@@naomikilonzo6898 hee haya fanyeni hivyo jamani lakini kwa mwamposa sitoki kabisa maana zamani wachawi walinisumbua nikawa mlokole maskini lakini Leo namfurahia wokovu kwa kweli
Nuru ya ng'aa gizani na Wala Giza haikulishinda Pascal wewe ni mjumbe wa Nuru, Mungu awe nawe daima kwa jina la Yesu na Mungu akulinde akuepushe na Hila zote za shetani.
Acheni unaa tengenezeni na Mungu wenu sio kutaja huduma za Watumishi humu umepewa kuona tubu na watu wapone ombea Kanisa lipone achana na huduma za watu hayo sio yetu na Vita sio yetu Ni ya Bwana
@@kingmhondela mm naamini 100% lazma maandiko yatimie, ishaandikwa watakuja manabii na mitume wa uongo, kwaiyo ni lazma hawa watu wawepo, ili kweli ya KRISTO itimie
Hii ndio Injili ya Yesu Kweli ya Yesu Kristo ,Haina kupindisha ukweli !! Mungu akutumie zaidi Mtumishi ktk kizazi hiki ambacho wengi hawaisemi kweli kwa kuhofia maisha yao🙏
Biblia Inasema Hosea 4:6 [6]Watu wangu wanaangamizwa kwa kukosa maarifa; kwa kuwa wewe umeyakataa maarifa, mimi nami nitakukataa wewe, usiwe kuhani kwangu mimi; kwa kuwa umeisahau sheria ya Mungu wako, mimi nami nitawasahau watoto wako. Wengi wetu hawamtafuti mungu wanatafuta miujiza .
Mnamsapoti Paschal kuwa hakuna maneno yalipoandikwa ya mafuta,? Watumishi wa Mungu siku hiz wamekuwa na wivu juu ya watumishi wenzao kwa kuyaangalia maendeleo. Imani yako juu ya hayo mafuta yatakuponya.
MUNGU AKUEPUSHE NA VITISHO VYOVYOTE NA UYIHUBIRI INJILI KAMA MUNGU ATAKAVYO UBARIKIWE SANA MTUMISHI WA MUNGU YANI WEWE NI WA UKWELI HAKUNA CHA KUOGOPA MWANADAMU WEWE NI SHUJAA WA MUNGU kungekua na uwezekano tinge kuchangia mchango kidogo kidogo Ili utoe nyimbo nyingi mpaka waokoke
Mtumishi Paschal Cassian,mungu akutie nguvu kazi aliyokuitia yeye ni ngumu na nzito Ila jitie moyo maana uliye nae ni mkuu kuliko wao, usiache kuonya kukaripia hata kukemea pia fanya aliyekutuma yupo pamoja na wewe Wala usiwaogope wauwao mwili Bali muogope yule auwae mwili na roho ubarikiwe mtumishi songa mbele utavuna kwa wakati.
