HOUSE GIRL EP 10 | S4 | LOVE STORY 💞💕

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 12 янв 2025

Комментарии • 649

  • @MwanamisiMunnah-x3v
    @MwanamisiMunnah-x3v 19 дней назад +114

    House girl ni thamthilia ambayo inamafunzo tofauti tofauti..kwakwel wana busat mumeweza Allah awajalizie palipo pungua ❤

  • @MRTASHA-c2k
    @MRTASHA-c2k 19 дней назад +397

    Mashabiki wa Mr tasha mpooooooo

  • @EDITHASABINIAN
    @EDITHASABINIAN 19 дней назад +174

    Lakin na ww zury jifunze kuchunguza Kwanz kabla ya hukumu umeniboa San kama hujapendezwa na hlo gonga like 🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤🎉🎉

    • @PatrshaSikola
      @PatrshaSikola 18 дней назад

      Hata mi zuryv kankela sanaaa

    • @aishahamis1609
      @aishahamis1609 18 дней назад

      Hata mimi hadi kamfanya kai alewe pombe na msikiti wapina wapi zu kamwita shetan

    • @elvinakalu6991
      @elvinakalu6991 18 дней назад

      Kabisa anakera sasa

    • @FinindyFiana
      @FinindyFiana 18 дней назад

      Zuu anapanic sana,mwanamke upaswi kua hivo

    • @joyce424
      @joyce424 18 дней назад

      Anatufunza sisi lkn mtu akiingia kwenye ndoa ni uwe unajiamini na kupambania kila hali itakayo kuja

  • @mwanamisichuma5280
    @mwanamisichuma5280 19 дней назад +58

    Bi bi Zuu nakupenda Toka Kenya team strong

  • @FatumaHussein-g4x
    @FatumaHussein-g4x 19 дней назад +211

    Tunao penda kubadilka kwa Sania gonga like

    • @SalmahLuvuno
      @SalmahLuvuno 19 дней назад +2

      Had raha

    • @KissahMgeyekwe
      @KissahMgeyekwe 19 дней назад +3

      Anitumie Namba Sania nitumie ya soda nimeipenda inshallah

    • @SalmahLuvuno
      @SalmahLuvuno 18 дней назад +1

      ​@@KissahMgeyekweAnastahili soda kwel

    • @Binty-z7g
      @Binty-z7g 18 дней назад +2

      Yani hongera yake mungu amzidixhie

    • @WardaBido
      @WardaBido 18 дней назад

      nimmpend san❤❤❤❤❤❤❤​@@Binty-z7g

  • @mohamedlopa8410
    @mohamedlopa8410 19 дней назад +81

    Ambao tuna mr tasha apone macho yake please gonga like tujuane hapa ❤🤩🤩😍🤩😍🤩🤩😍🤩😍🤩😍🤩💥💢💯💯💢💯💯💢💢💯💯

  • @Kimwana255
    @Kimwana255 19 дней назад +114

    Km mungu amekujalia siku ya Leo uko hai tujuane Kwa like alfu Leo ni sikuku acheni makasiriko

  • @AnsaB-j2m
    @AnsaB-j2m 19 дней назад +51

    Wa kwanza leo maua ya bibi zuu kusema ukweli 🎉🎉🎉🎉

  • @husseinasiadmmbaga2683
    @husseinasiadmmbaga2683 19 дней назад +37

    Jamani Kai hupendezi ukilewa ata kidogo wanaoungana na Mimi like bas

  • @PetronilaMtewa-g3h
    @PetronilaMtewa-g3h 12 дней назад +2

    Endeleaa zuu kulinga linga wenzako wanamtakaa 🥰🥰😂

  • @bihadibavu
    @bihadibavu 19 дней назад +17

    Wapi anaependa Bibi zuu🎉🎉❤❤like zake ❤❤🎉🎉

  • @HabibaZakeo
    @HabibaZakeo 18 дней назад +4

    Zuuu mama yangu fikiri kabla ya kutenda hiyo ni ndoa sio mahusiano sawa😂😂❤

  • @Lilian-k4s
    @Lilian-k4s 19 дней назад +5

    Ongela kwa kazi nzuri mubalikiwe sana

  • @MPeter-c2e
    @MPeter-c2e 18 дней назад +16

    Bna aki mnamuonea zuu bure na ni taarifa ambayo Kila mwanamke akiipokea lazima awe na hasira.Kusema kweli Leo nitalala vibaya iyo smu Kai amempa beshte yake inazingua bana😭😭

