MATHNA(UKEWENZA)..SEHEMU YA NNE{4}

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 11 янв 2025

Комментарии • 395

  • @AsmaHussein-u2j
    @AsmaHussein-u2j Месяц назад +1

    We wajnaaa Asmaah mashaallah mke mkubwa ❤❤❤🎉🎉

  • @Farthun
    @Farthun Год назад +8

    Mashaallah hongerani kwakutuletea muendelezo Asanten 👏🏻👏🏻👏🏻👏🏻👏🏻👏🏻👏🏻

    • @BinMahsen
      @BinMahsen  Год назад

      Shukran na pole kwa kusubir lakin asante kwa kutupend na kutusuport

    • @Farthun
      @Farthun Год назад

      @@BinMahsen pia mm Nashkuru kwa kujali mashabiki zenu ❤❤❤❤❤

  • @mayaashassan3918
    @mayaashassan3918 Год назад +8

    Nduguyo anakupotosha uyo jiongeze😏 Ma'shaallah shukran sana kwa mwendelezo❤🎉

    • @BinMahsen
      @BinMahsen  Год назад

      Afuwan.Ila nisameh kwa kuwacheleweshea

  • @qurthummrabdllh3635
    @qurthummrabdllh3635 Год назад +11

    Mashallah mke mkubwa nimekupenda buree😊🎉🎉❤

    • @BinMahsen
      @BinMahsen  Год назад

      Whaoooo asante kwa.Niaba yake🎉❤

    • @jamawa3094
      @jamawa3094 Год назад +2

      Hata mm bi mkubwa mashaallah hongera sana si.rahisi.kupata raha bomani kama nakupenda bure bure bi mkubwa

    • @BinMahsen
      @BinMahsen  Год назад

      @@jamawa3094 nakuoenda pia jmn asante

    • @RizikiZiki
      @RizikiZiki Год назад

      Masha Allah ❤❤❤❤❤

  • @Marem-nl3tf
    @Marem-nl3tf 5 месяцев назад +1

    Mashaallah mashaallah mke mkubwa hongera sana❤❤❤🎉🎉🎉

  • @ZanielShelukindo
    @ZanielShelukindo 8 месяцев назад +3

    Mke mkubwa una moyo mashaallah🎉🎉🎉🎉 6:23

  • @aminaAbdulrahman-o9t
    @aminaAbdulrahman-o9t Год назад +1

    Mkemkubwa waoooo❤🎉

  • @Mummy-ri5fk
    @Mummy-ri5fk 10 месяцев назад +1

    Kaz nzur sana Allah awalipe

    • @BinMahsen
      @BinMahsen  10 месяцев назад

      Allahumma amin iwe kwetu sote

  • @ArafaMussah
    @ArafaMussah Год назад +2

    Waooo jamani mashallahu hongereni sana kwa kazi nzur inatufunza kwa cc tulokua wake wenza hongera sana bimkubwa na mke mdogo ujiongeze utajutia but mnachelewesha dear

    • @BinMahsen
      @BinMahsen  Год назад +1

      Dah jwanza asnate kwa suport yako.Lakin pia nikuombe radh kwa hili.Lilotokea la.Kuchelewa na nikuahd ntalifanyia kaz

    • @ArafaMussah
      @ArafaMussah Год назад +1

      @@BinMahsen usijali tuko pamoja mungu awabarik

    • @BinMahsen
      @BinMahsen  Год назад +1

      @@ArafaMussah shuirani kwa kulitamvua hilo

  • @AminaQaiss
    @AminaQaiss Год назад +3

    Mko sawa mafunzo mazuri🎉🎉🎉msicheleweshe kutuendelezea likisutwa😢shenzy yy

  • @ArafaMussah
    @ArafaMussah Год назад +7

    Wake wenza tujuane hapa gonga like

  • @Nana001Zawad
    @Nana001Zawad Год назад +2

    Daaah naipendaa❤ mpakaa basii yaniii 🍎

    • @BinMahsen
      @BinMahsen  Год назад

      Oooogh asante sanaaa mungu ak7barik kwa suport yako kwetu

  • @ZulfahMuhammad
    @ZulfahMuhammad Год назад +6

    Yaani tamthilia ilikuwa zuri tu yaani hila mwaharibu kuja kumuweka huyu mkaka hasidi sijapenda bi mkumbwa na bi mdogo walikuwa vizuri tu mashaAllaah tabaraAllaah ❤

