AISE BRO NIMESHANGA wakati nangaliya iyi video kwa sababu nishakutafuta mtandaoni bro sikupati yani nashukuru sana kwa sababu nikupata we ni ndoto yangu bro napatikana congo nashukuru kwa iyi kazi ila bado siamini kama ni wewe.
Ayolizer eres uno de los mejores ingeniero de sonido que yo confío en África👏👏👏👏 tú forma de trabajar me convence, te admiro bastante. Me gustaría tocar las voces como tu y másterizar como tú.soy papi ray desde Guinea Ecuatorial
Kaka mm ni mmoja kati ya watu ambao nakukubali sanaaaaaa, natamani siku moja hata nikuone live kaka, mm ni young producer, hii session imenisaidia sana...plz kaka kam ingewezekan tuandalie darasa la mixing...kaka hii imenisaidia sana....shukran god bless u bro
Kaz kaz Nzur . Naomba Kuuliza. Pls utakuwa umetusaidia maproducer Wa Underground. Kat ya Vocal na Beat ni kipi kinafaa kusikika saaan kuliko kingne . Bro pls nsaidie sabab wewe ni mtu tunaangalia sai!
Shukran sana kaka, leo ndo nime gundua kama huwa una channel ya kupost vitu kama ivi , tunazidi kunufaika na tutaendelea kujifunza vingi zaidi pale ukianza kusema ili tuelewe unafanya nini haswa , all in all thank you so much 😊
@Ayo Lizer how did you used the Auto tune maana sikuiona Kwa mixer channel yako....au ilikuwa Kwa bus ama ulirecorrect auto tune ikiwa on....sijaielewa baba🎉LOVE FROM SOUTH SUDAN 🇸🇸🇸🇸🇸🇸
Hii itawafanya maproducer chipukizi waanze kujifunza studio one kutoka kwenye fl studio and cubase 5 .kujifunza Daws zote ni muhimu sana kwa ku compite na mabadiliko ya tech
Wawachu, ningependa kujua wakati wa kutengeza beat kwenye fl studio kabla huja amishia kwenye studio one unavo fanya mixing make huku kwa studio one humix sana na beat inakua imetulia naomba kuona mwanza wa beat unako azia kufanyia ni hatua gan unapitia mpaka unaileta huku kwenye studio one kaka nakuomba nifashe bro
Situmii Fl Beat natengenezea humo humo kwenye studio one,huwa sipendi kutumia plugin nyingi kwenye kumix beat sana ,nachozingatia tu ni namna ya kubalance instruments zisiwe na kelele kwenye masikio.
@@ayolizer how did you used the Auto tune maana sikuiona Kwa mixer channel yako....au ilikuwa Kwa bus ama ulirecorrect auto tune ikiwa on....sijaielewa baba🎉LOVE FROM SOUTH SUDAN 🇸🇸🇸🇸🇸🇸
mi nadhani kufanya kitu kizuri kinaitaji creatvt nasio kubadilisha kitu ndo kikupe majibu ..relax umiza kicha watu wataona how fantastic u are brooo...kuna watu hadi leo wanatengeneza beats by using stock plugbs za fl na niwanyama😂
AISE BRO NIMESHANGA wakati nangaliya iyi video kwa sababu nishakutafuta mtandaoni bro sikupati yani nashukuru sana kwa sababu nikupata we ni ndoto yangu bro napatikana congo nashukuru kwa iyi kazi ila bado siamini kama ni wewe.
