Asalamu aleikum warshma tullahi wabarakatu shekh naulizaje mume amempaa mke wake talaka hio niyatatu alitoa ya kwanza yapili hii niyatatu mume akampaa mke wake talaka kwa hasira bila kukusudia shekh jee huyo mume atakua anaruhusiwa kumregelea huyo mke huyo mke atakua ni wake bado
Aslmlykum mm nimfw nah mume Ila huyu mwanaume tulitngn takirbn miak mitatu nikaend kuzaa nje nae yey akaend kuzaa huk je mm ni halali kukaa eda naomba jibu tafdhn kshki
Nmepewa talaka mbili n mume wngu yko safari alimalinza miaka mitatu baada y hio miaka mitatu bado hajarudi akanitumia talaka nawenza kaa eddah au n vile nmekaa hio miaka siwenzi kaa
Alhamdhulillah sheikh kishki Allah akubariki sana kwa mawaidha mazuri
Shukrani sheikhe Nurdin Kishki kwa mawaidha mazuri yaliojaa mafunzo na hekima nyingi juu yake nime kuelewa vzr
Shukran kwakupata mafunzo
Ni majanga makubwa sana
JAZAKALLAHU KHAIR
Aslm alekm je namna ya eda siku ya ijumaa
Sheikh Kishk na wanawake pia nao watusumbua sana sio ni mwanamume opeke yake ana makosa
MASHA ALLAH
Assalaam allaykum Kama umechoka na dharau au Tabia zake inafaa kudai taraka
Masha Allah
MashaAllah
Jazakallah
Asalamu aleikum warshma tullahi wabarakatu shekh naulizaje mume amempaa mke wake talaka hio niyatatu alitoa ya kwanza yapili hii niyatatu mume akampaa mke wake talaka kwa hasira bila kukusudia shekh jee huyo mume atakua anaruhusiwa kumregelea huyo mke huyo mke atakua ni wake bado
MaashaAllh
Sheikh naomba no.yako ya simu
Asalamaykum shehe talaka tatu kwa pamoja inasihi
Aslmlykum mm nimfw nah mume Ila huyu mwanaume tulitngn takirbn miak mitatu nikaend kuzaa nje nae yey akaend kuzaa huk je mm ni halali kukaa eda naomba jibu tafdhn kshki
Shekh naomba jibu lako
Jifunze quran kusoma kuandika kama hautojali
Asalam aleikum samahani mwanamke ambae aliomba talaka kwa kulazimishwa tendo kinyume na dini je eda yake ni ipi nijibu nipate kuelewa
Nmepewa talaka mbili n mume wngu yko safari alimalinza miaka mitatu baada y hio miaka mitatu bado hajarudi akanitumia talaka nawenza kaa eddah au n vile nmekaa hio miaka siwenzi kaa
Naomba kujua shekh Kuna mtu wmeachan talk 1 alfu eda ikaisha alfu badly yake wakaitj kuwa pamoja wakaowan ten je inaswii?
Naomba jib shekh
Shehe nina swal kama ikitokea nmeachwa yan nimepewa talaka kabsa huku nina ujauzto ntakaa eda mda gani?
Eda yako itaisha pindi tu utakapojifungua