Kwa kweli kasulu tumechelewa sana lakini kwa hii lazima dar ishituke ni kali sana ushauri ni mmoja waimbaji ni wakali ubora wa ala uboreshwe machine ithibitiwe kikamilifu
Wanakwaya hawa wamejua kuteka sikio langu. Wameimba vizuri mnooooo. Maneno yanasikika vizuri, Sauti zao ni tamu sana. Kwa kweli Nimebarikiwa sana na wimbo huu. Mungu wa Mbinguni aendelee kuwatunza. Asante sana Ndugu yangu Shimanyi kwa production kali ya Audio hii na team nzima ya Tanganyika production. Kazi nzuri.
Hongera sana Tanganyika production kwa wimbo mzuri uliojaa shukrani tele, Hongera sana kaka yangu Africanism Adriano kea utunzi uliotukuka. Asante Mungu kwa kipaji hiki na waimbaji hawa kwa kazi nzuri
Asante sana watumishi wa Bwana kwa ujumbe iyi nzuri yenye umuhimu sana katika maisha yetu Mungu awabariki na kuwalinda siku zote za maisha yenu na kuwajalia nguvu za Roho mtakakatifu ili mpate kumtumikia siku zote za maisha yenu amina
Nyimbo iko vizuri waimbaji mko poa mmependeza nyimbo imepangiliwa sauti na vinanda vimepangiliwa vizuri mnoo mtunga nyimbo ubarikiwee nawaimbaji pi mbarikiwe piaa
Kwa kweli kasulu tumechelewa sana lakini kwa hii lazima dar ishituke ni kali sana ushauri ni mmoja waimbaji ni wakali ubora wa ala uboreshwe machine ithibitiwe kikamilifu
Hongereni mmetisha sana, pongezi kwa mtunzi pia mbarikiwe sana🙏
Wimbo mzuri San mbalikiwe sana kwa utumishi wenu🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Hakika wanakwaya hongeranii kwa ujumbe wa neno la MUNGU wimbo unanibariki ktk maisha yangu MUNGU azidi kuwabariki vipawa vyenu
Wanakwaya hawa wamejua kuteka sikio langu. Wameimba vizuri mnooooo. Maneno yanasikika vizuri, Sauti zao ni tamu sana. Kwa kweli Nimebarikiwa sana na wimbo huu. Mungu wa Mbinguni aendelee kuwatunza.
Asante sana Ndugu yangu Shimanyi kwa production kali ya Audio hii na team nzima ya Tanganyika production.
Kazi nzuri.
Asante sana Rajo Productions kwa NENO, ni hamasa kwetu kufanya vzuri zaidi. Hizo salamu za kwaya zimefika, tutazipeleka kwa wahusika.
Safi mmeinjirisha vizuri na mmezingatia Ritrujia Yetu vema Mungu Awabariki sana
Mungu awajalie kwa uimbaji mwema
Hongeren sana, juzi mmetubariki sana kigango cha Mwilamvya kasulu, hongeren kwa kaz nzuri
Mkaeneze uwo utume dunian kote maana mnaimba vzl sana mungu awabarik
Hongereni, Mungu Nazidi kiwatia Nguvu katika utume Wenu ❤
Kusifu ni kuzuri mko poa sana
"Chukua vyote kwani ni mali yako navileta kwako Kama shukrani yangu". Asanteni sana kwa kazi nzuri, hakika vyote ni mali ya Mungu. Nimewamic pia
Kwa wanao taza hii gospel tujuane kwa like
Hakika mnahubiri vema Sana kwa uimbaji wenu mungu awabariki
I saw this song on TikTok am glad I finally found it😍😍
Na Mimi🤸🤸🔥🔥🙏👏
Mungu awabariki kwa utumee wenu❤❤🎉
Hongereeni mumeimba hasaaa barikiweni.
Hongeren sana karibuni sana katika parokia yetu
Vraiment mungu ni mwema sana munaimba bien sana 3:36
Hongera sana Tanganyika production kwa wimbo mzuri uliojaa shukrani tele, Hongera sana kaka yangu Africanism Adriano kea utunzi uliotukuka. Asante Mungu kwa kipaji hiki na waimbaji hawa kwa kazi nzuri
❤️❤️❤️❤️ yatosha kusema Asante kwa Mwenyezi Mungu
Barikiweni sana Tanganyika Productions kwa kazi nzuri....pia wimbo ni mzuri sanaaaaa......"Shukrani ya moyo"
Bmi
Wimbo mtamu ajabu. Mbarikiwe zaidi
Woow what a nice song❤❤❤be blessed 🙌
Sauti nzuri maneno mazuri kweli mbarikiwe mm ninaskiza nyimbo senyu kira siku sinanitia nguvu sana, 🙏🎂🙏
Angalau hii kwaya tunasikia maneno. Mana kwaya nyingine kinanda kiko juu sana.
