WATOTO WAMBEA

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 3 янв 2025

Комментарии • 445

  • @alexabel9988
    @alexabel9988 3 года назад +21

    Jaman naomben mnipe like jmn Leo nimecoment wa tano 🔥

  • @Calvin_action_Graphics
    @Calvin_action_Graphics 3 года назад +29

    Hongera Sana Joti Mungu azid kukuinua Zaid na zaid

  • @adamsaid156
    @adamsaid156 3 года назад +8

    Napenda sana joti anavyoigiza kama Mtoto andunje

  • @heneryofficial638
    @heneryofficial638 3 года назад +21

    Duhh andunje chizi kwer🤣🤣🤣 love you from uganda 🇺🇬 256

    • @Sta-ck
      @Sta-ck 3 года назад

      🤣🤣🤣
      ruclips.net/video/FWQZUwUcir0/видео.html

  • @wellbrand3415
    @wellbrand3415 3 года назад +16

    😂😂😂😂
    Joti leo umemalizaaa..
    Hii kali ya mwakaa

    • @gloriousgal2001
      @gloriousgal2001 3 года назад

      🤣🤣🤣

    • @Sta-ck
      @Sta-ck 3 года назад

      😂😂😂
      ruclips.net/video/FWQZUwUcir0/видео.html

    • @heromanmwamba5000
      @heromanmwamba5000 2 года назад

      🤣🤣🤣😂😂🤣

  • @jacklinejohn222
    @jacklinejohn222 3 года назад +1

    Una mambo ya hovyo jot me nakujuwa long time sana toka mlivyo anza kuhit ila ulivyo fanya kwa big aisee haikunipendeza anyway ngoja lisonge mzee mwenzangu

  • @hamidalucas7300
    @hamidalucas7300 3 года назад +3

    😂😂😂😂😂😂 andunje we ni hatari San uko vizuri 🤝🤝👏👏👏👏❤️❤️

  • @babab1227
    @babab1227 3 года назад +3

    Wa 82🤝 pindi langu pendwa siku yangu imeisha hvyo kalibu mchuzi wa sangala

  • @winfridaphilemon8165
    @winfridaphilemon8165 3 года назад +8

    Joti hebu njoo original comedy bana tunasubiri makavu live 😋😋

    • @jimmykimotuo8065
      @jimmykimotuo8065 3 года назад

      Alishajibu hilo kuhusu kujiunga na original Comedy, Akasema Mpaka amalize Mkataba wa mwaka mmoja aliojiunga na Channel flani ndio arudi kujiunga na Original Comedy

  • @user-sf5oj4pr8k
    @user-sf5oj4pr8k 3 года назад +36

    Kazi nzuri, Ila gololi ni marble sio golf.

    • @mohammedhegdah
      @mohammedhegdah 3 года назад +2

      Umeona eeeh 😂😂😂

    • @minaaminaa1781
      @minaaminaa1781 3 года назад +3

      Gorol ni marble lkn mchezo wachezao ndio aliomaa isha

    • @user-sf5oj4pr8k
      @user-sf5oj4pr8k 3 года назад +4

      @@minaaminaa1781 kwani wanacheza mchezo gani?😁 kwasababu mmoja wao amesema njoo tucheze gololi na hakusema njoo tucheze golf.🤔 fikiria.
      Na pia sio “gorol” ni GOLOLI kwa Kiswahili fasaha.

    • @minaaminaa1781
      @minaaminaa1781 3 года назад +4

      @@user-sf5oj4pr8k Amesema gololi ndio lkn mnataka pia English iwe marble mbona mpira mtu akisema tucheze mpira engilish haiwi lets play ball?either iwe football au netball ama hata volleyball?

    • @blackpanther4825
      @blackpanther4825 3 года назад

      Yes gololi ni marbles.