Ubarkiwe kwa ukwel maana tunamasikio lakn hatusikii, tunamacho lakn lakn hatuone ,Asante kwakuwa unauchung na roho zlizopotea kazanahuenda utazrudsha nyoyo za watu wa mung wa kwel amin
Aimbe tu mi nipo kawe mpaka mwisho ili mradi napata majibu ya maswali yangu nipo salama hukum ni ya Mungu hata asingeuza maji angesema tubebe tungenunua pia hata angesema tubebe mafuta tungenunua pia tumuombeee mtumishi wa Mungu
Mwamposa yuko sahihi sio vizuri kumuimba mtumishi wa mungu mafuta ya upako yalitumika agano jipya na la kale Asa nakushangaa wewe una pinga mafuta kasome bibilia vizuri ata maji pia yametumika bibilia inasema wewe una pinga nani mwamposa nimtumishi tumishi wa mungu kweli kweli ata umuimbe vibaya lakini nimtumishi wa mungu
Mungu akubariki sasa mwinjilisti pascal naomba Mungu azidi kukutumia katika kuisema kweli watu wapone na mimi jana nilishangaa kuona mke wa mchungaji fulani kava suluali dah nihatari sana
Nafarijika sanaaaa nikisikia nyimbo zako baba mungu akubariki na aendelee kukulinda na kukutunza baba uendelee kuisema kweli🙏🙏🙏🙏 Kina dada,,,,,,,,,,waache kutega watu kwenye nyimbo zao
Amen Amen , may God protect you against all bad people who will not like this message of holly spirit , we are blessed with this songs we love you , keep a head
Hallelujah mtumishi nimekuelewa sana asante kwa ujumbe mzuri sana kaka ubarikiwe sana hii niijili kamili usiogope kufu usiogope kuchukiwa mtetezi wako Yu hai nakuombea sana
God bless you 🙏 sikuizi ni ngumu sana kupata injili ya kweliii ukipata mtumishi wa mungu anapaza sauti kukemea maovu uyo ni mtu wa mungu aswaa nakuombea mungu akulinde siku zote
Ubalikiwe kaka Mungu akinde namaadui hata mm kunawimbo uliwai kuuimba baada ya kusia huwezi amini nilimwaga maji namafta ya mwaposa naamin watu wanafunguliwa kwanjia ya nyimbo balikiwa sana mwanafuz wa Yesu
Mungu akubariki Pascal na akutunze unanibariki Sana ombi naomba Tunga pia wimbo wa kuacha wanawake mapambo manywele ya bandia kuacha za bandia nyusi za bandia kujichubua nk Ni ombi langu tu mtumishi
Ukijua utanyamaza ndg ang ## unawasema watu wasio na mda wa kukujibu maana ninacho ona hakuna Hekima uliyo tumia hila ninacho ona ni majungu tu , Mungu tusaidie.... usijione Kama wew ndo upo kwenye njia sahihi sana ndg ang 🙏🏻🙏🏻🙏🏻 Hekima yako iko wapi ??????
Hakika ni wakati wa watu kuhubiriwa ukweli wa Mungu, ubarikiwe mtumishi wa Mungu kwa ujumbe wako mzuri na lazima watakuchukia kwa maana unasema ukweli lakini usijali Mungu atakupigania wewe ni sauti ya Mungu.
Amen..The voice of a man calling from the wilderness..... waachieni watu wamuabudu Mungu wa ukweli... ubiri ukweli ndugu Pascal. KENYA tunataka haya mahubiri pia
Vile unaendelea kuwaonya watu wengine nimefurahia Sana wewe ni Mtumishi wa kweli vile Isaya 58: 1 inasema paza sauti, piga kelele kama ya tarumbeta ambie watu wa ukoo wa Yakobo makosa Yao ila nami nakuachia kufungua hiki kama onyo kwako huo mtindo wa kunyoa ni wa kidunia mambo WA walawi 19:27
Pascal twakuombea ulinzi damu ya Yesu ikufunike, malaika Mikael asipumzike kwako usiku na mchana apigane nao wanao pigana nawe...Maan watumishi wengi wanaujua ukweli lakin kuongea hadharani wanaogopa sana
@@carolinederi5690 nyakati za mwisho watu watajitenga na imani ya ukweli kwa kufuata mafundisho ya kishetani Mungu akufungue macho tukisema Ivo mbona basi na yeye anakemea manabii naye si afanye ulaghai
God bless you for nice songs that touch his heart,and may God add you many messages to give these small devils which are sent by satun in all the universe