    • @RizikiZiki
      @RizikiZiki 18 дней назад

      Hawamuoneyi inama Zuu amemisahau Candy kama huwa anazuwa kwanini asituliye akayacunguza kwa kini kipindi anajuwa bibi yake nimutabili sangeyacunguza alebowa bana

  • @CarolyneMalala-o6x
    @CarolyneMalala-o6x 19 дней назад +9

    Hii EP iko sawa kabisa jamani tusiwe na mahamuzi ya tukiwa na hasira

  • @MusaMwafongo-sr7co
    @MusaMwafongo-sr7co 18 дней назад +7

    Zuu saiz nimeacha kumkubar anakulupuka sana, naomba like

  • @noahchepe8036
    @noahchepe8036 17 дней назад +1

    Kazim bey😂😂 wa bongo kawemo humu

  • @GalaxyA-ve8tu
    @GalaxyA-ve8tu 19 дней назад +6

    Kai kesi mpya kabisa yani pole sana

  • @SrnoelaMarwa
    @SrnoelaMarwa 19 дней назад +9

    Jamanii mtuonyeshe na zatiti na Tasha pia bila kumsahau chikooo

  • @UwamahoroFefe
    @UwamahoroFefe 19 дней назад +7

    Hongereni Wana house girl,kibendu mbona kama umerudi ulipo toka badilika,zuu unapenda kukurupuka sana Uwe unachunguza kwanza

  • @HadijaVinyu
    @HadijaVinyu 19 дней назад +18

    Kibendu Ameshajua mashem zake 😂😂😂😂😂😂

    • @UmayyaMunisi
      @UmayyaMunisi 18 дней назад

      Af bado analeta zesheni😂😂

  • @Annabellekerry
    @Annabellekerry 18 дней назад +11

    Shania bikira😂😂😂😂😂😂

    • @jamalsultan6868
      @jamalsultan6868 18 дней назад

      😂😂😂

    • @zilpaomary
      @zilpaomary 17 дней назад

      😂😂😂😂😂 hajatumika hata kidogoo😂😂😂😂

    • @ValentinaMaiga
      @ValentinaMaiga 14 дней назад +1

      Ha ha ha ha mangi anatak kulamba sukari 😅😊😊

  • @AliyahRayhani
    @AliyahRayhani 19 дней назад +7

    Nimefurah sania kubadilika❤❤❤ chukua 💐💐💐 Yako 💋

  • @SophiaIssa-n6t
    @SophiaIssa-n6t 18 дней назад +6

    Kwnn michepuko wanapenda kupokea cm isiyo muhusu nimeumia sana😢😢😢😢😢😢😢

  • @sharifanyumayo6314
    @sharifanyumayo6314 18 дней назад +3

    Wangapi humu tupo kama zuu kupenda kulaum jambo kabla hatujalifanyia uchunguz kisha yunajutia badae!🎉🎉🎉🎉❤😂

  • @bishakadhi9307
    @bishakadhi9307 19 дней назад +15

    Kibendu mkuki kwa nguruwe kwabinadamu mchungu 🤪🤪mkubali baba krish tu😂😂😂😂

  • @ChjksHave
    @ChjksHave 19 дней назад +5

    😂😂😂Wamemuweka huyu kaka mashallah sania aolewa sasa

  • @ireneevaristo5552
    @ireneevaristo5552 19 дней назад +16

    Zuu macho yamekutoka si ulishafundwa ww lkn unajizima data mxiuuuu

    • @سعدههوام
      @سعدههوام 19 дней назад

      Aliniuzi sanaaaa kukosa kumuelewa kai

    • @Frola-r9z
      @Frola-r9z 18 дней назад

      ​@@سعدههوامsio ww tu Mimi kanikera sana 😮😮

    • @Frola-r9z
      @Frola-r9z 18 дней назад

      ❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉

  • @HappyMswaga-ii5os
    @HappyMswaga-ii5os 12 дней назад

    Waooo nimeiona sauti ya kazim bey mzee wa maokoto sania mchumba huyoo🎉🎉🎉🎉

  • @UmaziMdzomba
    @UmaziMdzomba 18 дней назад +2

    Hongereni sna kwa kazi nzuri

  • @Mwanajumahassan-tg3zg
    @Mwanajumahassan-tg3zg 18 дней назад +3

    Kibendu acha hizo ww pia umeowa usimfanyie kai hivyo pia ww yatakukuta...zuu ukarimu na adabu vimeendapi loo kweli watu hubasilika angalia mdomo wako umefanya kai akalewe..bibi zuu hongera ❤.busattv hongera mafunzo tunajifunza vitu vingii humu ❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @BintAmbele
    @BintAmbele 19 дней назад +3