  • @mattanofficemusc3535
    @mattanofficemusc3535 3 года назад +2

    Wewe unapaki boda Boda😂😂😂inavumbi😂😂😂nitowe nikuchane😂😂😂#diko nimchane

  • @fidelcastrocriss9775
    @fidelcastrocriss9775 3 года назад

    Joman .. kiukwel JOT OR NISHAI YUPO VIZIR😋😋😛👏👏

  • @markangelandemmanuelacomed3794
    @markangelandemmanuelacomed3794 3 года назад +6

    Sisi malaika wa mtaani watoto wa mungu 😂😂😂😂😂🙌🙌🙌

  • @moudboss2030
    @moudboss2030 3 года назад +3

    Kaka Jot Makosa tumeumbiwa Wanadam lkn pia kusameheana Ni Sawabu.
    Na kwenye Kazi yoyote Mitihani na kupishana Ni Changamoto zisizo Zuhirika,
    🙏Tunaomba Msamehane na Kina SOPA NA KIPANDE.
    Tunamiss sana

  • @mbarakdogo9242
    @mbarakdogo9242 Год назад +1

    The king of comedy

  • @nickvon7640
    @nickvon7640 3 года назад +4

    Heee mara mbona new character anaitwa Nico bonge😂😂😂😂😂 ntaambia nn watu nipo humu ndani

  • @mattanofficemusc3535
    @mattanofficemusc3535 3 года назад +28

    Joti king of comedy 😂😂😂

    • @ibrahimadam8623
      @ibrahimadam8623 3 года назад

      Agreed - True King of East and Central African Comedy

    • @Sta-ck
      @Sta-ck 3 года назад

      Sure
      ruclips.net/video/FWQZUwUcir0/видео.html

  • @princeismailsnr291
    @princeismailsnr291 3 года назад +13

    😂😂😂ety malaika wa mtaani!!

  • @shabanmachucha8919
    @shabanmachucha8919 3 года назад +1

    Joti umetisha mzee mabba

  • @michaelmassawe1837
    @michaelmassawe1837 3 года назад +13

    From 🇹🇿 big up jot

    • @Sta-ck
      @Sta-ck 3 года назад

      ruclips.net/video/FWQZUwUcir0/видео.html

  • @zainabzainab9724
    @zainabzainab9724 3 года назад +5

    Ety malaika wa mungu💚🇰🇪

  • @lusubilochuji8668
    @lusubilochuji8668 Год назад

    daaa jot ana mambo

  • @ahmadsaid4878
    @ahmadsaid4878 3 года назад +4

    😂😂😂😂😂😂😂😂😂dah joti linavyocheka sasa et kimeumana

  • @rhobinaomondi6042
    @rhobinaomondi6042 3 года назад +14

    😂😂😂🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪Kenya

  • @nyamshertvonline3831
    @nyamshertvonline3831 3 года назад +3

    😂😂😁😋Tuleteee na Nishai

  • @gloriousgal2001
    @gloriousgal2001 3 года назад +4

    🤣🤣Andunje kachoma kweli😂wewe unakuja na bodaboda ila wenzao waja na V8🤣🤣🤣Andujeeeee…….😂

  • @agripinamgema3656
    @agripinamgema3656 3 года назад +1

    Nacheka kabla sijamaliza kuangalia. Eti we unakuja na boda boda. Halafu unatoa buku 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @tiffahkidoti8954
    @tiffahkidoti8954 3 года назад +6

    🤣🤣🤣akizinduka umweleze ukweli.

  • @humphreyvidonyi253
    @humphreyvidonyi253 3 года назад +16

    Joti nawaombea msamaha sopa na kipande , mama van ndame warudi please mlikua na chemistry nzuri

  • @predictioneasyodds2779
    @predictioneasyodds2779 3 года назад

    Hii kali ya mwaka mzee naikubali mno

  • @flova7022
    @flova7022 2 года назад

    Kiumbe kiitwacho mwanamke ni chakukiogopa balaaaaaaaaa.. usikubali ukizidi hisiaa za upendo kwake kuliko yeye akuoendavyo. Ukiweza hili utashinda mitihani uitwao mahusiano

