SABATO YA TORATI BADO INATUMIKA KATIKA AGANO JIPYA?

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 19 янв 2025

Комментарии • 42

  • @maryachuti4997
    @maryachuti4997 3 года назад +1

    Kama slibadilisha amri kumi za Mungu, basi uuaji, uongo, ibada ya, ssnamu, uzinzi, kutoheshimu baba na mama, hayo yote basi yalislalishwa!!!

  • @maryachuti4997
    @maryachuti4997 3 года назад +1

    Nashangaa kwamba Mungu alimpa mwanadamu sabato apumzike nyumbani, na sabato nitakatifu, lakini si siku ya kuabudu Wala maombi!

  • @maryachuti4997
    @maryachuti4997 3 года назад

    Mungu Wala habadiliki, niyeye yule tafadhali!!!

  • @godluckmbise7364
    @godluckmbise7364 5 лет назад +2

    Asante san Roho Mtakatifu kwa kutumia kinywa cha mtumishi wako hili tuifahamu kweli n kisha tuwe huru

  • @patrickmunishi2277
    @patrickmunishi2277 3 года назад +2

    Baba Mungu akulinde, nilicho jifunza kwa ndg zetu wa jumamosi, wanatumia nguvu kubwa kuiburi jumamosi, kuliko kumuubiri kristo. na hii nikinyume na agizo la yesu Marko 16:15-18

  • @mutibwaelijah8226
    @mutibwaelijah8226 5 лет назад +2

    Macho,fikira na masikio vimefunguliwa huu ni ufunuo wa Mungu mwenyewe ahsante sana Askofu.

  • @ivonaevarista4654
    @ivonaevarista4654 3 года назад

    Baada ya kusikilza ujumbe huu yaani Roho Mtakatifu kamwagika ndan yangu kwa furaha teleee

  • @vailethmarack374
    @vailethmarack374 3 года назад +2

    Nikuulize mchungaji Ni amri Ipi zilibadilishawa katika amri kumi.

  • @deusbngika2105
    @deusbngika2105 5 лет назад +2

    Amen Waje tuu NYumbani ni nYumbani tuu

  • @tigerchristmas5491
    @tigerchristmas5491 4 года назад

    Hakika roho wa Mungu anaongea na watumishi wake ,nashukuru kwa kupata kibali cha kusikiliza na kuelewa, asante san

  • @maryachuti4997
    @maryachuti4997 3 года назад

    Mbona basi siku ya sabato Yesu kaingia kusali Luka 4:16?

  • @dadamuebrania1539
    @dadamuebrania1539 Год назад

    December 12 2023 ninabarikiwa nikiwa Oman

  • @sarahabdulatif7391
    @sarahabdulatif7391 5 лет назад +1

    Huwezi kuwa huru kama hujaijuwa kweli asante kwaufafanuzi kuhusu sabato

  • @maryachuti4997
    @maryachuti4997 3 года назад

    Pazia la hekalu lilipasuka kumaliza kafara. Wala sikumaliza amri kumi za Mungu ambae nitabia ya Mungu.

  • @amedesamki425
    @amedesamki425 11 месяцев назад

    Ni jambo la kusikitisha sana kwa kutofundisha ukweli wa historia ya kanisa kwamba sabato ilipigwa marufuku na kanisa katoliki mwaka 364 a.d. Yesu alikuja kukamilisha siyo kubadilisha torati na amri ya 4 ikumbuke sabato na kuishika maana ni takatifu

  • @maryachuti4997
    @maryachuti4997 3 года назад

    Ukuani haukubalisha amri ya Mungu, Bali kafara zilizokua zikifanywa kwa ajili ya dhambi, akawa kafara yeye mwenyewe.

  • @deogratiusgilmon7257
    @deogratiusgilmon7257 4 года назад

    Nimekuelewa sana Asikofu

  • @revinamathias679
    @revinamathias679 5 лет назад

    Barikiwa sana Baba Askofu

  • @johnnsomi9726
    @johnnsomi9726 4 года назад

    Waooo askofu nashukulu sanaaa

    • @kephermwangura2199
      @kephermwangura2199 2 года назад

      Unashkuru kupotezwa lahaula?..... Ni vile hamfundishwi unabii wa biblia wajue ukweli kuhusu aliyebadili sabato ya kweli kuipeleka jumapili

