mbn chogo kubwa Hilo jmn 😜😜
Achen ujinga ndo mwandishi gan huyo kutumalizia tu mb
Siumeburudika lakini mamy🤣🤣🤣
Hongera bi harus
Hongera
Hongera