    • @BinMahsen
      @BinMahsen  Год назад +1

      Jamani tusamehe hatutorudia tena sisi hatukujua😅😅😅

    • @nahlahassan-fd6le
      @nahlahassan-fd6le Год назад +1

      Ndo inaonesha Kam mda mwengine wake wenza kutokuelewana sababu ni kuskiliza maneno ya watu Aisha marafiki au ndugu ndokama hivi, ni funzo tosha hili

    • @BinMahsen
      @BinMahsen  Год назад +2

      @@nahlahassan-fd6le haswaa unajua USHAURI MASHOGA NA NDUGU KATIKA NDOA NI KAMA KITUNGUU UKIKATA KISIPO KUTOA MACHOZI BASI KITAKUTOA KAMASI

    • @ZulfahMuhammad
      @ZulfahMuhammad Год назад +1

      @@BinMahsen kamasi tena jamani 😂😂😂😂mbavu zangu

    • @BinMahsen
      @BinMahsen  Год назад

      @@ZulfahMuhammad wee shaukwa n.Mashoga uone

  • @KhadijaMasoud-m6u
    @KhadijaMasoud-m6u Год назад +1

    Imerikodiwa vibaya hii video muda mwengine mazogo

    • @BinMahsen
      @BinMahsen  Год назад

      Tunaomba radhi kwa hilo inshallah

  • @Sauda-s6s
    @Sauda-s6s Месяц назад

    Pole san mkr mkubwa allah atakulipa inshallah 🥺🥺🥺🤲🤲🤲

  • @RaiyaanRasheedRay
    @RaiyaanRasheedRay 26 дней назад +1

    Hakika najifunza maana si uke wenza t... hata kwa.mke.mmoja ni funzo.tosha...... Inshaallah nitakapoingia.kwenye ndoa

  • @kombrashid-bn2gr
    @kombrashid-bn2gr Год назад +2

    Apa uhakika,ila namkubali mkemkubwa,kwakuonesha wanawakewenzake kwamba,iledhana yakwamba kipyakinyemi kumbe hatauyo mpya nae anaweza kuitorosha furahayandoa❤❤❤❤❤😮😢

  • @HalimaAdam-v7e
    @HalimaAdam-v7e Год назад +1

    Nimekupenda San bi mkubwa mungu akuongoze hiv hiv

    • @BinMahsen
      @BinMahsen  Год назад

      Oooogh shukran jamn kwa niaba

  • @ZenaMustapha-tj8yn
    @ZenaMustapha-tj8yn Год назад +2

    Pole sana mke mkubwa

  • @sylviaomwenga8740
    @sylviaomwenga8740 Год назад +3

    Wooiii bi poleni sana Mungu atawalipia tu 😢😢😢😢😢😢😢

  • @FatmaTambwe
    @FatmaTambwe Год назад +4

    Bimdogo utalipwa mabaya unayomfanyia mwenzio inaumaa sana

  • @Idayasudi
    @Idayasudi Год назад +2

    Mmh kaka mung anakuona wallah

  • @zamdauseni9787
    @zamdauseni9787 Месяц назад

    Wanajuwa kuwakomesha 😂😂❤
    Udada kaka yake. Namudanganya 😂😂

  • @kibibiabdalla1451
    @kibibiabdalla1451 Год назад +1

    MashaAllah..nzuri sanaa..twasubiri muendelexo

    • @BinMahsen
      @BinMahsen  Год назад

      Sjukran inshallah ntauweka kwenu mud si mwingi

  • @OmarKadidi
    @OmarKadidi Год назад +17

    Wapili Leo nipea like zenu

    • @BinMahsen
      @BinMahsen  Год назад +1

      Sio like tu na🎉🎉🎉🎉🎉 ju nakupa

    • @MunaMuna-tn3go
      @MunaMuna-tn3go Год назад +1

      ​@@BinMahsennimeitafuta sana nimeipata jitaidini kuwai na kutupa kazi zuri shukran

    • @BinMahsen
      @BinMahsen  Год назад

      @@MunaMuna-tn3go shukran na nikuahid kufanya hivyo smahan kwa hilo nakuahid kujitahid..Mungu akupe baraka