May the lord protects you always God's servant and na roho yake mungu ilichuka kwake Elijah kachukia dhambi ya ufalme wake habu akasimamisha mvua miaka Tatu unusu, keep serving God my brother a true message will hurt many but the lord whom protected Elijah he gonna protect you in Jesus name tell the world truth devil and his servant be ashamed in Jesus name 🙏🙏🙏
Amen nakupenda sana mtumishi Mungu azidi kukupa ujasiri maana ukisimamia kweli Mungu anakupa ujasiri itachukiwa ila acha ikweli usemwe Mungu amekutumia wewe uwaangazie watu Nuru wasio Amin neno la Mungu wagalatia 4:16 je??? Nimekuwa adui yenu kwasababu nawaambia ukweli???..... Sema ukweli muinjilist Mungu akubariki
Tazama asema mhubiri Mimi nimeyaona hayo kwa kulinganisha hili na hili ili kuitafuta jumla (MHUBIRI 7:27). Mjumbe wa Mungu amegundua huo ukweli kwamba haya yanayofanyika na manabii wa uongo Ni uongo mtupu. Na huo ukweli upo kwenye maandiko yake Mungu ambayo Ni matakatifu
Kweli mungu akulinde Sana maana Hawa watu mapepo yariyo Toka kuzimu yatakuwa wanakutafuta Sana ili wakumalize, lakini Kwa jina la yesu nakuficha kwenye damu ya yesu
Upo sawa mtumishi. chapa injili kama ni kufa na tufe kwa ajili ya Kristo wakati huu ni wakati wa kusema kweli ysa Kristo usiogope. kitakacho kutokea Yesu yuko pamoja na wewe
Mungu atusaidie sana kwakweli kuijua kweli sio mchezo , tunamuitaji Mungu sana Kaka Mungu akutunze unajitoa mno hata kuatarisha maisha yako barikiwa mno
We umekombolewa ili utumike na Mungu wako kuokoa kile kilichopotea na watu watubu warudie Mungu sio kuja kutuambaia Fulani Fulani haisaidii Kanisa lipone dogo acha na haya fanya kazi za Mungu wako yeye mwenyewe awajuwa walio wake na sio wake tena biblia imeseme kondoo wangu wananijua nami nawajua asema Bwana
Amen my brother tangaza ukweli wakati ni sasa Amen amen 🙌🙏 God bless you hakuna kitu chochote kitakacho kutenganisha na mungu wa kweli mungu azidi kukuongezea nguvu kaka 🙏
maandiko yanasema hivi kwamba bwana huwaonya wale anao wapenda na huwarudi .... tusikatae wakati mungu anatuonya.....mungu wetu ni mungu wa huruma simwepesi wa hasira na anarehema zote..... mungu tunakushukuru kwaaajili ya wimbo huu tumesikia baba nasi tunatubu...
Wow. Nimefurahi sana huu ujumbe. Ezekieli inatutaka tuseme like Bwana anatutuma bila kuogopa watu. Sema ukweli mtumishi kwani tupo nyakati za mwisho za hatari
Hii nyimbo unaweza kuplay kanisani hata bila kuwepo mchungaji na tukaisikiliza mwanzo mwisho tukabarikiwa Sana hongera mtumishi
Ashukuriwe Mungu alokuumba kijana
Na ibada ikaisha tukabarikiwa na kuondoka
@@naomikilonzo6898 hee haya fanyeni hivyo jamani lakini kwa mwamposa sitoki kabisa maana zamani wachawi walinisumbua nikawa mlokole maskini lakini Leo namfurahia wokovu kwa kweli
@@alexkabinda6522 hata waganga wanaweza kuzuia wachwawi wakakupa na utajiri pia
@@alexkabinda6522 bado umelala ndg yangu zinduka, huko uliko siko. Mtafute Mungu wa kweli
Nuru ya ng'aa gizani na Wala Giza haikulishinda Pascal wewe ni mjumbe wa Nuru, Mungu awe nawe daima kwa jina la Yesu na Mungu akulinde akuepushe na Hila zote za shetani.
Mungu akubarik sana mtumishi wa baba tuhubiri watu waokolewe maana kweli mdaa umeisha
Ubarikiwe.sana
Acheni unaa tengenezeni na Mungu wenu sio kutaja huduma za Watumishi humu umepewa kuona tubu na watu wapone ombea Kanisa lipone achana na huduma za watu hayo sio yetu na Vita sio yetu Ni ya Bwana
@@constanciamosha5144 kazi Moja wapo za watumishi wa Mungu ni Kuonya,Kukaripia pamoja na kutia moyo.