  • @kephermwangura2199
    @kephermwangura2199 2 года назад

    Askofu unapotosha watu Mungu akusamehee Wacha kukubali kutumiwa na nguvu ya ibilisi, wewe unafanya watu wasiijue kweli kuhusu "JUMAPILI YA HATARI" ambayo itatangazwa rasmi na mpinga kristo kuwa iwe siku ya kuabudu kilazima na yoyote atakayekataa hata kuwa na nafasi ya kununua Wala kufanya biashara mpaka tupokee alama Yao...mbona usifundishe watu kujua mambo haya

  • @raphaelsiumbu9439
    @raphaelsiumbu9439 7 месяцев назад

    MTAACHA UONGO LINI. ASKOFU GANI UNAKUWA MWONGO NA HUJUI MAANDIKO

  • @matthewinnocent6763
    @matthewinnocent6763 3 года назад

    UTUKUFU MWINGI MKUU MNO KWAKE YEYE BABA MUNGU MWENYE ENZI YOTE NIKO AMBAYE NIKO

  • @paulsamuel3976
    @paulsamuel3976 3 года назад +1

    Uongo mtupu

  • @wegorokibajiro9098
    @wegorokibajiro9098 3 года назад

    Nimepata hii kwa kuchelewa lakini hapa mzee ni upotoshaji mtupu wapi imeandikwa kwamba Yesu alifanya mabadiliko ya amri?

  • @deogratiusgilmon7257
    @deogratiusgilmon7257 4 года назад

    Kwa nini haya Askofu usiweke kwenye kitabu

  • @joramulaurent8483
    @joramulaurent8483 5 лет назад

    Mimi nmekuelewa Sana Bi shop

  • @kephermwangura2199
    @kephermwangura2199 2 года назад

    Ndugu zangu tunaishi nyakati za mwisho na hizi nyakati za mwisho watakuja watu kupinda maandiko kwa uharibifu na kuwapotosha kondoo za Mungu ili kutuingiza kwa ibilisi .....hakika Sasa macho yangu yanaona wazi wazi tunaishi nyakati za mwisho.....kama Yesu ndiye Bwana wa sabato basi tunamfuata Yesu na Neno lake,ukisema sabato iliondolewa na Yesu naomba unifafanulie fungu la (Luka 4:16)..... Kisha kama Yesu aliondoa Sheria naomba unifafanulie (Luka 23:54-56. 24:1)..... Kisha kama Yesu ambaye huyu askofu anasema kuwa Yesu aliondoa sabato na sabato imo ndani ya Sheria 10 za Mungu Yesu alimaanishaje kusema?( Yohana 14:15,) ikiwa mnanipenda zishikeni amri zangu? Hizo amri ni zipi Yesu alikuwa anaongelea?..... Kama Yesu aliondoa amri 10 kwahivyo inamaanisha tuishi kiholela kama wanyama wa mwituni?......ikiwa kwenda kanisani Jumamosi ni siku inayomtambulisha Muumbaji? Basi inamaanisha basi tena tusimfahamu aliyeiumba Dunia manake Mungu ndo Muumbaji kulingana na (Mwanzo 2:1-3 na Ufunuo wa Yohana 14:6-7)
    Kwahivyo kama hamna Sheria ya Mungu,au katiba ya Mungu? Basi tuibe? Tunyang'anye watu mali zao? Basi tuwe tukizini? Tuabudu chochote?......tuabudu miti,mawe,nyota na vyote ambavyo viko mbele yetu?......wewe askofu hakika unaongozwa na nguvu ya Giza kuwapotosha watu na maandiko ya Mungu.......naomba huyu askofu anichambuliwe ( Zaburi 89:34) Mungu anakiri wazi wazi kuwa hawezibadili Neno lake lililotoka Mdomoni mwake,itakuaje Mungu Mwenyewe aseme aliitakasa na kuibariki siku ya Saba itakuaje mwanadamu atakuja kuongea tena mbele ya runinga na kituo Cha televisheni kutudanganya wazi wazi kuwa Mungu aliondoa sabato.......watumishi wote manabii wote wameabudu siku ya sabato itakuaje mtu au mwanadamu she kutuambia ati siku ya sabato iliondolewa huo ni ubishi na kushindana na Mungu Mwenyewe.......(Mathayo 5:17-19) Yesu Mwenyewe anakiri kuwa hakuja kubadili Sheria ya Mungu mpaka mwisho wa dahari ......na Yesu anakiri kwamba atakayefundisha ataitwa mkuu na yule atakayekataa kufundisha Sheria za Mungu ataitwa mdogo kwahivyo huyu askofu anapinda maandiko naombo asome (Ufunuo wa Yohana 14:12,) (Ufunuo 22:14) Kisha asome Ufunuo wa Yohana 22:18-19....... Hawa ndio wale wanatupotosha tukiona kabisaa sikubaliani naye Abadan katani....ni agent wa ibilisi huyu askofu......naomba anifafanulie (Isaya 66:22-23) Manake Mungu Mwenyewe anasema hata Mbinguni tutakuwa tukiabudu sabato Hadi sabato Sasa akisema Yesu alikuwa kuondoa sabato na mbona Mungu anasema sabato Iko mbinguni......

