KIPELE ; FULL MOVIE
HTML-код
- Опубликовано: 28 дек 2023
- #clamvevo #comedy #filamu #akabenezer #africawedeytv #snakeboy #africawedeytv #mwakatobe #afrakoma #filamu #amaghanatv #comedy #kicheche #kichechecomedy #joti #xxl #behindthescenes #wachawi #mlevi #mwizi #malaya #sengomk #directorkakoso #kiparavevo #mrmwanya #diamondplatnumz #harmonize #mariootz #zuchu #utanioa #nampenda #rayvanny #simbasc #yanga #azamtv #sinemazetu #mapenzi #dvoice #nyimbompya
Latest Nigerian Movie This WeeK
Laughter Nation Comedy Club
South Africa New Comedy
Barry Katz Entertainment
Kenyan Comedy Videos
Ujinga za Victor Naman
Comedy Tanzania 2023
Ghanaian Comedians
aKabenezer Comedy
Kenyan Comedians
Nollywood Movies
Pixar Short Films
Zizinga Comedy
African Comedy
Comedy Video
Ghana PranKs
VicheKesho
Short Movie
f
NEW MOVIE AFRICA WORLD WIDE
#AMAGHANATV
#CRIMINALGHOST
#GhanaMovies
#NewEntertainerMovies #CelebritiesParties
#GhanaEntertainment #LatestGhanaMovies
#GhanaMovies2018 #BestGhanaMovies ##AFRICAWEDEYTV# #AKABENEZERCOMEDY
#LIKEEVIDEOS
#TRENDING#
#APPLE#
#LIVE#
#RECENTLYUPLOADED# #CARDPLAYGAMES#
FAUZY#
#AFRAKOMA#
#BUSTY#
#newkumasitv #,
#AKABENEZER#
#KYEKYEKU#,#39/40#comedy
Yani mbwela nakupenda sana umpole, unabusara,unaelimisha na move zako hazina uchawi kama wengine hongera sana
Ahsant nashukur sana
😅😅😅😅😅 unatusema ,uchawi siku hizi ndio unaonekana deal
Dah! mwanasheria haelewi lugha kwa wivu wake jaman.jengin movie ipo saw mashaallah ila km ap ni mwish imeishia pabay ila km inaendelea msikawiye kuitowa
Mbwela big kaka acha Leo nikuite hiv BIG KAKA bonge la muvis jengine😂😂😂😂😂
Kazi nzuri na kupenda sana❤❤❤
Kaka mbwela napenda movies zako ,lakin jaribu kubadilisha wimbo
❤❤❤❤❤kaz nzur xan kaka 🎉🎉🎉🎉🎉 Masha'Allah
Kaka bwela anafata nyayo za madebe km unakubaliana n mm eka like apa big up broo
😁😁😁
Mimi napenda zake hazina uchawi
Kaz nzur n zeny mafunzo❤❤❤
@@mbwelamedia3469hiyo nyimbo kwenye background inaitwaje
kaka mbwela hupo vizuri sana katika filamu zako zote nakupata kutoka bahrain.
Nashukur sana ubarkiwe ndg yng
Mbwela umeweza salute 😊
Mbwela umefanya nifatilie mov zako nakukubali sana
Kaka mbwela yan unajua kuigia ww aki mungu akubariki sana ❤❤❤
Kaz nzuri mbwela
Nashukur
Big kka maaruf kam Mbwela ayiwaa mi hua nakupndag from Burund ila kwass mouvie xako haxichemk mno kk mbwela😮😢ka vil xinazorot zorot jap unafaa vzr kwel.
Mbwela basi jibu coment yangu nakupenda sana
Bwela hii kazi safi
Ahsant
😆😆😆😆et amelal na umbwa mwenzak😅ten umbw koko😂😂analal anafanyej😅😅
Mbwela,Wanawake katika hii filamu wote ni wanasura za kuvutia kwa kwelii...Ningemtaka Shogake dada ya Mariamu...Huwanga mpole😊❤️❤️
Big up Mbwela .....the ending was full of suspense .But mob love bro
Endelea kutufunza na kuwafunza upo juuu Mbwela
Nawakubali sana
Ahsant
Waaah hii ni Kali kuliko nakukubali kaka mbwela ❤❤❤😂😂😂🎉🎉🎉😊😊
Big up mbwela
Nakubal
Big kaka mwenyewe
Yap yap
Keep it up bro❤❤❤ from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Thank you
Big kaka tuna kuita mchana kaka usiku tuna kutaka nakupenda bure 😅😅😅 good job ❤❤❤
😁 ahsant sana nashukur
Safi sana brw 🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿 Moçambique
Ila big kaka unamuvis za hisia Sanaa nakupenda sanaaa mbwela
Big.up.big.kaka.mbwela😊😊😊😊🎉🎉🎉❤❤❤❤
Thank you
Big kaka much love from kenya ❤❤❤❤
Much love blo ❤❤❤
❤️❤️❤️❤️
❤❤❤ vizuli sana my brother
Nakubali
Radio na speaker zinapair😂😂😂 asante sana dada chukua 🎉🎉🎉
Kazi nzuri kaka mbwela😘😘much love from 254
Mbwela huyo mariamu ni classmate jamn nammis Amina❤️❤️
Nimelala na mmbwa mwenzangu, tena mbwa mwenyewe koko ucku kucha apiga kelele 😂😂😂😂😂😂shkamoo mbwela 🤣🤣🤣🤣
😁😁😁 marhabaaa
Mbwela hataki mucezo kwa kutuelimisha yani hakuna kucelewesha yani🎉🎉❤❤❤
Ushasema❤❤❤
🙏🙏🙏🙏
Nakupenda movies yako mbwela ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Ahsant sana ❤️❤️❤️❤️
❤❤❤💞💞💞💪💪🔥🔥🔥good job
Kenya pia tunamtazama big up mbwela
Kaka mbwela nakukumbali sana kakagu ❤❤🎉
Nashukur Sana
Congratulations 🎊
Thank you
Big kaka hii imeweza sana, kulingana ilivyo iisha part 2 inaweza toka, much love from Busia 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Sawa Haina shida
Mbwela ❤
🙏❤️❤️
Nayapenda
🙏🙏
Hapo kwa uchawi kaka bwela usiruhusu ufanyika katika muvei zako plz plz plz
❤❤❤
Wow,kipele imenimbamba sana,hongera kka mbwela mashaallah mda mzuri movie pambe mafunzo kw wingi iendeleze bc au sio 🙏🙏🙏😂😂nko chini y miguu yko mbele muendelezo poa bro plz 🙏 🙏 plz❤❤❤.