    • @rehema-lg5cl
      @rehema-lg5cl Год назад

      Aya sasa kaka ametoa mjomba tumboni😂 mwisho wa ubaya aibu lakini

    • @rehema-lg5cl
      @rehema-lg5cl Год назад

      Mke mkubwa mungu akulinde na shari zao

  • @JoanJuma-f9m
    @JoanJuma-f9m Год назад +1

    Kazi nzuri sana

  • @AmenaMm-r5t
    @AmenaMm-r5t Год назад +2

    Ahasanten san na muendelezo wa tano msicheleweshe ongeren san mwaaa mwaa nawapandag

    • @BinMahsen
      @BinMahsen  Год назад

      😘😘😘Asant inshallah hatutochelewesha

  • @aishaabdallah4560
    @aishaabdallah4560 Год назад +1

    pole mke mkubwa mungu atakulipia

  • @jennipherjovinatha
    @jennipherjovinatha 11 месяцев назад

    Hongera ❤ mke mkubwa

  • @maryd1538
    @maryd1538 Год назад +2

    Mke mkubw nakupend bure❤❤❤

  • @christine7744
    @christine7744 Год назад +4

    Tuleteeni utamu jamani nawapenda nyote❤❤❤❤

  • @teedullah5708
    @teedullah5708 Год назад +1

    Mashallah mko vzr❤❤

  • @khadijamohd-kh3lj
    @khadijamohd-kh3lj Год назад +1

    Muendelezo jamani n nzuri sana

    • @BinMahsen
      @BinMahsen  Год назад

      Utakuwa hewan tu inshallah

  • @zainabmshanga932
    @zainabmshanga932 Год назад +1

    Wow mke mkubwa nimekupenda sana

  • @AhaddinSabtura-n5i
    @AhaddinSabtura-n5i Год назад

    Maashaalla maashaalla ❤❤❤mnatupa moyo upate wake wenz muke mukubwa nakupenda ❤ maashaalla umejaaliwa moyo

  • @OmariMfuko
    @OmariMfuko Год назад +2

    Safi sana

  • @AssumaniHatungimana
    @AssumaniHatungimana 4 месяца назад +1

    Watatu na ombalikezangu

  • @leilajafar4342
    @leilajafar4342 Год назад +1

    Ulaniwe mke mdgo mke mkubwa mashaallah mung atakulipa na roh yko nzr

    • @BinMahsen
      @BinMahsen  Год назад

      Amin kwa mke mkibwa kwa mdogo wach tu nicheke

  • @husnaibrahim2107
    @husnaibrahim2107 Год назад +1

    Mashaallah ❤️❤️❤️❤️ hongereni Kwa upendo

    • @BinMahsen
      @BinMahsen  Год назад +2

      Ahsante pia Pole na tusamehe kwa kukucheleweshea na ahsante kwa kutusuport

    • @husnaibrahim2107
      @husnaibrahim2107 Год назад

      @@BinMahsen shukran tupo pamoja In shaa Allah

    • @BinMahsen
      @BinMahsen  Год назад

      @@husnaibrahim2107 afuwan shukran

  • @IrakozeFarida
    @IrakozeFarida Год назад +1

    Huyo kakamtuu nimbayaaa

  • @fatuma46ramadhan18
    @fatuma46ramadhan18 Год назад +2

    Next tuachie wazungu twaomba mwendelezo jamani❤❤❤

  • @ggfwtgg1652
    @ggfwtgg1652 Год назад +4

    Wake wenza jmn 😅😅pol sana bi mkubwa mungu atakulipia 😢😢😢

  • @nimechoka3722
    @nimechoka3722 Год назад +2

    Mke mkubwa anajitambua❤

    • @BinMahsen
      @BinMahsen  Год назад

      Ssnaa kafundwa kafundika❤❤❤

  • @saumbliz8983
    @saumbliz8983 Год назад +2

    Nachelewa Leo lakini nimefika❤

    • @BinMahsen
      @BinMahsen  Год назад

      Kabisa pole maana nimekutafta hatar

  • @ترووكالحارثي
    @ترووكالحارثي Год назад +1

    Pole sana bibi mkumbwa

  • @mwajumasaid7306
    @mwajumasaid7306 10 месяцев назад +1

    Kaka la hovyo😮

  • @SadaMohamed-xl9rc
    @SadaMohamed-xl9rc Год назад +1

    Bora muwe mnakaa nyumba tofaut kuna afadhal kuliko nyumba moja muda wote mnaangaliana uso tu