@@kingmhondela mm naamini 100% lazma maandiko yatimie, ishaandikwa watakuja manabii na mitume wa uongo, kwaiyo ni lazma hawa watu wawepo, ili kweli ya KRISTO itimie
Hapiti siku sijaskiliza goma langu pendwaaaa woyooo injili tam kwel
Naombeni like Kwa wingiiii
Lazima ukweli uhubiriwe, hatutaki kwenda mbinguni peke yetu, barikiwe sana wapendwa Pascal.
Umejuaje kama utaenda na umejuaje manabii hawataenda kikubwa kila mtu kushika imani yake
Amen.amen.mtumixhi.wa.mungu.mungu.qkutie.nguvu.uendeleze.kazi.yake.maana.wpo.wengi.wamexhindwa.kaz.y.mungu
Mungu akutie nguvu mtumishi wa mungu nikisikia nyimbo zako najisikia kunyenyekea sana kwa mungu balikiwa sanaaaaaa
Hii ndy injili yakweli kbs asante mtumishi kuwakumbusha watu hao🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Ubarikiwe, Mtumishi wa Mungu!
Neno la Mungu unalohubiri kwa njia ya nyimbo, ni Maziwa yasiyogoshiwa.
Bora uchukiwe na maelfu ya watu na ukapendwa na mungu kuliko ukawa furahisha watu kisha ukaadhibiwe na Mungu. Mungu akupe maisha marefu!!
Hii ndio Injili ya Yesu Kweli ya Yesu Kristo ,Haina kupindisha ukweli !!
Mungu akutumie zaidi Mtumishi ktk kizazi hiki ambacho wengi hawaisemi kweli kwa kuhofia maisha yao🙏
Biblia Inasema Hosea 4:6
[6]Watu wangu wanaangamizwa kwa kukosa maarifa; kwa kuwa wewe umeyakataa maarifa, mimi nami nitakukataa wewe, usiwe kuhani kwangu mimi; kwa kuwa umeisahau sheria ya Mungu wako, mimi nami nitawasahau watoto wako.
Wengi wetu hawamtafuti mungu wanatafuta miujiza .
@@godfreysilwimb4576 acha kutubaadilishia neno la MUNGU shenzi type.... Watu wangu wanaangamizwa au wanaangamia
Mnamsapoti Paschal kuwa hakuna maneno yalipoandikwa ya mafuta,? Watumishi wa Mungu siku hiz wamekuwa na wivu juu ya watumishi wenzao kwa kuyaangalia maendeleo. Imani yako juu ya hayo mafuta yatakuponya.
Iende mbele injili ya Yesu
Hallelujah hallelujah Roho mtakatifu ana nena kupitia wewe. Mungu akutumikie zaidi 🙏🙏🇰🇪.
Hii ni sauti ya Mungu
Hakika ubalikiwe mtumishi
MUNGU AKUEPUSHE NA VITISHO VYOVYOTE NA UYIHUBIRI INJILI KAMA MUNGU ATAKAVYO
UBARIKIWE SANA MTUMISHI WA MUNGU YANI WEWE NI WA UKWELI HAKUNA CHA KUOGOPA MWANADAMU WEWE NI SHUJAA WA MUNGU kungekua na uwezekano tinge kuchangia mchango kidogo kidogo Ili utoe nyimbo nyingi mpaka waokoke
Mtumishi Paschal Cassian,mungu akutie nguvu kazi aliyokuitia yeye ni ngumu na nzito Ila jitie moyo maana uliye nae ni mkuu kuliko wao, usiache kuonya kukaripia hata kukemea pia fanya aliyekutuma yupo pamoja na wewe Wala usiwaogope wauwao mwili Bali muogope yule auwae mwili na roho ubarikiwe mtumishi songa mbele utavuna kwa wakati.