  • @weelee4123
    @weelee4123 3 года назад +2

    Anakuja na vumbi 🔥🔥🔥 😂😂🔥🔥

    • @Sta-ck
      @Sta-ck 3 года назад

      😃
      ruclips.net/video/FWQZUwUcir0/видео.html

  • @reubenkissinga5802
    @reubenkissinga5802 3 года назад +13

    Sisi ndio Malaika wa Mtaa!!!😁😁😁

  • @cleopatramatondo7429
    @cleopatramatondo7429 2 года назад

    Bodaboda unakuja navumbii dahaaaa!!!!jotii mungu anakuonaa😂😂

  • @frankgervas2961
    @frankgervas2961 3 года назад

    Uyo ndo joti bhan King of comed

  • @dullaiwen3764
    @dullaiwen3764 3 года назад

    Cha kufanya hapa tumwagie maji ya barid akizinduka tumweleze ukweli🙌🙌🙌

  • @eliudijastini645
    @eliudijastini645 3 года назад

    Andunjeee kumanyoko zako na V8 yako🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🚒🚒🚒minakuja na gari ya zimamoto

  • @kelvinjohn6851
    @kelvinjohn6851 3 года назад +2

    Ila Joti unajua sana. Hongera bro.

    • @Sta-ck
      @Sta-ck 3 года назад

      Sana
      ruclips.net/video/FWQZUwUcir0/видео.html

  • @mwannerajabu8688
    @mwannerajabu8688 3 года назад

    Malaika wa Mungu 😂😂Eti nitoe nikuchane jaman🙌🙌

  • @malakimoses6115
    @malakimoses6115 3 года назад +2

    😂😂😂😂😂 Joti ww ni balaa kaka maana nimecheka mbavu zinauma aise big up kwako

    • @Sta-ck
      @Sta-ck 3 года назад

      🔥🔥😃
      ruclips.net/video/FWQZUwUcir0/видео.html

  • @mohamedhusein5
    @mohamedhusein5 3 года назад +6

    Watching from SOMALIA 🇸🇴

    • @Sta-ck
      @Sta-ck 3 года назад

      🔥
      ruclips.net/video/FWQZUwUcir0/видео.html

  • @starlonejadamskp8224
    @starlonejadamskp8224 3 года назад +2

    🤣😂😂😂😂😂 😂 Malaika wamtaaa 😂😂😂

  • @munyarubugaismailally111
    @munyarubugaismailally111 3 года назад +1

    😂😂😂😂😂😂 huyu mshkaji noma

  • @mohammedrajabumwamba1322
    @mohammedrajabumwamba1322 3 года назад +2

    Pamoja sana Brother Joti UNATISHA SANA KTK comedy Ya Tz 🇹🇿 na African kwa Ujumla

    • @Sta-ck
      @Sta-ck 3 года назад

      💪🏼
      ruclips.net/video/FWQZUwUcir0/видео.html

  • @raisimseveni1955
    @raisimseveni1955 3 года назад +1

    #joti kawa malaika wa mtaa🤗🤗🤗 this guy is creator

    • @Sta-ck
      @Sta-ck 3 года назад

      🔥🔥
      ruclips.net/video/FWQZUwUcir0/видео.html

  • @denisdejo5033
    @denisdejo5033 3 года назад +14

    🤣😂🤣 “Ilikuwa silence” kumbe Simu ni gari 😂🤣😂. Ilikuwa silent bana incase of phones. 🤣😂🤣

    • @Sta-ck
      @Sta-ck 3 года назад +1

      😃😃😃
      ruclips.net/video/FWQZUwUcir0/видео.html

    • @denisdejo5033
      @denisdejo5033 3 года назад

      @@Sta-ck 😂🤣😂.

  • @Sokahabarika
    @Sokahabarika 3 года назад +2

    Kama tupo malaika wa mungu gonga laiki nyingi hapa aise🤣🤣🤣😊🤣

  • @zabronmagibo294
    @zabronmagibo294 3 года назад +2

    Tuletee sopa na kipande walikuwa wanapendezesha sanaaa

  • @edmundrutahiwa
    @edmundrutahiwa 3 года назад +1

    Safi sanaaa nakubali

  • @skmelody4551
    @skmelody4551 3 года назад

    Daaah nakubali sana mkuu

  • @tzbbellsharo1982
    @tzbbellsharo1982 3 года назад +2

    Sikia Andunje eti kimeumana 😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @humphreyvidonyi253
    @humphreyvidonyi253 3 года назад +2