Kali Sana
Ayolizer kwenye ubora wake. 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Next review tuonyeshe kwa cubase
aise nijibu ata kwa emoji nitafurai sana
Wow my biggest producer in the world ❤❤💖💖
Sijawahi furahia sessions za producers kama nilivyofurahia hii
Thanks Lizer
Acha nitangulize kwa kusema Mungu akubariki. Nilikuwa naomba ije siku uwe unaposti mavitu kama haya . Nimefurahi kuona hii video
NIMEONA YATAPITA KWENYE CHANNEL YAKO UMEJARIBU @AYO LIZER AKUPE MAONI NA YEYE
@@bssblacksunshine798❤❤ Thanks bro ... Ila nilipoangalia hii video nilijiona bigina Mara 10 tena
Nc
Ayolizer is a greatest producer in the world
Kaka iko poa Sana kazi zako nazielewa Sana
Ayolizer eres uno de los mejores ingeniero de sonido que yo confío en África👏👏👏👏 tú forma de trabajar me convence, te admiro bastante. Me gustaría tocar las voces como tu y másterizar como tú.soy papi ray desde Guinea Ecuatorial
Bro tufanye kwa FL one love from kenya
Kaka mm ni mmoja kati ya watu ambao nakukubali sanaaaaaa, natamani siku moja hata nikuone live kaka, mm ni young producer, hii session imenisaidia sana...plz kaka kam ingewezekan tuandalie darasa la mixing...kaka hii imenisaidia sana....shukran god bless u bro
Brazer tunaomba uanze kutufundisha mixing 🙏🙏
Faye big boos please in FL studio please boos💯💯💯💯💥
#Gogumaga!! Asante sana bro
🙏🏿🙏🏿🙏🏿 thanks bro 🙌🏿🙌🏿🙌🏿🙌🏿🙌🏿
Iizer unakitu utafika mbali
kiboko yaoo mwamba wa tz
Hongera kwa kazi nzuri ayo lizer
Tz oyee omuhila oye wewe ndio god fathe wa tz and kigoma
Tuko sambamba na wewe big up the best professional producer in EA
Bro your the best bro thanks for the love sharing your ideas to us blessings come your way bro. Get us a mixing and mastering template plzz bro
Umetumia studio one ipi
I learned alot broh 🔥🔥🔥
Bro tufanyiage ivi asee nimeipenda hii
Mbona vocal bass umeeka predelay 52
Nimependa hii
Kaz kaz Nzur . Naomba Kuuliza. Pls utakuwa umetusaidia maproducer Wa Underground.
Kat ya Vocal na Beat ni kipi kinafaa kusikika saaan kuliko kingne . Bro pls nsaidie sabab wewe ni mtu tunaangalia sai!
Umetishaa
Kazi kubwa sana nimependa sana sana
umetupa darasa kubwa mungu akubariki
Nice my mentor
fiti zana Effect chain zipo?
Thank you @LizerClassic💥
You a genius damn😭🔥🔥
Shukran sana kaka, leo ndo nime gundua kama huwa una channel ya kupost vitu kama ivi , tunazidi kunufaika na tutaendelea kujifunza vingi zaidi pale ukianza kusema ili tuelewe unafanya nini haswa , all in all thank you so much 😊
Broo naomba utufunze kiundani zaidi sisi maproducer wadogo jinsi ya kumix na kumaster maana ndio kinachotutesa sana
Lizer your #1 fan from Kenya. I really like you ear my g. A fantastic mix and mastering engineer. Please help us get the high quality sounds u use
thanks laizer clasic
laizer ni producer asie mchoyo kabisa wengine ni vigumu sana kufanya hiv ....umetusaidia wengi brother more blessings on you bro
Lizer Aishi miaka mingi
Sultan Bellaire Karameji is coming soooon😂... prepare my G
THANKS MUKUBWA
Kaka me Ni romodo wako katika producer nakpendaa Sanaa ka lizer natamani one day nifanye kazii na wewe
🔥🔥
mzee kwenye mixing unampizani