Safi sana mtumishi songa mbele ukweli usemwe peupe watu waelewe maana hizi ni nyakati za uharibifu
Hallelujah hallelujah hallelujah 🙏 utufukwake Mungu nimependa sana ujumbe huu kutoka Kenya 🇰🇪
Aishivyo Mungu wa Mbinguni akubariki
Ubarkiwe kwa ukwel maana tunamasikio lakn hatusikii, tunamacho lakn lakn hatuone ,Asante kwakuwa unauchung na roho zlizopotea kazanahuenda utazrudsha nyoyo za watu wa mung wa kwel amin
Binafs mimi nituheshimu mtumishi wa. MUNGU MWAMPOSA buldoza 🥰🥰🥰🥰🤗🤗🤗 MUNGU mpe NGUVU mtumishi wako
Team Bulldozer tujuane hapa🤣🤣🤣🥰
@@zahramoshi2058 nipo nae mpaka mwisho
Hata mimi mwamposa na amini ni mtumishi wa mungu na siwezi sema vibaya Watumishi Hawa Mungu amewaita kusaidia watu hata yesu walimwita belzebuli
@@alexkabinda6522 hakika
Aimbe tu mi nipo kawe mpaka mwisho ili mradi napata majibu ya maswali yangu nipo salama hukum ni ya Mungu hata asingeuza maji angesema tubebe tungenunua pia hata angesema tubebe mafuta tungenunua pia tumuombeee mtumishi wa Mungu
Mwamposa yuko sahihi sio vizuri kumuimba mtumishi wa mungu mafuta ya upako yalitumika agano jipya na la kale Asa nakushangaa wewe una pinga mafuta kasome bibilia vizuri ata maji pia yametumika bibilia inasema wewe una pinga nani mwamposa nimtumishi tumishi wa mungu kweli kweli ata umuimbe vibaya lakini nimtumishi wa mungu
Ukiwa na mafuta ndani mwako hautomwomba Mungu,mnatka miujiza mkishapta hata Mungu anasaulk
Mungu anatembea nawe daima sema kweli kaka barikiwa sana Mungu akawe mtetezi mkuu kwako
Inshort Mungu akubariki sanaaaa Mtumishi KAZI yako ni njemaaaa sanaaaa
Hongera saana kaka ckujua kuwa dunian mtu anaweza patikana kama ayubu hakika Jina la Bwana libarikiwe kwa moja ujumbe mzr mwenye sikio na askie
Mungu akubariki sasa mwinjilisti pascal naomba Mungu azidi kukutumia katika kuisema kweli watu wapone na mimi jana nilishangaa kuona mke wa mchungaji fulani kava suluali dah nihatari sana
Nafarijika sanaaaa nikisikia nyimbo zako baba mungu akubariki na aendelee kukulinda na kukutunza baba uendelee kuisema kweli🙏🙏🙏🙏
Kina dada,,,,,,,,,,waache kutega watu kwenye nyimbo zao
Amen Amen , may God protect you against all bad people who will not like this message of holly spirit , we are blessed with this songs we love you , keep a head
Amen Amen baba mungu akuongoze katika utumishi wako wale watakao sikia wa sikiye ujumbe mkubwa huo
Paschal naungana na wewe katika hili Mbingu zifumguke kwaajili ya Dunia naitwa Isaack James
Llllla mi@@
Giza na nuru haviwezi kukaa sehemu moja , wimbo unaujumbe mzuri sana mwinjirist mwenyez mungu akusaidie pia akubariki sana
Ubarikiwe mtumishi wa mungu taji lako mbinguni ni kubwa sana
Ubarikiwe mtumishi maana yaelekea vibaya
Hallelujah mtumishi nimekuelewa sana asante kwa ujumbe mzuri sana kaka ubarikiwe sana hii niijili kamili usiogope kufu usiogope kuchukiwa mtetezi wako Yu hai nakuombea sana
God bless you protect you popote uendapo kuubiri ukweli wa mungu....barikiwa sana mtumishi