  • @CuttyHalima
    @CuttyHalima Год назад +2

    Ongera sana bi mkubwa ❣️❣️❣️ila bi mdogo akili zako kama ufunzi vile

    • @BinMahsen
      @BinMahsen  Год назад +1

      Asante sana jman kwa niaba ya bi mkubwa

    • @BinMahsen
      @BinMahsen  Год назад

      Asante sana jman kwa niaba ya bi mkubwa

    • @Keysher
      @Keysher Год назад

      ​@@BinMahsen nipo boss

    • @BinMahsen
      @BinMahsen  Год назад

      @@Keysher mke mweny naua yaje kwa waja

  • @zaytunsuleyman-pp3yl
    @zaytunsuleyman-pp3yl Год назад +1

    Twangoja mwendelezo Kila mara naja angalia kaa meinjika haragwe jikon😊

    • @BinMahsen
      @BinMahsen  Год назад

      Jamani naomba msamaha tafadhali

  • @Mwanababy-k9b
    @Mwanababy-k9b Год назад +1

    Hasidi wa mwanadamu n mwanadamu mwenzio

  • @leilajafar4342
    @leilajafar4342 Год назад +1

    Mke mkubwa mashaallah mke mdogo ulaniwe ww na kaka yko

  • @labelleshashank8852
    @labelleshashank8852 Год назад +3

    Naupenda ukewenza ila sikwaroho yahuyu dada mke mdogo 😢 duuuuh hana wema

    • @BinMahsen
      @BinMahsen  Год назад

      Ana roho mbaya kam nyoka

  • @FarhatIbrahim-zs3qh
    @FarhatIbrahim-zs3qh Год назад +1

    Mke mkubw pole unahuruma sana mke mdogo huna at imani loooo

    • @BinMahsen
      @BinMahsen  Год назад

      😂😂😂😂😂😂

  • @HawaIssa-bd1tu
    @HawaIssa-bd1tu Год назад +2

    Mashaallh mke mkubwa nakupend bure❤❤❤

    • @BinMahsen
      @BinMahsen  Год назад

      Nakuoenda pia❤❤❤❤

  • @MemoryKamutandi
    @MemoryKamutandi 5 месяцев назад +2

    We dada muke mudogo acha tabia ya uchetan mbona mwezako anakuonecha tabia zuri hivo weee dada wewe😅😅😅😅

    • @BinMahsen
      @BinMahsen  5 месяцев назад

      Alhamis season tu yatoka

  • @لويسلويس-ص6ر
    @لويسلويس-ص6ر Год назад +1

    Aki bb mdog ako na roho chafu kama oil chafu

    • @BinMahsen
      @BinMahsen  Год назад

      😂😂😂😂 Oil chafu

  • @jokhasimba4376
    @jokhasimba4376 Год назад

    sauti inaxingua hatoki .vzr

    • @BinMahsen
      @BinMahsen  Год назад

      Tafdhal nismehe kwa changamoto hii

  • @HawaNalio-qc4fg
    @HawaNalio-qc4fg 11 месяцев назад +3

    Movie nzuri Ila uhalisia Tu ndo umepungua sote tunajua waislamu hatuna mambo yakubandika kucha wala rangi apo Tu mmezingua 😢

    • @BinMahsen
      @BinMahsen  11 месяцев назад

      Hakika shukrani kwa mawazo na tunaahidi kuyafanyia kazi inshallah

    • @hairatyhassan7973
      @hairatyhassan7973 3 месяца назад

      Kabisaa

  • @ashamwanganzi6400
    @ashamwanganzi6400 Год назад

    😂😂😂😂daaah noma san uke wenza

  • @sfiaalanazi5479
    @sfiaalanazi5479 Год назад +2

    Uke wendza unapendeza kila mmoja na nyumba yake sio mahali pamoja

    • @BinMahsen
      @BinMahsen  Год назад +1

      Kabisaa huyu bwan kablanda

  • @leilajafar4342
    @leilajafar4342 Год назад +1

    Ww shetani kabsa mke mdgo

  • @jokhasimba4376
    @jokhasimba4376 Год назад

    wezang munao like.hamulioni hili.la.saut maneno mengin hayaellewrki

    • @BinMahsen
      @BinMahsen  Год назад

      Ni kweli na naomba radhi kwa changamoto hii tafadhal

  • @sechemakole1310
    @sechemakole1310 Год назад +1

    Sehemu ya 5 isichelew

  • @aishafrancis7714
    @aishafrancis7714 Год назад +1

    Shukran kwa kutujali❤❤❤❤❤❤

    • @BinMahsen
      @BinMahsen  Год назад

      Afuwan pia Pole na tusamehe kwa kukucheleweshea na ahsante kwa kutusuport

    • @MunaMuna-tn3go
      @MunaMuna-tn3go Год назад

      Jaman mbona kama tanga kwetu.

