Azam TV: MAKALA YA SHAMBANI - KUTANA NA MKULIMA WA KIPEKEE, KHADIJA JABIR

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 29 сен 2024
  • Khadija Jabiri mwenye umri wa miaka 27 anamiliki shamba la kisasa la GBRI liliko Kiwere, Iringa.
    Alipohitimu Chuo Kikuu mwaka 2012, tofauti na vijana wengi hakutafuta ajira ofisini, badala yake alijikita katika biashara na mojawapo ni kilimo. Kwa sasa amejikita katika kilimo cha mboga na matunda. Huyu hapa Jamal Hashim akisimulia katika makala ya Shambani Wiki Hii.
  • СпортСпорт

Комментарии • 7

  • @fadhilimsema1423
    @fadhilimsema1423 6 лет назад +1

    safi saana dada angu napenda saana siku moja namim nimiliki green house inshaalah

  • @mrishomzelela4627
    @mrishomzelela4627 5 лет назад +2

    alafu msipende kudanganya vijana,hiyo ni investment kubwa inahitaji capital na hili ndio tatizo LA vijana wengi hatuna capital,mfano mm Nina ndoto ya kumiliki shule yangu ya secondary lakini bado cna capital ninaelimu na sasa ni mwalimu part-time(BSED).KWAHIYO MTANGAZAJI UNAPO WAHOJI LAZIMA UWAULIZE MTAJI WALIPATA WAPI.SIO KUSEMA TU BINT MDOGO ANAMIAKA 27,na kuwaaminisha watu kuwa mambo ni easy kila kitu ukesema ni business lazima uanze na mtaji,jaribu kuwauliza kuwa pesa ya kufanya hayo mambo wamepata wapi.

  • @tuherikidenya3876
    @tuherikidenya3876 6 лет назад

    Hongera

  • @mwasitihatibu9691
    @mwasitihatibu9691 6 лет назад +1

    Hongera sana HADIJA naomba unitafute fb kwa jina la mwasiti Hatibu tuchat kidogo

  • @TheCvm229
    @TheCvm229 5 лет назад

    muWekage na namba zao tuwe tunawauliza maswali angalao kujifunza kitu

  • @khamissnassor1462
    @khamissnassor1462 4 года назад

    she started with high capital

  • @dwacts17apologetics54
    @dwacts17apologetics54 6 лет назад

    Anyone with her contacts ??