Ameen MUNGU akubalik sana nakupenda kwa ujumbe mzur wambie wajijuwe waache kuwapoteza kondoo wa MUNGU
Ubarikiwe sana Paschal,ukweli watu wamekamatwa na manabii, wanawachelewesha kumjua Mungu wa kweli
Hakika ukijua kweli itakuweka huru Mungu ni Neno na Neno ni Mungu barikiwa Pascal nakufunika kwa Damu ya Yesu kwa kupigwa kwake sisi tumepona
Hii ndo injili zingine ni kumbembelezana
Paschal wew n mjumbe wa Mungu
Mungu akulinde
God bless you 🙏 sikuizi ni ngumu sana kupata injili ya kweliii ukipata mtumishi wa mungu anapaza sauti kukemea maovu uyo ni mtu wa mungu aswaa nakuombea mungu akulinde siku zote
Barikiwa San mtumishi sema ukweli watu watapona kupitia nyimbo zako
Amina na Mungu AKUBARIKI sana, huu ni wakati wa mwisho na manabii hawa wamewateka hata walio wateule wa Mungu
Amen, Amen umemaliza kila kitu,Sasa hivi watu wanafanya MUNGU kama mtani wao. MUNGU aturehemu sana
Kaka unanibarikia pia unanifundisha Mungu akubariki mtumishi
Ubalikiwe kaka Mungu akinde namaadui hata mm kunawimbo uliwai kuuimba baada ya kusia huwezi amini nilimwaga maji namafta ya mwaposa naamin watu wanafunguliwa kwanjia ya nyimbo balikiwa sana mwanafuz wa Yesu
Nabarikiwa sana, siku zote ukweli unauma. Hakika umetumwa kaka angu wenye macho waone
Mungu akubariki Pascal na akutunze unanibariki Sana ombi naomba Tunga pia wimbo wa kuacha wanawake mapambo manywele ya bandia kuacha za bandia nyusi za bandia kujichubua nk
Ni ombi langu tu mtumishi
Mwamposa,geodave,na manabii wengine wote nyinyi pita uku
Barikiwa brother.
MUNGU akulinde,maana tunajua watakuwa wamechukia.
Tunakuombea Mungu aliye hai akulinde. AMINA.
UbarikiWe mtumishi wa mungu, fanya kaz ya mungu mtumishi ,barikiwa sana baba
Mungu akulinde na akutie nguvu uzidi kuinena kweli ya Mungu maana ki binadamu siyo rahisi
Hakika mungu aliyekutuma akulinde maana wahubiri wanaogopa kuyasema haya kwa kuogopa kupunguka kwa sadaka
Ukijua utanyamaza ndg ang ## unawasema watu wasio na mda wa kukujibu maana ninacho ona hakuna Hekima uliyo tumia hila ninacho ona ni majungu tu , Mungu tusaidie.... usijione Kama wew ndo upo kwenye njia sahihi sana ndg ang 🙏🏻🙏🏻🙏🏻 Hekima yako iko wapi ??????
Congratulations my dear brother,you are strong and true servant of God,i believe you have awaken some people from there dip sleep,be blessed.
Ujumbe wa wakati kabisa Ubarikiwe sana Mtumishi wa BWANA YESU Aliyehai
Sawa. Lkn hakikisha iwe umepeawa na Mungu la sivyo ni laana
AMINA 👏👏... ubarikiwe sana mtumishi wa MUNGU wa MBINGUNI.
Ubarikiwe sana Kaka yangu, kwa wimbo huu tena MUNGU wa Mbinguni AKULINDE
Ameeen, Hallelujah na injili ya kweli itahubiriwa ulimwengu kote ndipo ule mwisho utakapofika
Hakika ni wakati wa watu kuhubiriwa ukweli wa Mungu, ubarikiwe mtumishi wa Mungu kwa ujumbe wako mzuri na lazima watakuchukia kwa maana unasema ukweli lakini usijali Mungu atakupigania wewe ni sauti ya Mungu.