Brow nashukuru sana kazi
Merci pour cette connaissance vraiment nakufata tokeya DR congo❤ mungu akubariki sana
MOI EGALEMENT JE SUIS RAVIE DE TOMBER SUR CETTE VIDEO
Master🙌
Love you from Acra Ghana I love your work bro
Wee ndo asante kaka umetusaidia young producers sana nashukuru
Salute brooo
much loved my brother
Need to do one song with you lizar
Thanks bro🎉
@Ayo Lizer how did you used the Auto tune maana sikuiona Kwa mixer channel yako....au ilikuwa Kwa bus ama ulirecorrect auto tune ikiwa on....sijaielewa baba🎉LOVE FROM SOUTH SUDAN 🇸🇸🇸🇸🇸🇸
*I love this video*
i love you job bro be blessed
AYO LIZER 🔥🔥🔥
thanx, can you do a tutorial from start to finish using sample packs
Hii itawafanya maproducer chipukizi waanze kujifunza studio one kutoka kwenye fl studio and cubase 5 .kujifunza Daws zote ni muhimu sana kwa ku compite na mabadiliko ya tech
Shida sio Daw shida nikujua Daw zote Zina perform vizuri kikubwa uwelewa ndugu
❤❤❤❤❤
Haha😅 i swe Uganda kick😅
Tishaaaaa
Ivi unaeza kuchora kinanda kwenye studio one kama vile kwenye fl studio au mbaka uwe na keyboard kabisa ndo unaeza tumia studio one
Unaweza
💎💎
Producer wote you have to learn more kwa huyu jamaa, nmkal sn
Wawachu, ningependa kujua wakati wa kutengeza beat kwenye fl studio kabla huja amishia kwenye studio one unavo fanya mixing make huku kwa studio one humix sana na beat inakua imetulia naomba kuona mwanza wa beat unako azia kufanyia ni hatua gan unapitia mpaka unaileta huku kwenye studio one kaka nakuomba nifashe bro
Situmii Fl
Beat natengenezea humo humo kwenye studio one,huwa sipendi kutumia plugin nyingi kwenye kumix beat sana ,nachozingatia tu ni namna ya kubalance instruments zisiwe na kelele kwenye masikio.
Sas nami ningependa nijue kitu namna ya Ku side chain kwenye cubes 5 mana huko studio one naona kma kuna utofauti kidgo please naomba bro erekezi
@@ayolizer ulakoze
Studio one ngap hii
Studio one 6
Kuna studio one inayo kubali kwenye computer ambayo sio Mac
@@chabaweleloinakubali
Naona kwenye master bus kuna plugins. Samahani waweza kunisaidia ni plugin gan umetuma na art behind using hizo plugin?
Izotope 10
Ssl compressor
S1 imager
L2
@@ayolizer thanks
kati ya stock plugins za studio one na fl studio ni zipi kwako ni comprehensive zaid katika kuunda beat?
Nina miaka tisa toka nimeacha kutumia FL so Siwezi kujua mpaka sasa ni vitu gani waliongezea Mimi Beat Zangu Natumia Studio one pekee
@@ayolizer Duuh kumbe Acha niamie studio one na mm
@@ayolizer how did you used the Auto tune maana sikuiona Kwa mixer channel yako....au ilikuwa Kwa bus ama ulirecorrect auto tune ikiwa on....sijaielewa baba🎉LOVE FROM SOUTH SUDAN 🇸🇸🇸🇸🇸🇸
mi nadhani kufanya kitu kizuri kinaitaji creatvt nasio kubadilisha kitu ndo kikupe majibu ..relax umiza kicha watu wataona how fantastic u are brooo...kuna watu hadi leo wanatengeneza beats by using stock plugbs za fl na niwanyama😂
@@edchrisbeatz8976mwambie kweli. Watu wanazani Daw ndo zinafanya kitu kua kizur wakati sio
Naweza tengeneza beat similar na hii kwa FL?
Yes
unatumia FL studio au
Hapana,Natumia Studio One
Studio one 5
𝑩𝒊𝒈 𝒖𝒑 𝒎𝒚 𝒈❤
Brazer tunaomba uanze kutufundisha mixing 🙏🙏