  • @julianamaganga4803
    @julianamaganga4803 Год назад +1

    Inafundisha mnooo

  • @ashurafundi2873
    @ashurafundi2873 Год назад +1

    Mwisho wa ubaya ni aibu

  • @HusnaSalum-p1q
    @HusnaSalum-p1q 28 дней назад +1

    Asa we mjamzito ukanywe dawa ya uchungu

  • @jamawa3094
    @jamawa3094 Год назад +1

    😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 bi mdogo uchawi tupu waaaaaaa

  • @mamakenajma3257
    @mamakenajma3257 Год назад +1

    😂😂bi mdogo utaisikia pepo😂😂

  • @Evelinweek
    @Evelinweek Год назад +1

    Duuh mtihani

  • @AzizaJuma-c7s
    @AzizaJuma-c7s Год назад +1

    Mashaallah ahsante sanaa lkn usiucheleweshe

    • @BinMahsen
      @BinMahsen  Год назад

      Shukran inshallah ntafany hivyo wapendwa

  • @RahmaRamadan-ui3ir
    @RahmaRamadan-ui3ir Год назад +2

    😂😂😂machungwa yanatoa mimba imeeenda iyo😮

    • @BinMahsen
      @BinMahsen  Год назад

      Jaman sio machungwa kumbuk dawa aliyopewa ya uchungu na mimba changa haviendani au husikiag majan ya chai yanatoa mimba

    • @mimahmimah1595
      @mimahmimah1595 Год назад

      ​@@BinMahsenLakin apa watasingizia machungwa alopewa na mke mkubwa😢

    • @BinMahsen
      @BinMahsen  Год назад

      @@mimahmimah1595 ndiyo kaweka uchawi eti

  • @kissamwamunyange1018
    @kissamwamunyange1018 Год назад +6

    Tabia mbaya sana wewe mwanamke😢😢😢😢 umemkuta mwenzio ana upendo wote😢😢😢😢. Leo hii fadhila zako ndizo hizo. Ulaaniwe kabisa wewe mwanamke

    • @ZulfahMuhammad
      @ZulfahMuhammad Год назад

      Achaa kumlani kamskia kaka yake ndio kaja kumuaribia ndowa yake

    • @BinMahsen
      @BinMahsen  Год назад

      Nakwel alaniwee

    • @jamawa3094
      @jamawa3094 Год назад +1

      Aki alaniweeeee sana tena haram

    • @BinMahsen
      @BinMahsen  Год назад

      @@jamawa3094 😂😂😂😂

    • @ArafaMussah
      @ArafaMussah Год назад

      ​@@ZulfahMuhammadbut ajiongeze

  • @MayarashidiMayarashidi
    @MayarashidiMayarashidi Год назад +2

    Kazi mnzuri mashaailah

  • @saumbliz8983
    @saumbliz8983 Год назад +1

    Mwanamke mshenzi bimdogo

  • @AminaMshirzy
    @AminaMshirzy Год назад +3

    Iyo midawa ya kaka ako ndo ilo kutoa mimba ndo uzur😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @MufaidaHassan-li4be
    @MufaidaHassan-li4be Год назад +1

    Kweli mfadhili mbuzi binadamu anamaudhi

    • @BinMahsen
      @BinMahsen  Год назад

      Haswaa mbuzi utamla mchuz

  • @WinifridacosmaskisingaItel
    @WinifridacosmaskisingaItel Год назад +2

    Hakuna mapenzi ya wakewenza hata siku moja.