Mungu aendelee kuku tumia kufungua watu asante mungu akulinde watakuwazia mabaya lakini mungu atayageuza yatakua mema asante
You are blessed man of God shetani lazima atashindwa I love this song kwelii kabisa marko mtakatifu 5 usivae kanzu mbili
Amen..The voice of a man calling from the wilderness..... waachieni watu wamuabudu Mungu wa ukweli... ubiri ukweli ndugu Pascal. KENYA tunataka haya mahubiri pia
Vile unaendelea kuwaonya watu wengine nimefurahia Sana wewe ni Mtumishi wa kweli vile Isaya 58: 1 inasema paza sauti, piga kelele kama ya tarumbeta ambie watu wa ukoo wa Yakobo makosa Yao ila nami nakuachia kufungua hiki kama onyo kwako huo mtindo wa kunyoa ni wa kidunia mambo WA walawi 19:27
Pascal twakuombea ulinzi damu ya Yesu ikufunike, malaika Mikael asipumzike kwako usiku na mchana apigane nao wanao pigana nawe...Maan watumishi wengi wanaujua ukweli lakin kuongea hadharani wanaogopa sana
ana upala angalia vizuri na kichwa chake kina kam pembe
Aja nyoa nawe ni kichwa yake
@@carolinederi5690 nyakati za mwisho watu watajitenga na imani ya ukweli kwa kufuata mafundisho ya kishetani Mungu akufungue macho tukisema Ivo mbona basi na yeye anakemea manabii naye si afanye ulaghai
@@aron2346 naam kuna tofauti ya upara na kunyoa denge/ kiduku ama kuchonga pembe za ndevu
Good song good message more blessings my fellow
Kaka Paschal Mungu wa Mbinguni akulinde na nguzo ya Moto
MUNGU akubrki sana kwa uduma yako MUNGU aendlee kukutumia mtumish
Amen amen barikiwa mtumishi
Ubarikiwe sana mtumishi ujumbe umefika mwenye sio na asikiye yale Roho Mt anayowaambia kanisa
Ulindwe na nguvu za mungu mtumishi
Amina barikiwa sana mtumishi wa Mungu kwa ukweli natamani sana kukutana na wewe mtumishi wa Mungu
Amen Amen ubarikiwe sana mtumishi wa Mungu wambie waache kupotosha waumini
Ubarikiwe jemedari wa mungu Kwa ujumbe wa kiroho alie na sikio na asikie ,sauti ya mungu
Amen Paschal Mungu wa kweli wa Mbinguni akubariki
Mungu akulinde Paschal,kazi unayofanya kuwaamsha watu usingizi I nikubwa cn,wew huwezi kuiona ila sisi tunaona ubalikiwe
Mungu Wa mbinguni akuinue zaidi na akutunze maana wasemao ukweli Huwa hawadumu ata YESU kristo aliileta kweli lakini aliuawa na wasioipenda kweli
Mungu akutie nguvu za kuzidi kupaza sauti 🎤🎤🎤🎤🎤🎤🎤
Nakuomba mtumishi paschal usizimie moyo ktk safariii ya kristo Mungu akupe kuweza
Mungu akutangulie ktk hudma yako mtmish
Uko vizuri saana ujumbe umewafikiaaa
God bless you for nice songs that touch his heart,and may God add you many messages to give these small devils which are sent by satun in all the universe
Mwenye masikio na asikie ujumbe huu yesu yuu karibu barikiwa Sana mtumishi
May the lord protects you always God's servant and na roho yake mungu ilichuka kwake Elijah kachukia dhambi ya ufalme wake habu akasimamisha mvua miaka Tatu unusu, keep serving God my brother a true message will hurt many but the lord whom protected Elijah he gonna protect you in Jesus name tell the world truth devil and his servant be ashamed in Jesus name 🙏🙏🙏
Ubarikiwe kaka mungu awepamoja nawe
Ni kweli tupu ndani ya wimbo huu. Mungu akulinde Pascal dhidi ya wanaoumia na ukweli wako.Barikiwa sana Mtumishi.
wimbo una ujumbe mzito sana sana, Mungu akulinde na akusimamie Amen
Ndio Paschal nimekuelew Mungu akutunze umeongea ukwel ujumbe ufke kwa Wote
Be blessed my brother Pascal Cassian,,, thanks for the insights you preaching for us!.
Ubarikiwa sana na Mungu wa mbingun na damu ya Yesu ikuzigire
My favorite, my best, God bless. Sauti ya mtu aliyae nyikani 😢ubarikiwe sana mtumishi 🙏
Mungu akulinde mtumishi uzidi kuiwaelimisha watu maana watu wamesshau mandiko yanavosema
Vizur sana paschal Mungu akuongoze kwa kila unalonena Ahsante sana mm nimekuelewa sana
Mungu aendelee kukutunza Paschal.
