Mwone Mizengo Pinda akipambana shambani kutafuta pesa
HTML-код
- Опубликовано: 27 фев 2018
- Bado tupo katika shamba la Waziri Mkuu Mstafu Mizengo Pinda. Tunaangalia umuhimu wa kutumia nafasi ndogo katika shamba kuzalisha mazao mengi na kwa wingi ili kujiongezea kipato.
Спорт
Hongeraa sanaaa mheshimiwaa
mzee nampede sana kafanana sana Na baba yangu
Mh. Yuko simple honera sana vijana tunajifunza mengi kutoks kwako ubarikiwe sana...
Tunaomba mchango wa kugharamia harusi ya MBUNGE (David Ernest Silinde (MTANZANIA)) na Mcheza soka (Misa Rodríguez (Mhispania)) ITAKAYOFANYIKA MBINGUNI MBEYA
hongera Sana Mzee pinda, kilimo ni raha Sana.
Saaafii saana mzee,, nmekubalii
Tunaomba mchango wa kugharamia harusi ya MBUNGE (David Ernest Silinde (MTANZANIA)) na Mcheza soka (Misa Rodríguez (Mhispania)) ITAKAYOFANYIKA MBINGUNI MBEYA
mzee huyu nampenda sana yeye angekua ndio sasa kilasiku kiguu na njia lakini analima mpaka bamia hongera baba
Tunaomba mchango wa kugharamia harusi ya MBUNGE (David Ernest Silinde (MTANZANIA)) na Mcheza soka (Misa Rodríguez (Mhispania)) ITAKAYOFANYIKA MBINGUNI MBEYA
Aksanteeeeee.. Well done mheshimiwa
Tunaomba mchango wa kugharamia harusi ya MBUNGE (David Ernest Silinde (MTANZANIA)) na Mcheza soka (Misa Rodríguez (Mhispania)) ITAKAYOFANYIKA MBINGUNI MBEYA
heko kwako former prime minister 🇹🇿 .mungu akupe maisha marefu
Hongera sana mzee pinda ndiomana huzeeki
laaa, nimependa sana
Mzee hongera sana ila vp zile pesa zetu ulizo simamisha campuni ya deci mbona hujatushuhulikia tuzipate
Kilimo we kisikie tu...!Hapa ni jina tu eti mkulima...!Lakini huyu halimi,hii kwake ni kama burudani tu,Kilimo cha pesa,..!bila kuwa na pesa hawezi lima wala kufuga.....!
Kilimo kina ela br
mashaallah muheshimiwa
Tunaomba mchango wa kugharamia harusi ya MBUNGE (David Ernest Silinde (MTANZANIA)) na Mcheza soka (Misa Rodríguez (Mhispania)) ITAKAYOFANYIKA MBINGUNI MBEYA
Tulitarajia maendeleo yataonekana kwa haraka kwa vigezo alivyo navyo... kupata mikopo kwake ni rahisi ... ana mitaji ya kufanyia kazi .. hakopwi mazao yake.. ana ushawishi wa kupata soko.. kwangu nimejifunza kua ni mtu mmoja ambaye ana vigezo vyote vizuri vya kufanyia kazi za kilimo lakini hana uzalishaji unaoweza kutangaza kile anacho kifanya hio ni ishara ya kushindwa kwa malengo yake kwani anatumia mtaji mkubwa lakini uzalishaji wake mdogo... sheria ya mafanikio inasema ...lets things speak and dnt speak your things... washauri wazuri huleta matunda mazuri..
Wewe uliyefaulu vya kwako viko wapi?
Nim janja mzee
Safi sana Mzee.
Kazabuti mzeewangu
Duuuuh
Tunaomba mchango wa kugharamia harusi ya MBUNGE (David Ernest Silinde (MTANZANIA)) na Mcheza soka (Misa Rodríguez (Mhispania)) ITAKAYOFANYIKA MBINGUNI MBEYA
Endita kalesa mkombe wasalipa