    Haaaa joti Leo nimekuwai

  • @rithakuyala9951
    @rithakuyala9951 3 года назад +9

    Watoto wambea kweli 😂😂😂😂😂🔥

  • @wakembetajaphary3648
    @wakembetajaphary3648 2 года назад +2

    Malaika wa mtaani 😂😂😂😂😂

  • @netconimfasha1711
    @netconimfasha1711 3 года назад

    Sound from🇿🇦🇿🇦 kwanz ongelaaa Sana kbs kazi nzulii sna but where's sopa kwr usisema kama hamko nay Tena hapana 🤔😳

  • @fatmafetty4117
    @fatmafetty4117 3 года назад

    Malaika Wa mtaa😂😂😂😂😂🙌🙌🙌🙌ila joti bc 2

  • @ferouzmasoud4870
    @ferouzmasoud4870 3 года назад +1

    Ukija hapa unanuna nuna 😂😂😂

  • @agnesmanimba8548
    @agnesmanimba8548 3 года назад +3

    Duuuih hiii nomaaa!!!!

  • @johnnykallaghe770
    @johnnykallaghe770 3 года назад +24

    Kuna Magari Yanakujaga Yameandikwa V Alafu Mbele Kuna Namba 8..🤣🤣!! Hvi Wanaoombaga Like Huwa Wanazipelekaga Wapi?!?

  • @fatmaabeid9668
    @fatmaabeid9668 3 года назад

    🤣🤣🤣🤣mmwagie maji baridi akizinduka mueleze ukweliii🤣🤣🤣🤣

  • @seanmarley5418
    @seanmarley5418 3 года назад

    V na namba 8 mbele yake daah we jamaa 😂😂😂

  • @flyboyalpha4039
    @flyboyalpha4039 3 года назад +4

    wakwanzaa😂😂😂

    • @tirap6290
      @tirap6290 3 года назад

      ruclips.net/video/_tkVtEQbgok/видео.html

  • @starjay3052
    @starjay3052 3 года назад

    V alafu namba 8 mbele yake 😁😁😁 we unapaki boda boda 😁😁

  • @wairimumosha9655
    @wairimumosha9655 3 года назад +4

    😂😂😂malaika wa mungup🤣🤣🤣

  • @Wanisimbula
    @Wanisimbula 3 года назад +4

    😂😂😂😂😂😂😂 joti ni mjinga...😂😂

  • @mchaganaduka
    @mchaganaduka 3 года назад

    Wanaume tutafute hella Hadi siku ya mwisho!...hii dharau bhana😆😆😆

  • @winnerhapila155
    @winnerhapila155 3 года назад +3

    Mamboo ni🔥🔥🔥🔥

    • @Sta-ck
      @Sta-ck 3 года назад

      🔥🔥
      ruclips.net/video/FWQZUwUcir0/видео.html

  • @cedricmaina4523
    @cedricmaina4523 3 года назад +10

    WAMEKINUKISHA 😂😂😂

    • @Sta-ck
      @Sta-ck 3 года назад

      🤣
      ruclips.net/video/FWQZUwUcir0/видео.html

  • @michaell8566
    @michaell8566 3 года назад +4

    Wakiwepo kina sopa inanoga zaidi joti siku hizi hainogi kbsaa..

    • @alexroy8215
      @alexroy8215 3 года назад

      kipande na sopa eehhh

    • @moudboss2030
      @moudboss2030 3 года назад

      Kipande na Sopa kwasasa hawapo
      Wametoka

  • @mnomahboybright4743
    @mnomahboybright4743 3 года назад

    😅😅🤣 daah mapenzi mi hapana kwakweli

  • @geeva99
    @geeva99 3 года назад +7

    Kumbe dada Betty hana noma na malaika wa mtaa 😂😂😂

  • @mchemargaret3500
    @mchemargaret3500 3 года назад +1

    Mwangie maji ya barid akishtuka mueleze ukweli 😂😂😂

  • @moblack8740
    @moblack8740 3 года назад +11

    Daaah 🙌JOTI 🔝

    • @Sta-ck
      @Sta-ck 3 года назад

      🙌
      ruclips.net/video/FWQZUwUcir0/видео.html

  • @saidharith5643
    @saidharith5643 3 года назад +1

    wenzako wanakuja na v8 ww unakuja na boda boda unakuja na vumbi🤣🤣🤣

  • @anethalbert7533
    @anethalbert7533 3 года назад +1

    Malaika wa mtaa🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @mkushiandikayakoachananaya7944
    @mkushiandikayakoachananaya7944 3 года назад +1