Excellent travail je vous félicite énormément les frères et sœurs en Christ . J' aime vos chansons. Que le Seigneur vous comble de sa grâce 🙏🙏🙏
Mungu awatie nguvu zaidi katka karama yenu ya uimbaji
Come on👏👏👏👏👏👏 my best song of the year
I love this song ❤❤❤ good work...let's continue thanking God in all circumstances...keep up the good work🙏🙏....with love from Kenya 🇰🇪
Kazi nzuri mungu awabariki
Asante Mungu kwa wema wako wa Ajabu ..kweli Mungu anatosha Ni wakati sahihi kabisa wa Kumshukuru kwa wema wake wa Ajabu
Wimbo mzur sana mbarikiwe
Hakika mtunzi kafanya kazi yake ipasavyo nikutoa shkuran zangu za dhati muumba awazidishie sauti nzur ya kuimba mulioshiriki katika wimbo huuu
Hongereni Sanaa mungu aendelee kuwapatia nguvu na afya njemaah mmeimba vizuri mnooo🥰
Asante sana watumishi wa Bwana kwa ujumbe iyi nzuri yenye umuhimu sana katika maisha yetu Mungu awabariki na kuwalinda siku zote za maisha yenu na kuwajalia nguvu za Roho mtakakatifu ili mpate kumtumikia siku zote za maisha yenu amina
Awaah awesome 👏👏
MUKEN SAMUEL IN GHANA I am very very interested
Kabisa kazi nzuli sanaaa najivunia sana mashadi wa uganda
Mko vizuri Mungu awatunze na kuzidi kuwainua,..Wimbo mtamu sana
Hongera Sana.
Awesome,,, big up choir member from my home parish,, it's a great song indeed 😍😍🙏🏽🙏🏽
Utume mwema katika Bwana wetu Yesu Kristu
bonne travail mes chers frère et soeur félicitations que Dieu vous bénisse Amen.
Kwakwel wimbo huu umenibariki sana sana Mwenyezi Mungu abariki utume wao
Quite a remarkable peace of arts, be blessed . Mwenyezi Mungu awajaze2 neema na rehema katika uimbaji wenu
Mafuta ya ku elekeya Kwa Bwana Yesu! Amen!!
Amen 🙏🙏🙏🙏🙌🙌🙌🙌 mungu awabariki
Very inspiring song.May God bless you and keep on uplifting your choir in spreading the Gospel through singing.
Ahsanteni kua wimbo mzuri
Hongeren sana vijana wa nyumban kwa uimbaji uliotukuka kiukweli mmeutendea haki wimbo huo
Kazii nzuriiii
Wimbo umeniga sana uwiiiiiiiiiiii
❤ from Africa.
wao asanteeni wimbo mzuri mnoo😊
Amen. Barikiwe sana 🙏
Nauomba ni mzuri sanaa
Mmm, mmeimba hadi raha. Hongera Sana kwa uinjilishaji
This is the best one , hongereni sanaa wanakwaya
Ngoma kali ajabu. Hongrereni
Mungu awe nanyi sana kwa nyimbo zenu tamu
Amina. Wimbo mzuri sana mbarikiwe na Mungu
Awesome
How are some people even disliking this video? This is a great song
asante sana
Kazi nzuri sana, Mungu awabariki sana mmeimba vizur sana
Mpo vizur mbalikie sana
Hakika huu wimbo ni mtamu sana, mtunzi alikuwa ametulia si kawaida
Be blessed Tanganyika production, Keep up the good work
This song is another level, Im blessed 🥰🙏
Barikiwa watumishi wa mungu, mzidi kumtumikia zaidi.
Mmbarikiwe sana kwa wimbo mzuri ❤
Que le bon Dieu vous accompagne dans cette œuvre de son saint Nom
It's now my ringing tone.Much blessing
Barikiweni sana
Asante Sana Bwana kwa wema wako, Asanteni Sana waimbaji 🙏🙏
Blessed
Bravooo. مبروك ؤمزسك
Nice song congratulations.
Good Catholics l wish l was there
Mmeimba vizuri
Bom dia muito lindo mesmo que Deus abençoe a todos abraços
I like your song
Congratulation
The music is blessing me. I like it
GOD CONTINUES ALWAYS BLESSING THEM BROTHERS
Inabariki kweli
I must listen to this song everyday,God bless you
Am blessed
Hongera sana
Félicitations mes amours j'aime beaucoup les africains
I just loved it the first day I heard of it,
Very nice be blessed wanakwaya.
Iam very much soothed by the songs
Nyimbo iko vizuri waimbaji mko poa mmependeza nyimbo imepangiliwa sauti na vinanda vimepangiliwa vizuri mnoo mtunga nyimbo ubarikiwee nawaimbaji pi mbarikiwe piaa
Asanten sanaaa
Good album barikiwa sana
Good work 🙏🙏🙏🙏 This song is blessing me so much
Ahsante MUNGU 🙏🙏🙏
Amina sana
Amani iwe nanyi
Good Music
Asanteeee....mzidi kubarikiwa
Mungu nipe nafasi nijiunge na kwaya moja
Upo wapi?
Niko Nairobi