Najiunganisha na ibada hii mimi Rosemary Sebastian ee yesu usinipite naomba unifungulie vifungo nilivyofungwa na uniondolee jini mahaba linalonitesa na kila uovu ulipangwa juu yng Amen
Najiungamanisha na ibada hii ya leo mungu wa kuhani musa Richard mwacha nifungue namimi kwenye kila mitego ya adui zangu kwa jina la yesu kristo wa Nazareth alie hai
Nakiungamanisha na ibada hii, Kwa jina la YESU, Naomba kila nilichotegewa Kwa siri kikafyatuke Leo Kwa jina la YESU Mungu MKUU, kila laana, roho za mizimu, roho ya kukataliwa, vifyatuke Kwa jina YESU, Mm nipo Oman.
Najiunganisha na ibada hii mimi Rosemary Sebastian ee yesu usinipite naomba unifungulie vifungo nilivyofungwa na uniondolee jini mahaba linalonitesa na kila uovu ulipangwa juu yng Amen
Najiungamanisha naibada Mimi Veronica jacobo kamotokela naomba yesu anifungue na vifungo vya kichawi anipekibari kwenye kazi yangu Aminaaaa
Najiambatanisha na ibada Kwa kupasua like joka nyumbani kwangu na vyura wote wa kichawi amina
YESU anirudishie mamlaka yangu katika JINA LA YESU
Amina baba najiunganisha ibada huu, nisaidie yesu mungu wa kuhani Mussa afufue mama yangu
Asante.BABA.kwa.maombi.unayo.tuombea.mungu.akubariki.san
Najiungamanisha na ibada hii ya leo mungu wa kuhani musa Richard mwacha nifungue namimi kwenye kila mitego ya adui zangu kwa jina la yesu kristo wa Nazareth alie hai
Naomba mahombi yako, kuani mussa, mungu aniletee wateja kwenyee duka langu, wananipotea.naitaji mahombi yako na ninajiunganisha na mahbabau ya kuani.
Najiungamanisha ya yesu mama apone maradhi yanayo msumbua kwenye mwili wake marango ya za Giza yte yamtoke katika jina la yesu
Amen mtumishi wa mungu Niko oman napataje? Namba ya mtumishi
Ninajiunganisha na mahombi, kila mdudu wa kinchavi nyumbani muamgu na duka langu, ateketeee kwa jina la yesu.
Najiunganisha na ibada mungu anifungue kila kifungo cha kutokufanikiwa kwa jina yesu 13:14
Amiiina
Yunatowa
Uchawi
Wote inaniyingiliya
Amiiiiina
Barikiwa sana baba angu .Amen
Amina sitaishia hapa hapa ,mimi naenda mbalim
Najiungamanisha na ibada ya kimara temboni yesu naomba unifungue na roho za mizimu na majini mahaba mimi vivian toka arusha yesu naomba unisaidie
Amen remember me 😊
Ameeeeen Baba
Mimi nimerogwa
Na
Aicha
Nambuga njoo akapereka
Nyota yangu
Amina
Baba
Ameen nabarikiwa sana na maombi
Amina.baba.kuha.ni.mssa.ubalikiwe.sana.baba.
Nakiungamanisha na ibada hii, Kwa jina la YESU, Naomba kila nilichotegewa Kwa siri kikafyatuke Leo Kwa jina la YESU Mungu MKUU, kila laana, roho za mizimu, roho ya kukataliwa, vifyatuke Kwa jina YESU, Mm nipo Oman.
Napasua kwa damu ya YESU
Naomb kuhan niombe milago yangu ya biaxha ifunguke ameeeen
Eh Bwana Yesu najiungamanisha ya ibada ya leo
unisaidiye mimi na familia yangu Ameeeeen
Yesu nisaidie shusha moto kwenye Kambi zote za maadui
Yesu ninaomba teketeza Kwa moto wa roho mtakatifu bomoa bomoa vikao vyao
Najiungamanisha na ibada ya Leo nikafunguliwe kwa Dani ya yesu kristo
Napokea kwa jina la YESU KRISTO wa nazaret aliye hai
Ameeeen❤
Yesu wa ngomeni nisaidie kunirejeshea kibari changu
Amen 🙏
Ameeeeen
Sitazama nishike mukono baba nawatoto wangu tusizame
najiungamanisha na madhababu ya yesu kristo
Najiungamanisha na Ngome ya YESU KRISTO
Amiiina Amiiina Amiiina
Ameeeeeeeeen my daddy
Masas nawpata nabarikiwa Sana mtumishi
Amina
💯💯💯💯💯💯💪
Yessu kafumgue mausha yangu 🙏
❤❤❤❤❤
Nahitaji maombi yako kuhani mm Aneth kazimili kwa jina la YESU MUNGU anifanikishe Katika mambo yangu ya uchumi na mafanikio Mengi na niwe juu sana
Yesu niokoe
Amee3eeeeeeeeeeeena
NAjiunganisha.namaombi.ya.usikuwaleo..yesu.naomba.asinipte.na.leoachia
Amen
Naomba namba zenu hapo ngomeni
Ooooh Hallelujah,,thank you Jesus😭😭😭🙌🙌🙇🙇🙇🙇🙇🙏🙏
Nappkea miji.yakimataifa
Najiungamanisha na ibada ya Leo mungu wa Kuan Musa nifungue. Nipone kichom kwenye titi
Hakika sitazama Nohodha wangu Yesu ng'ambo nitafika salama
Ameeeeen
Asante YESU
Najiunganisha na mao me bi ya kufyatua.
Kupitia maombi ya Leo naomba na Mimi niwe hai tena Kwa damu ya YESU naomba MUNGU unisaidie
Najiunganisha na madhabau ya ngomeni na kuyafyatua maroho yotw yanayozuia hatima yangu
Napokea miji yakimataifa
Apigwe vipande vipande
Napok eaiji kumi
Samahani nipo Omani naomba msaada wa namba simu ya kuhan Kwa msaada zaidi wa maombi, maana nipo mbali Kwa Sasa.
Pasuwa.mamkazote.
💪💪💪💪💪💪
Nahitengua katika jina la yesu christo
Najiungamanisha na mazabahu hii naomba mungu awashuhulikie mahadui zngu wte na pia anitetee kwenye kesi yngu na anipe mume sahihi katika Jina la yesu
💪💪💪💪💪💪