Mashaalah.. Maaashaaallah..... Nice video.. Nice editing... Weldone mashaallah... 2cameras poa sanna... Rule of thumb.. The more cameras... The better the output project...
DUH: SASA MBONA MWAMTISHAA?! MNATAKA ASIRUDI TENA AU ?! اللهم صل وسلم على محمد وعلى آل محمد كما صليت على إبراهيم وعلى آل إبراهيم في العالمين إنك حميد مجيد، واغفر لنا ذنوبنا ولوالدينا ومشايخنا ومعلمينا ولجميع المؤمنين والمؤمنات والمسلمين والمسلمات الأحياء منهم والأموات.
Hassan Swaleh kacheka kwakua watu wamezamia kwenye bid'aa na hawaelewi kabisa Hivi huo ni Uislam kweli mnamuita mtu kwenda kumuimbia imbia badala mgetumia fursa hiyo kuunganisha watu wasiojiweza,wajane,mayatima wapate foundation watunzwe..Nyie wageni wakija mnaalikana kuimba kha!
Allahuma swali wasalim wa baarik ala Nabiyyina Muhammad.
Mashallah Allah Akulinde na shari
يا رسول الله ...🌹🌹🌹🌹🌹🌹
اللهم احفظهن لنا من نطمئن لهم ويطمئنوا لنا يارب العالمين
عليه الصلاة والسلام
عليه افضل الصلاة وسلام
MashaAllah, YA Salam
Yaa salam subhan Allah ❤❤❤
Maashallah tabaarak rrahmaan
عليه اصدضل الصلاة وسلام
Maa Shaa Allah Tabaaraka Allah
Mashaallah
Speechless
ماجورين ماشاءالله عليكم جميعا صوت قوي ماشاءالله عليكم
Mashaallah mashaallah mashaallah
Allah akbar
Mashaallah........
ماشاء الله
ALLAH Akbar
Manshallah ❤❤💐
SubhanAllah ! TabarakAllah ! Allahu Akbar!
Mashaalah.. Maaashaaallah..... Nice video.. Nice editing... Weldone mashaallah... 2cameras poa sanna... Rule of thumb.. The more cameras... The better the output project...
حب النبي سلاني
Mashaallah
ترا في واحد نسخة منه في الدقيقة 50 : 2
Mashallah 😘😘
Masha Allah ❤❤❤
ruclips.net/video/eTTHNIJH9W0/видео.html
Hay ndio maajabu na miujiza ya QUR'AN
Tanzania ina maajabu ambayo kwingine hakuna,maashallah
ruclips.net/video/eTTHNIJH9W0/видео.html
Hii ndio miujiza ya Qur'an
Tanzania voice talanta
Mashallah
MASHAALLAH
Masha Allah
mashaallah
Maşaallah
Allah❤❤
Maashallah
مااااااشاء الله !
ما شاء الله تبارك الرحمٰن
Msashaa allah
Takbir
This got me write full description I saw it on IG someone post it hhh wlhi he is over talented
Nzur mashaallah
ruclips.net/video/eTTHNIJH9W0/видео.html
Hay ndio maajabu na miujiza ya QUR'AN
Mashalah
DUH:
SASA MBONA MWAMTISHAA?! MNATAKA ASIRUDI TENA AU ?!
اللهم صل وسلم على محمد وعلى آل محمد كما صليت على إبراهيم وعلى آل إبراهيم في العالمين إنك حميد مجيد، واغفر لنا ذنوبنا ولوالدينا ومشايخنا ومعلمينا ولجميع المؤمنين والمؤمنات والمسلمين والمسلمات الأحياء منهم والأموات.
Hahahahhahahahaha
sasa wasituchukulie hatujuwi na ss wenyewe mafundi
Vitaaaaa
Mashalla
Masha adhahu baraka fiki
Namuona sheikh Kapolo
Twayyiib
رائعة
Kweli mnapagawishana
Vizur sana
Mashaallah ❤️
new bilal ibn raba
Rajai Ayoub hakuwepo...??
