Mashaallah, camera man ulitakiwa umuoneshe sh. Saleh kwa sana.. Katika events kama hizi unatakiwa atleas kuwe na cameras 2, moja ya msomaji na ya sh. Saleh...kwene editing unaweka important scene... Inshaallah tutafika
Maneno aliyoyasoma ni mazito sana, tatizo waislam sisi hatujawa tayari kuisoma dini yetu. Tumebakia twashangiria tu "ALLAAH!! ALLAAH" Ila hatujui hata asema nini, twapendezewa nsauti tu, halas, mtihani huu. Allah asitufishe mpaka atujaalie tuwe wenye kuipenda qur'an kwa kuisoma na kuifata ituongoze katika maisha yetu yote.
Kw 2nd camera.. Unaweza hata kutumia simu.. Halafu kwenye turning ya camera, turning iwe slow.. Mashaaallah mashaalla. Tz tuna vipaji.. Tunahitaji sponser. Muhimu kua na vyuo vya qiraa, mashindano yenye zawadi nono.. Za kumtoa mtu maisha...
ASSALAAM ALEYKUM WARAHMATULLAH WABARAKATUH. MASHAALLAH ALLAH AWAONGEZEE MASHEIKH WETU NA SISI ATUONGOZE TUYAFUATE ALIYOTUAMRISHA NA TUACHE ALIYOTUKATAZA.
Hakika mwyezi inayo jili kwa allah ni kumbi na mbili.nayo akaiteua mwezi minne Bora kuliko nyingine.nayo ni.thur kaada.thur ijjah.muharam.na Rajab.allah Akbar
Mashallah! Mashallah! Nasi Mwenyezimungu atujalie elimu pamoja na vizazi wetu yarab ameen
Maashallah. Tunakuomba ya Allah uwazidishie khery wote walio fanikisha ujio wa sheikh Saleh nchini kwetu.
Mashaallah naomba like zenu kwa wingi
Kwani wewe ndoulosoma?
Masha allah
Wallahi nimependa sana
Usomaji wake wenye kuvutia na pamoja na sauti yenye
Namuomba Allah amuhifadhi
Pamoja na waislam wote dumiani
Mashaallah mashaallah mashaallah m mungu atuzidishie nyoyo za kuipenda quruan ni raha ilioje kuisikiliza na kujifundisha kupitia hii quruan .
Aamin Inshallah
Mashaallah, camera man ulitakiwa umuoneshe sh. Saleh kwa sana.. Katika events kama hizi unatakiwa atleas kuwe na cameras 2, moja ya msomaji na ya sh. Saleh...kwene editing unaweka important scene... Inshaallah tutafika
Kila mmoja atafufuliwa na yule anae mpenda ila m kwa shk hasan saleh nampenda sana kwa ajili ya ALLAH
Tulioko Pemba mnatunyima raha, ila angalau Saimu Gwao unatuliwaza kutuwekea yanayojiri. Ahsante. Allah akubaarik.
Namuona ustadh Ali anaitaka nafasi achane mawingu hhhhh
Ali hilal aman ya m/mungu iwe juu yako muda huu na siku utakayo kufa na siku utakayo fufuliwa.
Ust Ali HILALI Ali my roll model
Kweli Kaka
Naam swadakta
Mashallah sheikh Hassan kutusapoti Tanzania..plz mfikisheni Zanzibar pia atoe khutba
Mashaallah Yaani shekhe anaonekana kabisa anafuraha ya Hali ya juuu❤️❤️❤️
Mashaallah
Mashallah shghe kafrah cnaa kijana mungu amzidishie inshallah
اللهم وحد صفوف المسلمين امين اخوكم من طنجة المغرب رمضان كريم
Merci beaucoup nos frères et sœurs Muslims partout voys ses retrouver
Soyez bien venu à Tanzanie on vous invitez nous visitez
Maneno aliyoyasoma ni mazito sana, tatizo waislam sisi hatujawa tayari kuisoma dini yetu. Tumebakia twashangiria tu "ALLAAH!! ALLAAH" Ila hatujui hata asema nini, twapendezewa nsauti tu, halas, mtihani huu. Allah asitufishe mpaka atujaalie tuwe wenye kuipenda qur'an kwa kuisoma na kuifata ituongoze katika maisha yetu yote.