Kaka Mungu akubariki
🇧🇮🇧🇮🇧🇮100%❤❤watu wangu wanaangamia kwa kukosa maharifa
HOSEA 4(6)
Congratulations my brother! Do not be afraid of what kills flesh but fear the one who kills your soul. May God Jesus Christ of Nazareth protect you.
Mungu akurinde mwinjilisti pascal's cassian
Amen nakupenda sana mtumishi Mungu azidi kukupa ujasiri maana ukisimamia kweli Mungu anakupa ujasiri itachukiwa ila acha ikweli usemwe Mungu amekutumia wewe uwaangazie watu Nuru wasio Amin neno la Mungu wagalatia 4:16 je??? Nimekuwa adui yenu kwasababu nawaambia ukweli???..... Sema ukweli muinjilist Mungu akubariki
Tazama asema mhubiri Mimi nimeyaona hayo kwa kulinganisha hili na hili ili kuitafuta jumla (MHUBIRI 7:27). Mjumbe wa Mungu amegundua huo ukweli kwamba haya yanayofanyika na manabii wa uongo Ni uongo mtupu. Na huo ukweli upo kwenye maandiko yake Mungu ambayo Ni matakatifu
Kweli mungu akulinde Sana maana Hawa watu mapepo yariyo Toka kuzimu yatakuwa wanakutafuta Sana ili wakumalize, lakini Kwa jina la yesu nakuficha kwenye damu ya yesu
Pata Hela kidogo kwa majina ya wenzako
Mwenyezi mungu akuzidishie nguvu 🙏🏾🙏🏾🙏🏾
Upo sawa mtumishi. chapa injili kama ni kufa na tufe kwa ajili ya Kristo wakati huu ni wakati wa kusema kweli ysa Kristo usiogope. kitakacho kutokea Yesu yuko pamoja na wewe
Nimekupenda Bure kaka yangu pascal Kasian kila silaha itakayofanyika juu yako haitafanikiwa kwa jina la Yesu amen asante umewaambia ukweli
Huu ni ujumbe wa mbingu Mungu alibariki sana mtumishi wa Mungu
Mungu atusaidie sana kwakweli kuijua kweli sio mchezo , tunamuitaji Mungu sana Kaka Mungu akutunze unajitoa mno hata kuatarisha maisha yako barikiwa mno
We umekombolewa ili utumike na Mungu wako kuokoa kile kilichopotea na watu watubu warudie Mungu sio kuja kutuambaia Fulani Fulani haisaidii Kanisa lipone dogo acha na haya fanya kazi za Mungu wako yeye mwenyewe awajuwa walio wake na sio wake tena biblia imeseme kondoo wangu wananijua nami nawajua asema Bwana
Pascal inaponya nafsi zetu.big up Mungu wako unaemwabudu Tunamwamini maana wewe pekee unaongeza ukweli katikati ya ukweli
Asante kwa ujumbe mzuri, mungu wa kweli atasimama milele. Barikiwa sana
Nakuku Bali sana mungu azidi kukutunza tuzidi kupata kweli itakayo tupelleka mbinguni
Amen my brother tangaza ukweli wakati ni sasa Amen amen 🙌🙏 God bless you hakuna kitu chochote kitakacho kutenganisha na mungu wa kweli mungu azidi kukuongezea nguvu kaka 🙏
Kwa ujumbe huu bila shaka Kuna watakaokolewa kutoka katika mikono ya hawa wawakilishi wa kuzimu
maandiko yanasema hivi kwamba bwana huwaonya wale anao wapenda na huwarudi .... tusikatae wakati mungu anatuonya.....mungu wetu ni mungu wa huruma simwepesi wa hasira na anarehema zote..... mungu tunakushukuru kwaaajili ya wimbo huu tumesikia baba nasi tunatubu...
Wow. Nimefurahi sana huu ujumbe.
Ezekieli inatutaka tuseme like Bwana anatutuma bila kuogopa watu. Sema ukweli mtumishi kwani tupo nyakati za mwisho za hatari