Umenitangulia nilitaka kuuliza hilo suali wallah
@@tabletennis6296 mana kila safari ya meli inahitaji nahodha mahili, Angekuwepo pia na Imam Ummar Ibn Baggo wa Masjd Idrissa
mkorogo kwa sura vidole black panther 😂😂
Ndio anafanyanini Apo maana simuelewii ataa
Ana nini tena huyu kelele.... 😂😂😂😂😂😂😂😂😂 ameshinda kwa kelele....
ruclips.net/video/eTTHNIJH9W0/видео.html
Njoo uone miujiza na maajabu ya Qur'an
ترتاح وتسعد
Kidume hicho wa misri wanamjua nani huyo
ruclips.net/video/eTTHNIJH9W0/видео.html
Njoo uone maajabu na miujiza ya Qur'an
huyu ndio yule mjukuu wa YAHYA HUSSEIN?
ruclips.net/video/eTTHNIJH9W0/видео.html
Njoo uone miujiza na maajabu ya Qur'an
Ananena Kwa rugha uyo, kashukiwa na roho mtakatifu
Hakuna cha roho mtakatifu apo
Ni kipaji icho kapewa na Mwenyezimungu
ULIMWENGUNI HASA HAKUNA CHA ROHO MTAKATIFU MUNGU NI MMOJA TU HANA CHA MSHIRIKA
NI MMOJA HAKUNA WAPILI WALA WATATU
HAKUZAA WALA KUZALIWA
Video ya ust Muhammad khamis kwann haupend kuzirusha wewe unabagua bwamdogo badirika
ولوم العذول اذاني
hamna kitu ni kuimba na kupiga kelele mskitini
Acha wivu
Kapige na ww hizo kelele Kama ni rahisi
NDO NINI SASA
Si angesoma Qur'an tu jaama
Ametishika namna mdomo unavyofunguka hhhhhhhhhhhhhhhh
Hassan Swaleh kacheka kwakua watu wamezamia kwenye bid'aa na hawaelewi kabisa
Hivi huo ni Uislam kweli mnamuita mtu kwenda kumuimbia imbia badala mgetumia fursa hiyo kuunganisha watu wasiojiweza,wajane,mayatima wapate foundation watunzwe..Nyie wageni wakija mnaalikana kuimba kha!
Hawa wakifanya hili wewe fanya lingine,ili walichokiacha wao wewe ukitimize. Na kingine kumbuka ukamilifu ni ALLAH pekee.
Bidia ww ambaye unaupeo mfinyu
Ww kwahao wajane umeharamishiwa kwenda acha upungufu wa elimu ww we ukiona mwenzako kafanya hili na halipo sawa fanya ww lilipo sawa wakuige
Acha kashfa kila mja amepewa kipaji chaji huyo unae muona hapo Hafidh-U Quran ...Na anatuzo ya mshindi wa Quran duniani so kama haujui piga kimnya
Ww fala hata alifu hujui unazungumzia bidaa
Bidaaaaaaa tupu
HAYA tuambie hio bidaaa ikowapipale inanaana kusifiwa mtume ndiobidaa? KASOMETENA
@@nguruduali2014 hiyo nibidaa mtume hasaliw kwa barzanji
Kama utazichambua bidaaa utazijua,maana unatakiwa uzijue ni Aina ngapi za bidaa Sasa nakuuliza ilekama nibidaa nibidaa ya ainagani?
Mpaka Leo hii Waislam mnabishana kuhusu bidaa... Kweli Tupo Nyuma kiimani
Basi tuimbe Baba lao
Nashid mpaka misikitini duh awa watu ibilisi anawachezea
عليه افضل الصلاة وسلام
Allah Akbar
ماشاء الله
Mashaallah
Masha Allah
Mashallah
Maashallah
عليه الصلاة وسلام
Mashaallah
Masha Allah
عليه الصلاة وسلام
عليه الصلاة وسلام
عليه الصلاة وسلام