🔴

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 24 янв 2025

Комментарии • 10

  • @globaltv_online
    @globaltv_online  15 дней назад +1

    JIUNGE NA GROUP LETU LA WHATSAPP UWE MWANAFAMILIA WA GLOBAL TV NA UTUTUMIE HABARI ZA MTAANI KWAKO chat.whatsapp.com/FeLe2DcIFAg...

  • @NasraOmary-e5y
    @NasraOmary-e5y 15 дней назад +1

    Hbr dada

  • @OnlyRuky
    @OnlyRuky 15 дней назад

    Issues ya USTAWI wa jamii Tz it's true 💯 wanachangia asilimia kubwa saanaa, nina experience nao issue ya Adoption ilichukua 2 yrs na zaidii na watu wengi wapo tayari ku Adoption haswa watoto wadogo ambao hata kutembea hawajanza but USTAWI unavunjaga moyo na siyo kila mtu ana subra ya kuzungushwa bila sababu za msingi wakati mtu anataka kujitolea😊 WATOTO WA MTAANI INAWEZEKANA USTAWI WAFWATIKIWE HASWAA

  • @estermgata9617
    @estermgata9617 14 дней назад

    Eti Mtumishi!!!!! Dunia imekwisha ndugu zangu

  • @estermgata9617
    @estermgata9617 14 дней назад

    Huyu jamani ni mtumishi wa kanisa gani jamani??

  • @MeryJonh
    @MeryJonh 15 дней назад

    Asa hii picha ya uyu mchungaji asiyeusika mmeweka ya Nini kama sio upuuz

  • @rahma6189
    @rahma6189 15 дней назад

    Mnaharibu majina ya watumishi muiteni jinalingine

  • @sekitauniquedesigns8813
    @sekitauniquedesigns8813 15 дней назад

    Mmekosa kabisaa picha ya mchungaji mhusika hata mtumie picha ya Mchungaji asiyehusika na tuhuma. Na mbaya zaidi ni Mchungaji anayefahamika...
    Aliyenusurika kichapo ni Nabii na si mchungaji anayevaa collar ...

  • @GraceNjau-t9e
    @GraceNjau-t9e 15 дней назад

    Jesus. 🥹