  • @AidatAmadi
    @AidatAmadi Месяц назад +1

    Lkn hii si yenyewe make muke mdogo anamakucha Ii si yenyewe

    • @BinMahsen
      @BinMahsen  Месяц назад

      Ndipo alipoanzia kabla ya kubadilika

  • @leilajafar4342
    @leilajafar4342 Год назад +1

    Mung akulani sna ww mke mdgo

  • @Chelseamwanah
    @Chelseamwanah Год назад +4

    Bi mdogo amejaza kamasi kwa kichwa 😢akili alipeleka wapi jamani🤦🤦🤦niachieni mimi nimpe dawa uyo

  • @saumodzumbo9671
    @saumodzumbo9671 11 месяцев назад +1

    Mke mdogo unamdomo mrefu 😂😂😂😂

    • @BinMahsen
      @BinMahsen  11 месяцев назад

      Kama chuchunge

  • @SERAKAHINDI
    @SERAKAHINDI Год назад +2

    Bi mdogo una roho mbaya utalaaniwa

  • @makkamakka9171
    @makkamakka9171 Год назад +1

    Mnachelewesha bn Jana nimeshinda RUclips naitafuta sion😢😢😢

    • @BinMahsen
      @BinMahsen  Год назад

      Nismeh sana samahan haitojirudia

  • @boneshaissa5138
    @boneshaissa5138 Год назад

    Wanawake wa saivi dar

    • @BinMahsen
      @BinMahsen  Год назад

      Jaman mi simo naogop.Pigwa

  • @bishambajuma4533
    @bishambajuma4533 11 месяцев назад +1

    Mashaallah ❤😊

  • @azizamohamed1767
    @azizamohamed1767 Год назад +1

    Twasubiri muemdelezo

  • @AzizaJuma-fo5ps
    @AzizaJuma-fo5ps Год назад +1

    Tuleteeni sehemu ya tano

  • @MateruBahati
    @MateruBahati Год назад +1

    Wakwanza leo

    • @BinMahsen
      @BinMahsen  Год назад +1

      🎉🎉🎉🎉🎉🎉 Hayo yote yako

  • @AlsoAlso-mq3pu
    @AlsoAlso-mq3pu 5 месяцев назад +1

    Wewe bibi mdogo hauna,hakili umewawekea wenzio upupu

  • @zuhurazabiir3769
    @zuhurazabiir3769 3 месяца назад

    Mke mdogo kila siku ni hasidi na roho mbaya ya kichawi

  • @SaumuMwandiani
    @SaumuMwandiani Год назад +1

    M bona hamlet nyengine

  • @gracep1980
    @gracep1980 Год назад +1

    ❤❤❤

  • @Monayed-q4g
    @Monayed-q4g 11 месяцев назад +1

    Kaka mbya mchonganishi😏😏

    • @BinMahsen
      @BinMahsen  11 месяцев назад

      Hatari na nusu

  • @OmarKadidi
    @OmarKadidi Год назад +2

    Masikin mkea mkumbwa anaroh zuri

  • @zaytunsuleyman-pp3yl
    @zaytunsuleyman-pp3yl Год назад +1

    Hii ni true story wengi wanaogopa mathina kwasababu kama hizo yule anaekuja anajufanya mjuaji sana kulko wa mwanzo😢😢 mwambie bi mdg anaitafuta talaka kwa vishindo

  • @saumumbwana8995
    @saumumbwana8995 Год назад +1

    Jaman mbona hamtuletei muendelezo????

    • @BinMahsen
      @BinMahsen  Год назад +1

      Leo na muda si mrefu nauwek hadharani

  • @saumbliz8983
    @saumbliz8983 Год назад +1

    Jamani mwenzio kibonge kumkunisha matako ndio nini

    • @BinMahsen
      @BinMahsen  Год назад +1

      😂😂😂😂

    • @saumbliz8983
      @saumbliz8983 Год назад

      @@BinMahsen hana adabu mke mdogo ukimpa talaka nitachinja mbuzi ninywe supu😂😂😂kama mazuri vile

    • @BinMahsen
      @BinMahsen  Год назад

      @@saumbliz8983 kashanishinda tabia wa kunilaza huku nawashwa

  • @AbdulaziziRashidu
    @AbdulaziziRashidu 11 месяцев назад +1

    Kwan huyo kaka mtu mbona anataka tusiangalie hii movie huyo jamaa mnafiki sana km kaota manyonyo

    • @BinMahsen
      @BinMahsen  11 месяцев назад

      Mmafiki hana jinsia

  • @veronicasolange930
    @veronicasolange930 Год назад +1

    Next episode please