    Malaika wa mungu hao ndio kazi yao!

  • @ukhutymamuu7470
    @ukhutymamuu7470 3 года назад +4

    Malaika wa mtaaa🤣🤣🤣

  • @mwljuliuskiwovele
    @mwljuliuskiwovele 3 года назад

    Daaa huyu Joti ni Comedian na Nusu

  • @neemamayco3238
    @neemamayco3238 3 года назад +1

    Eti joti ni malaika uuuuuwwwwiiiiii jaman nyie ila haichekesh

  • @kevinamosi941
    @kevinamosi941 3 года назад

    sana joti vzr cn

  • @festomishita3303
    @festomishita3303 3 года назад

    Joti kageuza umbeya biashara😀😀 mpaka anakataa buku

  • @nurujuma5959
    @nurujuma5959 3 года назад

    😄😄😄maji ya baridi

  • @matambwekhaalidun1473
    @matambwekhaalidun1473 3 года назад

    Jot acha ujingaa😹😹😹😹😹😹

  • @khamismachemba4020
    @khamismachemba4020 3 года назад

    😅😅😅😅Eti kanipaaa bukuuu

  • @razakimikwanga4719
    @razakimikwanga4719 3 года назад

    😁😄😄😄😁amenipa bukuu

  • @LearnwithMadamnaomi
    @LearnwithMadamnaomi 3 года назад

    Huhuu nikikujuaa nakudunda

  • @michaelkanyama4870
    @michaelkanyama4870 2 года назад

    bro nakukubar sana yan

  • @davianjosephjoseph3121
    @davianjosephjoseph3121 2 года назад

    Kaka shikamoo😂😂😂

  • @hamadiabdallah3906
    @hamadiabdallah3906 3 года назад +1

    Ahahaaa
    Mmwagie maji ya barid akiamka mwambie ukweli

  • @ramadhanimbulu6716
    @ramadhanimbulu6716 3 года назад +1

    Hiyo Fanya kama wewe ndo umemuona siyo mie..!!

  • @johnleon201
    @johnleon201 3 года назад

    Hamna Sopa Hamna Kipande Hamna Mama Dame daah

  • @swaleheismail46
    @swaleheismail46 2 года назад

    Malaika wa mtaa uwwwiiihh🤣🤣🤣🤣

  • @victorsomba867
    @victorsomba867 3 года назад

    🤣🤣🤣🤣eti kanitoa bukuuuuu 😂😂😂😂wenzio wanatutoa mpk 5000 we buku na bodaboda.

  • @gosbertmuta5421
    @gosbertmuta5421 3 года назад +1

    Utasema jot mtoto kweli jmn mingu fundi nyie

  • @edmundrutahiwa
    @edmundrutahiwa 3 года назад

    Hii kali sanaa

  • @sizannkondeye1227
    @sizannkondeye1227 3 года назад +1

    Leo kidgo nimewawahi.

  • @chrissjoel7752
    @chrissjoel7752 3 года назад +1

    Hiyo Fanya kama umemuona wewe 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @mchaganaduka
    @mchaganaduka 3 года назад

    V alafuu namba 8=V8.🤭😀😁😆😅😅😂😂🤣🤣🤣🤣

  • @manjaruu679
    @manjaruu679 3 года назад +1

    Si ndo malaika wa mtaa😂😂😂😀😂😂😂

  • @manstiko5890
    @manstiko5890 3 года назад +7

    Iyo fanya kama wewe umemuona ila usinitaje ..😂😂😂😂😂🤣