    TV ya bibi zuuu kiboko hahaha babu zuu ana chepuka kweli 😮😮 maisha yangekuw hvo mmmh

  • @aishalovesesibe
    @aishalovesesibe 18 дней назад +4

    Khai eti mutu anatoka uko anakuja kusuka uwongo😂😂😂👌🇸🇦🇧🇮👊🥰

  • @Najmahnyangasi
    @Najmahnyangasi 18 дней назад +7

    Watazamaji wenzangu niwatakie kila la hery mvuke salama salmini mwaka mpya inshallah busati tv kazi nzuri sana da zuuu fanya ukichunguza mambo dadaa nae ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @JosephineMomanyi-jp8tv
    @JosephineMomanyi-jp8tv 18 дней назад +11

    Zuu uko na makoza sana fuatilia kwanza unatukana kai mambo machafu ona sasa kai amekunywa kitu ajai kunywa. Happy Christmas busat TV

    • @florenceatambo2579
      @florenceatambo2579 18 дней назад

      😂😂😂 ata hivo alikua anatamani kunywa kidogo ya kufunga mwaka 🎉🎉🎉🎉

  • @AbibaChindigwa
    @AbibaChindigwa 18 дней назад +1

    Wahoooo kumbe aga bay yupo humu hongereni sana🎉🎉

  • @AbibaChindigwa
    @AbibaChindigwa 18 дней назад +2

    Hongereni sana ndugu zetu🎉🎉🎉🎉

  • @LuciaMashauri-b8z
    @LuciaMashauri-b8z 19 дней назад +3

    Uwiii 🤸🤸🤸🤸🤸 namba 1🙌🙌🙌

  • @mesamesa3698
    @mesamesa3698 18 дней назад +3

    Kai ushaaribu😢❤❤❤❤❤ jamani nawapenda bure

  • @Mariah-r1o
    @Mariah-r1o 19 дней назад +3

    Hili si kovu bonge la jeraha
    Maumivu nakosa Raha ❤️❤️❤️❤️❤️🇹🇿

  • @SubiraNyamoo
    @SubiraNyamoo 19 дней назад +6

    Nimewah leo🎉🎉🎉

  • @stevencosmas
    @stevencosmas 18 дней назад +1

    Haaaaaa daberina kumbe upo hongera sana

  • @ogotsilvester
    @ogotsilvester 18 дней назад +1

    Mashabiki mr Tasha tupoo hapa Kampala Uganda tunafwatilia house girl.kumbe babake Tasha tajiri Sana.

  • @UmmuBby
    @UmmuBby 19 дней назад +18

    Hhhhhhhh jmn wangapi tumemuona babake seyrani wa azam tv the golden boy 😅😅😅😅

    • @Aisha-h7s3s
      @Aisha-h7s3s 18 дней назад

      Na mm ndo najiuliza katoka uturuk mpaka Tanzania 😂😂😂

  • @Winny-i4m
    @Winny-i4m 18 дней назад +2

    mm sjapendezwa kabisa naomba Mr Tasha apone haraka ajekumsaidia kai

  • @hutahuta1170
    @hutahuta1170 18 дней назад +1

    Daa kai umezingua sana

  • @AishaSad-ck8zk
    @AishaSad-ck8zk 18 дней назад +2

    Waaaapi kazim agaaaaa😂😂😂❤🎉🎉🎉🎉

  • @RehemaBakari-q4d
    @RehemaBakari-q4d 18 дней назад +2

    daaaah kai umeyabanangaaa

  • @batuli-n8e
    @batuli-n8e 18 дней назад +2

    Zuu ywasndwa kuskliza mumeww kwakujfanya mjuaj ilhal mume,pia almpata juu juu 😂😂😂😂😂aya tujfunzen kuwa na subra

  • @CynthiaNizigiyimana-w9h
    @CynthiaNizigiyimana-w9h 19 дней назад +8

    Dakika nane nipo ❤❤ wenye wanafurahia haus girl kama mimi tujuane

  • @ggfwtgg1652
    @ggfwtgg1652 18 дней назад +6

    Huyu kibendu alibadilika kwa ajili ya ndoa iliisha anaanza kuleta zesheni tena 😅😅ila sania kama Malaika vile? 😅😅kai wangu pole sana komaa we mutoto wa kiume 😅😅😅

  • @NajmabintshushuNajma
    @NajmabintshushuNajma 19 дней назад +3

    Bwana Kai hafai kwenye ulevi

  • @aishaomar2287
    @aishaomar2287 18 дней назад +3

    Pole kai baba,ndoa sio sehemu ya mateso...mbn raha tu😂 ika zuu kutokumuelewa kai ulizingua