Amiin inshaallah
Inshallah
Ameen inshallah
Aamiin yaa rabby
Ameen
Allah akufanyie wepes say amiiiiin
Kw 2nd camera.. Unaweza hata kutumia simu.. Halafu kwenye turning ya camera, turning iwe slow.. Mashaaallah mashaalla. Tz tuna vipaji.. Tunahitaji sponser. Muhimu kua na vyuo vya qiraa, mashindano yenye zawadi nono.. Za kumtoa mtu maisha...
umewaza nje ya box mzee😆😆😆😆
mashalaaah hassani mtulia nakuelewaga Sana unanitoaga machozi
MashaAllah uncle uko vzr sna
Sauti ya dhahabu Maa shaa Allah.. Allah baarik wajazakumullah khairan
ASSALAAM ALEYKUM WARAHMATULLAH WABARAKATUH.
MASHAALLAH ALLAH AWAONGEZEE MASHEIKH WETU NA SISI ATUONGOZE TUYAFUATE ALIYOTUAMRISHA NA TUACHE ALIYOTUKATAZA.
Mashaallah ,KATKA VIJANA wanaosoma kimataifa ,ni huyo pekee.
Alhamdulillah bismillah mashaallah bismillah mashaallah
Hakika mwyezi inayo jili kwa allah ni kumbi na mbili.nayo akaiteua mwezi minne Bora kuliko nyingine.nayo ni.thur kaada.thur ijjah.muharam.na Rajab.allah Akbar
Maashaallah wajaza kumullah Allah akulipe kher sheikh wetu
shekh wetu karibu tz mungu akulinde
Ma Shaa Allah Ma Shaa Allah Ma Shaa Allah
ماشاءاللہ...الله حافظ
ماشاءالله جزاك الله خيرا
Mashaallah dini inautamu wake wallahi
Asikwambie mtu tamu haswa!
Masha Allah ❤
Mleteni huyo shekhe pemba
Allahumma rhamna bilqur'an...!
Maashaallah Alhamdulillaahi Tabaarakallaah
Maashallah tutulizie camera kwa clip nyingine maana hapo wahusika wakuu wawil
Mashaallaaa
mashallah na huku kwtu aje jmn
Ndio kwanza leo nimesikia surat ttawba kua na Bismillah
Mashaa'Allah Tabaaraka'Rahman
Mashaallah zein !
Masha Allah thabaraka AllAh
بسم الله ماشاء الله تبارك الله
ماشاءالله ش يل خنا
ماشاءالله شيخنا
Mashaa Allah
Allahumma rahamna biliquraan
Maashaalah
Takibir Allah Akbaru masha Allah
Mashallah mashallah
Huyu mtu ni fundi sana mashallah
MashaAllah 💕
Assallam alykum
Shekhe Yusuph kidago huwa anapatikana msikiti gani na maeneo gan?
Ma Shaa Allah
Tabarakalllahu
TabaaraqAllah
Mnshaallah
Mashallah
MashaAllah
Mslh may ALLAH GRANT you janaah I.a
Masa Allah
Ma shaa Allah
Maashallaah
mashaaalah mashaaalah
ماشاءالله
احسنت
Masha Allah mi naomba hiyo video nitumiwe kwenye watsap yangu 0653372966
Hassan mtulila always on his best
Uisilamu raha🙏
Maasshallah
Mashaallah twayyyyyyyybu
mashallah
Yaula Yaula Yaula Masha Allah Qur'an Mnzuri Sana
Suratutauba haina bismilla
Mashaallah
Mashaallah mungu awajaalie wote maisha marefu
Maashallaah
Mashallah
Maa shaa ALLAH
Mashallhaaa
Mashaallah
Masha Allah
Mashallah
Mashaallah
Mashaallah
Mashaallah
Mashaallah
Mashaallah