😁😁😁🙏🙏❤️❤️
Mbwela hongera sana nafatilia move zako yani nizamotooooo🔥🔥🔥
Ahsant sana 🙏🙏
Timu Mbwela mpo wapiiii
From 🇮🇳 nice
Thank
Mbwela ilove you❤❤❤
Thank you love you to
Pole sana kaka mbwela naunaniliza kwa maneno unamuwachia dada yako 😢😢❤🇧🇮
🙏🙏❤️❤️
Sehemu ya pili Ije. Tujue Mbwela kaenda wapi, Mariamu na mimba yake vipi... Na hatima ya kesi. Kazi nzuri na hongera.
Tamu anasumbuliwa na wivu tuuu😂😂😂
😁😁😁😁😁
MBWELA WE NI MKUBWA SANA,, YAANI TALENTED SANA,,,, MBWELA WE NI ZAIDI YAANI
Nashukur sana
Dah 🙄 hivi vinyimbo vyako mbwela 😢😢
Mbwela we mkali kweli
Nakubal
🎉congratulations
Thank you
Mbwela upo siliaz sana now na unamasihala meng nmeipenda 24:54 25:00
❤❤❤❤❤ lakini imeisha kweli?
Nice filam.
Mbwelaa ww na clam na dokoo daaaa nawaelewagaaaa mnoooooo ukweliiii
Nashukur sana
Bwela Lovu You From Qatar❤❤❤❤❤
❤️❤️❤️❤️❤️❤️
Mmejitaidi Sana Na pia hongeta❤
Ahsant sana
Nakubali sana blaza
Respect kk
Big up 🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤
Thank you
Mbwela wangu ebu jibu coment yangu nakupenda
Naipenda ❤❤❤ from Canada 🇨🇦
Ahsant
My aunty ❤❤❤😂😂😂
🤔🤔🤔🤔
Fine actor mbwela
Thank you
Hongera sana kazi nzur ❤
Ahsant
Mtendaji anahasira za kuchukuliwa bwanake 😂Anataka amfunge kaka.mbwela alipize kisasi
Weee acha tu
❤
Kazi Kali kaka
Nakubal
❤❤much love from kenya 🎉
❤️❤️❤️
Nakupenda ❤
Ahsant nakupenda pia
Yaani kakangu ndio umefanya kweli
😁😁😁😁🙏
Kaka mbwela nami napenda kuigiza unanisaidiaje.
Sawa Haina shida karibu sana
Love you ❤❤❤❤
Love you to ❤️❤️❤️
Nice
Thank you
❤❤❤❤❤
❤️❤️❤️
❤❤❤❤❤❤
❤️❤️❤️
Mko vizuri
Nashukur
Kweli hiki ni kipele 😂😂😂😂
😁😁
Mbona imeisha kama yaendeleya vp
Season Two subir
Jamani msaada haka kawimbo nakapenda sana sana
Ni upi ? Huo km Ni UPWEKE Andika upwek
ruclips.net/video/DJOr-3Q5O68/видео.htmlsi=RhUBd3yrBkR_nh5T
Nimekutumia link
@@mbwelamedia3469 bondia wa mapenzi
Iyo ya pili mbwela tutumie
Mbwera nitumiye huyo mwimbo sijapata mboni yangu
Nitakutumia Link
😢😢😢😢😢😢😢😢😢
🤔🤔🤔
Sasa nasemaje huu ujinga wakusingizia kesi watu wasiokuwa na hatia wishie umu umu kwenye mwaka wa 2023 kwenye 2024 hatutaki ujinga kama huu nazani tumehelewana
😁😁😁😁🙏🙏
❤❤
❤️❤️
Mbn imeandikwa mwisho ndo imeisha
Kuna Kaz nyengine inakuja
Kk pamoja imetisha
Nàkubal sana
❤❤❤❤🎉🎉
❤️❤️❤️
Kweli kipele
😁😁
❤❤❤❤
❤️❤️❤️
Nime lala na mmbwa mwenzangu usiku mzima ana piga kelele 😁😁😁
😁😁😁😁
Huyo mwanafunz sura imekomaa hivyo duu
😁😁😁
❤❤❤ vizuli sana my brother
Ahsant
❤❤❤❤❤
❤️
❤❤❤❤🎉🎉🎉
❤️❤️❤️❤️❤️
❤❤❤❤
❤️❤️❤️
❤❤❤ vizuli sana my brother
Nakubali