  • @tonykonki1437
    @tonykonki1437 18 дней назад +2

    Mimi ni shabiki wa bibizuu huyu bibi ananifurahisha sana na hii mizimu yake 🎉🎉

  • @CarolyneNyanchama-yk1gf
    @CarolyneNyanchama-yk1gf 18 дней назад +6

    Uzuri Bibi zuu ako❤❤ila huyu wa sukari robo duh😂😂😂af nani amepick call ya kai🤔

  • @SAKINAOmaryBakari
    @SAKINAOmaryBakari 19 дней назад +4

    🎉🎉napenda wanabusati.much love from 🇰🇪

  • @افااقع
    @افااقع 19 дней назад +1

    Busati mko sawa nawapenda bure tu❤❤❤❤❤

  • @Hellen-l9o
    @Hellen-l9o 18 дней назад +2

    Busati tv hongera sana katika hii seri..nimejifuza kitu hapa thanks So much ❤❤❤❤

  • @nasraAl-b1w
    @nasraAl-b1w 18 дней назад +2

    😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂sania eti kwetu nimekatazwa kuongea na wanaume😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @HalimaMchuma
    @HalimaMchuma 19 дней назад +2

    Zuu limemshuka shuuuj😂😂😂😂

  • @FatumaBahatihassan
    @FatumaBahatihassan 18 дней назад +1

    Kay pole sana kwaote

  • @MaryamMoosa-g5s
    @MaryamMoosa-g5s 18 дней назад +1

    Zu jifuze .kuchunquza. Syo .unakurupuka. Amejitahidi kukuerekeza hukutaka kumuerewa. sasa. Umeyabananqa😂😂😂😂😂

  • @khamiskhamis1205
    @khamiskhamis1205 19 дней назад +5

    ❤❤❤ Samia unapendeza hadi mwisho ❤❤❤ mashallah

  • @HadijaSelemani-f8i
    @HadijaSelemani-f8i 18 дней назад +1

    Kibendu umeyumb mbon nilikuamin unayumb wap ebu fany ki2 wew mwamb bean💪💪

  • @ElizabethBanda-p4i
    @ElizabethBanda-p4i 17 дней назад

    Nawapenda wote woteeh busati kila mtu kacheza vzr

  • @Lornagari
    @Lornagari 18 дней назад +1

    ❤❤❤❤ I love busati mnafanya vzuri

  • @everlinekenga437
    @everlinekenga437 18 дней назад +2

    Zuuuu uliyatimba mwenyewe 😂😂😂😂😂

  • @mwanakombopopo5117
    @mwanakombopopo5117 19 дней назад +4

    Zuu hana subra kwenye ndoa yke wivu umepitiliza

  • @Honestcaro
    @Honestcaro 18 дней назад +2

    I really love your movies,, it's very interesting,, some of us we learn something there,,, wau I really like your movies keep going. Watching from kenya

    • @busatitv
      @busatitv  17 дней назад +1

      Thanks for watching from Kenya. 🙏

    • @Honestcaro
      @Honestcaro 17 дней назад +1

      @busatitv welcome

  • @WaridaZakaliyya
    @WaridaZakaliyya 8 дней назад

    Zuuuu kazingua hatari hata sijapenda

  • @OfficialAggy-p1k
    @OfficialAggy-p1k 19 дней назад +1

    Waooh nimewah leo

  • @GodfreySabona
    @GodfreySabona 4 часа назад

    Sania badilika kwel mamaaaa love you

  • @ROSEKIVUYO
    @ROSEKIVUYO 19 дней назад +4

    Nimewahi mpaka basi

  • @WistoniSiliveri
    @WistoniSiliveri 18 дней назад +2

    😂😂😂😂😂nimefurah sana jichanganye ety sania hajatumika

    • @ElizabethChibada
      @ElizabethChibada 16 дней назад

      Kama sania bado hajatumika na mimba iliingiaje

  • @IbrahmOmary
    @IbrahmOmary 16 дней назад

    😅😅😅Mzome wamzomee😂😂karibu sanaa

  • @AzizaVenansi
    @AzizaVenansi 18 дней назад +1

    Tunao som comment hii mungu atubariki sana na tumuombe atuvushe mwaka 2025🎉🎉🎉

  • @gracenyevu8082
    @gracenyevu8082 19 дней назад +2

    Much love from kenya 🇰🇪🇰🇪

  • @nusrathmanyawa4501
    @nusrathmanyawa4501 18 дней назад +1

    Endelea kuringaringa wenzako wananitakaaa😅😅😅chezea bibi Zury weeee

  • @HanifaHabibo
    @HanifaHabibo 12 дней назад

    Hii movie inazidi kuwa tamu na mngeiita hatima ya ndoa ingependeza zaidi kila Pande kumechangamka

