Mbweni, Dar inavyogeuka ushuani kama Ulaya, viwanja hadi 300m na kuendelea, Wakala Thom atutembeza

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 14 янв 2025

Комментарии • 24

  • @arthurmwakanyamale7651
    @arthurmwakanyamale7651 3 месяца назад

    Kaka tom Hongera sana , daaah nakumbuka tulisoma wote Mbalizi sec kwa mwampoma

  • @a4afrika
    @a4afrika 3 месяца назад

    Sehemu nzuri haziishi.

  • @194summer
    @194summer 3 месяца назад +2

    Sky umekomaa sana kwenye kazi yako

  • @jameslyatuu95
    @jameslyatuu95 3 месяца назад +2

    Karibuni makaziyako_tz tuna viwanja hadi vya 1,500,000 tumezingatia hadi wale wenye uchumi mdogo kabisa🔥🔥

  • @raphaelkessy7360
    @raphaelkessy7360 3 месяца назад

    Kwamtu anae jua Bahari siyo yaku kimbilia kwamakazi yakudumu umbali japo iwe kilometa 3 au 5

  • @eliasaNgahehwa-l2f
    @eliasaNgahehwa-l2f 3 месяца назад

    Sawa kijana

  • @Chettymlambalipsi-lb9km
    @Chettymlambalipsi-lb9km 3 месяца назад +1

    Njooni na dodoma

  • @newgarden8036
    @newgarden8036 3 месяца назад

    Tunaomba namba yako na jina la kmpuni

  • @mdbosco1640
    @mdbosco1640 3 месяца назад

    ❤❤

  • @Gsamir694
    @Gsamir694 3 месяца назад

    Kuzuri

  • @ednaJF1028
    @ednaJF1028 3 месяца назад

    Naomba number yako kaka

  • @AFRICA_D669
    @AFRICA_D669 3 месяца назад +1

    Mkuu tumekusogeza mpka umepata kuweza kununua kiwanja mimi nimenunuwa bagamoyo 😊

  • @194summer
    @194summer 3 месяца назад

    Wewe jamaa hausaidii vijana mbona umepandisha bei kama lengo ni kusaidia hamna kitu apo ni mtu na hela yako

    • @BigZhumbe
      @BigZhumbe 3 месяца назад

      Inaelekea ni wapigaji bei zimeongezwa kabla ya mradi kukamilika