    • @lucasmongo8462
      @lucasmongo8462 2 года назад

      Sisi tumemuelewa Sana askofu wewe ndio ujitafakari. Unamacho lakini huoni

    • @hanskidd2290
      @hanskidd2290 Год назад

      Jomba kwa we n msabato

  • @kephermwangura2199
    @kephermwangura2199 2 года назад

    Wale ambao wanamuunga mkono huyu agent wa ibilisi hawaosomi biblia na unabii wa biblia

  • @venaszablon5764
    @venaszablon5764 3 года назад

    Kanisa la Sasa hatufati amri kumi,na Kama tunazifuata hiyo amri haipo yakushika amri zote.

    • @kephermwangura2199
      @kephermwangura2199 2 года назад

      Tunafuata amri ya wanadamu?...... Wacha kupotoshwa na wachungaji umbwa mwitu

  • @givenmgute4565
    @givenmgute4565 5 лет назад +1

    Wapiga hla naona mnavyo waongopea watu kua alibadilisha sabato siku yenu yaja nã yenye ghadhabu mbele za mngu wapoteze tu watu wa mngu kua mngu alibadlisha sabato achen uongo hubirin kweli ko alibadili sabato tu zingine aaah hpn achá uongo

    • @godluckmbise7364
      @godluckmbise7364 5 лет назад +1

      Ndug yangu unamasikio lkn usikii n una macho lkn uoni maandiko unaitaji kufunguliwa

    • @revinamathias679
      @revinamathias679 5 лет назад +1

      Mpendwa jina Mungu linaandikwa kwa herufi kubwa mwanzoni au hivi MUNGU sio mngu

    • @nickmpanzi
      @nickmpanzi 5 лет назад

      Unaeleweka Bishop...Mungu aendele kukutumia

    • @wakioelvina7600
      @wakioelvina7600 3 года назад +1

      Kama sabato ni siku ya saba mbona mwaenda kanisa siku ya kwanza ya juma

    • @kephermwangura2199
      @kephermwangura2199 2 года назад

      Hakika tushafika mwisho wa Dunia kama kiongozi wa ki dini ataongea uongo tena mbele ya viombo vya habari na kupinda maandiko ya Mungu hii ni ishara ya kuwa mpinga kristo ashaanza kazi yake ya kuwapotosha hata watu ambao wanastahili wafundishe kweli Bali kufundisha uongo ........hata nabii Ezekiel alishatabiri hili jambo ambalo saa hii naliona wazi kabisa likitimilika mbele ya macho yangu waaaaa kwisha kiama kinakaribia..........
      Ezekieli 22:26-28
      [26]Makuhani wake wameihalifu sheria yangu, wametia unajisi vitu vyangu vitakatifu; hawakuweka tofauti ya vitu vitakatifu na vitu vya kutumiwa sikuzote; wala hawakuwafundisha watu kupambanua vitu vichafu na vitu vilivyo safi, nao wamefumba macho yao, wasiziangalie sabato zangu, nami nimetiwa unajisi kati yao.
      Her priests have violated my law, and have profaned mine holy things: they have put no difference between the holy and profane, neither have they shewed difference between the unclean and the clean, and have hid their eyes from my sabbaths, and I am profaned among them.
      [27]Wakuu wake kati yake wamekuwa kama mbwa-mwitu wakirarua mawindo; ili kumwaga damu, na kuharibu roho za watu, wapate faida kwa njia isiyo halali.
      Her princes in the midst thereof are like wolves ravening the prey, to shed blood, and to destroy souls, to get dishonest gain.
      [28]Na manabii wake wamewapakia chokaa isiyokorogwa vema, wakiona ubatili, na kuwatabiria maneno ya uongo, wakisema, Bwana MUNGU asema hivi; iwapo BWANA hakusema neno.
      And her prophets have daubed them with untempered morter, seeing vanity, and divining lies unto them, saying, Thus saith the Lord GOD, when the LORD hath not spoken.