  • @MwanamisiMrisa
    @MwanamisiMrisa 18 дней назад +1

    Waaaaah Kai Kai kaiiiiii ameyabanangaaaaa jameni

  • @Mwanamisi-q2v
    @Mwanamisi-q2v 19 дней назад +1

    Huyu jamaa ywanikausha 😂😂😂 Ana maneno kweli

  • @aishalovesesibe
    @aishalovesesibe 18 дней назад +3

    Kaka wa Candy ananivunja mbavu eti anamuona mwana kumbe mwanaume😂😂😂😂😘🥰👌💯🇸🇦🇧🇮👊

  • @حسنا-ض3ز
    @حسنا-ض3ز 18 дней назад +3

    Much love from Kenya 😮😮😮😢😮

  • @LovenessMinde
    @LovenessMinde 19 дней назад +3

    De first one...🎉

  • @elvinakalu6991
    @elvinakalu6991 18 дней назад +1

    Utatia akili zuu,mwaka huu😂😂

  • @Binty-z7g
    @Binty-z7g 18 дней назад +5

    Maaangiiiiiiiii nnaomba sukari rooboooo😂😂😂😂😂sania kpta mchmba jman mmeiona hio

  • @FarhatMohd-lc2vr
    @FarhatMohd-lc2vr 18 дней назад +1

    Nimemiss 😢dada zuli nampenda sana ❤

  • @زينه-ل4ح
    @زينه-ل4ح 18 дней назад +1

    😂😂mambo mot sas dad zuuu unaon sas umefanin sas

  • @JoyceMbaixi
    @JoyceMbaixi 19 дней назад +1

    Kai ongea yote iyo kitu ikutoke😂😂😂

  • @MonicaFilbert
    @MonicaFilbert 19 дней назад +9

    Sahivi house girl imekuwa ya moto na madevu juu😂😂

    • @MwanaidiSalehe
      @MwanaidiSalehe 19 дней назад

      😂😂😂

    • @MwanamkasiBakari-pb2gw
      @MwanamkasiBakari-pb2gw 18 дней назад

      ​@@MwanaidiSalehemi nina kwetu 😂 wamenikataza kuongea na wanaume 😜we huogopi😅😅🙌

    • @MwanaidiSalehe
      @MwanaidiSalehe 18 дней назад

      @MwanamkasiBakari-pb2gw mpk sasa naogop 😂😂😂

  • @RehemaMwakisyala-k9u
    @RehemaMwakisyala-k9u 19 дней назад +1

    Moja namba leo

  • @FelistusAdhiambo-o3p
    @FelistusAdhiambo-o3p 17 дней назад

    Hahaha Sania ati alikatazwa kuongea na wanaume na Leo hii ako na kwao mashallah

  • @HadirialssaShund
    @HadirialssaShund 18 дней назад +1

    Kazim aga jamani wewe 😂😂😂

  • @SalmaIssa-l2f
    @SalmaIssa-l2f 18 дней назад +1

    🤣🤣 ila hii muvi ni nzuri hatar memleta aloekti saut ya baba ake serani 😂 metisha sana Yan inazidi kuwa nzuri.

  • @ShamimShamy
    @ShamimShamy 18 дней назад +1

    Kibedu Naona had Sasa umeelewa MTT wa kendy Baba ya Ni naniii ACH kumzingizia Kay hebu mwacheni. Na family yake🎉🎉

  • @RehemaJuma-o3r
    @RehemaJuma-o3r 19 дней назад +10

    Tumeingiliwa JMn khaaaa kazim yuko live 😂😂😂😂

  • @HabibaZakeo
    @HabibaZakeo 19 дней назад +1

    Bibi zuu bhasampongo wako wako vizuri wamemsaidia ndoa ya Zuu😂😂

  • @MARYNAGUJustin
    @MARYNAGUJustin 18 дней назад +3

    Bi zuu maua Yako good teacher

  • @ChristinaKihwele
    @ChristinaKihwele 19 дней назад

    Ahsante Bibi Zuu shokamoo

  • @AriellaBUTOYI
    @AriellaBUTOYI 18 дней назад +10

    Kai umechagua maamuzi mabaya kabisa 😮😮 nawapenda sana Jaman