No regret bro, ulipofika ni mafanikio ya kutosha. Mapito yako yamekuwa ni medani yako. Level yako ya maturity ni kubwa sana. Keep it up. One of the real G, Period.
Hajasoma kwa kufata madarasa yako ila kajiendeleza lugha ya kingereza anaijua na elimu ya kuendesha maisha yake sasa wewe unatakaje? Wangapi wanavyeti hawako kama huyu kijana? Huyu ana majumba na maisha yake ebu utulie omba kuwa na akili sio kuomba vyeti kama pambo
Sns Mnapofanya interview kuweni wabunifu maswali mnaouliza Sio kila siku msanii mnamuuliza maswali ayo kwa ayo. Blue kila siku anaulizwa kuhusu kujenga Geuza swali utengeze kitu kipya apo chenye kufunza
Alisoma Kiasi chake. Kwani kwa muone wako wewe kusoma ni hadi ufikie Degré ya PHD au kama hiyo ndio akili Yako basi ujaelewa maana ya kusoma. Kusoma nikujuwa kuandika na kusome Yale ambayo utaambiwa usome basi na kubwa pia kujuwa Lugha Hayo ndio maana ya masomo halisi
Brother blue 💙 nakukubali sana man unaga maringo salute sn
Kiboko ya Mabishoo C.E.0 micharazo, Star anayeshine bila Dili za matangazo.🎉🎉🎉🎉🎉
No regret bro, ulipofika ni mafanikio ya kutosha. Mapito yako yamekuwa ni medani yako. Level yako ya maturity ni kubwa sana. Keep it up. One of the real G, Period.
Bado uwezo wako tumeuona brother, akili haijifichi ..big up brother
Best inteview ever
Sasa ww ndio 26 number mwezetu rip mumy maisha uku kidogo matamu misss u mumy daaah ngoma ya pesa iyo
Hajasoma kwa kufata madarasa yako ila kajiendeleza lugha ya kingereza anaijua na elimu ya kuendesha maisha yake sasa wewe unatakaje? Wangapi wanavyeti hawako kama huyu kijana? Huyu ana majumba na maisha yake ebu utulie omba kuwa na akili sio kuomba vyeti kama pambo
Kuna mwanangu anaitwa dope mwenye yupo sawa sanaa kwa kurapu
Salute sana BusyBabbiLon
Vp ap pacha
Ukisha kuwa Star ndo ugumu wa maisha yenu unaonekana ila pale before mnakuwa hamuuwoni,
Sasa hapo ndio umesema?
@@DavidCurtis-e4c toka hapo
@@DavidCurtis-e4c nljua mm tu ndo sijaelewa nn kimeandikwa hapo 😂
Jamaaa anaugumu gani wa maisha ,tunakaa mtaani Alison watoto Wanda shule jamaa Ana mijengo na mingi yakupangisha usiropoke na vidole
Mr Blue na Joslin walisumbua Sana hawa Jamaa
Aloooooooo
Naona mr blue yupo tungi
Blue ako smart
Sns Mnapofanya interview kuweni wabunifu maswali mnaouliza
Sio kila siku msanii mnamuuliza maswali ayo kwa ayo.
Blue kila siku anaulizwa kuhusu kujenga
Geuza swali utengeze kitu kipya apo chenye kufunza
Blue hapo kwenye kusaidiya wasani wa rap kuna kijana tgun tozz ana bala hatari Ila ana strangle
Mr Blue G.OA.T
KUMBE HUJASOMA😂😂
We umesoma
Fweza 😂 muhimu ..ila anaweza kusoma hata sasa hivi akiamua.
Njoo mtaan kwangu uone wasomi hawana michongo😂😂
Ajasoma anakuzidi Kila kityu ukoo wenu